Joseph Mbilinyi

Last updated on 2017-04-12T05:07+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Joseph Mbilinyi alisema : “Viongozi wa dini niwaombe sana Sio tu mtuombee kwa Mungu ili tushinde Oktoba 28...bali pia mtuombee kura kwa waumini wenu kwa sababu serikali ya Chadema ina sera nzuri za uchumi zinazokwenda kurudisha kipato kwenye mifuko ya waumini wenu ili sadaka ziongezekeili fungu la kumi liongezeke ili zaka ziongezeke na kazi ya Mungu iendelee...kwa sababu sisi Mbeya ni wacha Mungu ndugu zangu,” External link

habarileo Thursday, October 8, 2020 11:04:00 AM EAT

Joseph Mbilinyi alisema : “Corona inaua na itaua mamilioni hatua zisipochukuliwa hivyo watu wasilete siasa kwenye hilituungane kukabiliana nalo, sio tatizo la Ummy na Wizara ya Afya, bali mawaziri wote wanahusika sababu biashara zinakufa,” External link

habarileo Friday, April 3, 2020 9:51:00 AM EAT

Joseph Mbilinyi amesema : “Kuhusu Tozo zimekuwa nyingi, umekaa tu mara wanapiga hodi anasema anatoka sehemu fulani,amefuata tozo, hotel mpya mzipe miaka miwili bila tozo ili wakuze biashara zao.Niiombe Serikali itoe hizo tozo zimejaa sana ndio maana biashara hazikuwi,” External link

mtanzania Friday, May 24, 2019 1:40:00 PM EAT

Joseph Mbilinyi alisema : “Tunaambiwa tunapinga kila kitu, No, kuna vitu vingi sana tunakuunga mkono, lakini vile tunavyokuunga mkono hawakwambii kwamba tunakuunga mkono, lakini hii haiondoi uhalali wetu wa kutoa maoni yetu... mimi naunga mkono bila kuhama chama changu” External link

jamiiforums Saturday, April 27, 2019 3:39:00 PM EAT

Joseph Mbilinyi amesema : “Hii inamaanisha katika maeneo yote ambayo bomba hili litapita watanufaika na maji na hata kupeleka katika mji wa Tunduma ambako nako kuna shida ya maji tutafikisha,” External link

mwananchi Friday, April 26, 2019 7:54:00 PM EAT

mwananchi Friday, April 26, 2019 4:34:00 PM EAT

Joseph Mbilinyi alihoji : “Inasaidia nini kuwa na magazeti mengi lakini waziri anaweza kuamka tu asubuhi akayafuta?” External link

mwananchi Friday, April 19, 2019 10:12:00 AM EAT

Joseph Mbilinyi alisema : “Unapozuia isisomwe unazuia madhumuni ya uwapo wa kambi ya upinzani bungeni kwa sababu haipo kwa ajili ya Mbowe, kwa hiyo huwezi kuzuia kwa kumkwamisha Mbowe na hasara inakwenda kwa wananchi maana madhumuni yoyote yanayowekwa katika mfumo wa nchi na Bunge ni kwa faida ya wananchi, unapozuia ni wazi kuwa unazuia haki ya wananchi,” External link

mwananchi Monday, April 8, 2019 12:50:00 PM EAT

Joseph Mbilinyi said : "The government is misconstruing the Media Services Act No 12 of 2016 in banning Tanzania Daima. Section 54(1) of the law used by the government to punish a particular media doesn't give any authority of the decision made," External link

allafrica Saturday, October 28, 2017 7:54:00 PM EAT

Joseph Mbilinyi alisema : “Kutokana na ukweli huo Kambi ya Upinzani inapendekeza kiwepo kifungu mahsusi cha kuwalinda wanahabari dhidi ya vitendo viovu vinavyoweza kufanywa dhidi yao,” External link

mtanzania Saturday, November 5, 2016 10:05:00 AM EAT

Joseph Mbilinyi said : "The minister you address here has nothing to do with your complaints; you better raise them when we debate the Tamisemi (PO-RALG) budget," External link

allafrica Thursday, May 26, 2016 2:58:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
minister of information40.00%EN11/07/201607/11/2016
shadow minister of information40.00%EN11/07/201607/11/2016
mp20.00%EN06/17/201617/06/2016
Names Lang Count
Joseph MbilinyiSW86.36%
Joseph MbilinyiEN13.64%
Joseph MbilinyiFR0.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, August 19, 2022

1:52:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Tulia Ackson said ( about Joseph Mbilinyi ) : “My decision not to vie for the Speaker position doesn’t mean that I am scared to compete for the top position. Let’s all remember that I have managed to defeat a former Mbeya Urban MP, Mr Joseph Mbilinyi” External link

theCitizen Wednesday, November 4, 2020 11:45:00 AM EAT

Rais Magufuli alisisitiza ( about Joseph Mbilinyi ) : “Ndio maana nawaomba nileteeni Dk Tulia, nishauriane naye pia jinsi ya kugawa Mbeya iwe na wilaya mbili kama yalivyo majiji mengine mfano Dar es Salaam na Mwanzahata Sugu (mbunge anayemaliza muda wake Joseph Mbilinyi) naye namuomba anipe kura, huu sio wakati wa kubishana, ni wakati wa maendeleo na maendeleo hayana chama,” External link

habarileo Thursday, October 1, 2020 8:57:00 AM EAT

Naibu Spika alisema ( about Joseph Mbilinyi ) : “Mhesshimiwa Mbilinyi, tafadhali nakuomba usome hotuba yako kwa kuzingatia maelekezo uliyopewa awali na si vinginevyo,” External link

mtanzania Friday, April 19, 2019 11:52:00 AM EAT

Tulia Ackson amesema ( about Joseph Mbilinyi ) : “Waheshimiwa wabunge kabla hajasimama Mwamoto (Venance-Mbunge wa Kilolo-CCM) kuchangia naomba niwakumbushe tu. Umezuka utaratibu hapa.., nimezima kisemeo lakini Mbilinyi anaendelea kuzungumza,” “Halafu anakuwa yeye mwenyewe, jirani yake au rafiki yake anachukua maneno hayo kama mchango wake bungeni wakati yeye ameshakatwa. Mzifahamu vizuri kanuni zetu hairuhusiwi kwa sababu si mchango uliotoka bungeni” External link

mwananchi Thursday, April 18, 2019 7:46:00 PM EAT

Naibu Spika alisema ( about Joseph Mbilinyi ) : “Hivyo naelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufanya uchunguzi kuhusu kitendo kinachodaiwa kufanywa na Mbilinyi kwa mujibu wa kanuni za Bunge na kuchukua hatua stahiki,” External link

mtanzania Monday, June 13, 2016 8:56:00 AM EAT

AfricaBrief