David Kafulila

Last updated on 2014-07-02T20:20+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

David Kafulila amesema : “Watu wanaosoma vyuo hivi vya ufundi wana maarifa zaidi kuliko wale wanaosoma vyuo vya kitaaluma zaidi kwa sababu wanatumia muda mwingi kufanya kwa vitendo,” External link

mtanzania Thursday, July 28, 2022 2:02:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Utakuwa kijana wa ajabu usipojua historia ya taifa lako, ni sisi tena Tanzania tunatakiwa kuliongoza bara letu la Afrika, ili kufanikisha haya kila kijana, kila kiongozi atimize wajibu wake kwenye eneo lake na kuwa mzalendo wa kweli,” External link

mtanzania Monday, July 25, 2022 5:21:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Katika makusanyo hayo Wilaya ya Maswa ndiyo imekuwa kinara kwa kukusanya asilimia 125, ikifuatiwa na Meatu na Bariadi vijijini zenye asilimia 110 kila moja na zikifuatiwa na Bariadi Mjini yenye asilimia 103 huku Busega ikifunga kwa asilimia 95,” External link

mtanzania Wednesday, July 6, 2022 10:40:00 AM EAT

David Kafulila amesema : “Mtu atatoka ndani baada ya kulipa deni hili, kama kuna sababu nyingine ambazo ziliwafanya washindwe kuwasilisha pesa hizo, hizo zitajulikana baada ya kila mmoja kukamatwa na kutoa maelezo yake, lakini lazima walipe ili tuweze kufunga hii hoja ya CAG,” External link

mtanzania Friday, July 1, 2022 10:33:00 AM EAT

David Kafulila amesema : “Niwapongeze Mkurugenzi wa Halmashauri, watalaamu, madiwani kwa utendaji kazi wenu mkubwa, hakika najivunia kuwa na viongozi kama nyie, mmefanya kazi kubwa na kuna nidhamu kubwa ya matumizi ya fedha za Umma,” External link

David Kafulila amesema : “Ruwasa badilikeni katika usimamizi wa miradi hii ya maji ambayo inapata fedha nyingi toka serikalini ni vizuri Wahandisi wa hawa Wakandarasi mnaowapa kazi za mamilioni haya fedha za walipa kodi, msiwaache wafanye wenyewe tu wasimamieni,” External link

mtanzania Thursday, May 19, 2022 11:17:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Ofisi ya Ruwasa mkoa takwimu nilizonazo mimi hapa ni tofauti na ambazo nimezikuta huku kwenye miradi hali hii inaleta sintofahamu hivyo tuwe na takwimu ambazo ni sahihi kwa pande zote mbili,” External link

David Kafulila amesisitiza : “Inafahamika Simiyu ndio Simba wa Pamba Tanzania, ikizalisha wastani wa asilimia 40 hadi 60. Pamoja na bei nzuri msimu uliopita kufikia Sh.1800, bado kuna malalamiko mengi yaliyothibitika mchezo mchafu kati ya AMCOS na Maofisa Ushirika uliosababisha mkulima kutopata bei halisi iliyolipwa na mnunuzi,” External link

habarileo Saturday, May 7, 2022 2:11:00 PM EAT

David Kafulila alisema : “Najua nyie mmetangulizwa, nawatafuta walioko nyuma yenu, mkiwataja mtapata nafuu na msipowataja mtakuwa kafara...watajeni watu wanaowatuma katika mambo hayo. RPC hakikisheni mnafanya ukaguzi maalumu na naamini vyombo mnajua jinsi ya kufanya,” External link

habarileo Wednesday, April 20, 2022 10:19:00 AM EAT

David Kafulila amesema : “Mkuu wa wilaya na wataalam wako nendeni mkafanye tathimini…na kama itaonekana uamuzi uliofanywa haukuwa sahihi ubadilishwe,na mpaka sasa kwa haraka haraka mapato yameshuka hivyo mje na majibu na ushawishi wa kutosha kwangu jumatatu wiki ijayo ambao utanifanya nibadilishe uhamuzi au ubaki pale pale,” External link

mtanzania Friday, April 15, 2022 7:44:00 PM EAT

David Kafulila amesema ( about Waziri Mkuu ) : “Michango hii mnayoitoa katika sekta ya elimu hizi salamu zenu zinafika kwa viongozi wa ngazi za juu wa serikali ambao ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu na wakuzipeleka ni mimi mkuu wenu wa mkoa,” External link

mtanzania Saturday, April 9, 2022 11:38:00 AM EAT

David Kafulila amesema : “Serikali ilijenga stendi hiyo kwa ajili ya kusaidia wananchi …na msingi wa kuwepo kwa stendi hiyo ni wananchi watumie kwa mapenzi na siyo shuruti na hivyo adhima ya serikali ya awamu ya sita ni kuleta maendeleo kwa watu,” External link

mtanzania Saturday, March 19, 2022 5:23:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Kwa kweli hatuwezi kukusanya mapato kwa ajili ya kusumbua watu, suala la mapato tutakaa tuangalie njia bora ya kuweza kuifanya stendi hiyo ifanye vizuri zaidi ya hapa,” External link

David Kafulila amesema : “Wazazi na walezi wanatakiwa kuelewa kuwa kupeleka mtoto shule siyo hiari ni lazima na kama serikali lazima tusimamie hilo, wakuu wa Wilaya hakikisheni hakuna mtoto atakayeshindwa kuanza shule, iwe shule ya msingi (chekechea) iwe Sekondari kidato cha kwanza,” External link

mtanzania Thursday, December 30, 2021 4:42:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Nizipongeze kamati zote ambazo ambazo zimehusika katika ujenzi wa madarasa haya, mmefanya kazi kubwa sana, tunamshukuru Mheshimiwa Rais kwa fedha hizi ambazo zimewezesha ujenzi wa madarasa yote haya,” External link

David Kafulila amesema : “Kimsingi kama rais asingelifanya hivi, wananchi sasa hivi mgelikuwa naangaika kujenga madarasa lakini kwa fedha hizi hamjatoa mchango wowote na muda huu mnautumia kwa ajili ya maendeleo yenu, lazima tumpongeze rais wetu na kumshukuru,” External link

David Kafulila alisema : “Hili linawezekana kwani kwa kipindi cha miongo miwili bei ya pamba mkoani Simiyu haijawahi kuwa kubwa kama ilivyokuwa mwaka huu ambapo kilo moja ya pamba imeuzwa kwa shilingi 1,800. Bei nzuri ya mwaka huu imehamasisha wakulima wengi kuwa na mwamko wa kilimo cha pamba,” External link

habarileo Thursday, December 30, 2021 9:17:00 AM EAT

David Kafulila amesema : “Inaonesha Kampeni iliyofanywa na Balozi wa pamba na viongozi wa wilaya na mkoa ya namna bora ya kushiriki kilimo bora ilieleweka lakini baadhi ya maeneo imekuwa tofauti…na kutokana na mkoa wetu kutangazwa kuwa ni miongoni mwa mikoa itakayokabiliwa na uhaba wa mvua, wakulima wakaingiwa na hofu na kuamua kuchanganya mazao,” External link

mtanzania Wednesday, December 29, 2021 8:05:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Kama Mkuu wa Mkoa sitasita hata kidogo kuchukua hatua kali kwa mkandarasi ambaye atajenga mradi wabBarabara chini ya kiwango, miradi hii ambayo wamepewa kwa sasa ni kipimo tosha kwa sasa,” External link

mtanzania Wednesday, December 29, 2021 9:05:00 AM EAT

David Kafulila amesema : “Hatuwezi kuwa na watumishi wa namna hii, naagiza hapa ufanyike ukaguzi maalumu sehemu zote ndani ya mwezi mmoja nipate taarifa, wale wote ambao watabainika hatua kali zitachukuliwa,” External link

mtanzania Monday, November 8, 2021 2:36:00 PM EAT

David Kafulila said : "It is our hope that in the next two years, the water crisis will be long gone. Water supply will be 85 per cent, with three-quarters of all villages having an access to safe and clean water" External link

allafrica Friday, November 5, 2021 10:22:00 PM EAT

David Kafulila Amesisitiza : “Amcos ikikutwa imefanya ubadhirifu ni mambo matatu, wanarudisha fedha ndani ya wiki mbili na baada ya kurudisha washitakiwe na uongozi waupoteze ,utamaduni wa kufikiri kwamba kwenye ushirika unachukua hela ukikamatwa unarudisha na biashara inaishia hapo. Takukuru mtu anayekamatwa amefanya wizi ni mambo yote matatu asiishie kurudisha tu,” External link

mtanzania Thursday, October 21, 2021 3:30:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Kufika siku ya ijumaa wiki hii hakuna shamba lolote kubaki na masalia, wala magugu, wakulima wote wanatakiwa kusafisha mashamba yao, watendaji wa kata mnatakiwa kusimamia hilo, kama kuna shamba litabaki Mtendaji wa kata, Kijiji lazima ajieleze kwa nini asichukuliwe hatua kali” External link

mtanzania Monday, October 11, 2021 7:50:00 PM EAT

David Kafulila alisema : “Lazima wakulima wawezeshwe kila kitu, Elimu na pembe jeo kwa wakati na kwa urahisi, kila mkulima lazima apande kwa vipimo, aweke mbolea, kunyunyuzia viuatilifu na kupata mbegu kwa wakati, tutahakikisha mahitaji yote yanapatikana kwa wakulima,” External link

David Kafulila ameongeza : “Kwa wale ambao watakaidi, wakamatwe mara moja na kufikishwa mahakamani, lazima sheria itekelezwe hakuna mtu aliyeko juu ya sheria, Mtendaji atakayeshindwa ni kwamba atakuwa ameshindwa kutimiza majukumu yake, na atatakiwa ajieleza kwa nini asichukuliwe hatua kali,” External link

David Kafulila amesema : “Msiende mkaanza kutunishiana nguvu na viongozi wengine mtakaowakuta, awe mbunge, Mwenyekiti wa Halmashauri au Mkurugenzi, huu sio wakati wa kila mmoja kuanza kuonyeshana nguvu yake, haitapendeza rais aelezwe kuwa kuna ,kuu wa wilaya na mkurugenzi hawaelewani,” External link

mtanzania Monday, June 21, 2021 5:48:00 PM EAT

David Kafulila ameongeza : “Kama wewe ni mkuu wa wilaya tunajua nguvu yako, mkurugenzi tunajua tu, mwenyekiti wa halmashauri tunajua nguvu yako, haina haja ya kwenda uko na kila mtu kutaka kumuonyesha mwenzake nguvu yake, tunachotaka ni kazi basi,” External link

David Kafulila ameongeza : “Kuanzia sasa hivi ni marufuku kwa kampuni hizo kuendelea kununua pamba kwenye mkoa huu, najua walipewa vibali lakini ni kimakosa, Amcos ambazo zilipewa pesa, kuanzia sasa sizitishe kununua na pesa zirejeshwe kwenye kampuni hiyo,” External link

mtanzania Friday, June 18, 2021 3:38:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Wapo watu ambao walichepusha hizo mbegu, nao hatua dhidi yao zitachukuliwa, uchunguzi utafanyika kwa wahusika wote kuanzia Bodi ya pamba,” External link

David Kafulila amesema : “Mwanasiasa yeyote ambaye atafanya siasa za kuvuruga pamba nitapambana naye, hatofanikiwa ikiwa mimi ni mkuu wa mkoa huu, Ni aibu kinara wa kuzalisha pamba nchini hatuna kitalu kwa sababu ya siasa za kijinga ambazo hazina msingi,” External link

mtanzania Thursday, June 10, 2021 6:05:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Wanunuzi mjiandae mapema, kama wewe hautawekeza kwenye pamba msimu ujao, hautapata kibali cha kununua pamba, tunataka kila mdau apambane katika kuongeza tija kwenye zao hili ili wakulima watoke kwenye umaskini,” External link

David Kafulila amesema : “Hadi jumatatu wiki ijayo nipate mchanganuo huo wa malipo hayo na mkandarasi analipa lini, Tanroads ndiyo wenye jukumu hili hampaswi kulikwepa kwa sababu nyie ndiyo mmewaleta hawa wakandarasi na wanatakiwa kufuata sheria,” External link

mtanzania Wednesday, June 2, 2021 8:13:00 AM EAT

David Kafulila amesema : “Mkoa wa Simiyu unazo raslimali nyingi kama mifugo, kilimo, madini jambo ambalo ni fursa kubwa kwa wananchi wa mkoa huu kuzitumia na kuweza kujiletea maendeleo,” External link

mtanzania Tuesday, May 25, 2021 5:00:00 PM EAT

David Kafulila alisema ( about Rais Magufuli ) : “Rais Samia anajua nini walikuwa wanapanga na Magufuli na kufanikisha, anajua siri za kufanikisha na kutokufanikisha mambo mbalimbali katika uendeshaji wa serikali, kwa hiyo anatosha kuvaa viatu vya Rais Magufuli,” External link

habarileo Wednesday, March 24, 2021 9:53:00 AM EAT

David Kafulila alisema : “Historia ya uimara wa mifumo ya dola na Chama ni hakika. Aidha rekodi yake Samia ya uimara wa kusimamia mambo kabla na wakati akiwa Makamu ni hakikisho kwamba atamudu na hana sababu ya kushindwa kuvaa viatu hivyo ikizingatiwa alikuwa Kiongozi namba mbili,” External link

habarileo Wednesday, March 24, 2021 7:04:00 AM EAT

David Kafulila alisema ( about Rais Magufuli ) : “Hii ni kuidhinishwa kwa Rais Magufuli kuwa mtu wa namna gani na ni sifa kwa taifa letu kutoka kwa taasisi yenye sifa nzuri na inayoaminika duniani,” External link

habarileo Monday, March 1, 2021 3:08:00 AM EAT

David Kafulila alisema ( about Rais Dk ) : “Utaratibu huo ukisimamiwa kikamilifu na wananchi wakapewa taarifa za kero walizowasilisha itaongeza zaidi imani ya umma kwa serikali yao kuwamtu yeyote bila kujali nafasi yake na bila urasimu anayo nafasi ya kutoa kero au maoni yake kumfikia Rais pasipo urasimu” External link

David Kafulila alisema : “Bunge litaendelea kubaki kuwa shirikishi kama ilivyokuwa awali na hii ni historia ambayo ipo muda mrefu,” External link

habarileo Saturday, October 31, 2020 12:53:00 AM EAT

David Kafulila anaandika : “Wagombea kuisusa agenda ya ufisadi ni kujinyonga kisiasa kwenye dunia ya wazalendo hata kama kuicha kwao kunaweza kuwanufaisha kupitia wafanyabiashara, taasisi, makampuni na hata mataifa waathirika wa operesheni ya JPM dhidi ya mafisadi ndani na nje ya nchi,” External link

habarileo Wednesday, October 14, 2020 1:37:00 PM EAT

David Kafulila anaandika ( about Tundu Lissu ) : “Kimsingi, msimamo wa Lissu kuhusu haja ya kuuvunja Muungano ni mkali zaidi ya hata ya chama chake,” External link

David Kafulila anaandika ( about Tundu Lissu ) : “Ni tofauti sana na Tundu Lissu ambaye yeye ameamua kwa muda mrefu kuwa mtetezi wa mafisadi hawa wa kimataifa kwa mgongo wa ati taaluma ya kisheria, ati sheria zinavunjwa na mara haki za binadamu,” External link

David Kafulila alieleza : “Kutokana na hali hii ni wazi kuwa uwepo wa ndege una umuhimu mkubwa pamoja na kuvutia watalii, lakini pia unaipatia nchi fedha za kigeni zitakazotumika katika shughuli nyingine za maendeleo,” External link

habarileo Saturday, September 19, 2020 9:01:00 AM EAT

David Kafulila anasema : "Mwaka 2014 pressure (msukumo) ya wananchi kutaka mabadiliko ilikuwa kubwa sana, madai ya Katiba mpya yalijaa kero vijijini za maji, ardhi, hospitali, utendaji mbovu wa watendaji na viongozi wa serikali lakini siku 100 za JPM (Rais John Magufuli) zikaongeza matumaini hata kabla ya kuunda Serikali yake," External link

habarileo Monday, September 14, 2020 4:48:00 AM EAT

David Kafulila anaeleza ( about Rais Magufuli ) : "Ziara za Rais Magufuli zilipunguza kilo kwa Ma-RC na Ma-DC, ilikuwa ni lazima mkuu wa mkoa au wilaya ahakikishe anazitafuta kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi kwa haraka kabla rais hajafika eneo husika," External link

David Kafulila anasema : "Hivi leo mwananchi wa kawaida hawezi kupiga kelele juu ya mtendaji fulani hafai halafu huyo mtendaji akaachwa. Lazima achukuliwe hatua," External link

David Kafulila alisema : “Lakini serikali ya sasa ya CCM kwa kiasi kikubwa imetekeleza matarajio ya wananchi waliyokuwa nayo,” External link

habarileo Sunday, September 6, 2020 11:22:00 PM EAT

David Kafulila alisema ( about John Magufuli ) : "Mwaka 2014 pressure (msukumo) ya wananchi kutaka mabadiliko ilikuwa kubwa sana, madai ya Katiba mpya yalijaa kero vijijini za maji, ardhi, hospitali, utendaji mbovu wa watendaji na viongozi wa serikali lakini siku 100 za JPM (rais John Magufuli) zikaongeza matumaini hata kabla ya kuunda serikali yake," External link

David Kafulila alisema ( about Julius Nyerere ) : “Kinachoitwa maendeleo ya vitu, wakosoaji wanarejea zaidi maamuzi ya ujenzi wa reli ya kisasa, kufufua shirika la ndege na mradi mkubwa kufua umeme wa bwawa la Nyerere,” External link

habarileo Sunday, August 23, 2020 5:58:00 PM EAT

David Kafulila alisema : “Mwalimu Nyerere aliposema rushwa ni adui wa haki na kwamba Serikali legelege haiwezi kukusanya kodi, hoja hii ilikuwa turufu ya upinzani kwa miongo kadhaa lakini sasa umeipa kisogo baada ya Rais Magufuli kuibeba kwa vitendo,” External link

habarileo Sunday, August 16, 2020 4:27:00 PM EAT

David Kafulila alisema ( about Afrika Mashariki ) : “Rekodi hii inathibitisha kuwa hata dunia inatambua kuwa Magufuli anajenga serikali yenye nidhamu ya matumizi hata kuwa na rekodi kubwa siyo tu Afrika bali duniani. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya World Economic Forum, Executive Opinion Survey 2019” External link

habarileo Wednesday, July 8, 2020 2:25:00 PM EAT

David Kafulila amesema : "Wakusanyaji wa mapato ya halmashauri ni watumishi wa umma, wanatambua kuwa ulaji wa fedha za Serikali ni kosa ambalo linatosha kumfukuzisha kazi mtumishi husika kwa mujibu wa kanuni na kuchukua hatua nyinginezo za kisheria," External link

mwananchi Tuesday, February 18, 2020 3:38:00 PM EAT

David Kafulila alisema ( about Zitto Kabwe ) : “Nimesoma alichoandika Zitto. Mimi kama mtumishi wa umma sioni sababu ya kueleza chochote kwa kuzingatia suala hilo linafanyiwa kazi na vyombo vyenye mamlaka ya kuchunguza,” External link

mwananchi Sunday, February 16, 2020 4:45:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Someni vizuri standing older na yeyote ambaye ataendelea kukaidi hili, hatua za kawaida za kinidhamu zitachukuliwa,” External link

mwananchi Thursday, February 13, 2020 4:10:00 PM EAT

David Kafulila amesema : "Nikiwa mtendaji mkuu wa mkoa huu, nimechukua hatua ya kutengua uteuzi wa waratibu elimu kata 16 na kuwaagiza ma DED (wakurugenzi wa halmashauri) kuwashusha walimu wakuu 20 na wengine walimu 48 kuonywa na waratibu elimu kata 60 kuonywa," External link

mwananchi Wednesday, January 1, 2020 8:19:00 PM EAT

David Kafulila amesema : “Kuwaacha kutafanya mkoa kuendelea kushuka kutoka nafasi ya 17 kitaifa mwaka jana na kushika nafasi ya 21 kitaifa mwaka huu,” External link

mwananchi Friday, December 6, 2019 2:32:00 PM EAT

David Kafulila alisema : “Hongereni sana madiwani na watendaji kwa makusanyo mazuri, Tunduma ni kama Singapore ya Tanzania, mmepata hati safi na mnaongoza kimkoa kwa makusanyo ya mapato, lakini bado mna kazi kubwa kuhakikisha mnavuka malengo na kuwa wa kwanza kitaifa,” External link

mtanzania Sunday, May 12, 2019 12:35:00 PM EAT

David Kafulila alieleza : “Mwaka 1999, IMF ilikadiria ukuaji wa uchumi wa Argentina wa asilimia 1.5, lakini ukuaji ukawa asilimia hasi sifuri nukta nane (-0.8%), sawa na tofauti ya asilimia 2.3. Mwaka 2000, IMF ilikadiria ukuaji wa uchumi wa asilimia 3.7, lakini ukuaji halisi ukawa asilimia hasi nne nukta nne ( -4.4%), sawa na tofauti ya asilimia 8.1 na mwaka 2001, IMF ilikadiria ùkuaji uchumi wa asilimia 2.6, lakini ukuaji halisi ukawa asilimia hasi kumi nukta tisa (-10.9%) sawa na tofauti ya asilimia 13.5,” External link

habarileo Monday, April 29, 2019 10:48:00 AM EAT

David Kafulila alisisitiza : ”alisema Kafulila. Alisema kwa kuzingatia maoni ya wachumi hao na zaidi kilichotokea katika nchi alizozitaja hapo hususani Argentina na Venezuela, vinampa mashaka kuziamini ripoti za IMF hasa kwa mwenendo wa utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano wa chini ya Rais Magufuli. Kafulila alisema kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa Rais Magufuli wa kudhibiti rasilimali za nchi zilizokuwa zikiporwa kwa muda mrefu, haujazipendeza nchi zilizokuwa zikinufaika na uporaji huo kupitia kampuni za kimataifa. Alisema huo ndiyo ukweli mchungu ambao Watanzania wanapswa kuujua kwani mbinu kama hizo zilitumiwa na IMF kwenye nchi alizozitaja. “Katika msingi huo, ninaendelea kuamini kwamba takwimu za maoteo ya IMF za mwezi Aprili 2019 kuhusu ukuaji uchumi wa Tanzania kuporomoka mpaka asilimia 4, naziona kuwa takwimu za mashaka kwa kuzingatia mifano ya nchi nilizotaja hapo awali. “Sababu ya pili inayonifanya nizione kuwa ni takwimu za mashaka ni kutokana na ukweli kwamba takwimu hizo bado zimetofautiana na takwimu za Benki ya Dunia ambazo makadirio yake ni kuwa uchumi wa Tanzania utakua kwa zaidi ya asilimia 6 na takwimu za Benki ya Afrika zikionesha uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 6.6,” External link

David Kafulila told : "Since Jan. 7 this year, we haven't recorded any new cases of anthrax in Songwe region," External link

newtimes-RW Tuesday, February 19, 2019 6:45:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
mp93.33%EN12/10/201610/12/2016
politician6.67%EN11/08/201608/11/2016
Names Lang Count
David KafulilaSW81.11%
David KafulilaEN17.78%
DAVID KAFULILASW1.11%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, August 19, 2022

1:59:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief