Nape Nnauye alisema
:
“Serikali imetoa nafasi kwa wanahabari kuleta mbadala wa yale yanayolalamikiwa, tukae mezani tuzungumze na huo mchakato haiwezi kuwa mfupi, ni chakato wa mazungumzo, mie nimeukuta na tuaendelea nao. Tuna malengo ya kuukamilisha mapema kadri inavyowezekana,”
mtanzania Saturday, July 16, 2022 11:16:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Lengo tutunge sheria itakayokaa muda mrefu lakini sheria itakayokubalika na pande zote mbili lakini itakayotengeneza mazingira kuwa bora zaidi kuliko tuliyonayo,”
mtanzania Thursday, July 14, 2022 12:13:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Hapa kwenu nina salamu maalumu za Mheshimiwa Rais, anafurahishwa na kazi mnayoifanya, anaridhishwa na kazi yenu na anawatia moyo kuongeza bidii,”
habarileo Thursday, July 7, 2022 11:13:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nimpongeze Mhariri Mtendaji (Tuma Abdallah) kwa kuteuliwa, amekaimu kwa muda mrefu na amefanya kazi nzuri, sasa amethibitishwa tunaamini itamuongezea kasi,”
habarileo Thursday, July 7, 2022 11:13:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“TCRA ni wadau muhimu kwa Watanzania kama mtakuwa na jengo lakudumu mtaweza kuwasaidia walio wengi kuweza kupata huduma sahihi,”
mtanzania Thursday, July 7, 2022 1:23:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Serikali ipo tayari kuwawezesha kutekeleza mpango huo wa TEHAMA,”
mtanzania Thursday, July 7, 2022 1:23:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Ushirikiano huu ni wa manufaa kwa pande zote mbili hasa kwa wananchi, utaongeza wigo wa utoaji huduma kwa jamii, utaongeza tija na hatimaye mapato ndani ya shirika na serikali kwa ujumla,”
mtanzania Wednesday, June 29, 2022 6:31:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Mimi nikiwa Waziri napenda kutoa wito kwa Watanzania kuilinda na kuitumia kwa sababu kuiweka isitumike ni hasara wananchi wajitahidi muitumie kwani dunia ya leo taarifa zipo mikononi kwako,”
habarileo Tuesday, June 28, 2022 6:40:00 PM EAT
Nape Nnauye Amesema
:
“Jamii ina jukumu la kuwalinda watoto dhidi ya ukatili na mambo mengine yoyote yanayoweza kuathiri ustawi wa mtoto,suala hili si la mtu mmoja mmoja ni suala la kwetu sisi sote.”
habarileo Friday, June 17, 2022 4:24:00 PM EAT
Nape Nnauye Alisema
:
“Vifaa hivi vitumike kuwajengea uwezo mkubwa zaidi wa kuijua dunia ya leo kwa maana ya maendeleo yaliyopo na wajibu wenu katika ulimwengu wa leo,vifaa hivi viwasidie kuwaongezea maarifa zaidi na vitatue changamoto zenu za awali za urahisi wa kujifunza TEHAMA”
habarileo Friday, June 17, 2022 4:24:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Leo mwenyezi Mungu ameturudishia faraja la Rondo, ameturejeshea furaha Chiponda. Mtama ni wastaarabu na hatuna shida tena,tuna imani kubwa na Membe, alinikabidhi kijiti na kuvaa viatu vyake, kulikuwa na mambo yaliyokwama huku nyuma kwa sababu za kisiasa, lakini Mama Samia amekuja ameziondoa,”
mtanzania Monday, June 6, 2022 8:29:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Ndio maana safari yangu ya ubunge imekuwa nyepesi. Kaka Membe amenipigania sana na bahati nzuri amerudi CCM. Niseme tu Mungu ameamua ugomvi,”
mtanzania Monday, June 6, 2022 8:29:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Benard Membe
)
:
“Leo Mwenyezi Mungu ameturudishia faraja ya Londo, ameturejeshea furaha Chiponda. Mtama ni wastaarabu na hatuna shida tena, tuna imani kubwa na Membe, alinikabidhi kijiti na kuvaa viatu vyake, kulikuwa na mambo yaliyokwama huku nyuma kwa sababu za kisiasa, lakini Mama Samia amekuja ameziondoa,”
habarileo Monday, May 30, 2022 9:18:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Benard Membe
)
:
“Membe amenipigania katika mambo mengi, nilipotaka ubunge Ubungo baada ya kuonekana fitna zimeingia katikati Membe aliamua kuchora ramani. Ndio maana safari yangu ya ubunge imekuwa nyepesi. Kaka Membe amenipigania sana na bahati nzuri amerudi CCM. Niseme tu Mungu ameamua ugomvi,”
habarileo Monday, May 30, 2022 9:18:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Kukamilisha uandaaji wa Programu ya Mafunzo ya TEHAMA, ukamilishwaji wa Mkakati wa Taifa wa Elimu kwa Umma wa Usalama Mtandao,”
habarileo Friday, May 20, 2022 12:07:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
"Ni aibu sana kwa Mkoa wa Tanga kuwa nafasi ya pili kutoka mwisho, sababu tayari mkoa huu unazo anuani katika baadhi ya meneo,"
habarileo Tuesday, April 12, 2022 2:05:00 PM EAT
Nape Nnauye said
:
"The M-MAMA system is in line with the implementation of the residential addresses plan and postcode project, which seeks to ensure every street and house is named and inscribed with a recognised number to facilitate various operations, towards a digital economy and simplify delivery of products and services,"
allafrica Monday, April 11, 2022 8:37:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Lengo la sekta hiyo ya mawasiliano ni kuhakikisha kwamba mchango wake katika Pato la Taifa unafikia asilimia 11 kutoka asilimia 5.2 za sasa,”
habarileo Thursday, April 7, 2022 1:27:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Mimi ninaamini kwamba Bunge watakuwa wametengeneza kanuni na kama hawajatengeneza basi watakuwa kwenye mchakato wa kutengeneza kanuni,”
habarileo Wednesday, April 6, 2022 8:06:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Mimi leo sidhani kama kuna Mtanzania anatamani kuona wabunge wanapigana, yapo mabunge tunaona watu wanapigana wanarushiana maneno mabaya kuna vitu ambavyo mkiviachia havileti heshima ya Bunge naamini kuna kanuni zitatumika ku-regulate (kusimamia) mambo haya,”
habarileo Wednesday, April 6, 2022 8:06:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Takwimu zilizotufikia sisi kama wizara yenye mfumo zinaonesha kwamba utekelezaji wa Anuani za Makazi umefikia asilimia 67,”
habarileo Friday, April 1, 2022 11:31:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Nape Nnauye
)
:
“Nimemueleza Mkandarasi, kama kuna kazi ambayo hatakiwi kuchezea ni kazi ya jimbo la Mtama, ukichezea kazi ya jimboni kwa Nape huo ndio mwisho wa kupata kazi popote tena bora tuambiane mapema kabla mambo hayajahalibika na fitina hiyo sishindwi nitaanzia kwa rais mpaka wizarani,”
mtanzania Tuesday, March 29, 2022 3:31:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Samia Suluhu
)
:
“Lakini kuyasogeza kwenye vijiji na vitongoji vilivyobaki ni kazi ya Halmashauri mimi na madiwani tutatenga fedha tuyavute maji haya ambayo Mama yetu Samia ametuletea sasa tuyaporomoshe kwenye maeneo mengine ambayo hayakutajwa,”
mtanzania Tuesday, March 29, 2022 3:31:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kwenye hili sio maneno, bali tayari tumeanza utekelezaji. Kama mmeona tayari tumetangaza tenda (zabuni) kwa ajili ya kupata wataalamu ambao wataisaidia Wizara kutengeneza mkakati wa uchumi wa kidijitali, pia kupata mtaalamu ambae atafanya uchambuzi wa sera, sheria na kanuni zetu zote zinazohusu TEHAMA,”
habarileo Thursday, March 24, 2022 8:21:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nimpongeze Mhe. Rais kwa kumaliza siku 365, kwani sio kazi ndogo. Katika siku zake 365 bila wasiwasi kaendeleza yaliyofanywa na awamu Tano zilizopita na amerekebisha baadhi ya mambo ambayo yalihitaji kurekebishwa ili mambo yaende sawa,”
mtanzania Saturday, March 19, 2022 11:59:00 PM EAT
Nape Nnauye alisisitiza
:
“Wote kwa pamoja tuliofurahi na tulioguswa, tumuombee Rais Samia aweze kuongoza nchi yetu vizuri. Tumuunge mkono aendelee kukiandika kitabu cha awamu ya Sita,”
mtanzania Saturday, March 19, 2022 11:59:00 PM EAT
Nape Nnauye Amesema
:
“Niwapongeze kwa ubunifu mkubwa mliofanya, na hii imechagiza maono ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ya kufikisha huduma kwa wananchi na muwahamishe wananchi kutumia huduma hizo.”
habarileo Tuesday, March 15, 2022 8:04:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kwa bahati mbaya kwa muda sasa imeshindikana watu kuamini kwamba ufutaji wa Bunge Live halikuwa suala la serikali bali lilikuwa ni suala la bunge lenyeweNarudia kwa msisitizo suala la urushaji wa matangazo ya bunge ni suala la Bunge lenyewe,”
habarileo Tuesday, February 22, 2022 10:19:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kwenye vyombo vya habari hasa Print media (magazeti) hatuna mpango wa kufungiana, mpango wetu kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2016 ni kukushughulikia wewe uliyeleta shida (mwandishi),”
habarileo Tuesday, February 22, 2022 10:19:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Baada ya kuiunda Wizara hii, Rais Samia alituagiza tufanye mapitio ya sera zinazosimamia sekta ya habari, pia aliagiza tuweke utaratibu wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari na wahariri ili maudhui yao yawe na ubora na kukidhi mahitaji ya nchi,”
habarileo Sunday, February 20, 2022 11:03:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
"Media owners should continue paying what is due to journalists because it is their right. For other issues that are controversial we will use the constitution, procedures and for others we will use wisdom,"
BBCMonitoring Saturday, February 12, 2022 2:05:00 PM EAT
Nape Nnauye asked
:
"There is no need for discrimination - all have equal rights. They should all the given opportunities, have an equal procedure. If possible all government advertisements should come in turns to different media houses that if you give business to this media outlet, next time you give to another outlet, if we do not advertise with them, how will they operate?"
BBCMonitoring Saturday, February 12, 2022 2:05:00 PM EAT
Nape Nnauye said
:
"I have come to talk to you to explain the order of the government led by President Samia. In our information profession, what we are doing here is one of the directives given by the president that we should be close to the media sector. Let us exchange ideas and use what we have in government to enhance capacity, we sit and discuss to see how we can move together because you are stakeholders in the journey to the development of the country,"
BBCMonitoring Saturday, February 12, 2022 2:05:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Nape Nnauye
)
:
“Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri amesema hapa kuhusu magazeti yaliyofungiwa, kwamba lilitolewa agizo la Raisagizo la Rais ni sheria na sheria inatekelezwa, "Leo nitatoa leseni kwa magazeti manne yaliyokuwa yamefungiwa ambayo ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima" amesema Waziri Nape wakati akitangaza kuyafungulia magazeti hayo huku wahariri wakishangilia. Waziri huyo ambaye aliteuliwa Januari 8 mwaka huu kuiongoza wizara hiyo ameongeza kuwa "Ni vizuri kuondoka kwenye maneno tufanye vitendo hivyo tuanze na ukurasa upya sasa mwenye maneno yake aseme mwenyewe, kifungo kimetosha kikubwa kazi iendelee”
habarileo Thursday, February 10, 2022 2:40:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Leo (jana) tuko hapa kupokea maelekezo yako (Rais Samia) jinsi ya kwenda kasi kuhakikisha asilimia 100 zinakamilika ifikapo Mei, mwaka huu, tumepanga sensa ya watu na makazi itafanywa Agosti baadaye sasa bila kujua makazi ni vigumu kuyafanyia sensa, ndio maana mradi huu wa anuani za makazi ni muhimu kukamilika kabla ya zoezi la sensa,”
habarileo Wednesday, February 9, 2022 11:42:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Ukiwaacha waingie wote, hawa wa kwako watakufa tu kwa sababu mchakato wao mrefu. Mchakato wa manunuzi wa mashirika ya umma unaweza kuchukua miezi sita wakati sekta binafsi wanachukua siku mbili. Sasa wa kwako anapofanya uamuzi ameshaachwa na wenzake kwa miezi zaidi ya mitano,”
habarileo Friday, January 28, 2022 11:30:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Matokeo yake usimamizi wake unakuwa na tabu. Mengine ni ya kimaamuzi, kisera na kisheria sasa badala ya kutoa maagizo busara ni kukaa na mamlaka husika wazungumze,”
habarileo Friday, January 28, 2022 11:30:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Ukikuta laini za simu ni milioni 55 maana yake hizi kampuni zinagusa watu wengi lakini mchango wa sekta katika uchumi wa nchi ni mkubwa, wamewekeza fedha nyingi, wanalipa kodi na kuajiri Watanzania wengi,”
habarileo Tuesday, January 25, 2022 11:14:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
"Nimepewa salamu hapa kuwa miongoni mwa waliolala kwenye majeneza hapa mbele yangu hawajalipwa stahiki zao; natoa siku saba kwa waajiri wote wanaodaiwa kulipa stahiki zote za marehemu na kutoa taarifa ofisi ya mkuu wa mkoa,"
deutschewelle-sw Wednesday, January 12, 2022 8:16:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
"Nimepewa salamu hapa kuwa miongoni mwa waliolala kwenye majeneza hapa mbele yangu hawajalipwa stahiki zao; natoa siku saba kwa waajiri wote wanaodaiwa kulipa stahiki zote za marehemu na kutoa taarifa ofisi ya mkuu wa mkoa,"
deutschewelle-kisiwahili Wednesday, January 12, 2022 8:09:00 PM EAT
Nape Nnauye ameongeza
:
"Shughuli ngumu kwa sababu tumekuja kwenye jambo gumu ambalo ni pigo kwa tasnia yetu ya habari, kwa kanda ya Ziwa na nchi yetu,"
habarileo Wednesday, January 12, 2022 3:16:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Mkuu wa Mkoa baada ya siku saba ripoti kwangu niambie ambaye hajalipa tushughulike naye, kutolipwa haki za watu ni kuvunja Sheria, umemuajiri ili umlipe, inawezekana umepitia hali ngumu lakini hiyo ya hali ngumu tutazungumza baadaye kwa ambao wako hai, hawa marehemu natoa siku saba kuanzia leo kama kuna mtu hakulipwa haki zae familia yake ilipwe ,"
habarileo Wednesday, January 12, 2022 3:16:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about John Magufuli
)
:
“Samia pamoja na kuendeleza ndoto nzuri za Magufuli atafanya maboresho. Hakuna mtu anasema mazuri ya JPM yanatakiwa kuachwa, isipokuwa Rais atafanya maboresho yake, aachwe kufanya hivyo,”
habarileo Friday, April 16, 2021 9:33:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Ukusanyaji kodi unatakiwa kufanywa na watalaamu wa TRA badala ya kutumia vikosi kazi ambavyo havina utaalamu wa kufanya kazi hiyo,”
habarileo Wednesday, February 10, 2021 8:33:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Mama Salma
)
:
“Mama Salma anataka Mchinga ifanane na maeneo mengine ya nchi, ubunge sio kazi ya kwenda kujifunza, mtampeleka mtu kwenda kujifunza atamaliza miaka mitano akirudi amemaliza na wenzake wamegawana, na nyie miaka mitano mlimpeleka mtu rehani kwenda kujifunza, jamaa amejifunza amerudi anajua kuvaa suti mwisho wake nyinyi mmebaki na matatizo yenu,”
mtanzania Saturday, September 12, 2020 4:12:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Mimi nadhani eneo hili linatakiwa kupongezwa sana kwani hii imeajiri wafanyakazi zaidi ya 320,000 Doto na wenzako mmeitendea haki wizara,”
mtanzania Wednesday, April 22, 2020 12:50:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kazi ya kubadilisha utamaduni wa namna tunavyofanya mambo kwenye nchi yetu, tuliweka slogan (kaulimbiu) ya Hapa Kazi Tu, ilitokana na utamaduni watu waliokuwa wamejijengea, kupata kipato kikubwa hakilingani na kazi inayofanyika, kwenye uchumi vyuma vinakaza lakini vinakaza kwa sababu tulizoea dili, dili zikifungwa kwa vyovyote vile vyuma vinakaza,”
habarileo Wednesday, April 8, 2020 3:36:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Sina mashaka chama hiki kikifanya tathimini leo, ni wazi Magufuli ameifanya kazi vizuri na hivyo anastahili kupewa miaka mingine mitano ya kukamilisha kazi tuliyompa, lakini pia tumpe kazi nyingine kwa sababu amefanya kazi vizuri,”
mtanzania Tuesday, April 7, 2020 10:52:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about John Magufuli
)
:
“Mimi kama mwenezi mstaafu wa CCM ambaye nilisimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, nasema kazi ilifanyika vizuri na tuna sababu ya kumpa tena fursa John Magufuli,”
mtanzania Tuesday, April 7, 2020 10:52:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Mfano mtu unaweza kupata kipato kikubwa, lakini hakilingani na kazi anayofanya, wakati mwingine kuna biashara hewa, kazi hewa, kwenye uchumi vyuma vinakaza, lakini kwa sababu wakati mwingine tulizoea dili, dili zikifungwa kwa vyovyote vile vyuma vitakaza tu, ndio maana itabidi tumpe tena fursa,”
mtanzania Tuesday, April 7, 2020 10:52:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Mwalimu Nyerere
)
:
“Hata mitaani hali imebadilika kidogo watu wako ‘serious’, inawezakana kuna mapungufu, Mwalimu Nyerere alituambia kwamba ukiwa unasafisha nyumba unaweza ukafagia shilingi, sasa kufagia shilingi haifanyi nyumba isisafishwe… mapungufu ya hapa na pale katika kutengeneza mambo haya tunakanyagana vidole yatumike vizuri turekebishe mambo huko mbele,”
mtanzania Tuesday, April 7, 2020 10:52:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Ushauri wangu ni kwamba nadhani ni vizuri tukaitengea fedha ya kutosha studio hii na isiwe nyuma kwenye mabadiliko ya teknolojia, vifaa vya kisasa vitolewe ili iweze kufanya kazi vizuri na si vibaya pia ikawa sehemu ya kanuni za kudumu za Bunge,”
mtanzania Tuesday, April 7, 2020 10:52:00 AM EAT
Nape Nnauye amehoji
:
“Wakulima wanapatiwa magunia mawili. Serikali inatoa tamko gani kuokoa hali hiyo,”
mwananchi Tuesday, November 12, 2019 11:47:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Wengine wote wamelipwa mpaka jana, hawa 24 ni wale ambao unakuta kuna matatizo ya akaunti ya hapa na pale, lakini mheshimwa Rias tunakushuru kwa kuingilia kati kuhakikisha wakulima wanapata bei nzuri,”
mwananchi Tuesday, October 15, 2019 8:31:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Siwezi kupata maneno mazuri kutosha kukushukuru, nikuahidi jambo moja, kwetu sisi wewe umemaliza kazi, kazi iliyobaki ni kwetu kwenye serikali za mitaa, mwakani kwa madiwani,”
mwananchi Tuesday, October 15, 2019 7:35:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Mheshimiwa Rais kwa kuwa fedha za jimbo zimekwisha ingia nitachangia Sh10 milioni,”
mwananchi Tuesday, October 15, 2019 2:11:00 PM EAT
Nape Nnauye ameandika
:
"Simba amefunga macho! Nchi imepoteza kichwa chenye uwezo wa kipekee! Familia imepoteza muhimili muhimu! Mimi nimepoteza mentor and a friend! A man with great heart! Pumzika Baba!"
habarileo Tuesday, October 8, 2019 11:17:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Huu ulevi wa baadhi ya viongozi wa Afrika kutamani na kubadili ukomo wa wao kuwa madarakani ni ushetani na lazima upingwe kwa nguvu zote hasa na vijana kabla utaratibu huu haujaota mizizi na kusambaa. Hii ni zaidi ya kansa"
jamiiforums Saturday, September 21, 2019 10:51:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Hivyo mheshimiwa Rais kama mzee wangu, baba yangu nashukuru sana kwa fursa uliyonipa, lakini kwa kunisikiliza na kunisamehe, lakini pia kwa kunishauri na kunielekeza ninafanyeje huko mbele ninapokwenda,”
mtanzania Wednesday, September 11, 2019 12:17:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kwa hiyo baada ya kupata fursa nimekuja nimemuona, na mle ambamo nilimkosea kama baba yangu nimeongea naye na baba amenielewa, ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri ambao nitaufanyia kazi na naamini baada ya hapa mambo yatakwenda vizuri, na kwa kweli kwa dhati ya moyo wangu nimshukuru sana sana, amenipa fursa kubwa, ndefu na ameongea maneno mengi kwangu na ushauri wake nimeuchukua,”
habarileo Wednesday, September 11, 2019 10:20:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
“I have come here to see him (the president) as my father, CCM chairman and as the president because you are all well aware of, what happened recently,”
theCitizen Tuesday, September 10, 2019 6:15:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Rais Magufuli
)
:
"Kwanza nimekuja kumuona baba yangu lakini Mwenyekiti wa Chama changu, Rais wangu kwasababu wote mnajua mambo yaliyopita au kutokea hapo katikati na mimi kama mtoto wa CCM, kama mwanae, nimeona ni vizuri nije niongee na Baba yangu. Nashukuru kwamba amenipa fursa ya kuja kumuona na ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri na kwakweli kwa dhati ya moyo wangu nishukuru sana amenipa fursa kubwa sana"
jamiiforums Tuesday, September 10, 2019 6:06:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Namshukuru Mheshimiwa Rais kwa kukubali ombi lake la kukutana naye na kunisikiliza,, kwa hiyo baada ya kupata fursa nimekuja nimemuona, na mle ambamo nilimkosea kama baba yangu nimeongea naye na amenielewa, ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri ambao nitaufanyia kazi na naamini baada ya hapa mambo yatakwenda vizuri, na kwa kweli kwa dhati ya moyo wangu nimshukuru sana sana, amenipa fursa kubwa, ndefu na ameongea maneno mengi kwangu na ushauri wake nimeuchukua”
mtanzania Tuesday, September 10, 2019 4:34:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Rais Magufuli
)
:
"Kwanza nimekuja kumuona baba yangu lakini Mwenyekiti wa Chama changu, Rais wangu kwasababu wote mnajua mambo yaliyopita au kutokea hapo katikati na mimi kama mtoto wa CCM, kama mwanae, nimeona ni vizuri nije niongee na Baba yangu. Nashukuru kwamba amenipa fursa ya kuja kumuona na ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri na kwakweli kwa dhati ya moyo wangu nishukuru sana amenipa fursa kubwa sana"
jamiiforums Tuesday, September 10, 2019 4:16:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Uteuzi wa Hussein Bashe na Simbachawene ni katika teuzi bora kabisa, ninawapongeza na kuwatakia majukumu mema! Kaka January karibu ‘back bench’, hongera kwa utumishi wako,”
mtanzania Tuesday, July 23, 2019 11:03:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“sauti zinazoenea mitandaoni nimezisikia, uchezeaji wa sauti za watu ina sheria katika nchi yetu na ndani yake kuna jinai”
mwananchi Sunday, July 21, 2019 5:27:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Pamoja na kufuta tozo ya visima sasa fikirieni kufuta kodi kwenye mitambo ya kuchimba visima vya maji. Mitambo hii itasaidia kuchimba visima pamoja na malango kwa ajili ya umwagiliaji,”
habarileo Sunday, June 23, 2019 8:14:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Kilimo kinazalisha ajira asilimia 65 na asilimia 85 ya bidhaa tunazouza nje zinatokana na kilimo. Kilimo kinachangia pato la taifa kwa asilimia 29 na asilimia zaidi ya 100 chakula nchini kinategemea kilimo,”
mwananchi Tuesday, June 18, 2019 5:16:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Hili ndilo eneo kubwa na kupanga ni kuchagua. Kama tunataka kushughulika na umasikini na watu wengi zaidi fedha nyingi zingekwenda huko,”
mwananchi Tuesday, June 18, 2019 5:16:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Katika mapendekezo ya Serikali katika bajeti ya 2019/2020 tumejikita kwenye tozo katika baishara ila kwenye kilimo tumefumba macho,”
mwananchi Tuesday, June 18, 2019 5:16:00 PM EAT
Nape Nnauye alisisitiza
:
“Kama nilivyosema, Rais alikuwa na nia njema, lakini wengi wamemdanganya. Sasa ni vizuri wawajibike na mheshimiwa Spika ni vizuri tukawa specific. Si sahihi kuiingiza Serikali katika mambo yaliyofanyika ovyo,”
jamiiforums Monday, June 3, 2019 5:57:00 AM EAT
Nape Nnauye said
(
about Humphrey Polepole
)
:
“I cannot respond to your question until I personally hear what he (Polepole),”
theCitizen Sunday, June 2, 2019 11:04:00 AM EAT
Nape Nnauye alisisitiza
:
“Kama nilivyosema, Rais alikuwa na nia njema, lakini wengi wamemdanganya. Sasa ni vizuri wawajibike na mheshimiwa Spika ni vizuri tukawa specific. Si sahihi kuiingiza Serikali katika mambo yaliyofanyika ovyo,”
mwananchi Saturday, June 1, 2019 6:04:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Licha ya ATCL kuboresha huduma zao kumeanza kujitokeza tatizo la ucheleweshaji wa ndege”
habarileo Friday, May 31, 2019 11:41:00 AM EAT
Nape Nnauye amehoji
:
“Kumekuwa na ucheleweshaji wa safari za ndege na muda husogezwa na wakati mwingine bila taarifa sahihi, nini kinachangia jambo hili,”
mwananchi Thursday, May 30, 2019 12:22:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Fikilieni tuigawe Tanesco kwa maana ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji yawe yanajitegemea na upande wa uzalishaji ni vizuri tukavutia wawekezaji wa sekta binafsi wakazalisha na kusambaza,”
mwananchi Wednesday, May 29, 2019 1:51:00 PM EAT
Nape Nnauye alisisitiza
(
about Rais Magufuli
)
:
“Kama nilivyosema, Rais alikuwa na nia njema, lakini wengi wamemdanganya. Sasa ni vizuri wawajibike na mheshimiwa Spika ni vizuri tukawa specific. Si sahihi kuiingiza Serikali katika mambo yaliyofanyika ovyo,”
mwananchi Tuesday, May 21, 2019 12:27:00 PM EAT
Nape Nnauye said
(
about John Magufuli
)
:
“President John Magufuli intended well when he directed that the government should purchase the crop. But those who executed the President’s directive did not do justice,”
theCitizen Tuesday, May 21, 2019 10:57:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
“As I said earlier, the President had good intentions; but those who implemented the directive provided him with false information regarding the implementation. The perpetrators are known, and if they do not take responsibility on their own volition, we will name them all, as what they did amounts to sabotaging the cashew subsector and the economy at large,”
theCitizen Tuesday, May 21, 2019 10:57:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Nia ya Rais ilikuwa njema kabisa lakini waliokwenda huko wamefanya mazonge na mambo ya hovyo, hapa tukubaliane siyo Serikali yote imeharibu bali wako waliofanya mambo ya hovyo, ni vema wakawajibika ama kuwajibishwa,"
mwananchi Monday, May 20, 2019 12:35:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Nia ya Rais ilikuwa njema kabisa lakini waliokwenda huko wamefanya mazonge na mambo ya hovyo, hapa tukubaliane siyo Serikali yote imeharibu bali wako waliofanya mambo ya hovyo, ni vema wakawajibika ama kuwajibishwa,"
jamiiforums Monday, May 20, 2019 12:32:00 PM EAT
Nape Nnauye said
:
“this is contempt of Parliament. If the government cannot work on our recommendations, what are we here for?”
theCitizen Saturday, May 4, 2019 10:32:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kuna kigugumizi gani kwa serikali kupitisha shilingi hamsini kwa miaka mitatu hoja hii inaletwa, lakini serikali inabaki na msimamo wake,”
habarileo Friday, May 3, 2019 11:11:00 AM EAT
Nape Nnauye asked
:
“This is contempt of Parliament. If the government cannot work on our recommendations, what are we here for. Why does the government consider itself as having the final say over the matter,”
theCitizen Friday, May 3, 2019 9:20:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Sasa ni muda muafaka kwa tozo ya Sh, 100 badala ya Sh, 50, kukuza mfuko wa Taifa wa maji,”
mtanzania Thursday, May 2, 2019 10:22:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Huu mfuko wa maji jadilianeni mnavyoweza hadi tuone kuna ongezeko la fedha za kutosha ili wananchi wetu vijijini wapate maji, vinginevyo mtatuona wabunge wabaya,”
mtanzania Thursday, May 2, 2019 2:23:00 PM EAT
Nape Nnauye ameandika
(
about Reginald Mengi
)
:
“Nimejifunza mengi kwako, rafiki, mshikaji, kiongozi na mzazi! Ulinifundisha kuwa kukata tamaa ni dhambi! Msalimie Mzee Sitta, mkumbushe kile kikao chetu Cha mwisho nyumbani kwako. Pumzika kwa Amani Dr. R. A Mengi”
habarileo Thursday, May 2, 2019 2:03:00 PM EAT
Nape Nnauye ameandika
:
"Ulinifundisha kuwa kukata tamaa ni dhambi,"
bbc-swahili Thursday, May 2, 2019 9:10:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Binafsi naamini mtu huyo hakutumwa na Serikali bali alifanya vile kwa ujinga wake. Kwa hiyo naiomba Serikali ijitenge na matukio ya aina hii na wale inaowatuma wawe wanafanya mambo kwa kutumia akili,”
mtanzania Saturday, April 27, 2019 12:21:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Ninaamini (mtu huyo) hakutumwa na Serikali, alifanya kwa ujinga wake wa kutotumia busara kutekeleza kazi aliyotumwa. Serikali ni vizuri ikajitenga na matukio haya, busara ndogo ya kumaliza mambo haya ili wanaotumwa kutekeleza majukumu wakatumia busara,”
mwananchi Saturday, April 27, 2019 10:09:00 AM EAT
Nape Nnauye amehoji
:
"Mheshimiwa mwenyekiti, mimi ni product (zao) ya Kivukoni, sikubaliani na wazo la kukipandisha hadhi chuo hicho, lengo la chuo lilikuwa ni kufundisha viongozi, je Serikali haioni umuhimu wa kukirudisha katika hali yake ili tufundishe viongozi ambao tunaona kuna haja hiyo,"
mwananchi Friday, April 12, 2019 6:49:00 PM EAT
Nape Nnauye amehoji
:
"Mheshimiwa mwenyekiti, mimi ni product (zao) ya Kivukoni, sikubaliani na wazo la kukipandisha hadhi chuo hicho, lengo la chuo lilikuwa ni kufundisha viongozi, je Serikali haioni umuhimu wa kukirudisha katika hali yake ili tufundishe viongozi ambao tunaona kuna haja hiyo,"
mwananchi Friday, April 12, 2019 1:34:00 PM EAT
Nape Nnauye akaandika
(
about Nape Nnauye
)
:
“Nape kuwa mtulivu tu mambo ya kisiasa ndo yalivyo. Na huwa yanapita”
jamiiforums Wednesday, March 27, 2019 7:28:00 AM EAT
Nape Nnauye akajibu
:
“Bro ukirudi bungeni 2020, basi itakuwa ajabu”
jamiiforums Wednesday, March 27, 2019 7:28:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nilipokuwa waziri yapo mengi ambayo niliyafanya watu wakanisifu, lakini ilikuwa ni akili ya Ruge. Lakini pia alinifuata Dodoma na kunieleza changamoto za king’amuzi, nilipokea ushauri wake na kuufanyia kazi,”
mtanzania Friday, March 1, 2019 12:16:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Hakuna CCM imara kama hakuna upinzani imara. Tunategemeana na namna ya kutegemeana ni kushindana kwa hoja,”
mwananchi Wednesday, February 20, 2019 12:15:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“nina misimamo yangu, unaweza kutafsiri utakavyoelewa ila ukweli nikiamini la kwangu nalisimamia, ukitaka niamini lako nishawishi kwa hoja naweza kuelewa na kubadilika kulingana na hoja utakazokuja nazo. Ndio hapo ninapopishana na watu wengi wakisema nina msimamo mkali, naamini mwanasiasa mzuri ni mwenye kujenga na kubomoa hoja ya mwenzako tukiishi hivyo tutakwenda vizuri,”
mwananchi Tuesday, February 19, 2019 12:45:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nimewasamehe wote waliohusika katika utaratibu mzima, nawafahamu waliopanga na waliosimamia utekelezaji wa jambo lile, niliwasamehe wote kwa kuwa sikuona kama ingekuwa na matokeo mazuri,”
mwananchi Tuesday, February 19, 2019 12:45:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about John Magufuli
)
:
“Nilitamani ule mkutano ungeenda vizuri maana ulikuwa na nia njema ya kuweka sawa mwonekano wa Serikali na chama changu (CCM), sikuwa na nia ya kumchafua mtu tena nilitaka nimshukuru Rais (John Magufuli) na niliandika kabisa nilichotaka kusema nikawaonyesha baadhi ya watu wakaona iko sawa, nimefika pale nakuta vijana wamejipanga,”
mwananchi Tuesday, February 19, 2019 12:45:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Serikali haichelewi wala haiwahi, sioni kama kuna haja ya kutoa kauli ambazo hazijafanyiwa utafiti wa kutosha, unasema kiasi fulani cha fedha kimenunua korosho wakati huku chini hazipo, inaweza ikatokea watu wa Mtama wakaona kumbe ni wao tu ndiyo hawajalipwa wengine wamelipwa,”
mwananchi Monday, February 18, 2019 8:21:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nimejiuzulu nikafanye kazi jimboni, mijadala yote inayoendelea itakuja tu na niseme kwamba kujiuzulu kwangu kunaweza kuwa na sababu nyingi lakini kubwa mjue ile niliyoandika katika barua na kumpa Spika ni yenyewe, hayo mengine nawaacha watu wajadili,”
mwananchi Wednesday, February 13, 2019 10:46:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Tumeanza na mradi wa ndege pale tumenunua kwa fedha za serikali lakini hii ndio njia pekee ambayo mwingine anaweza kuamini hivyo na kupishana namna ya kutengeneza, sio jambo baya na tungepishana katika miradi yenyewe ingekuwa jambo tofauti sana lakini tunapishana katika utekelezwaji,”
mtanzania Monday, February 11, 2019 1:18:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Leo kwa mfano nataka kujenga barabara ya Dar es Salaam kuelekea Dodoma huko kwengine duniani tungeweza kutandaza laini nane lakini akaja mwekezaji binafsi wakajenga halafu wakatoza fedha za ushuru wa barabara likawezekana ,”
mtanzania Monday, February 11, 2019 1:18:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Juzi napita pale darajani Kigamboni nalipia lakini wakati natoa fedha naona naambiwa hapana wabunge hawalipii nalo nikashangaa, wakati sisi ndio wenye hela tulipaswa kulipa maana wanalipia mpaka wauza madafu pale nikampa hela nikamwambia lete risiti,”
mtanzania Monday, February 11, 2019 1:18:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nimejiuzulu ili nikafanye kazi jimboni mijadala yote inayoendelea itakuja tu na niseme kwamba kujiuzulu kwangu kunaweza kuwa na sababu nyingi lakini kubwa mjue ile niliyoandika katika barua na kumpa Spika ni yenyewe hayo mengine nawaacha watu wajadili,”
mtanzania Monday, February 11, 2019 1:18:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nataka niwaombe wenzangu, kwanza nimshukuru Waziri na nimshukuru Rais kwa kulifuta hili shamba kwa niaba ya wakulima, sasa tutakwenda kuligawana vizuri,”
mtanzania Wednesday, February 6, 2019 2:47:00 PM EAT
Nape Nnauye ameandika
:
“Niliposoma upuuzi huu sasa ninaamini CCM imevamiwa na wasaka tonge wasiojua imani wala itikadi ya chama. Hawana wanachoamini isipokuwa matumbo yao! Uongo huu ni kwa faida ya nani? Watatoka wao, wenye chama tupo sana!”
mwananchi Thursday, December 6, 2018 8:47:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kama mtu anaweza kutunga uongo ili kumchafua mtu maana yake hawajali chama hao”
mwananchi Thursday, December 6, 2018 8:47:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"TCRA nawaomba mambo mengine msifumbue mamcho yote fungeni jicho moja ili mambo yaende mbele. Mnalo jukumu la kivilea vyombo vya habari na ni kawaida mtoto anayekuwa kuanguka na kujikwaa hivyo wakati mwingine muwaonyee tu sio kuwachapa kila wakati,"
mwananchi Wednesday, March 8, 2017 8:58:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Michezo ya mwaka huu haitakuwa kama matamasha kwamba vijana washiriki na kuondoka kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Tamisemi tumechagua shule 52, nchi nzima ambazo wanafunzi watakaifanya vizuri watapelekwa na kuendelea na masomo,"
mwananchi Wednesday, March 1, 2017 6:54:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Tumedhamiria kuona timu hii inafanya maandalizi makubwa na nimeongea na Malinzi asubuhi hii yuko Morocco akiweka sawa kambi ya vijana,"
mwananchi Tuesday, February 28, 2017 11:47:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Michezo ya mwaka huu haitakuwa kama matamasha kwamba vijana washiriki na kuondoka kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Tamisemi tumechagua shule 52, nchi nzima ambazo wanafunzi watakaifanya vizuri watapelekwa na kuendelea na masomo,"
mwananchi Tuesday, February 28, 2017 11:47:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Serikali ilikuwa inatafuta namna ya kushirikiana na kusapoti michezo lakini kwa TFF kuanza na jambo, hili tunawaunga mkono,"
mwananchi Thursday, February 23, 2017 3:57:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
"Zisomeni sheria, taratibu na kanuni, tulizonazo na kunielewa...kama ipo inayoonekana kukwaza tasnia ya habari, wizara ipo tayari kukaa chini na kuifanyia marekebisho,"
mwananchi Monday, February 13, 2017 7:22:00 PM EAT
Nape Nnauye aliandika
:
“Mungu Mkubwa! Tumefuzu kwenye fainali za Afrika chini ya umri wa miaka 17. Nia, uwezo na sababu za kuchukua kombe hili tunazo. Hongera TZ”
mwananchi Saturday, February 4, 2017 4:36:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kamati Kuu imeazimia kufanya uhakiki wa wanachama wake, tumeona ipo haja ya kufanya uhakiki wa wanachama wetu na jumuiya zake ili kujua idadi sahihi ya wanachama wetu kwa wakati huu kwa sababu kila kukicha wanachama wanaongezeka na kuna hisia wapo wengine ni hewa,”
mwananchi Tuesday, December 13, 2016 6:47:00 PM EAT
Nape Nnauye told
:
"This is not a strange thing. It is within our routine to review the elections and outline areas where we didn't't perform well,"
BBCMonitoring Tuesday, December 13, 2016 4:28:00 PM EAT
Nape Nnauye told
:
"There are a number of issues, which were raised in the report. All the recommendations to be taken, including making changes, will be decided during the meeting on Tuesday (tomorrow),"
allafrica Monday, December 12, 2016 9:47:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Vyombo vya dola kukamata mitambo na vifaa vya mwanahabari, badala yake kama kuna tuhuma kwamba chombo chochote kimetenda kosa na kuna haja ya kuzuia baadhi ya vifaa vyake kama sehemu ya vielelezo vya kesi, basi kazi hiyo ya upekuzi ifanywe na polisi kwa mujibu wa mfumo uliopo sasa wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA),”
mtanzania Saturday, November 5, 2016 10:05:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Sehemu ya II, inahusika na Idara ya Habari kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, majukumu ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari, aina za umiliki wa vyombo vya habari, haki na wajibu kwa vyombo vya habari kutoa habari kwa umma na Serikali. Kuainisha wajibu wa vyombo vya habari binafsi kutoa habari na kulinda maadili ya kitaaluma ya vyombo vya habari na utoaji leseni kwa magazeti,”
mtanzania Saturday, November 5, 2016 10:05:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Rais Dk
)
:
“Sehemu hii imeanisha utangazaji wa mambo yenye kashfa yanayoruhusiwa ikiwa mambo hayo yatatangazwa na Rais, Serikali au Bunge au jambo lolote litakalotangazwa mahakamani wakati wa kusikiliza shauri la kutangazwa kwa jambo lolote kwa mujibu wa sheria,”
mtanzania Saturday, November 5, 2016 10:05:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Wanahabari wakisimama katika maadili yao na kutii sheria hawana sababu ya kuhofu vifungu hivi, Serikali itakuwa mlinzi wao namba moja,”
mtanzania Saturday, November 5, 2016 10:05:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Zitto Kabwe
)
:
“Naona juhudi kubwa za Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, kujaribu kupotosha jamii kwa kutosema ukweli kuhusu masuala kadhaa yahusianayo na Muswada wa Huduma za Habari, 2016. Kwa kawaida mimi huwa si mtu wa kujibu hoja zinazotolewa kinafiki na kioga kama alivyofanya rafiki yangu Zitto. Kwa hali ya kawaida ningeweza kumpuuza kabisa, lakini kwa hili uvumilivu wangu kwa kiwango hiki cha unafiki umefikia ukingoni. Hivyo nitalazimika kujibu baadhi ya hoja,”
mtanzania Saturday, October 22, 2016 11:30:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
"There have been repeated calls for clubs and football fans to conduct themselves with civility at the stadium, but it seems the appeals have fallen on deaf ears. We expect these two clubs to be exemplary. They now must foot the repair bill,"
allafrica Monday, October 3, 2016 2:04:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
"Simba na Yanga hawatoutumia tena uwanja huu mpaka pale Serikali itakapoona kuwa mazingira yanaruhusu,"
mwananchi Sunday, October 2, 2016 1:12:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Kwanini mnapenda kuzungumzia mabaya tu, tupeni muda mwisho wa mchezo tutajua kama mfumo umeshindwa au la, lakini sasa ni mapema kusema hivyo,”
mwananchi Saturday, October 1, 2016 2:55:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Wakati wakiwa katika michakato hiyo ni vizuri kuzingatia historia ya klabu hizo, pia ni lazima mikataba hiyo iridhiwe kwa dhati si kwa ushawishi wa fedha,”
mtanzania Tuesday, September 27, 2016 12:54:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kama michakato ikiendeshwa vizuri kwa kuzingatia sheria na mambo mengine niliyoyaeleza, jambo hili litakuwa lenye tija hata hivyo hatutasita kuingilia kati kama hakutakuwa na utaratibu wenye kufuata sheria,”
mtanzania Tuesday, September 27, 2016 12:54:00 PM EAT
Nape Nnauye said
:
"This is our Bill. It's vital that we deliberate on best practices to improve it than pointing accusing fingers at one another,"
allafrica Monday, September 19, 2016 1:06:00 PM EAT
Nape Nnauye said
:
"By enabling these girls and boys to showcase their talents, you are actually helping to transform the lives of youth because football means more than just entertainment. It is an engagement, exposure and above all, it is a source of employment,"
allafrica Tuesday, September 13, 2016 2:15:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Michezo ya Umisseta na Umitashumta imekuwa ikifanyika kama matamasha, ikifika kilele hakuna matokeo yanayoendelezwa, hivyo Serikali inajipanga kuhakikisha wanaofanya vizuri wanapelekwa kwenye shule maalumu zinazotengwa kwenye mikoa na wilaya ili kuendeleza vipaji vyao,”
mtanzania Wednesday, September 7, 2016 1:16:00 PM EAT
Nape Nnauye said
:
"I know, deep in his heart, the MP, who is a well known sportsman does not want the government to do away with sports rather, he wants strategies of improving the sector,"
allafrica Wednesday, September 7, 2016 11:37:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Nawashauri wadau wa michezo nchini kwamba mbali na kutoa pongezi binafsi kutokana na juhudi za Simbu, pia tufanye jambo la kuwapongeza washiriki wote waliokwenda kushiriki michezo ya Olimpiki kwa kuthamini mchango wa kila mmoja wao,”
mtanzania Thursday, August 25, 2016 11:54:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
"The newspaper has violated the Newspaper Act of 1976,"
coastweek Friday, August 12, 2016 2:19:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about John Magufuli
)
:
“Serikali kwa masikitiko makubwa imelazimika kilifungia Gazeti la Mseto kutokana na mwenendo wa uandishi wa kuandika na kuchapisha habari za uongo kwa nia ya kumchafua Rais wetu wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli na viongozi wa Serikali,”
mtanzania Friday, August 12, 2016 10:11:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
"The appointment of Mr Abbas was carried out as per the Public Service Act No 8 Section 6(1) (b) and became effective on August 5, this year,"
allafrica Wednesday, August 10, 2016 10:08:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
“Any person who will violate the government decision by publishing his or her newspaper after the deregistration will face legal action,”
coastweek Friday, July 15, 2016 10:36:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
"Any person who will violate the government decision by publishing his or her newspaper after the deregistration will face legal action,"
xinhuanet_en Thursday, July 14, 2016 2:35:00 AM EAT
Nape Nnauye said
:
"Any person who will violate the government decision by publishing his or her newspaper after the deregistration will face legal action,"
xinhuanet_en Thursday, July 14, 2016 2:35:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Tuache sasa kupanga mipango ya matumizi ya ardhi bila kuweka maeneo kwa ajili ya michezo. Kuna maeneo mengi yanapangwa matumizi kwa ajili ya makazi halafu wanasahau kuwa katika makazi ni vizuri kukawa na maeneo kwa ajili ya michezo,”
mwananchi Wednesday, July 6, 2016 12:46:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Jambo moja ni kwamba kupitia studio za Bunge matangazo yatarushwa moja kwa moja na redio zote zinaweza kupokea matangazo hayo na zenyewe zikarusha. Hii itasaidia hata kupunguza gharama kwa sababu zamani ilikuwa ni lazima utume wa waandishi upeleke vifaa, sasa hii redio nyingi hasa hizi za kijamii haziwezi kumudu,”
wavuti Tuesday, June 28, 2016 9:14:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kila shabiki atatumia sekunde tano tu katika mashine ya kutambua uhalali wa tiketi yake, hii itasaidia kuondoa tatizo lililokuwepo awali”
mwananchi Monday, June 27, 2016 1:58:00 PM EAT
Nape Nnauye amesema
:
“Yeye alikuwa alama ya ufisadi alipoondoka aliturahisishia kazi. Watu walikuwa wanahusisha ufisadi na umaskini, walichoka na walikuwa radhi kuchagua hata jiwe lakini si CCM”
mwananchi Monday, June 20, 2016 7:41:00 AM EAT
Nape Nnauye said
(
about São
)
:
"Madam Deputy Speaker, in Africa, there are only seven countries that have not yet ratified the convention. They include the Central African Republic, Guinea Bissau, Mauritania, Sao Tome and Principe, Sierra Leone, South Sudan and Tanzania,"
allafrica Tuesday, June 7, 2016 1:23:00 PM EAT
Nape Nnauye explained
:
"Each country is governed by the three official arms of the state where the government leads development policies in one part while the judiciary is charged to translate the country's laws and at the other side there is the legislature that is envisaged to pass various legislation and laws that our country follows,"
allafrica Tuesday, May 24, 2016 1:48:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Mchakato huu ni muhimu na kama hautafanyika vizuri tutaichafua nchi yetu. Wadau washirikishwe na waridhike kwani kusipokuwa na uwazi kutaleta shida huko mbele”
mwananchi Tuesday, March 17, 2015 10:15:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Uamuzi wa Kamati Kuu ni kuwasimamisha uongozi wao kwenye vikao vya chama, kwamba wasihudhurie vikao vya chama vya Kamati Kuu kwa yule mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kwa wajumbe wake, kwa kipindi ambacho Kamati hii ndogo ya Maadili wakiendelea kupitia nyaraka mbalimbali zinazohusu suala hili,”
habarileo Sunday, March 1, 2015 7:17:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
"Uamuzi wa Kamati Kuu ni kuwasimamisha uongozi wao kwenye vikao vya chama, kwamba wasihudhurie vikao vya chama vya Kamati Kuu kwa yule mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kwa wajumbe wake, kwa kipindi ambacho Kamati hii ndogo ya Maadili wakiendelea kupitia nyaraka mbalimbali zinazohusu suala hili,"
wavuti Sunday, March 1, 2015 7:00:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Mwaka 1995 Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kusema ‘msinipe mgombea ambaye nikisimama naanza kumsafisha kwanza.’ Tutatafuta mgombea wa kumuombea kura,”
mwananchi Tuesday, February 10, 2015 8:26:00 AM EAT
Nape Nnauye alisema
(
about Chama Cha
)
:
"Chama hiki kina mfumo na taratibu ambazo haziwezi kusukumwa na presha za wapambe wa mgombea yeyote, na hata kumbukumbu zinaonyesha kwamba katika chaguzi zilizopita, wamewahi kuwepo wagombea wenye makundi yenye presha kiasi cha kudhaniwa ndio wangeteuliwa, lakini baada ya kufika mbele ya taratibu na kanuni waliachwa na nafasi kupewa wengine"
wavuti Monday, February 9, 2015 11:25:00 PM EAT
Nape Nnauye alisema
:
“Kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, waandishi wa habari mnapaswa kuandika habari za wagombea wa nafasi mbalimbali kwa usahihi na weledi ili kuepusha nchi kuingia katika machafuko,”
habarileo Friday, February 6, 2015 1:33:00 AM EAT
Nape Nnauye amesema
(
about Sisi
)
:
“Sisi tupo kuimarisha ushirikiano na TSN, tunawashukuru kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuendelea kutoa taarifa sahihi kwa wananchi, kama chama tutaongeza utayari wetu kuhakikisha mnapata taarifa sahihi,”
habarileo Friday, February 6, 2015 1:33:00 AM EAT