David Silinde

Last updated on 2011-02-11T07:57+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

David Silinde alieleza : “Kwa sasa gunia moja la kilo 50 la sukari linauzwa hadi shilingi 70,000 wakati bei awali ilikuwa shilingi 58,000 pia kwa sasa sukari kilo moja inauzwa kwa shilingi 3,000 kutoka shilingi 2,400 hii inaashiria kuwa kama uagizwaji wa sukari kutoka nje usipofanyika bei inaweza hata kuzidi kupanda,” External link

habarileo Thursday, April 16, 2020 10:02:00 AM EAT

David Silinde alisema : “Nchi wahisani na washirika wa maendeleo wamekuwa wakishindwa kuleta misaada na ahadi zao kwenye utekelezaji wa Bajeti ya Maendeleo kwa wakati na nyakati nyingine kushindwa kuleta kabisa katika kipindi cha miaka mitatu ya fedha mfululizo iliyopita ya 2016/2017, 2017/2018 na 2018/2019” External link

habarileo Wednesday, April 1, 2020 11:50:00 AM EAT

David Silinde amesema : “Maoni yetu ni kwamba kifungu hiki kifutwe na Serikali itafute vyanzo vingine vya mapato vinavyotokana na rasilimali za Taifa hili,” External link

mwananchi Wednesday, June 26, 2019 3:08:00 PM EAT

David Silinde amesema : “Tunapendekeza kifungu hiki kifutwe na Serikali itimize wajibu wake wa kuhakikisha wanufaika wa taulo za kike wananufaika wenyewe badala ya wafanyabiashara, wajibu huo ni wa Serikali na kamwe haiwezekani kushindwa kutekelezwa kwa wajibu wa Serikali ikiwa ni kwa gharama za hedhi ya wanawake wa Tanzania,” External link

David Silinde amesema : “Dunia ya sasa kama unataka kuendelea kuna njia kubwa mbili, moja kuboresha uwekezaji wa moja kwa moja na ushirikiano wa sekta binafsi na umma (PPP),” External link

mwananchi Tuesday, June 18, 2019 6:10:00 PM EAT

David Silinde amesema : “Bandari ya Bagamoyo endapo tungeingia mkataba ingekuwa Sh24 trilioni, Liganga na Mchuchuma Sh7 trilioni, reli ya kisasa Sh17 trilioni na ule wa umeme Sh6 trilioni. Uchumi ungeongezeka kwa wakati mmoja kwa Sh124 trilioni. Leo pato letu la Taifa ni Sh125 trilioni (kwa sasa), fikiria hizi fedha zingeingia katika uchumi wetu, Serikali ingekuza pato la Taifa mara mbili zaidi,” External link

David Silinde amesema : “Mfano mradi wa SGR kwa jinsi unavyotekelezwa Magufuli anaweza kutoka madarakani mradi haujakamilika, ule wa umeme bado haujaanza. Tunakwenda lakini ni mwendo wa konokono,” External link

David Silinde amehoji : “Tunakwenda kwenye sera ya viwanda wakati hakuna malighafi, unazalisha kiwanda wakati huna pamba, tumbaku uzalishaji umeshuka, korosho nayo imeshuka. Sasa unaanzisha kiwanda kwa malighafi ipi,” External link

David Silinde alisema : “Kwa mfano ukaguzi wa CAG ulibaini mapungufu yatokanayo katika usimamizi wa deni la taifa,” External link

mtanzania Tuesday, June 18, 2019 10:34:00 AM EAT

David Silinde amesema : “Matumizi mengineyo ni Sh2 trilioni, matumizi ya kawaida Sh15.7 trilioni. Matumizi ya maendeleo ni Sh13 trilioni ambazo ni fedha za ndani na nje pia,” External link

mwananchi Monday, June 17, 2019 8:54:00 PM EAT

David Silinde alihoji ( about Emmanuelle Hauck ) : “Mimi nitasimama na Masele na hili nitakuwa nalieleza, kwa sababu hakuna utovu wowote alioufanya na kama ameufanya kwa nini asishughulikiwe na kamati za PAP hadi aitwe nyumbani?” External link

mwananchi Friday, May 17, 2019 10:00:00 AM EAT

David Silinde proposed : “We need to invest heavily in the Liganga and Mchuma coal and steel potentials so that such raw materials could be sourced locally,” External link

theCitizen Saturday, May 11, 2019 10:48:00 AM EAT

David Silinde alihoji : “Ripoti ya IMF inaonyesha uchumi wetu utakua kwa asilimia 4.4 mwaka huu, kwa nini hali hii inatokea wakati ukuaji ulikuwa wastani wa asilimia saba kwa muongo mmoja uliopita na fedha nyingi tunazielekeza kwenye ujenzi,” External link

mwananchi Saturday, May 11, 2019 10:33:00 AM EAT

David Silinde alisema : “Ripoti ya IMF inaonyesha uchumi wetu utakua kwa asilimia 4.4 mwaka 2019,” External link

mwananchi Friday, May 10, 2019 3:12:00 PM EAT

David Silinde amesema : “Huu ni mwendelezo wa matukio ya viongozi wetu kukamatwa, licha kwamba walitakiwa kujulisha uongozi wa bunge,” External link

mtanzania Monday, May 6, 2019 11:11:00 PM EAT

David Silinde alisema : “Mambo hayo ni pamoja na ujenzi wa reli ambao unachukua fedha nyingi za ndani na ununuzi wa ndege,” External link

mwananchi Monday, April 1, 2019 10:58:00 AM EAT

David Silinde alisema ( about Rais Magufuli ) : “Siku ambayo Rais Magufuli atamaliza utawala wake, wa kwanza kwenda jela atakuwa katibu mkuu Hazina na msimdanganye atakwenda, kwa sababu Rais akishaondoka madarakani hana power (nguvu) tena ya kumlinda mtu,” External link

mwananchi Sunday, February 3, 2019 9:07:00 AM EAT

David Silinde alisema : “Hapa katika kipindi hiki cha mabadiliko, EU inaweza kushindwa kutoa fedha za miradi iliyokuwa inafadhili kwasababu kujitoa kwa Uingereza kunapoteza pauni milioni 3 zilizokuwa zinachangiwa kwa wiki na nchi hiyo,” External link

mtanzania Saturday, June 25, 2016 10:26:00 AM EAT

David Silinde alisema ( about Naibu Spika ) : “1. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya serikali katika mwaka huu wa fedha volume 1 ‘Financial Statements and Revenue estimates’ for the year 1st July ,2016 to 30th June 2017 kilicholetwa hapa Bungeni kinaonyesha kuwa mapato yote ya serikali yaani mapato ya kodi, yasiyokuwa ya kodi , mikopo na misaada ya kibajeti itakuwa jumla ya shilingi trilioni 22.063. Mheshimiwa Spika, upatikanaji wa mapato hayo ni kama ifuatavyo; Mapato yasiyokuwa ya kodi ni shilingi Bilioni 665.664. iii. Mikopo na misaada ya kibajeti ni shilingi Trilioni 3.600” External link

mtanzania Monday, June 13, 2016 8:56:00 AM EAT

David Silinde alisema : “Hata kwenye kitabu cha miradi ya maendeleo hazionekani kwenye kutekeleza mradi wowote ule na hivyo ni sahihi kusema kuwa ni fedha hewa , maana hazina hata kasma yake na Bunge hili tunapitisha kasma” External link

David Silinde alihoji : “Kuingiza malipo ya kiunua mgongo cha wabunge ambacho kitaanza kulipwa 2020 kwa mujibu wa sheria na kuwa chanzo cha mapato katika mwaka huu wa fedha 2016/2017 hiki si chanzo hewa?,” External link

David Silinde alihoji : “Hizi fedha ambazo zitabaki baada ya kununua ndege zitatumika kufanya shughuli gani? Je kuna wakala katika ununuzi huu wa ndege ambaye atapata kamisheni na kama yupo ni kiasi gani?,” External link

David Silinde alihoji : “Ni sababu gani zimefanya kitengo hiki kutopatiwa fedha. Ni nani ataenda kusimamia fedha za maendeleo Sh. Bilioni 27 ambazo zimetengwa kama kitengo hiki hakina wafanyakazi?,” External link

David Silinde alisema ( about John Pombe Magufuli ) : “Tunamuunga mkono Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa kuondoa posho za vikao (Sitting Allowances) na tunamwomba aondoe posho hizo kwa wabunge nao watumie mishahara yao ili kuwe na usawa,” External link

wavuti Friday, June 10, 2016 11:48:00 PM EAT

David Silinde alisema : “Tunaungana na Serikali kukata kodi kwenye kiinua mgongo cha wabunge lakini tunamuomba Mheshimiwa Rais apanue wigo wa kodi hiyo hadi kwa wakuu wa Mikoa na Wilaya,” External link

wavuti Friday, June 10, 2016 11:48:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
collègue11.11%FR10/17/201717/10/2017
mp11.11%EN11/04/201604/11/2016
deputy77.78%EN06/22/201622/06/2016
Names Lang Count
David SilindeSW65.12%
David SilindeEN30.23%
DAVID SILINDESW2.33%
David SilindeFR2.33%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Thursday, June 4, 2020

6:02:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief