Peter Msigwa

Last updated on 2017-09-08T12:06+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Peter Msigwa said ( about Tundu Lissu ) : “I represented other MPs in escorting Mr Lissu to Nairobi after a failed assassination attempt. The situation was terrible and therefore, it is a blessing to welcome him back as we witness him walking on his feet,” External link

theCitizen Tuesday, July 28, 2020 12:02:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “kama nilivyodokeza siku zilizopita, leo natangaza nia ya kugombea nafasi ya Rais na tayari kwa mujibu wa Katiba ya chama nimewasilisha rasmi taarifa ya kuomba chama kiniteue kugombea nafasi ya urais” External link

habarileo Monday, June 15, 2020 8:08:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Serikali yangu itarejesha uhuru wa kutoa maoni ya demokrasia ya vyama vya siasa na asasi za kiraia na matumizi ya fedha za umma,” External link

mtanzania Monday, June 15, 2020 12:33:00 PM EAT

Peter Msigwa said : "After our meeting which ended late in the night we left, he was attacked in the staircase," External link

theCitizen Tuesday, June 9, 2020 1:08:00 PM EAT

Peter Msigwa said : “The government should clearly explain what it’s doing and together, we come up with ways of fighting the coronavirus disease,” External link

theCitizen Tuesday, March 31, 2020 2:24:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Kanuni ipo wazi inamtaka meya kuondoka kwa theluthi mbili ya kura zilizopigwa si vinginevyo, walihitaji kura nyingine tatu ambazo hawajazipata ” External link

mtanzania Sunday, March 29, 2020 2:38:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Mnataka kuwaminya mawakili, Serikali inatumia mabavu kupora haki za watu, mbona hawa wanajitegemea wenyewe kwa kila kitu kwa nini tuwapunguze kwenye mikutano yao, hili si jambo jema hata kidogo,” External link

mwananchi Thursday, January 30, 2020 3:58:00 PM EAT

Peter Msigwa said : “The government is trying to impose laws, which will restrict lawyers from practicing their profession fairly,” External link

theCitizen Thursday, January 30, 2020 3:41:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Mimi kama mwenyekiti wenu wa Kanda ya Nyasa, natangaza rasmi kuanzia leo (juzi) kuanza rasmi mikutano ya hadhara kwa kuwa muda umewadia ila mfuate taratibu, sio kwenda kufanya fujo na tumejipanga kwelikweli na lazima kieleweke, mwaka 2020 hatuendelei kulalamika, bali ni muda wa kwenda kushika dola,” External link

mtanzania Tuesday, January 7, 2020 9:05:00 AM EAT

Peter Msigwa alisema : “Tuliambiwa tuache siasa na tusubiri mwaka 2020 ndiyo tuanze siasa, sasa muda umewadia, ni kufanya siasa kwa kwenda mbele, hakuna kulala mpaka kieleweke au makamanda tuliamshe dude mpaka Ikulu,” External link

Peter Msigwa amesema : “Si alituambia tuache siasa na tusubiri hadi 2020 ndio tuanzee sasa muda umewadia nikufanya siasa kwa kwenda mbele hakuna kulala mpaka kieleweke au mnasemaje makamanda tuliamshee dude,” External link

mtanzania Monday, January 6, 2020 4:21:00 PM EAT

Peter Msigwa amesema : “Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana mitaani wamekuwa wakizunguka kila kukicha kutafuta ajira hadi viatu vinaisha soli kwa kuwa mitaala iliyopo haikuwanda kisaikolojia namna ya kujitegemea na kukabiliana na changamoto za mtaani jambo ambalo limezidi kuwafanya kuwa wategemezi,” External link

Peter Msigwa alidai : “Tuliitwa wabunge mbaalimbali kuhamasisha ili kuleta mabadiliko tunayoyapigania katika nchi hii,” External link

mwananchi Monday, December 2, 2019 10:04:00 PM EAT

Peter Msigwa amesema : “Kwa macho ya kawaida unaweza ukadhani ni jambo la kawaida sana. Unaweza ukadhani ndiyo ushindani wenyewe wa kidemokrasia. Lakini ukweli kwa mujibu wa katiba ya Chadema walichofanya ni makosa makubwa sana,” External link

mwananchi Tuesday, November 26, 2019 3:30:00 PM EAT

Peter Msigwa amesema : “Ni mikutano mingi sana nimezuiliwa ambayo sina kumbukumbu ya idadi yake. Wananizuia kwa sababu ukweli wanaufahamu na hawataki wananchi wapate taarifa hizo lakini wananchi kwa sasa wanahitaji kuelezwa ukweli ili kufanya uamuzi,” External link

mwananchi Friday, October 25, 2019 1:50:00 PM EAT

Peter Msigwa said : “This Bill is good but its implementation may be difficult due to the fact that very few Tanzanians have access to reliable internet,” External link

theCitizen Thursday, September 5, 2019 9:55:00 AM EAT

Peter Msigwa alisema ( about William Lukuvi ) : “Kwa mnaonifahamu vizuri, mimi sio mbunge wa kusifiasifia, mimi ni mbunge mwenye msimamo, lakini nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa pongezi kwa Waziri Lukuvi kutokana na uchapakazi wake unaokonga nyoyo za wadau wa shughuli zinazofanywa na wizara yake,” External link

mtanzania Wednesday, August 14, 2019 7:45:00 PM EAT

Peter Msigwa amesema : “Mimi ni mbunge ambaye natetea maslahi ya wananchi ninao waongoza kwani tangu nimeingia madarakani nimepigia kelele mambo mengi mbungeni ambayo tayari yametekelezwa, hivyo najiona ni kiongozi ambaye nawiwa kuendelea kuwaongoza wananchi wa jimbo hili,” External link

mwananchi Sunday, June 30, 2019 4:11:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Tumekuwa badala ya kufanya biashara ya utalii ni kutatua migogoro tu, tuseme sasa inatosha tufanye biashara kwa kupata suluhisho la kudumu... tuichukulie biashara ya utalii kwa upeo wa kibiashara zaidi kama wenzetu katika nchi nyingine wanavyofanya na tutajiingizia mapato zaidi ya tunayopata sasa,” External link

habarileo Saturday, May 25, 2019 12:10:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Tunampongeza Rais kwa kuchagua wasomi, lakini tuliamini Profesa angeweza kuwa na uelewa mpana wa kumshauri Rais na Taifa lakini ametuingiza chaka, lazima aachie ngazi,” External link

mwananchi Sunday, May 19, 2019 9:24:00 AM EAT

Peter Msigwa alihoji : "Uhalali unatoka wapi na hawa hawakuteuliwa, wamechaguliwa? Na nilitaka kujua anasimamishwa na kiti bila kujadiliwa, inatuchafua kama taifa. Bunge litakuwa na nguvu gani ya kuwalinda hawa tunaowachagua?" External link

voanews-sw Saturday, May 18, 2019 7:36:00 PM EAT

Peter Msigwa aliuliza : “Bila Bunge kujadili na mtu anayeliwakilisha taifa analeta sifa kwa taifa, inatuchafua kama Taifa, nilitaka nipate Bunge linakuwa na nguvu kiasi gani la kuwalinda hawa tunaowachagua kuwakilisha nchi yetu,” External link

mtanzania Saturday, May 18, 2019 12:46:00 PM EAT

Peter Msigwa amesema : "Tunampongeza Rais (John Magufuli) kwa kuchagua wasomi, lakini tuliamini Profesa (Kabudi) angeweza kuwa na uelewa mpana wa kumshauri Rais na Taifa lakini ametuingiza chaka, lazima aachie ngazi," External link

jamiiforums Saturday, May 18, 2019 1:40:00 AM EAT

mwananchi Friday, May 17, 2019 7:39:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Mkuu wa mkoa hawezi kumwelekeza daktari bingwa cha kufanya. Serikali iwatie moyo badala ya kuwavunja moyo wataalamu hawa. Itoe mwongozo kuhusu wanasiasa kuwaamrisha madaktari,” External link

mwananchi Wednesday, May 8, 2019 12:30:00 PM EAT

Peter Msigwa claimed : “So far we don’t know about the whereabouts of Mr Mdude, who was snatched off the road by armed men in Mbozi District,” External link

theCitizen Tuesday, May 7, 2019 1:52:00 PM EAT

Peter Msigwa amehoji ( about Tulia Ackson ) : "Naomba mwongozo wako mwenyekiti. Alipoteuliwa Dk Tulia aliapa kuwa ni mbunge wa Kinondoni na ameshashiriki uchaguzi na shughuli nyingine za halmashauri hiyo. Kwenye ziara ya Rais anafanya nini?" External link

mwananchi Tuesday, April 30, 2019 12:54:00 PM EAT

Peter Msigwa amesema : “Nafsi yangu inanisuta na kwa niaba ya kambi ya upinzani sitaweza kusoma yale mnayotaka nisome sitakuwa nimetenda haki, hayo mnayotaka nisome mpeni Kangi (Lugola Waziri wa Mambo ya ndani) yeye atasoma,” External link

mwananchi Wednesday, April 24, 2019 8:19:00 PM EAT

Peter Msigwa said : “The speech you are directing me to read is contrary to the Opposition’s views. I better not read it,” External link

theCitizen Wednesday, April 24, 2019 3:32:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Mheshimiwa Mwenyekiti tupo hapa kudhibiti matumizi ya fedha anachozungumzia Mbunge Kingu inaonesha kama Bunge tumepewa fadhila na serikali wakati tumekuja kusimamia kodi za wananchi,” External link

habarileo Sunday, April 14, 2019 11:45:00 AM EAT

Peter Msigwa amesema : “Huwa anazungumzia kuhusu wizara zote isipokuwa wizara ya Ulinzi, tulikosoa utaratibu wa kodi haufai leo Rais anasema kuhusu hilo, tulisema mnafukuza wawekezaji leo Rais analalamika wawekezaji wanakimbia,” External link

mwananchi Thursday, April 11, 2019 1:57:00 PM EAT

Peter Msigwa amesema ( about Waziri Mkuu ) : “Tukienda kwenye kikokotoo (utaratibu wa ulipaji mafao kwa watumishi wa umma), Jenista (Mhagama-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu) anahusika. Mlikuja hapa na nyimbo nyingi kuhusu kikokotoo,” External link

Peter Msigwa amesisitiza ( about Mwita Waitara ) : “Hatuwezi kuleta mabadiliko kwa tabia kama za Waitara ambaye kila saa anadhani tupo katika mkutano wa siasa. Changamoto tulizonazo zinahitaji akili kubwa tuonyesheni nini mnafanya,” External link

Peter Msigwa alisema : “Nimefurahia ushindani wa kiushabiki nje ya uwanja, kwani ilikuwa burudani nzuri zaidi kuliko ndani ya uwanja,” External link

mwananchi Wednesday, February 20, 2019 9:52:00 AM EAT

Peter Msigwa warned : “We need to be consistent in our decisions. With this new move, I fear that the initiatives to boost tourism in the southern circuit would be in vain,” External link

theCitizen Sunday, February 10, 2019 11:53:00 AM EAT

Peter Msigwa alisema ( about William Lukuvi ) : "Pamoja na sifa nyingi za mheshimiwa (William) Lukuvi ambazo na mimi nilisha wahi kumpa lakini suala hili la mashamba makubwa lina harufu mbaya ya rushwa na ukakasi," External link

habarileo Wednesday, February 6, 2019 11:50:00 PM EAT

Peter Msigwa alisema : “Sipendi kuona wanafunzi wanaosoma katika shule za jimbo langu wanakaa chini. Kitendo hicho huwa kinaniumiza sana, ndiyo maana nimeamua kupambana kutafuta madawati ili kufanikisha azima yangu ya kukuza elimu kwa wanafunzi wa jimbo la Iringa Mjini,” External link

wavuti Wednesday, September 21, 2016 9:32:00 PM EAT

Peter Msigwa said : “We cannot stop corruption at the expense of democracy; we cannot restore the growth of our nation at the expense of human rights; at the expense of good governance. What we are asking from him is good governance, democracy and human rights,” External link

voanews Thursday, September 1, 2016 10:04:00 AM EAT

Peter Msigwa alisema : “Tumeamua kujitenga nao, hatuoni haja ya kushirikiana nao kwa sababu katika vitu vya msingi wao wanaleta utani,” External link

mtanzania Wednesday, June 22, 2016 10:19:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
legislator100.00%EN04/20/201720/04/2017
Names Lang Count
Peter MsigwaEN52.59%
Peter MsigwaSW47.41%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Tuesday, July 5, 2022

1:39:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief