John Bocco

Last updated on 2014-04-13T18:30+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

John Bocco amesema : "Maandalizi yetu yanaendelea vizuri wachezaji tunahamasa kubwa na lengo letu ni kushinda mechi zote mbili ili kutinga hatua ya makundi kama ilivyokuwa msimu uliopita," External link

habarileo Wednesday, October 13, 2021 7:29:00 PM EAT

John Bocco alisema : “Tumefanya maandalizi ya kutosha naamini tutakwenda kupata matokeo mazuri kutokana na morali iliyopo kikosini na tumejipanga kuhakikisha tunaondoka na pointi tatu, tulipata matokeo katika mchezo wa mwisho naamini tutaendeleza tulipoishia,” External link

habarileo Friday, April 9, 2021 12:20:00 PM EAT

John Bocco alisema : “Najua tulipata matokeo katika mchezo wa mwisho hapa, lakini soka halichezwi kwa historia tunaamini katika maandalizi tuliyoyafanya tangu wiki iliyopita,” External link

habarileo Saturday, April 3, 2021 8:46:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Wanachokitafsiri na wanachokitengeza watu ni mihemuko ya kukosa habari na kutengeneza habari zisizo na ustaarabu, sina shida na Kagere na wala yeye hana matatizo na mimi,” External link

habarileo Friday, December 11, 2020 7:38:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Kwa niaba ya wachezaji tunaomba mtusamehe kwa matokeo tuliyopata katika michezo miwili iliyopita, tuliteleza na hatupaswi kuteleza tena na hii ndio ahadi yetu kwenu kurekebisha makosa yetu na kurudi wenye sura mpya na upambanaji kwa michezo yote ijayo,” External link

habarileo Wednesday, October 28, 2020 8:44:00 PM EAT

John Bocco alisema : “Mashabiki na wachezaji niwapongeze wote kwa kuwa tunategemeana tumepambana na tumetoka mbali, umati uliojitokeza unastahili kuendelea kufurahia matunda ya mafanikio tuliyopata ndani ya msimu huu,” External link

habarileo Tuesday, August 4, 2020 6:14:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Kucheza kwa umoja na kujituma kwa wachezaji wote ni mchango unaoendelea kujitokeza na naendelea kutoa wito kwa wachezaji wangu kuzidisha umoja hadi tufanikiwe kutetea ubingwa kwa mara nyingine,” External link

habarileo Friday, June 26, 2020 10:23:00 PM EAT

John Bocco alisema : “Tumejitolea kila mchezaji kupata ushindi huu, ninachofurahia tunacheza kwa ushirikiano mkubwa na kutufanya tuwe na kiwango cha kizuri, tunaelekeza nguvu zetu mchezo ujao,” External link

mtanzania Friday, June 26, 2020 11:24:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Mawazo yetu yote ni ushindi, tunajua ugumu wa mechi za Mbeya, lakini tumejipanga kukabiliana na chochote kitachotokea ili kupata pointi sita,” External link

mtanzania Wednesday, June 24, 2020 2:08:00 PM EAT

John Bocco alisema : “Sisi wachezaji tumejiadaa vizuri kwa mchezo wa kesho (leo). Tunaahidi kucheza mchezo wa kujituma ili tuwafurahishe mashabiki wetu ili tupate alama zote tatu,” External link

habarileo Sunday, March 8, 2020 8:25:00 AM EAT

habarileo Sunday, March 8, 2020 2:10:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Tunahitaji matokeo mazuri ya pointi tatu katika mechi yetu na KMC na wachezaji wote apo tayari kuwavaa wapinzani wetu hao,” External link

mtanzania Sunday, March 1, 2020 11:55:00 AM EAT

John Bocco said : “We are happy to register victory in the encounter. It was challenging as Lipuli also targeted victory in order to improve their position in the league standings,” External link

theCitizen Sunday, February 16, 2020 11:58:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Tunashukuru Mungu tumemaliza salama, tunawapongeza Mtibwa kwa kucheza vizuri. Tunajipanga na michezo ya ligi iliyoko mbele yetu,” External link

habarileo Wednesday, January 15, 2020 9:18:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Azam FC ina wachezaji wazuri kama ilivyo Simba hivyo mchezo huu tumeuchukulia kwa uzito mkubwa na tutaingia uwanjani kwa lengo la kutafuta ushindi ili tufuzu fainali na kombe lije Dar es Salaam,” External link

habarileo Friday, January 10, 2020 11:57:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Azam FC ina wachezaji wazuri kama ilivyo Simba hivyo mchezo huo tumeuchukulia kwa uzito mkubwa na tunakwenda kujiandaa ili tuweze kushinda,” External link

habarileo Wednesday, January 8, 2020 11:17:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Tuna wachezaji bora kama wapinzani wetu na makocha wazuri, utakuwa mchezo mgumu lakini tutapambana kwa nguvu kutafuta ushindi, hatuwezi kuingia kwa kuangalia historia ya nyuma tunajikita kwenye maandalizi ya mechi ya kesho (leo) kutafuta pointi tatu,” External link

habarileo Saturday, January 4, 2020 11:00:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Ni mchezo utakaokuwa mgumu ila sisi tunaendelea na maandalizi yetu vizuri kwenda kupambana na kupata taji la kwanza la msimu mpya” External link

habarileo Thursday, August 15, 2019 10:08:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Tumekuja hapa kwa lengo moja ya kutafuta ushindi utakaotuvusha hatua inayofuata, tunajua mchezo utakuwa mgumu, lakini tumejiandaa na tutapambana,” External link

mtanzania Sunday, August 4, 2019 9:48:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Mashabiki walikuwa na matarajio makubwa ya kuvuna ushindi lakini mambo yamekuwa tofauti kiufupi benchi la ufundi limeona mapungufu na watayafanyia kazi ili kwenye mchezo wa marudiano tukapate matokeo,” External link

habarileo Tuesday, July 30, 2019 4:05:00 PM EAT

John Bocco alisema : “Sina shaka na uwezo wake, nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu hata tulivyokuwa Misri kwenye michuano ya Afcon, kutua kwake Simba naamini kutaisaidia timu yetu pamoja na sisi washambuliaji katika mbio za ufungaji,” External link

habarileo Sunday, July 7, 2019 11:28:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Kwa kutambua mchango wa mashabiki wetu ambao wanatuunga mkono kwenye michezo mingi na wamekuwa chachu ya kupata ushindi nawaomba wajitokeze kwenye mechi hiyo ili tupate ushindi utakaopamba taji letu,” External link

habarileo Monday, May 27, 2019 10:18:00 AM EAT

John Bocco alisema : “Hali iliyotufanya kushindwa kumiliki mpira kama iliyozoeleka kwenye mfumo wa uchezaji wetu wa kila siku, lakini hayo ni matokeo ya mpira hakuna namna tumeyapokea ingawa haukuwa mpango wetu kama timu,” External link

John Bocco said : “It is going to be tough, Algeria is a hostile place to be, but according to our plan, we are going to fight and, hopefully, we can get a positive result,” External link

theCitizen Saturday, March 9, 2019 12:59:00 PM EAT

John Bocco alisema : “Tumetoka katika michezo ya kimataifa, tumeshamaliza na mechi iliyopita tupo tayari na mchezo wa ligi ili tufanye vizuri,” External link

habarileo Thursday, February 7, 2019 11:50:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
captain40.00%EN10/24/201624/10/2016
team captain10.00%EN10/24/201624/10/2016
striker50.00%EN10/12/201612/10/2016
Names Lang Count
John BoccoEN65.00%
John BoccoSW16.00%
John BoccoFR10.00%
John BokoSW9.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, January 21, 2022

9:20:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Selemani Matola alisema ( about John Bocco ) : “Naweza kusema hatukuwa na bahati leo (juzi), sababu tulicheza vizuri, hasa kipindi cha pili ambacho tulitengeneza nafasi nyingi, lakini Denis Kibu na John Bocco walishindwa kuzitumia vizuri Lakini hivyo ni vitu vya kawaida kwenye mchezo, tunarudi kujipanga kwa ajili ya mechi zijazo,” External link

habarileo Tuesday, November 2, 2021 12:34:00 PM EAT

Didier Gomes alisema ( about John Bocco ) : “Natambua uwezo alionao Bocco, ni mshambuliaji hatari lakini ametoka kwenye kuuguza majeraha ingawa ameanza mazoezi na wenzake lakini anapaswa kupata muda mchache wa kucheza ili asije jitonesha lakini pia aweze kuendana na kasi waliyonayo wenzake,” External link

habarileo Tuesday, March 2, 2021 7:45:00 AM EAT

Ismail Rage alisema ( about John Bocco ) : “Simba ilikuwa na mahitaji ya wachezaji wawili, sina shaka na usajili wa Mwamnyeto kwani umbile lake ni kubwa, mrefu na ana nguvu za mwili hivyo anafaa kuimarisha safu ya ulinzi na Miquissone ni mzuri kwa mchezo mmoja niliomwona anafaa kumsaidia Kagere kwani John Bocco anaendelea kuuguza majeraha,” External link

habarileo Wednesday, December 25, 2019 11:35:00 AM EAT

Haji Manara alisema ( about John Bocco ) : “Ifahamike kuwa kwa mujibu wa Fifa, mchezaji akiwa amebakiza miezi sita kabla ya mkataba wake kumalizika na kama kuna klabu nyingine inayotaka kumsajili inabidi iwape taarifa klabu husika inayommiliki kabla ya kuzungumza na mchezaji, kwenye suala hili la Bocco, Polokwame hawakutoa taarifa kwa Simba juu ya kutaka kufanya mazungumzo na nahodha wetu,” External link

habarileo Wednesday, June 12, 2019 12:39:00 PM EAT

Haji Manara alisema ( about John Bocco ) : “Kwa muktadha huo, tunawajulisha Wanasimba na Watanzania wote kwa ujumla kwamba John Bocco bado ni mchezaji wetu halali wa Simba na ameshaongeza mkataba na klabu yetu kama tulivyowaarifu jana (juzi) kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii,” External link

Hassan Dilunga alisema ( about John Bocco ) : “Tulicheza vizuri ndio maana tulishinda, kuumia kwa John Bocco halikuwa pengo kwetu kwani sasa hivi kila mchezaji yupo vizuri na tuna kikosi kipana kila mchezaji akipata nafasi anaonesha kiwango,” External link

habarileo Thursday, May 2, 2019 10:59:00 AM EAT

AfricaBrief