Richard Ndassa

Last updated on 2010-11-03T07:42+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Richard Ndassa alisema : “Nguo za ndani zinatupa shida sana, tunaomba mtusaidie, zinaingizwa kwa kufichwa,” External link

mtanzania Sunday, January 19, 2020 12:15:00 PM EAT

Richard Ndassa alisema : “Wakati Waziri wa Tamisemi akijibu swali namba 40 kuhusu suala la uchaguzi wa Serikali za Mitaa ikajitokeza kwamba kwa sababu serikali ilitoa siku tatu kwa ajili ya kukata rufaa, kwa bahati mbaya chama ambacho nakiamini na kukiheshimu pamoja na wabunge wake, kimeamua kujitoa katika uchaguzi huo navishukuru vyama vingine kwa kuamua kusubiri siku ya mwisho ya rufaa kesho (leo)Nilikuwa naomba kwa mujibu wa Kanuni za Serikali za Mitaa endapo kuna chama kimejitoa hata kwa kutokushemimu kikaamua kujitoa Kanuni inasemaje?” External link

habarileo Saturday, November 9, 2019 10:47:00 AM EAT

Richard Ndassa alisema : “Tuache siasa katika zao la pamba, tunawanyanyasa wakulima, kwenye zao la pamba misimu yote unapotaka kuanza msimu wa pamba mara unasikia umepanda, unasikia wanauza 1,400 mpaka 1,500. Serikali iingilie kati hii sio bure, wanunuzi wanataka kuwaibia wananchi,” External link

mtanzania Tuesday, June 18, 2019 10:34:00 AM EAT

Richard Ndassa notes : “That ministry [of Minerals] is very complex. It’s important that anyone appointed to head it should be conversant with its challenges and must be ready to cooperate with the ministry’s technocrats in finding long-lasting solutions,” External link

theCitizen Sunday, January 13, 2019 9:56:00 AM EAT

Richard Ndassa adds : “This is why it is very important for the new minister to have some knowledge on the country’s Minerals sector,” External link

Richard Ndassa said : "It will be good to know the progress of the second phase before we embark on the third phase," External link

allafrica Monday, June 6, 2016 12:46:00 PM EAT

Richard Ndassa alisema ( about Charles Kitwanga ) : “Unajua Kitwanga nakaa naye kiti cha jirani, sasa wakati anaingia asubuhi nikamuona hayuko sawa. Nikamuuliza na alinijibu kwa kifupi, kisha akaenda mbele kukaa tayari kwa kujibu maswali,” External link

wavuti Monday, May 23, 2016 2:29:00 AM EAT

Richard Ndassa alisema : “Unajua mimi ni Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM mkoa wa Mwanza, hivyo nilijitahidi sana kumzuia jana (juzi) lakini nilishindwa… na wakati akiwa getini ndipo alipoitwa na Waziri Mkuu ofisini na jioni mkasikia taarifa ya Rais Magufuli,” External link

wavuti Monday, May 23, 2016 2:29:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
Names Lang Count
Richard NdassaSW55.56%
Richard NdasaSW27.78%
Richard NdassaEN11.11%
Richard NdasaEN5.56%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, April 4, 2020

7:40:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief