Reginald Mengi

Last updated on 2015-02-18T10:06+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Reginald Mengi writes : “My brother Mr Elitira was a huge influence and a mentor to me especially during my teenage and early adult years. From and early age, Mr Elitira displayed impressive entrepreneurial traits,” External link

theCitizen Monday, May 6, 2019 11:27:00 AM EAT

Reginald Mengi says : “To my surprise, however, Mr Elitira was very philosophical about the whole thing and was not bitter at all… he proceeded to determine how else he could lift himself up once again. He had new ideas about re-building his business and he continued to work hard,” External link

Reginald Mengi writes : “The description of the profession sounded like the best in the world and to me it seemed attainable because of my aptitude and love for mathematics,” External link

theCitizen Saturday, May 4, 2019 7:27:00 AM EAT

Reginald Mengi writes : “I did this and to my surprise, I was forgiven and offered their blessings for what I was venturing into,” External link

Reginald Mengi writes : “I went through a very taxing period having to juggle with working very long hours at part time jobs, being short of money and coping with the pressure of evening studies,” External link

EastAfrican Friday, May 3, 2019 1:46:00 PM EAT

Reginald Mengi writes : “This I did and, to my surprise, I was forgiven and offered their blessings for what I was venturing into,” External link

theCitizen Friday, May 3, 2019 11:15:00 AM EAT

nation-ke Friday, May 3, 2019 10:39:00 AM EAT

Reginald Mengi writes : “The description of the profession sounded like the best in the world and to me it seemed attainable because of my aptitude and love for Mathematics,” External link

dailymonitor Friday, May 3, 2019 7:54:00 AM EAT

Reginald Mengi writes : “This I did and to my surprise, I was forgiven and offered their blessings for what I was venturing into,” External link

Reginald Mengi alisema : “Nitaendelea kuwa na watoto hawa wenye uhitaji maalumu hadi Mungu atakaponichukua duniani maana watoto hawa wamekua ni sehemu ya maisha yangu na nawapenda sana na leo hii naipa shule hii Sh1 bilioni kwa ajili ya kuhakikisha watoto hawa wanapata mahitaji muhimu,” External link

mwananchi Saturday, February 23, 2019 11:38:00 AM EAT

Reginald Mengi amesema : "Nafurahi kujumuika na walemavu napata raha sana, ulemavu sio umaskini, kupoteza mguu sio mwisho wa dunia unaweza tumia kilichopo ukafanya maajabu," External link

mwananchi Sunday, January 20, 2019 7:12:00 PM EAT

Reginald Mengi amesema : “Mimi sijioni kama ni tajiri, bado najiona masikini kama wengine naamini kwamba kila kitu nilichonacho kimetoka kwa Mwenyezi Mungu, kuna wakati watu wanajisahau na kufikiria kuwa yale walio nayo yametokana na nguvu au juhudi zao binafsi,” External link

jamiiforums Wednesday, December 5, 2018 10:29:00 PM EAT

Reginald Mengi alisema : “Anayefahamu matunda ya elimu ni taifa zima ni imani yangu madawati yakipatikana na changamoto zilizopo sasa zikatokomezwa kila mmoja atafaidi huduma za wataalam watakaopatikana kwenye fani mbalimbali,” External link

mtanzania Friday, June 24, 2016 11:22:00 AM EAT

Reginald Mengi said : "Youth empowerment is one of the challenges in the country," External link

allafrica Saturday, February 14, 2015 12:37:00 PM EAT

Reginald Mengi said : “Youth empowerment is one of the challenges in the country,” External link

in2eastafrica Saturday, February 14, 2015 12:50:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
chairperson of the tanzania7.14%EN09/26/201626/09/2016
chairman85.71%EN09/15/201615/09/2016
former boss3.57%EN07/19/201619/07/2016
boss3.57%EN07/19/201619/07/2016
Names Lang Count
Reginald MengiSW42.35%
Reginald MengiEN35.29%
Reginald MengiFR22.35%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, August 8, 2022

3:23:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Mr Ali said ( about Reginald Mengi ) : “We had two big losses this year of Ali and Reginald Mengi who believed in investing in the younger generation. However their legacy of passing their skills to the young business leaders will remain not only in our hearts in our spirits,” External link

theCitizen Wednesday, December 11, 2019 12:43:00 PM EAT

Frederic Clavier said ( about Reginald Mengi ) : “We had two big losses this year of Ali and Reginald Mengi who believed in investing in the younger generation. However their legacy of passing their skills to the young business leaders will remain not only in our hearts in our spirits,” External link

Deodatus Balile amesema ( about Reginald Mengi ) : “Huu ni mwaka mgumu kwetu, tumeondokewa na mameneja, wakurugenzi na mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari (Moat), Reginald Mengi,” External link

mwananchi Tuesday, July 9, 2019 5:58:00 PM EAT

Hamisi Issah said ( about Reginald Mengi ) : ''It is true some properties from Mengi's house were stolen. The thieves are not known yet. We are investigating. It could be anyone both from within and outside the family,'' External link

tuko Monday, May 13, 2019 2:21:00 PM EAT

Paul Makonda amesema ( about Reginald Mengi ) : “Mimi niombe radhi kwa tafsiri hiyo kwa sababu nimemsifia mchaga katikati ya wachanga siyo mchaga katikati ya kabila lingine, mapokeo na nitaendelea kumuenzi mzee Mengi kwa mema yote aliyoyafanya kwa walemavu hasa katika mkoa wetu yatabaki kuwa alama,” External link

jamiiforums Saturday, May 11, 2019 11:08:00 PM EAT

Waziri Mkuu alisema ( about Reginald Mengi ) : “Bila shaka kila mmoja wetu ameguswa kwa namna ya kipekee na mchango wa Dk Mengi. Kiukweli, marehemu Dk Mengi atakumbukwa kama mwanahabari, mwanaviwanda na mfanyabiashara maarufu ambaye alitumia elimu, maarifa na utajiri wake kwa ajili ya manufaa ya wote hususan watu wenye mahitaji maalumu,” External link

habarileo Friday, May 10, 2019 1:06:00 PM EAT

jamiiforums Friday, May 10, 2019 12:41:00 AM EAT

mwananchi Thursday, May 9, 2019 5:17:00 PM EAT

Freeman Mbowe amesema ( about Reginald Mengi ) : “Mzee Mengi ameshatangulia mbele za haki haitajalisha tuzungumze mema kiasi gani kumuhusu hatutamrejesha, ila tujitafakari na kuyaenzi yale aliyokuwa akiyafanya, alikuwa mnyeyekevu na kauli zake zilijenga, kupatanisha na kuleta matumaini lakini pia hakuwahi kukata tamaa,” External link

mtanzania Thursday, May 9, 2019 2:52:00 PM EAT

Humphrey Polepole alisema ( about Reginald Mengi ) : “Katika mafanikio ya chama chetu kuanzia mwaka 2015 ushauri wa Mengi tumeuzingatia na kuutumia sana,” External link

mtanzania Wednesday, May 8, 2019 11:20:00 AM EAT

James Mbatia alisema ( about Reginald Mengi ) : “Tuondoe kila aina ya jeuri na kuwa wanyenyekevu kama alivyokuwa Reginald Mengi,” External link

Freeman Mbowe alisema ( about Reginald Mengi ) : “Alijua kutafuta utajiri lakini hakuruhusu kuwa mtumwa wa utajiri. Ulikuwa wa pekee sana ‘uncle’ Mengi Tanzania itakukumbuka na alama yako itaendelea kubaki,” External link

Paul Makonda alisema ( about Reginald Mengi ) : “Sikuwahi kutegemea hata siku moja kuona mchaga anampa fedha yatima au mlemavu, si jambo rahisi. Naitaendelea kufanya jambo jema la kuwashika mkono watu wenye ulemavu kama alivyofanya Mengi,” External link

Liberat Mfumukeko said ( about Reginald Mengi ) : “Indeed the late Mengi played a big role in deepening the EAC integration process,” External link

theCitizen Wednesday, May 8, 2019 11:04:00 AM EAT

Palamagamba Kabudi said ( about Reginald Mengi ) : “Mengi’s contribution touched most of stakeholders in the country through his IPP Group of Companies and other businesses, he invested in oil and gas sector, minerals, agriculture and health sectors” External link

Sylvester Joseph amesema ( about Reginald Mengi ) : "Ukibahatika kukutana na Mengi na kumweleza shida zako hasiti kukusaidia kutokana na utu na upendo aliokuwa nao wakati wote," External link

mwananchi Sunday, May 5, 2019 6:23:00 PM EAT

Jakaya Kikwete alisema ( about Reginald Mengi ) : “Kama kweli tunampenda Mengi, haya ya uongo na kutungatunga tuachane nayo, tusubirie ukweli tutaupata, amefariki Dubai wakati mdogo wake akiwepo, mtoto wake akiwepo, kwahiyo hao ndio wana ukweli wenyewe, hao wengine mnaowasoma wote tuwaache wanaweza kutuchanganya,” External link

mtanzania Sunday, May 5, 2019 1:16:00 PM EAT

Jakaya Kikwete alisema ( about Reginald Mengi ) : “Mengi alikuwa mzalendo, mtu aliyeipenda sana nchi yake, alipenda maendeleo ya taifa letu. Pia alikuwa na huruma na moyo wa upendo. Alikuwa pale ambapo ana uwezo wa kusaidia hapendi kumuacha mwenzake awe anateseka na kwa bahati nzuri Mungu alimjalia utajiri mkubwa ambao ameutumia pia katika kusaidia na wengine waliokuwa na uhitaji,” External link

Jakaya Kikwete alisema ( about Reginald Mengi ) : “Jana (juzi) nilizungumza na Regina (mtoto wa Mengi), nimezungumza na mdogo wake Benjamin akiwa kule Dubai, lakini ndiyo hayo, sisi tuwaombee hawa sasa, Regina, ndugu zake na wengine wahakikishe tu kwamba yale ambayo mzee wao aliyasimamia na aliyoyaonea fahari yanaendelea kudumishwa na kupepea, kufanya hivyo watakuwa wamemuenzi vya kutosha mzazi wao,” External link

Simon Sirro alisema ( about Reginald Mengi ) : “Tunafuatilia taarifa mbalimbali zinazotolewa katika mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha Mengi, hatuzipuuzii, tunafuatilia. Lakini kwa sasa kazi ni kuhakikisha msiba unamalizika kwa amani na utulivu,” External link

Simon Sirro amesema ( about Reginald Mengi ) : ”Mzee Mengi alikuwa mshauri mzuri sana kwenye masuala ya ulinzi na usalama pamoja na misaada midogo midogo kwa vijana wetu wanapokuwa na shida. Zaidi alikuwa ‘very humble’ mara zote alikuwa anajishusha sana. "Yako mengi yanayoongelewa kwa sasa mitandaoni, lakini jambo la msingi tumalize kwanza msiba, hayo yanayozungumzwa mitandaoni tutafuatilia,” External link

jamiiforums Saturday, May 4, 2019 5:30:00 PM EAT

Paul Makonda alisema ( about Reginald Mengi ) : “Mengi ni mzee wetu alikuwa na roho nzuri na pia alishiriki katika maendeleo ya Dar es Salaam kwa kutoa ajira kwa watu wengi kupitia kampuni zake, wakazi wa Dar es Salaam naomba tumpe heshima yake kama alivyotuheshimu kwa kujitokeza kumsindikiza katika safari yake ya mwisho,” External link

mtanzania Saturday, May 4, 2019 9:49:00 AM EAT

James Mbatia alisema ( about Reginald Mengi ) : “Mema yake ya jana, leo na kesho yataishi, naomba Watanzania tutumie msiba huu kwa kutumia kauli ya Mengi ya kwamba maisha yapo katika ndimi zetu,” External link

Benjamin Mkapa alisema ( about Reginald Mengi ) : “Nimemfahamu Mengi miaka mingi iliyopita na kwangu ananirudisha katika historia kama mzalendo aliyesimamia nafasi yake kwa jamii,” External link

mwananchi Saturday, May 4, 2019 9:28:00 AM EAT

Benjamin Mkapa amesema ( about Reginald Mengi ) : “Nimemfahamu Mengi miaka mingi iliyopita na kwangu ananirudisha katika historia kama mzalendo aliyesimamia nafasi yake kwa jamii kwa ujumla,” External link

mwananchi Friday, May 3, 2019 8:11:00 PM EAT

Job Ndugai amesema ( about Reginald Mengi ) : “Hivi karibuni alituchangia Sh50 milioni kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya mfano kwa kila jimbo. Mengi alikuwa mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini ambaye alijitoa kwa jamii kwa kiasi kikubwa. Mradi huu uliobuniwa na wabunge wanawake alisaidia kuuwezesha,” External link

mwananchi Friday, May 3, 2019 2:31:00 PM EAT

Rais Magufuli ameandika ( about Reginald Mengi ) : “Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mzee na Rafiki yangu Dk Reginald Mengi. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa letu na maono yake yaliyopo katika kitabu chake cha I Can, I Will, I Must. Poleni wanafamilia, wafanyakazi wa IPP na Jumuiya ya Wafanyabiashara” External link

habarileo Friday, May 3, 2019 11:11:00 AM EAT

Hassan Abbas alisema ( about Reginald Mengi ) : “Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa IPP, Mzee Reginald Mengi. Kama alivyopata kusema yeye mwenyewe siku za uhai wake kuwa watu wanaoacha alama hawafi, basi mawazo, falsafa, ubunifu na kujitoa kwake vitaendelea kuishi nasi,” External link

John Magufuli wrote ( about Reginald Mengi ) : “I am saddened by news of Mengi’s death, I will always remember his contribution to the development of our country and his vision laid down in his book, ‘I can, I will, I must’,” External link

independent-UG Thursday, May 2, 2019 7:01:00 PM EAT

John Magufuli said ( about Reginald Mengi ) : "I am shocked by the death of an elder and a friend Dr Reginald Mengi," "I will remember him for his immense contribution to the development of our country and for the words he wrote in his book I Can, I Must, I Will - The Spirit of Success" External link

xinhuanet_en Thursday, May 2, 2019 5:21:00 PM EAT

Rais Magufuli ameandika ( about Reginald Mengi ) : “Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mzee na rafiki yangu Dk. Reginald Mengi. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk maendeleo ya Taifa letu na maono yake yaliyopo ktk kitabu chake cha I Can, I Will, I Must. Poleni wanafamilia, wafanyakazi wa IPP na Jumuiya ya Wafanyabiashara” External link

habarileo Thursday, May 2, 2019 2:03:00 PM EAT

Nape Nnauye ameandika ( about Reginald Mengi ) : “Nimejifunza mengi kwako, rafiki, mshikaji, kiongozi na mzazi! Ulinifundisha kuwa kukata tamaa ni dhambi! Msalimie Mzee Sitta, mkumbushe kile kikao chetu Cha mwisho nyumbani kwako. Pumzika kwa Amani Dr. R. A Mengi” External link

capitalfm Thursday, May 2, 2019 11:00:00 AM EAT

Rais Magufuli ameeleza ( about Reginald Mengi ) : "Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mzee na Rafiki yangu Dkt. Reginald Mengi. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa letu na maono yake yaliyopo katika kitabu chake cha I Can, I Will, I Must. Poleni wanafamilia, wafanyakazi wa IPP na Jumuiya ya Wafanyabiashara," External link

jamiiforums Thursday, May 2, 2019 10:56:00 AM EAT

John Magufuli wrote ( about Reginald Mengi ) : "I am saddened by news of Mengi's death, I will always remember his contribution to the development of our country and his vision laid down in his book, 'I can, I will, I must'," External link

afp-en Thursday, May 2, 2019 9:53:00 AM EAT

AfricaBrief