Pius Msekwa
Last updated on 2014-04-23T14:36+0300.

About this image

Extracted quotes from
Pius Msekwa anasema
:
“Wengi ilibidi wamwage damu ili kusudi waweze kufanikiwa lakini mwanga waliupata kutokana na Tanganyika kupata uhuru. Mwalimu mwenyewe akasema Uhuru wa Tanganyika haujakamilika kama nchi nyingine bado zinatawaliwa, kwa hiyo akaamua kujihusisha kikamilifu katika ukombozi wa nchi zilizokuwa bado hazijakombolewa,”
habarileo Thursday, December 9, 2021 2:34:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Baada ya Mwalimu Nyerere kufariki, Kaunda ndiye kiongozi pekee kutoka nje ya nchi kwenda hadi Butiama kumzika licha ya kuwepo Jijini Dar es Salaam kumuaga kama walivyofanya viongozi wengi kutoka barani Afrika,”
habarileo Saturday, June 19, 2021 9:29:00 AM EAT
Pius Msekwa Amesema
:
“Hii si mara ya kwanza kwa CCM kukutana na vyama vya upinzani kwakuwa ilishafanyika hivyo kule Zanzibar ambapo tulifanya maridhiano na Chama Cha Wananchi (CUF),”
habarileo Tuesday, April 27, 2021 6:52:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Wakati ule ilikuwa rahisi kujadili hoja kwa utulivu na kuzipitisha tofauti na Bunge lililopita lililokuwa na viti vya upinzani zaidi ya 100, limejaa vurugu na hoja zisizo na tija, mara wamesusia bajeti kwa kweli ilikuwa ni vurugu na unaona kabisa lilikosa nidhamu,”
habarileo Saturday, October 31, 2020 12:53:00 AM EAT
Pius Msekwa anasema
(
about Mwalimu Nyerere
)
:
“Hii ni tafsiri yangu, ukiona inafaa ichukue. Kliniki ni mahali ambako watu huwa wanakwenda kupata tiba. Msasani kwa Mwalimu Nyerere palikuwa mahali ambapo watu wanakwenda kupata tiba. Mawaziri mbalimbali walikuwa wanakwenda. Hata mimi nilikuwa naitwa, nakwenda, napata tiba. Kwa Mwalimu palikuwa mahali pa kutibiwa hasa,”
mwananchi Friday, October 16, 2020 12:11:00 AM EAT
Pius Msekwa said
(
about John Magufuli
)
:
"In the five years of Magufuli, he has never sought our advice, although it is not a condition that retired leaders must meet to advise the government. I told Mkapa, we are a council of advisors and we cannot force to give our advice unless we are sought to do so,"
allafrica Tuesday, July 28, 2020 3:08:00 AM EAT
Pius Msekwa said
:
"Mkapa wanted to know my stance on the matter, and I told him to look at what the constitution said, further I told him that Mwalimu Julius Nyerere had cautioned that no leader should be allowed to make a decision that is outside the constitution as well as the Presidential term should not exceed the two terms limits,"
allafrica Tuesday, July 28, 2020 3:08:00 AM EAT
Pius Msekwa said
:
“In the five years of Magufuli, he has never sought our advice, although it is not a condition that retired leaders must meet to advise the government. I told Mkapa, we are a council of advisors and we cannot force to give our advice unless we are sought to do so,”
theCitizen Sunday, July 26, 2020 12:17:00 PM EAT
Pius Msekwa said
:
“Mkapa wanted to know my stance on the matter, and I told him to look at what the constitution said, further I told him that Mwalimu Julius Nyerere had cautioned that no leader should be allowed to make a decision that is outside the constitution as well as the Presidential term should not exceed the two terms limits,”
theCitizen Sunday, July 26, 2020 12:17:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Na akaniambia kwamba mbona kipindi hiki cha miaka mitano ya Rais John Magufuli hatujakutana kumshauri, ‘je ni sawa si lazima tuishauri Setikali?’ Nikamwambia Mzee Mkapa sisi ni baraza la ushauri hajatuomba ushauri hivyo hatuwezi kutunga ushauri tukampelekea na akautekeleza na anaweza kuutuma kapuni,”
mtanzania Saturday, July 25, 2020 1:14:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Ili Serikali iweze kutawala vizuri lazima kuwe na sheria, hivyo Bunge likikwamishwa na Serikali itakuwa imekwama, marehemu alijenga mahusiano mema kati ya mihimili hiyo, kwakweli kipindi cha utawala wake tuliendesha nchi vzuri sana,”
mtanzania Saturday, July 25, 2020 1:14:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Lakini nilipoenda bungeni na niliposoma jina lake wabunge wakakubali wakapiga kura za kumthibitisha ndio mahusiano yangu mimi na marehemu yalivyokuwa, kwakweli nitaendelea kumkumbuka,”
mtanzania Saturday, July 25, 2020 1:14:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
(
about Benjamin Mkapa
)
:
“Mkapa akaniomba ushauri kwamba tufanyeje tunapokwenda kwenye kikao nikamwambia tutafute chanzo hasa kilichotufikisha, basi akaunda tume hiyo kamati ikaingia kwa undani kuchambua sababu iliyotufikisha hapo mapendekezo yale tukayafanyia kazi yakaleta utulivu na ninapoyakumbuka yananitesa sana,”
mtanzania Saturday, July 25, 2020 1:14:00 PM EAT
Pius Msekwa anasema
:
“Kwa maana nyingine, tumeimarisha usimamizi wa jambo hili,”
habarileo Wednesday, June 10, 2020 6:12:00 PM EAT
Pius Msekwa said
:
“Today, I have declared to vie for the presidency. However, if Mwalimu (Julius Nyerere) raises his voice, I will withdraw my name because you cannot compete with the Elder of Butiama,”
theCitizen Thursday, May 14, 2020 3:46:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Kwanini msihoji uamuzi wa wale waliofukuzwa, si wamewafukuza kwa madaraka waliyonayo…kwa katiba waliyonayo,”
mtanzania Wednesday, May 13, 2020 12:26:00 PM EAT
Pius Msekwa says
:
“Tanzania cannot and surely it is not suitable for it to return to a single-party system because a multi party system is society’s demand, according to time,”
theCitizen Thursday, March 12, 2020 9:18:00 AM EAT
Pius Msekwa said
:
“In 1959, another general election was held with the aim of showing the division of power of political parties. This election was famous for three votes, meaning electing one African, Indian and European aspirants and all won in 10 constituencies,”
theCitizen Thursday, March 12, 2020 9:18:00 AM EAT
Pius Msekwa says
:
“Despite the fact that elections were held one party system, voters had the opportunity of choosing aspirants of their own choice, depending on the needs of that time and their constituency,”
theCitizen Thursday, March 12, 2020 9:18:00 AM EAT
Pius Msekwa says
:
“It is political dynamics to the opposotion to boycott elections; However, in my view, boycotting elections is to deny voters the opportunity of choosing the aspirant of their choice,”
theCitizen Thursday, March 12, 2020 9:18:00 AM EAT
Pius Msekwa says
:
“The action of withdrawing from elections by all candidates from the opposition is to give an opportunity to CCM aspirants and even those, who are not the choices of voters to sail through unopposed,”
theCitizen Thursday, March 12, 2020 9:18:00 AM EAT
Pius Msekwa says
:
“Tanzania cannot and surely it is not suitable for it to return to a single-party system because a multi party system is society’s demand, according to time,”
theCitizen Wednesday, March 11, 2020 12:25:00 PM EAT
Pius Msekwa said
:
“In 1959, another general election was held with the aim of showing the division of power of political parties. This election was famous for three votes, meaning electing one African, Indian and European aspirants and all won in 10 constituencies,”
theCitizen Wednesday, March 11, 2020 12:25:00 PM EAT
Pius Msekwa says
:
“Despite the fact that elections were held one party system, voters had the opportunity of choosing aspirants of their own choice, depending on the needs of that time and their constituency,”
theCitizen Wednesday, March 11, 2020 12:25:00 PM EAT
Pius Msekwa says
:
“It is political dynamics to the opposition to boycott elections; However, in my view, boycotting elections is to deny voters the opportunity of choosing the aspirant of their choice,”
theCitizen Wednesday, March 11, 2020 12:25:00 PM EAT
Pius Msekwa says
:
“The action of withdrawing from elections by all candidates from the opposition is to give an opportunity to CCM aspirants and even those, who are not the choices of voters to sail through unopposed,”
theCitizen Wednesday, March 11, 2020 12:25:00 PM EAT
Pius Msekwa noted
:
“We had to ensure that in Parliament elections at least two candidates from Tanu were on the ballot. We did not want candidates to run unopposed after getting into the single party system,”
theCitizen Tuesday, March 10, 2020 10:16:00 AM EAT
Pius Msekwa added
:
“The fact that Tanu candidates won resoundingly during the multiparty system shows that there was more political competition during election in the single party system than during previous multiparty system,”
theCitizen Tuesday, March 10, 2020 10:16:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
(
about Oscar Kambona
)
:
“Utaratibu huu umeanza tangu wakati wa Tanu, Maalim Seif akiwa CCM alifukuzwa uanachama, Oscar Kambona alikuwa Katibu Mkuu wakati ule wa Tanu alivuliwa uanachama, kwa hiyo ni utaratibu wa kawaida wa chama na wa kila siku,”
mtanzania Sunday, March 1, 2020 9:39:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Hao niliokutajia walileta athari gani kwa chama? Wewe uliona athari yoyote? Huu ni uamuzi sawa na wa mahakama, mtu anaitwa kwa kanuni anahojiwa, kama amekiuka kanuni za chama anavuliwa uanachama,”
mtanzania Sunday, March 1, 2020 9:39:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Hata wewe una haki ya kufanya uamuzi unavyoona inakufaa, mtu mzima yeyote, kwa hiyo hilo halina mjadala,”
mwananchi Monday, February 10, 2020 4:43:00 PM EAT
Pius Msekwa alihoji
:
“Hakuna ushawishi, mnaujenga nyinyi tu kwa mawazo yenu. Mimi nina ushawishi kwa sababu ya mambo ninayoyafanya sasa, wao wanasema ni wakulima wa nyanya huko Lushoto watakuwa na ushawishi gani? Makamba alisema msimuulize siasa, muulizeni kilimo, hamuheshimu hilo,”
mwananchi Monday, February 10, 2020 4:43:00 PM EAT
Pius Msekwa anasema
(
about Mwalimu Nyerere
)
:
“Mzee Aboud Jumbe ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama cha Afro Shirazi kwa wakati huo akasimama akasema, ‘Mwalimu tumelipokea wazo hili tunakwenda kulijadili ndani ya Afro Shirazi Party’,”
mwananchi Wednesday, February 5, 2020 4:51:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
(
about Mwalimu Nyerere
)
:
“Baada ya kukamilisha mambo ya katiba jina lilikuwa mwisho. Tulimuuliza Mwalimu akasema kiitwe Chama cha Mapinduzi, sababu vyama viwili vikiungana vitaleta mapinduzi ya maendeleo kwa wananchi,”
mwananchi Wednesday, February 5, 2020 4:51:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Unajua Kenya kuna matatizo mengi ya ukabila, kwa hiyo kupata mwafaka juu ya jambo ni vigumu, lakini katika hali pamoja na matatizo hayo aliweza kuipeleka nchi akaifikisha hapo ilipo,”
mtanzania Wednesday, February 5, 2020 9:43:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Nimekopkea kwa furaha na bashasha zawadi hii, nimebaini ni joho nililotumia. Ni joho langu ‘original’ nililotumia zaidi miaka 10 wakati nikitumikia wadhifa huu”
habarileo Wednesday, January 29, 2020 9:31:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere kupitia Katiba ya nchi alipendekeza kuwapo na ukomo wa uongozi wa nafasi za juu, kwa kubadilishana madaraka kiongozi mmoja hadi mwingine, suala ambalo lingekuwa na maana kubwa kama lingefanyika Chadema kwa kuwa linajenga demokrasia ya kweli,”
mtanzania Tuesday, December 24, 2019 11:09:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
(
about Makamu Mwenyekiti
)
:
“Nawapongeza kwa kufanikisha mkutano uliowapata viongozi mbalimbali, lakini suala la Mwenyekiti wao kuendelea kushikilia tena kijiti cha nafasi hiyo siyo zuri kwa demokrasia halisi ambayo inataka watu kubadilishana vijiti vya uongozi,”
habarileo Saturday, December 21, 2019 9:43:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Kwa kweli hali ya jana (juzi) ilifurahisha na kupendeza, ilionesha katika taifa letu hakuna mpasuko wa kudumu wala usiotibika,”
habarileo Wednesday, December 11, 2019 9:30:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Mwezi Oktoba 1999, tulikuwa na mkutano wa maspika wa bunge huko West Indies ambako kwenda na kurudi lazima upite London. Siku ya kurudi nikapita hapo kumjuliana hali baada ya balozi kunifanyia mpango nimuone. Nikamkutana mkewe Mama Maria Nyerere,”
habarileo Saturday, October 12, 2019 2:23:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Maana yake ni kwamba kikatiba, baraza halikupewa mamlaka au ‘jurisdiction’ ya kutenda kazi hizo, ambazo ni za ki-uendeshaji. Badala yake, jukumu hilo limetolewa kwa vikao vingine ambavyo ni vya viongozi walioko madarakani,”
mtanzania Thursday, September 5, 2019 10:46:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Umuhimu wa jambo hili unatokana na kuwapo kwa dhana inayosema kwamba ‘silence means consent’ (ukinyamaza kimya bila kukanusha tuhuma zilizoelekezwa kwako, ukimya wako huo unachukuliwa kwamba umekiri ukweli wa tuhuma hizo). Nafurahi na kuwapongeza, kwamba tayari mmetekeleza wajibu huo kupitia vyombo vya habari,”
mtanzania Thursday, September 5, 2019 10:46:00 AM EAT
Pius Msekwa said
:
“CCM’s constitution doesn't give the council powers to make decisions outside its jurisdiction, especially on day-to-day running of the party. This responsibility is with those holding leadership positions,”
EastAfrican Saturday, July 20, 2019 4:45:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Lakini wakati tunasubiri, naweza kutoa majibu ya awali, yakiwa ni ya kukumbushana mambo ya msingi ambayo yanapaswa kuzingatiwa, ambayo mimi na ninyi tulisimamia utekelezaji wake, wakati tulipokuwa madarakani kama viongozi wakuu wa chama,”
mtanzania Thursday, July 18, 2019 9:50:00 AM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Barua hii nakala yake imeenda pia kwa Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu. Hivyo sisi kama Baraza la Wazee tunasubiri utaratibu wa chama kwanza,”
jamiiforums Tuesday, July 16, 2019 2:10:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
:
“Barua hii nakala yake imeenda pia kwa Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu. Hivyo sisi kama Baraza la Wazee tunasubiri utaratibu wa chama kwanza,”
mtanzania Tuesday, July 16, 2019 10:24:00 AM EAT
Pius Msekwa amesema
(
about Job Ndugai
)
:
"Uzoefu wangu mimi katika hili Spika yuko sawa kabisa, kwa sababu hata mimi mwenyewe nilishawavua Wabunge wengi kipindi cha uongozi wangu nawashangaa sana wanaohoji hatua hiyo, ni jambo la Kikatiba lililofanywa na Spika Ndugai"
jamiiforums Monday, July 1, 2019 2:12:00 PM EAT
Pius Msekwa said
:
"Soon after independence, the founding father of the nation Mwalimu Julius Kambarage Nyerere introduced adult education to have all citizens equipped with writing, reading and arithmetic skills,"
allafrica Sunday, December 9, 2018 6:29:00 PM EAT
Pius Msekwa said
(
about Deputy Speaker
)
:
"It happened that then Speaker, Chief Adam Sapi Mkwawa, had fallen sick and I had to preside over parliamentary proceedings. We therefore handled the debate before the Parliament voted to restore Tanganyika,"
allafrica Tuesday, November 8, 2016 7:58:00 PM EAT
Pius Msekwa said
(
about Samuel Sitta
)
:
"Sitta stood firm and intelligently argued against it. At the end Isles leaders admitted to have made a mistake, apologised and pledged to withdraw from the OIC,"
allafrica Tuesday, November 8, 2016 7:58:00 PM EAT
Pius Msekwa alisema
(
about Mwalimu Julius Nyerere
)
:
“Katika historia ya Tanzania, ni Nyerere pekee ndiye aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa muda mrefu huku mzee Mwinyi akiwa Rais. Lakini kulikuwa na sababu wakati huo kwamba Watanzania walikuwa wakimpenda sana Mwalimu na nchi ingetikisika kama angeachia nyadhifa zote mbili,”
raiamwema Monday, June 13, 2016 9:13:00 AM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
speaker | 25.00% | EN | 05/18/201618/05/2016 |
former speaker of the national assembly | 75.00% | EN | 04/05/201405/04/2014 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Pius Msekwa | SW | 91.94% |
Pius Msekwa | EN | 8.06% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 4.45% |
![]() | Julius Nyerere | 2.73% |
![]() | Chama Cha | 2.53% |
![]() | Rais Magufuli | 2.43% |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 2.43% |
![]() | Abdulrahman Kinana | 2.22% |
![]() | Jakaya Kikwete | 2.12% |
![]() | Waziri Mkuu | 2.12% |
![]() | Mwalimu Julius Nyerere | 2.02% |
![]() | Mwalimu Nyerere | 2.02% |
![]() | Yusuf Makamba | 1.82% |
![]() | Benjamin Mkapa | 1.82% |
![]() | Nape Nnauye | 1.62% |
![]() | Hassan Mwinyi | 1.62% |
![]() | Ali Hassan Mwinyi | 1.62% |
![]() | Edward Lowassa | 1.42% |
![]() | Makamu Mwenyekiti | 1.31% |
![]() | Bernard Membe | 1.21% |
![]() | Hussein of Jordan | 1.21% |
![]() | Job Ndugai | 1.21% |
![]() | January Makamba | 1.21% |
![]() | Bashiru Ally | 1.11% |
![]() | Frederick Sumaye | 1.01% |
![]() | Samia Suluhu | 1.01% |
![]() | Nationale Vergadering | 0.91% |
![]() | Tanganyika African National Union | 0.91% |
![]() | Kassim Majaliwa | 0.91% |
![]() | Philip Mangula | 0.91% |
![]() | Humphrey Polepole | 0.91% |
![]() | William Ngeleja | 0.81% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 0.0456 |
![]() | George Nangale | 0.0303 |
![]() | Ali Juma Shamhuna | 0.027 |
![]() | Julius Nyerere | 0.0245 |
![]() | Chama Cha | 0.0245 |
![]() | Rais Magufuli | 0.024 |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 0.0238 |
![]() | Abdulrahman Kinana | 0.0223 |
![]() | John Tendwa | 0.0213 |
![]() | Jakaya Kikwete | 0.0208 |
![]() | Waziri Mkuu | 0.0206 |
![]() | Mwalimu Nyerere | 0.0197 |
![]() | Mwalimu Julius Nyerere | 0.0195 |
![]() | Pandu Ameir Kificho | 0.0189 |
![]() | Pandu Ameir | 0.0189 |
![]() | Benjamin Mkapa | 0.0179 |
![]() | Wilson Mukama | 0.0179 |
![]() | Yusuf Makamba | 0.0167 |
![]() | Nape Nnauye | 0.016 |
![]() | Hassan Mwinyi | 0.016 |
![]() | Ali Hassan Mwinyi | 0.0158 |
![]() | Costa Mahalu | 0.0143 |
![]() | Edward Lowassa | 0.0139 |
![]() | Thomas Ngawaiya | 0.0137 |
![]() | Makamu Mwenyekiti | 0.0129 |
![]() | Mohamed Seif Khatib | 0.0126 |
![]() | Bernard Membe | 0.012 |
![]() | Job Ndugai | 0.012 |
![]() | January Makamba | 0.012 |
![]() | Steven Wasira | 0.012 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
Extracted quotes about
Benjamin Mkapa alisema
(
about Pius Msekwa
)
:
“Sisi wote tulipokea uamuzi wa chama kwamba serikali ihamie Dodoma, aliyenitangulia Mzee wangu (Mwinyi) alifanya kila jitihada ya kuhamisha baadhi ya taasisi kuhamia Dodoma, mimi niliendeleza jitihada hizo pamoja na hicho kinachoitwa Jumba la Pius Msekwa kama mahali pa kufanyia mikutano”
habarileo Saturday, July 25, 2020 2:31:00 AM EAT
Job Ndugai amesema
(
about Pius Msekwa
)
:
“Waheshimiwa wabunge baada ya Waziri kumaliza kusoma hotuba yake, sasa naomba tutesti mitambo yetu namuita Mwenyekiti wa kamati mheshimiwa Jason Rweikiza na leo atasoma hotuba yake akiwa ukumbi wa Pius Msekwa naomba tumsikilize,”
mwananchi Wednesday, April 15, 2020 6:46:00 PM EAT
Yusuf Makamba alisema
(
about Pius Msekwa
)
:
“Tumekwishatoa maelezo yetu kama kuna barua ya Msekwa sisi hatujaipata, tukiandikiwa sisi tukiipata kama tuna cha kusema tutawaambia,”
mtanzania Thursday, July 18, 2019 9:50:00 AM EAT
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.