Chama Cha

Last updated on 2013-11-20T06:49+0300.Key Titles and Phrases Count Lang Last Seen
Names Lang Count
Chama ChaSW40.51%
Chama ChaEN37.07%
Chama ChaFR20.64%
CHAMA ChaSW1.11%
CHAMA CHASW0.33%
CHAMA ChaEN0.22%
CHAMA CHARW0.11%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, December 16, 2019

11:43:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Frederick Sumaye alieleza ( about Chama Cha ) : “Sitoki CCM kwa sababu nina hasira na CCM au sikuchaguliwa au sikuteuliwa kugombea; na wala sitoki CCM ili kudhoofisha Chama Cha Mapinduzi badala yake nakiimarisha” External link

habarileo Wednesday, December 4, 2019 9:55:00 PM EAT

Rais Magufuli amesema ( about Chama Cha ) : “Nawashukuru sana ndugu zangu wa Isaka mmemaliza chaguzi, nimeambiwa Chama Cha Mapinduzi kimepasua vizuri. Hongereni sana, maendeleo ndugu zangu hayana chama na demokrasia hata kujitoa nayo ni demokrasia, kususia uchaguzi nayo ni demokrasia,” External link

mwananchi Wednesday, November 27, 2019 4:31:00 PM EAT

Humphrey Polepole amesema ( about Chama Cha ) : “Katika ngazi ya kata tuna watu pale 39,000 katika zile kata 4,000. Sasa hapo ndio nitakuonyesha siri ya ushindi. Yaani katika kata zote 4,000 sisi Chama Cha Mapinduzi tumeweka watu 39,000 kwa kila kata inasimamia uchaguzi kwa hiyo utagundua tuna watu wengi kuliko kata zenyewe ambao watasimamia uchaguzi” External link

habarileo Wednesday, November 13, 2019 4:09:00 PM EAT

Humphrey Polepole alisema ( about Chama Cha ) : “Chama kinatambua ushindi wake, ukubalifu wake kwa umma na mafanikio ndani na nje ya chama, yamekuja kwasababu ya umoja wa wanawake wa watanzania na wanawake wa chama,” External link

mtanzania Saturday, August 17, 2019 10:41:00 AM EAT

Bashiru Ally amesema ( about Chama Cha ) : "Chama hakijatangaza uchaguzi wa wabunge, wale wanaotaka kugombea, acheni tabia za kwenda misikitini na makanisani kutafuta kura, huko mnatakiwa kwenda kuchoma dhambi zenu," "Nasikia kuna baadhi ya wagombea wamekuwa wakarimu kuliko wakati wote, kwenye misiba wapo, kwenye mahafali wapo kipaimara wapo, halafu wanaanza kutangaza sahani hizi zimeletwa na fulani, jamvi hili limeletwa na fulani, wacha kujipendekeza" External link

mwananchi Monday, July 8, 2019 5:42:00 PM EAT

James Mapalala anasema ( about Chama Cha ) : “Wakati huo kulikuwa na wanasheria kutoka katika Chama cha Tanganyika Law Society walinialika kwenye mkutano uliokuwa ukizungumzia matatizo ya demokrasia nchini. Walizungumzia matatizo ya mfumo wa chama kimoja, lakini hawakutoa suluhisho. Mimi nilipendekeza uanzishwe mfumo wa vyama vingi nchini,” External link

jamiiforums Sunday, May 26, 2019 9:33:00 AM EAT

Kassim Majaliwa alisema ( about Chama Cha ) : “Katika chaguzi hizo, wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walishinda majimbo yote na kata 230 huku Chadema wakishinda kata moja. Navipongeza vyama vyote vilivyoshiriki chaguzi hizo na kipekee, naipongeza CCM kwa ushindi mkubwa uliopata katika chaguzi hizo,” External link

jamiiforums Saturday, April 6, 2019 10:21:00 AM EAT

Dennis Onyango adds ( about Chama Cha ) : “We are counting on all parties that are out of the Jubilee orbit: the Kenya African National Union, National Rainbow Coalition, National Rainbow Coalition–Kenya, Chama Cha Mashinani, among others,” External link

redpepper Tuesday, November 8, 2016 2:36:00 PM EAT

theafricareport Monday, November 7, 2016 9:08:00 PM EAT

AfricaBrief