John Cheyo

Last updated on 2015-01-20T07:09+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

John Cheyo said : "The Constitution belongs to citizens as it cannot be turned into its property. If anybody wants to change it, then they must first seek views from the citizens through a referendum," External link

allafrica Thursday, June 4, 2020 2:27:00 PM EAT

John Cheyo said : “The Constitution belongs to citizens as it cannot be turned into its property. If anybody wants to change it, then they must first seek views from the citizens through a referendum,” External link

theCitizen Wednesday, June 3, 2020 10:06:00 PM EAT

John Cheyo amesema : “Lakini sheria imetungwa mwaka huu, tuna uchaguzi mwaka huu, na uhakiki mwaka huu tutajirekebisha kwa muda gani” External link

mwananchi Tuesday, March 10, 2020 11:18:00 PM EAT

John Cheyo anasema : “Mimi nilisherehekea Uhuru nikiwa na miaka 15, nilicheza dansi usiku kucha, sasa leo ni miaka 58, hongereni Watanzania wote,” External link

mtanzania Wednesday, December 11, 2019 12:35:00 PM EAT

John Cheyo alieleza ( about Tanzania Bara ) : “Katika rasilimali kwa hili nampongeza kwani amekuwa akijiuliza rasilimali hizi ni za nani? Watanzania watanufaikaje akaamua kuanzisha mifumo ya kisheria kuhakikisha Tanzania kwanza inafaidika. Pia hakusahau watu wake ameanzisha elimu bure, bima ya afya, umeme kila kijiji na sasa anaijenga Tanzania ya viwanda,” External link

habarileo Monday, December 9, 2019 9:42:00 AM EAT

John Cheyo alifafanua : “Utawala wa Rais Magufuli uko zaidi katika ujenzi wa nchi, wanaomlalamikia kwenye masuala ya siasa wanamuonea, huyu nafikiri analala huku akiwaza kesho nijenge nini, lakini pamoja na hayo amefuta kabisa dhana ya Tanzania ya utegemezi, akiamua kujenga reli au barabara anabana kwenye mapato anajenga,” External link

habarileo Thursday, December 5, 2019 9:34:00 AM EAT

John Cheyo alifafanua ( about Tanzania Bara ) : “Naomba tuhakikishe mfumo huu unachangia kuleta mawazo chanya ya kuijenga Tanzania kiuchumi lakini pia kudumisha amani,” External link

John Cheyo alisema : “Chama cha Mapinduzi ni kigumu kuking’oa. Huwezi kuing’oa CCM kwa kususia vikao vya Bunge. Siasa siyo ugomvi, siyo uadui,” External link

mwananchi Wednesday, July 27, 2016 3:12:00 AM EAT

John Cheyo alisema ( about Ole Medeye ) : “Jana (juzi) Kamati Kuu ya chama ilikaa kikao maalumu kwa ajili ya mambo makuu mawili ambayo ni pamoja na kufanya uteuzi wa nafasi mbili ya Kaimu Katibu Mkuu wa chama na nafasi tuliyoiunda mahususi ya mkurugenzi wa mikakati ya chama na mambo ya nje. Wajumbe wa kamati walikubaliana kwa pamoja na kumteua Dk. Goodluck ole Medeye kuwa Kaimu Katibu Mkuu na Andrew kuwa Mkurugenzi wa Mikakati ya chama na Mambo ya Nje lakini pia Kaimu Katibu Mwenezi,” External link

mtanzania Monday, June 20, 2016 9:03:00 AM EAT

John Cheyo alisema : “Hiki chama ni cha Watanzania wote, tunatoa rai kwa mtu yeyote aliye tayari kuwa mwanachama wetu, milango ya kuwania urais kupitia chama hiki iko wazi,” External link

mwananchi Thursday, March 12, 2015 11:15:00 AM EAT

John Cheyo alisema : “Raia wote wana haki ya kupigakura, kama Ukawa wanatembea kila kona ya nchi kuwahamasisha wananchi kuacha kuipigia kura katiba hiyo ni kosa,” External link

John Cheyo alisema : “Kwa nini tunatoa majibu ambayo Tume inatakiwa kuyajibu, ikiwa mashine hazitoshi au ni mbovu, basi yenyewe ndiyo ituambie. Sasa kama kila mtu anasema lake huo siyo ustaarabu mzuri, tuache Tume ifanye kazi yake,” External link

mwananchi Thursday, March 12, 2015 11:15:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
leader5.56%EN09/07/201607/09/2016
chairman33.33%EN07/27/201627/07/2016
mwenyekiti wa udp27.78%SW07/24/201624/07/2016
mwenyekiti wa tcd33.33%SW09/09/201409/09/2014
Names Lang Count
John CheyoSW88.33%
John CheyoEN11.67%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Wednesday, August 5, 2020

10:58:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief