Anna Makinda

Last updated on 2010-12-06T05:56+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Anna Makinda alieleza : “Uzinduzi huu unaenda na ile azima ya Tanzania ya viwanda, utakuwa na msaada katika kuleta afya njema kwajamii kwani bila afya njema hakuna uchumi wa viwanda, hivyo ni msaada mkubwa kwa wananchi wote, watumishi watapita majumbani kutoa elimu ya vifurushi hivi ili watu wengi wajiunge,” External link

mtanzania Friday, November 29, 2019 9:52:00 AM EAT

Anna Makinda alisema : “Afya ni kitu cha kwanza, kama huna afya njema hata kufanya kazi huwezi, hivyo watu wakate bima kabla ya kuugua, si mtu anaugua halafu anaenda hospitalini akitajiwa gharama ndo anataka akakate bima, mwanzo kuna watu walikuwa wanadanganya kuwa wako kwenye vikundi lakini hawapo sasa mfumo huu unaruhusu mtu mmoja mmoja, watu wabadilishe mtazamo kuwa wasipoumwa watapoteza fedha, nasisitiza mkate bima,” External link

Anna Makinda amesema : “Nina imani kubwa kuwa mfumo huu wa bima utasaidia wananchi wengi kupata huduma za afya hasa walio na uwezo mdogo,bodaboda na wamachinga watakuwa wanafika wakubwa wa vifurushi hivi,” External link

mtanzania Thursday, November 28, 2019 4:30:00 PM EAT

Anna Makinda alisisitiza : “Tuna vifurushi mbalimbali ambavyo hivi karibuni Waziri wa Afya Mendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Watoto atavitambulisha, hivyo niwaombe kuchagua kifufushi kinachowafaa ,” External link

mtanzania Wednesday, March 20, 2019 11:46:00 AM EAT

Anna Makinda alisema : “Wanawake wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi za uongozi na wajiandikishe kupiga kura. Wasivamie tu siasa, siasa ni hesabu, hujafanya hesabu siasa huwezi,” External link

mwananchi Friday, March 8, 2019 9:39:00 AM EAT

Anna Makinda amesema : “Wakati mwingine wanasema tukimweka mwanamke tutapoteza. Lakini wanatakiwa kutambua kwamba wanawake wana uwezo mkubwa wakipewa nafasi na tunashuhudia wanawake walio kwenye nafasi za uongozi wameacha alama kwenye nafasi zao,” External link

Anna Makinda amesema : “Wakati mwingine wanasema tukimweka mwanamke tutapoteza. Lakini wanatakiwa kutambua kwamba wanawake wana uwezo mkubwa wakipewa nafasi na tunashuhudia walio kwenye nafasi za uongozi wameacha alama kwenye nafasi zao,” External link

mwananchi Thursday, March 7, 2019 7:32:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
speaker100.00%EN11/29/201629/11/2016
Names Lang Count
Anna MakindaSW43.48%
Anna MakindaEN34.78%
Anna MakindaFR21.74%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, August 15, 2022

6:12:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief