Esther Matiko

Last updated on 2011-02-14T06:00+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Esther Matiko alidai ( about Benson Kigaila ) : “Nikifika Dar esa Salaam nikitokea Tarime Mjini, Februari 15, nilipofika niliwasiliana na mmoja wa viongozi wa Kamati Ndogo ya Uchaguzi, Benson Kigaila kwa simu kumfahamisha kuwa nimefika ambapo alinipa jukumu la kufuatilia barua za utambulisho pamoja na hati za viapo vya mawakala,” External link

habarileo Thursday, December 5, 2019 9:34:00 AM EAT

habarileo Wednesday, December 4, 2019 8:39:00 PM EAT

Esther Matiko noted : “She has made a reference to a research and the law allows us to do so,” External link

theCitizen Saturday, May 25, 2019 10:09:00 AM EAT

Esther Matiko alisema : “majigambo ya Serikali kwamba imeboresha sekta ya afya nchini ni kujitafutia umaarufu wa kisiasa tu” External link

mwananchi Thursday, May 9, 2019 11:15:00 AM EAT

Esther Matiko alisema : “Kumekuwa na mwendelezo wa matukio yanayodhalilisha taaluma ya afya na kuishushia thamani Serikali na kuzipoka mamlaka husika wajibu wake” External link

mwananchi Wednesday, May 8, 2019 12:30:00 PM EAT

Esther Matiko alilalamika : “Kwa hiyo, mheshimiwa mwenyekiti, tafadhalini mrudishe maneno mliyoondoa hotuba yetu iweze kusomwa kwa ukamilifu wake,” External link

mtanzania Thursday, April 25, 2019 10:58:00 AM EAT

Esther Matiko amesema : “Nilipokuwa Segerea walikuja wasichana watatu wamebakwa na kulawitiwa wakiwa vituo vya polisi, Stakishari, Kawe na Mabatini. Wengi walikuwa wameharibika, jamani sasa tukisema tuonekane wabaya,” External link

mwananchi Thursday, April 25, 2019 8:07:00 AM EAT

Esther Matiko amesema : "Hakuna Rais ambaye aliwahi kusema kuwa upinzani chagua kazi nyingine, lakini huyu amesema na kunukuliwa lakini haijafutwa popote, hapo ndipo shida inapoanzia," External link

mwananchi Friday, April 12, 2019 9:15:00 PM EAT

Esther Matiko amesema : "Mheshimiwa mwenyekiti, sisi sote humu ndani tunaingia kwa kupigiwa kura na wananchi na kufuata utaratibu, naomba mbunge atuambie aibu gani walifanya wabunge wa upande huu hata wakapata ubunge," External link

mwananchi Friday, April 12, 2019 2:54:00 PM EAT

Esther Matiko amesema : “Anayoyasema Mwakajoka ni kweli bila polisi CCM haitafika madarakani na uthibitisho upo katika kata ya Tua kule Tarime (katika uchaguzi wa diwani) tuliwashinda CCM kwa zaidi ya kura 76 lakini walipiga mabomu wakachukua wakajitangaza ,” External link

mwananchi Thursday, April 11, 2019 1:57:00 PM EAT

Esther Matiko amesema : “Nafikiri kiubinadamu kuna mambo hata katika benki ukienda hawatoi siri za mteja hata ukikopa mabilioni ili mradi tu umekubalika kukopa,” “Haikuwa sawa, hata kama Lema wameamua kumudhibu na kumpeleka katika kamati kwa aliyoyasema jana iwe hivyo lakini si kuweka wazi mambo yake, ila Spika ameamua kunitoa sawa tu” External link

mwananchi Wednesday, April 3, 2019 1:33:00 PM EAT

Esther Matiko alisema : “Nawatakia wote heri ya Krismasi na Mwaka mpya, ila mapambano yanaendelea” External link

mwananchi Saturday, December 22, 2018 12:11:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
Names Lang Count
Esther MatikoSW85.71%
Esther MatikoEN14.29%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, August 3, 2020

11:38:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief