Albina Chuwa

Last updated on 2014-04-24T06:37+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Albina Chuwa alisema : “Ripoti hii ya uandishi wa mapato na matumizi wa kaya binafsi tumeamua kuifanyia hapa Manyara kwa sababu bado tuna taarifa nyingine ambazo lazima tukazifanye kwa wanakaya na lazima twende kwenye kaya kwa ajili ya kuhakiki zile taarifa kabla hatujaziweka kwenye kitabu chetu kizima,” External link

habarileo Saturday, November 28, 2020 2:51:00 PM EAT

Albina Chuwa anaongeza : ”Hivyo kwa kweli tunajivunia kwamba Taasisi yetu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu iko mstari wa mbele si tu katika kuhakikisha Taifa linakuwa na takwimu sahihi, bali hata katika jitihada za kitaifa za kuhakikisha nchi inaingia na inanufaika na uchumi wa kidigitali” External link

habarileo Tuesday, November 24, 2020 12:41:00 PM EAT

Albina Chuwa anasema : “Kutokana na umuhimu huo, na kupitia Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ya Mwaka 2030, sekta ya kilimo ilipewa Lengo la Pili la Kutokomeza Njaa, Kuwa na Uhakika wa Chakula, Lishe Bora na Kukuza Kilimo Endelevu,” External link

Albina Chuwa amesisitiza : “Ni muhimu tukafahamu kuwa takwimu sahihi za mifugo, mazao na uvuvi zitasaidia uchangiaji wa malighafi za viwanda vyetu hivyo kukuza uchumi wetu ambao tunautaka wa viwanda,” External link

Albina Chuwa told : “Our target is to conduct the next population census in a more efficient manner. I am here to oversee the Enumeration Areas (EAs) demarcation and also evaluate the quality of work done” External link

theCitizen Tuesday, October 15, 2019 12:07:00 PM EAT

Albina Chuwa alisema : "Tumekwenda kote nchini kukusanya data (takwimu) halisi , sio sawa na mtu ambaye anakaa Washington (Marekani, ambapo ni makao makuu ya WB) na kutengeneza sampuli za pato la ndani la nchi (GDP) kwa niaba yako," External link

bbc-swahili Monday, July 29, 2019 4:28:00 PM EAT

Albina Chuwa alisema : "Tumekwenda katika kote nchini kukusanya data halisi , sio sawa namtu ambaye anakaa Washington na kutengeneza sampuli za pato la ndani la nchi (GDP) kwa niaba yako ," External link

bbc-swahili Friday, July 19, 2019 10:20:00 AM EAT

Albina Chuwa amesema : "Ndiyo maana tumefanya hivyo ili kupanua wigo zaidi ili takwimu zinazozalishwa nchini tusipoteze fedha na badala yake ziratibiwe na zitumike katika sera kwa ajili ya maendeleo ya wananchi," External link

mwananchi Thursday, February 28, 2019 8:22:00 PM EAT

Albina Chuwa said : "The program is aimed at addressing the urgent need to increase the availability of accurate information on gender equality and women's rights," External link

xinhuanet_en Thursday, January 24, 2019 5:36:00 PM EAT

Albina Chuwa said : “The use of tablets instead of papers will reduce the expenses of the survey and save time,” “We will no longer need to travel long distances from respective regions in the data collection process as we used to do in the past since data reports will be sent directly from respective areas using tablet devices,” External link

coastweek Saturday, September 30, 2017 9:41:00 AM EAT

coastweek Thursday, September 28, 2017 7:09:00 AM EAT

Albina Chuwa alisema : “Matokeo ya utafiti yameendelea kuonyesha mafanikio makubwa katika sekta ya afya kwa kipindi cha muongo mmoja uliopita, lakini kwa upande wa malaria imeongezeka kutoka asilimia 7 mwaka 2010 mpaka asilimia 14 mwaka huu,” External link

mwananchi Friday, December 16, 2016 12:30:00 PM EAT

Albina Chuwa explained : "Previous census were conducted in 1963, 1978 and in 1989. However, we have been conducting annual industrial production survey since the last census in 1989," External link

allafrica Tuesday, October 18, 2016 10:14:00 AM EAT

Albina Chuwa alisema : “Pia, utafiti huu utajikita katika kubaini kiwango cha maambukizi mapya katika ngazi ya kitaifa, CD4, homa ya ini pamoja na huduma nyingine zinazohusiana na Ukimwi ikiwamo kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto,” External link

mwananchi Thursday, September 15, 2016 11:40:00 AM EAT

Albina Chuwa said : "In parts of Kilimanjaro region, there are parents especially women who cultivate cash crops in abundance, they have enough money to cater for their families but they don’t pay attention to their children," External link

coastweek Friday, August 12, 2016 2:19:00 PM EAT

Albina Chuwa said : “This calls upon the government to rethink of conducting a household-based survey that will clearly demonstrate the magnitude of this pandemic at population level in Tanzania,” External link

coastweek Wednesday, June 1, 2016 2:42:00 PM EAT

Albina Chuwa said : "The survey involved persons aged 15- 49. This excluded HIV prevalence for population under 17 years and above 50 years," External link

allafrica Tuesday, May 31, 2016 9:53:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
general14.29%EN10/10/201610/10/2016
director82.14%EN10/02/201602/10/2016
mkurugenzi wa nbs3.57%SW07/12/201612/07/2016
Names Lang Count
Albina ChuwaEN66.67%
Albina ChuwaSW33.33%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Sunday, September 26, 2021

8:46:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief