Agnes Kijazi

Last updated on 2014-04-25T19:28+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Agnes Kijazi warned : “We should also expect bush fires during this period. Relevant authorities are advised to design strategies to deal with these challenges,” External link

theCitizen Wednesday, September 9, 2020 9:41:00 AM EAT

Agnes Kijazi alisema : "Mabadiliko ya tabia nchi ni changamoto kubwa kwa sekta mbalimbali ikiwemo ya kilimo, ufugaji, uvuvi na hata watekelezaji wa miradi mbalimbali, hivyo ni muhimu wadau kukutana na kujadili namna ya kufikisha taarifa hizo kwa walengwa," External link

habarileo Friday, September 4, 2020 3:59:00 AM EAT

Agnes Kijazi added : "This statement is crucial for economic and social sectors because it can be used in planning for sustainable development such as construction of infrastructure or identifying areas for construction of industries by ensuring that they are not affected by severe weather," External link

allafrica Monday, April 13, 2020 2:18:00 AM EAT

Agnes Kijazi amesema : "Tumeona ongezeko la joto linaenda sambamba na kuongezeka kwa matukio ya hali ya hewa mbaya na kuongezeka kwa mvua nyingi katika nchi yetu hivyo wanatakiwa kuchukua taarifa hii," External link

mwananchi Wednesday, April 8, 2020 6:58:00 PM EAT

Agnes Kijazi amesema : "Mvua hizi zimeshaanza kunyesha na maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka inatarajiwa mvua hizo kuisha Aprili na maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka zitaisha Mei wiki ya pili na ya tatu," External link

mwananchi Wednesday, April 8, 2020 4:56:00 PM EAT

Agnes Kijazi amesema : "Tunazishauri taasisi zinazosimamia maafa kutoa taarifa kwa wakati kwa wakazi wanaoishi kwenye maeneo hatarishi ili wajiandae kukabiliana na mafuriko yanayoweza kusababisha uharibifu wa mazingira, miundombinu na kujaa maji," External link

mwananchi Thursday, February 13, 2020 4:10:00 PM EAT

Agnes Kijazi amesema : "Lakini ni wakati wa kuvuna maji hivyo mamlaka husika zinaweza kutumia ipasavyo teknolojia ya uvunaji wa maji pia wadhibiti maji ya kunywa," External link

Agnes Kijazi amesema : “Jua la utosi huambatana na hali ya Joto kali kwa sababu kipindi hicho ndipo uso wa dunia katika eneo tajwa huwa karibu zaidi na jua kuliko maeneo mengine,” External link

mwananchi Tuesday, January 7, 2020 6:06:00 PM EAT

Agnes Kijazi noted : “Stakeholders in fishing industry are advised to prepare adequate storage facilities for fish producing, the energy sector to improve infrastructures for electricity supply so as to minimizes possiblr impacts,” External link

theCitizen Friday, October 11, 2019 11:22:00 AM EAT

Agnes Kijazi amesema : “Na hizi mvua za nje ya msimu mifumo inaonyesha zitaendelea kwa muda hivyo tunawashauri wakulima ukanda wa Kaskazini ikiwemo Kilimanjaro, Arusha na Manyara wanaweza kuzitumia kuanza kilimo,” External link

mwananchi Thursday, October 10, 2019 4:22:00 PM EAT

Agnes Kijazi alisema : “Tukifikia mahali mgandamizo wa hali ya hewa ukiwa hauleti madhara watu wanaweza kuingia baharini,” External link

mwananchi Friday, April 26, 2019 11:25:00 AM EAT

Agnes Kijazi amesema : “Menejimenti ya maafa, watoa huduma za dharura pamoja na wadau wengine wanashauriwa kuchukua hatua za kuweka mipango stahiki kuhakikisha utayari wa kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza,” External link

mwananchi Thursday, February 14, 2019 6:26:00 PM EAT

Agnes Kijazi amesema : "Tulishuhudia maeneo ya Mtimbwa, Sumbawanga, Rusumo, Ngara mvua za mawe zilinyesha na utabiri wa mwezi huu zinaweza kuendelea kunyesha maeneo hayo," External link

mwananchi Thursday, November 3, 2016 6:20:00 PM EAT

Agnes Kijazi alisema : “Mikoa ya kanda ya Ziwa Victoria inaweza kupata mvua za wastani mpaka juu ya wastani, hivyo mamlaka husika zinapaswa kujiandaa kwa hali yoyote inayoweza kujitokeza,” “Wasimamizi wa maeneo ya utalii wachukue hatua ya kuzuia uharibifu wa miundombinu ya barabara na madaraja katika mbuga zilizo karibu na maeneo ya Ziwa Victoria” External link

mwananchi Wednesday, March 4, 2015 12:58:00 PM EAT

Agnes Kijazi alisema : “Pamoja na kuwapo kwa uwezekano wa matukio ya mvua kubwa katika maeneo yanayotarajia kupata mvua juu ya wastani, hali hiyo pia inaweza kujitokeza katika maeneo yanayotarajiwa kupata mvua za wastani hadi chini ya wastani,” External link

habarileo Wednesday, March 4, 2015 8:17:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
director66.67%EN10/04/201604/10/2016
meteorological agency director6.67%EN10/04/201604/10/2016
tanzania meteorological agency director6.67%EN10/04/201604/10/2016
managing director20.00%EN04/17/201417/04/2014
Names Lang Count
Agnes KijaziEN59.52%
Agnes KijaziSW40.48%
Агнес КиджазиBG0.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Wednesday, October 21, 2020

3:28:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief