Tanzania Bara
Last updated on 2015-01-12T11:11+0300.

About this image

Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
naibu | 100.00% | SW | 06/09/2014 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Tanzania Bara | SW | 60.92% |
Tanzania Bara | EN | 39.08% |


Tools
Thursday, May 19, 2022
9:22:00 PM EAT
Select your languages
Explore Relations
Extracted quotes about
Pablo Franco alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Huu ni mchezo muhimu kwetu tunaenda kuiwakilisha Tanzania, tutajitahidi kufanya vizuri hatutaki kuliangusha taifa, huku tukihitaji kwenda kuandika historia,”
habarileo Tuesday, April 12, 2022 11:49:00 AM EAT
Waziri Mkuu amesema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Tanzania imekua mwenyeji wa maonesho haya mara tano na mwaka huu 2021 itakuwa ni mara ya sita ambapo maonesho hayo yatafanyika Mkoani Mwanza,”
habarileo Monday, November 15, 2021 1:58:00 PM EAT
Haji Manara amesema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Tuna malengo yetu msimu huu, tunataka kuchukua taji la 28 la Ligi Kuu Bara, tunaiheshimu Azam kutokana na ubora wake, tumeona walivyocheza na Pyramid,”
mtanzania Tuesday, October 26, 2021 7:25:00 PM EAT
Ladislaus Mwamanga alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Tasaf inatekeleza Mpango wa kunusuru kaya za walengwa katika halmashauri 184 za Tanzania Bara, Unguja na Pemba. Idadi ya walengwa wa Tasaf ni kaya milioni 1.4 zenye watu wanaokadiriwa kufikia milioni 10,”
habarileo Tuesday, October 19, 2021 8:33:00 AM EAT
Magdalena Sakaya alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Kitendo cha Rais kukikemea nakiunga mkono asilimia 100. Ukabila haupaswi kupewa nafasi hata chembe kwa sababu madhara yake ni makubwa sana. Rwanda waliuana kwa sababu ya ukabila, lakini leo Tanzania unaweza kuishi na jirani yako miaka 15 usijue kabila lake kwa sababu ya misingi tuliyojengewa,”
habarileo Friday, October 15, 2021 11:50:00 AM EAT
Rais Uhuru Kenyatta alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Wakati wawekezaji wanakuja kutoka Tanzania au Kenya, tuhakikishe kwamba tumeimarisha masuala ya kibiashara, kiuchumi na kitamaduni ambayo yatatusaidia kujenga mataifa yetu kwa manufaa yetu sote,”
habarileo Wednesday, May 19, 2021 10:27:00 AM EAT
Didier Gomes alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Kwa hiyo nahitaji kuwaona wengine, michuano hii imekuwa mizuri na kufahamiana na timu kabla ya mechi za Klabu Bingwa Afrika na Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili. Niwasihi mashabiki wawepo uwanjani kwa ajili ya timu yao, nimevutiwa na uhudhuriaji wao kwenye mechi zilizopita, naamini pia kesho (leo) watakuwepo,”
habarileo Sunday, January 31, 2021 4:28:00 AM EAT
Didier Gomes alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Nawapongeza wachezaji kwa kucheza kwa kujituma na kuonesha umuhimu wa mashindano haya kama sehemu ya maandalizi kuelekea kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika,”
habarileo Friday, January 29, 2021 6:53:00 PM EAT
Fredrick Mwakalebela alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Yanga tuliwasilisha malalamiko TFF kuhusu tuhuma za rushwa za Kabwili aliyekuwa akishawishiwa na viongozi wa timu pinzani ili kuihujumu timu yetu, na hili tulilipeleka pia Takukuru (Taasisia ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa) lakini TFF kama baba wa mpira hapa Tanzania wamekaa kimnya hadi sasa,”
mtanzania Saturday, November 21, 2020 8:03:00 PM EAT
Rais Magufuli alieleza
(
about Tanzania Bara
)
:
“Mwaka 2012, Benki ya Dunia ilisema Tanzania itaweza kufikisha umeme kwenye vijiji vyote 12,280 ifikapo mwaka 2100, mimi nasema tutapeleka umeme kwenye vijiji vyote ndani ya miaka mitano ijayo,”
habarileo Thursday, November 5, 2020 9:04:00 AM EAT
Rais Magufuli aliongeza
(
about Tanzania Bara
)
:
“Tanzania ina Mungu kwa sababu anatusikia. Na katika kipindi cha corona uchumi wetu ulizidi kupaa hata kutangazwa kuwa nchi ya uchumi wa kati. Hongereni watanzania kwa kushikamana,”
habarileo Wednesday, October 14, 2020 1:37:00 PM EAT
Queen alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
"Hadi sasa nimefanikiwa kufanya kampeni zangu katika mikoa nane ikiwemo mitano ya Zanzibar na kwa huku Tanzania Bara nimefanya mikutano yangu katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Pwani, kama Mungu akijalia kesho (leo) nitanadi sera zangu katika mkoa wa Lindi na katika kipindi cha siku tatu nitakuwa nimemaliza hadi mkoa wa Mtwara"
habarileo Monday, October 5, 2020 9:37:00 AM EAT
Humphrey Polepole alisema
(
about Tanzania Bara
)
:
“Wana CCM na viongozi wale ambao wanasimamia uchaguzi wasiache uongo ukabaki kwenye maeneo yao, tuna utaratibu wetu wa ndani wa kuhabarishana hilo linaendelea kwenye ngazi za kata, majimbo Tanzania Bara na Zanzibar….sasa hivi hata kuzungumza na wanahabari kufafanua haya mambo itakuwa kwa wingi zaidi,”
mtanzania Monday, September 28, 2020 9:32:00 AM EAT