John Heche

Last updated on 2013-11-19T23:51+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

John Heche said ( about Health Centre ) : “For the five years, under Chadema, we have built nine heath centres among them Sirari Health Centre that is of high standards,” External link

theCitizen Friday, October 2, 2020 12:16:00 PM EAT

John Heche said : “We have improved and availed infrastructure to 102 primary schools, constructed roads in the villages to murram standards and dug wells to ease water problems,” External link

John Heche said ( about Freeman Mbowe ) : “I left Mbowe in the farm when they came to pick me, But according to to what the party and our wellwishers have done the Chairman should be with us anytime soon,” External link

theCitizen Friday, March 13, 2020 1:32:00 PM EAT

John Heche said : “I will fight in Chadema to make sure our party gains public power” External link

theCitizen Sunday, February 16, 2020 10:26:00 AM EAT

John Heche alisema : “Hata ukienda polisi wilayani Tarime utakuta polisi wanafanya doria na kama sheria ipo naomba mwongozo ili watu wengi wasionewe,” External link

mtanzania Tuesday, February 4, 2020 8:57:00 AM EAT

John Heche alisema : “Ukiangalia kila sehemu ushindani ni mkali sana na hii ni dalili chama kinakuwa na nguvu na kina watu wenye uwezo, kwa hiyo ni uchaguzi mgumu,” External link

mwananchi Tuesday, November 26, 2019 7:57:00 PM EAT

John Heche amesema : "Mimi ninakaa Tarime karibu kilometa 1,600 kutoka Dar, hapa mjini sina familia wala mke, ila tangu kesi hii ianze sijawahi kuchelewa mahakamani wala kuonywa, ila siku ya kesi tukiwa njiani na Msigwa gari iligongwa, ikabidi tutafute sehemu ya kuiweka na kisha tukachukua bodaboda lakini tulipofika mahakamani tukakutana na wenzetu ndio wanatoka," External link

mwananchi Thursday, November 21, 2019 3:40:00 PM EAT

John Heche alisema : “Mwaka 2009 serikali iliingia mkataba na kampuni moja ya China kwa ajili ya kuendeleza mradi wa Mchuchuma na Liganga, serikali ilitakiwa kumiliki asilimia 20 na hiyo kampuni asilimia 80, na mwaka 2010 mradi ulipaswa kuanza, na thamani ya mradi ni dola za Marekani ni milioni tatu,” External link

habarileo Friday, November 8, 2019 10:41:00 AM EAT

John Heche ameandika : "Tarime haiwezi kuwa ya kijani, itabaki kuwa nyekundu" External link

jamiiforums Sunday, October 6, 2019 10:59:00 PM EAT

John Heche said : "I suggest the House to postpone its business to discuss this xenophobic issue. Several governments have already voiced against the habit as a chair of Sadc, Tanzania government should also condemn this," External link

theCitizen Wednesday, September 4, 2019 3:38:00 PM EAT

John Heche amesema : “Makamba alionyesha weledi wa hali ya juu katika kushughulikia suala la katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki. Mimi nilitarajia kupongezwa na kupewa zawadi,” External link

mwananchi Sunday, July 21, 2019 12:04:00 PM EAT

John Heche amesema : “Mtu kama huyo anayejali maisha ya watu na kutoa suluhu ili kunusuru uhai wa binadamu usingetegemea kuona anatenguliwa,” External link

John Heche aliuliza ( about Tundu Lissu ) : "Lissu alipigwa risasi mchana kweupe wakati wa vikao vya bunge, hakuna mtu amekamatwa mpaka sasa, hakuna mtu alienda kumuona hospitali akiwemo spika mwenyewe....Leo. wanamvua ubunge?" External link

bbc-swahili Saturday, June 29, 2019 8:03:00 PM EAT

John Heche ameandika ( about Tundu Lissu ) : “Lissu alipigwa risasi mchana kweupe wakati wa vikao vya bunge, hakuna mtu amekamatwa mpaka sasa, hakuna mtu alienda kumuona hospital akiwemo spika mwenyewe....Leo wanamvua ubunge?” External link

jamiiforums Saturday, June 29, 2019 3:25:00 PM EAT

mwananchi Saturday, June 29, 2019 1:16:00 PM EAT

John Heche told : "For example, organizations like the LHRC that reveals atrocities committed by security organs,”" External link

dw-en Friday, June 28, 2019 7:24:00 PM EAT

deutschewelle-en Friday, June 28, 2019 7:14:00 PM EAT

John Heche alisema : “Hii ni bajeti yenu ya nne na ya mwisho kwa kuwa naamini inayokuja itatekelezwa na Serikali nyingine maana hamtakuwa madarakani, mlitoa ahadi za uongo kuwa kila kijiji mtapeleka Sh50milioni, hivi fedha ziko wapi? Hili haliwezi kupita hivihivi,” External link

mwananchi Thursday, June 20, 2019 11:20:00 AM EAT

John Heche alisema : “Mtawaajiri lini watoke nyumbani, je mnatakiwa kuchaguliwa kweli? Msiwambie watu wale mtori nyama iko chini, wanataka kula nyama kama nyie. Wambieni mnatoa lini ajira,” External link

John Heche alisema : “Na ikiwa Serikali iliwadanganya Watanzania ni lini itajitokeza hadharani kufafanua jambo hili ambalo limegubikwa na sintofahamu wakati Watanzania wakiendelea kusubiri magari ya Noah nchi nzima kama ilivyoahidiwa na Serikali?” External link

mwananchi Tuesday, May 28, 2019 1:11:00 PM EAT

John Heche alihoji ( about Palamagamba Kabudi ) : “Hivi kama gazeti, mwandishi mmoja anaweza kujua haina ofisi, Serikali inashindwa, gavana, mawaziri watano akiwamo Profesa Palamagamba (Kabudi). Yaani gazeti linaweza kuchunguza kuliko Serikali nzima,” External link

mwananchi Sunday, May 19, 2019 9:24:00 AM EAT

John Heche alisema ( about Esther Matiko ) : “Yaani mtu anakuja hapa anasema alikuja na ndege? Mimi na Esther Matiko (Mbunge wa Tarime Mjini-Chadema) tunakodi helkopita tunakwenda Tarime kwa hiyo sisi ni wafanyabiashara,” External link

John Heche amehoji ( about Palamagamba Kabudi ) : “Hivi kama gazeti, mwandishi mmoja anaweza kujua haina ofisi, serikali inashindwa, gavana, mawaziri watano akiwamo Profesa Palamagamba (Kabudi). Yaani gazeti linaweza kuchunguza kuliko serikali nzima,” External link

mwananchi Friday, May 17, 2019 8:36:00 PM EAT

John Heche amehoji : “Niwaombe wabunge tuibane serikali itoe fedha, kila kitu tutakuwa tunaongeza kwenye mafuta hadi lita ifike Sh, 4, 000?,” External link

mtanzania Friday, May 3, 2019 11:08:00 PM EAT

John Heche alidai : “Kwa uzoefu wa chaguzi zilizofanyika huko nyuma hatukuwahi kuona hali tunayoiona sasa. Hivi sasa ni kawaida mnaweza kukusanya matokeo yenu na mkaona mmeshinda ila msimamizi wa uchaguzi anataja mshindi mwingine,” External link

mwananchi Saturday, April 20, 2019 12:20:00 PM EAT

John Heche alisema ( about Tume Huru ) : “Hivi sasa wapiga kura wanaweza kuwa wengi kuliko waliojiandikisha kupiga kura. Mawakala wanazuiwa vituoni. Haya mambo yanaweza kufanyika katika chaguzi ndogo ila yakifanyika uchaguzi mkuu hali itakuwa mbaya sana. Suluhisho ni kuleta mabadiliko ya Katiba bungeni ili turekebishe kifungu kuhusu Tume ya uchaguzi ili twende katika uchaguzi kwa amani,” External link

John Heche alisema : “Suluhisho ni kuleta mabadiliko ya Katiba bungeni ili turekebishe kifungu kuhusu tume ya uchaguzi ili twende katika uchaguzi kwa amani,” External link

mwananchi Monday, April 15, 2019 10:10:00 AM EAT

John Heche amesema : “Nimesema kampuni ya Arab haina uwezo wa kujenga mabwawa, sitatoa neno langu. Kampuni inatafuta masub- contract kujenga bwawa hili. Siondoi maneno yangu,” External link

jamiiforums Thursday, February 7, 2019 8:46:00 AM EAT

mwananchi Wednesday, February 6, 2019 8:46:00 PM EAT

John Heche alihoji ( about Rais Magufuli ) : “Wizara ambayo tunakaribisha wawekezaji, walete ajira, mitaji na miradi mbalimbali ndiyo umpeleke waziri akapumzike? Rais anasema hatavumilia mtu, lakini anapeleka mtu kupumzika?” External link

mwananchi Thursday, January 24, 2019 11:10:00 AM EAT

John Heche amesema : “Tumetoka na maazimio kadhaa, kwanza viongozi wanapotoka hapa kuanzia ngazi za mashina wakafanye vikao vya ndani lengo ni kukomboa majimbo tuliyopokonywa, hiyo ni kwa ajili ya maendeleo kwa mfano ukiangalia halmashauri zinazoongozwa na Chadema zinaongoza kwa miradi ya maendeleo,” External link

mwananchi Monday, August 14, 2017 11:40:00 AM EAT

John Heche amesema : “Kuanzia wenyeviti, madiwani na wabunge, wanaokamatwa na kutishwa, tutawalinda na kuendelea kuwapa ushirikiano msaada wowote kisheria hata wanachama wanaotishiwa na kushindwa kufanya kazi zao,” External link

John Heche alisema : “Nilikwenda polisi mwenyewe saa nne asubuhi (jana) baada ya kusikia katibu wangu ameitwa, nilipofika nilisalimia vizuri na askari na wakanieleza kwamba afadhali nimefika, lakini wakati hayo yakiendelea ghafla niliona idadi ya polisi ikiongezeka na nikaambiwa nipo chini ya ulinzi,” External link

mwananchi Saturday, August 5, 2017 11:54:00 AM EAT

John Heche said : "As rightly pointed out by Honourable Masoud (Mr Salim), we want the government to report what it has so far done to help these people. Someone has worked tirelessly for 20 years to build a house but abruptly, that hard work is reduced to rubble within a few minutes. We are not competing with each other here; all we want is to know the government's commitment on how it intends to help such people," External link

allafrica Wednesday, September 14, 2016 2:00:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
mwenyekiti20.00%SW10/16/201616/10/2016
mp60.00%EN09/14/201614/09/2016
mbunge20.00%SW06/17/201617/06/2016
Names Lang Count
John HecheSW70.49%
John HecheEN29.51%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, August 15, 2022

9:29:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief