Godfrey Zambi
Last updated on 2011-06-24T05:23+0300.

About this image

Extracted quotes from
Godfrey Zambi alisema
:
“Makumbusho haya yataingiza mapato kwa Taifa letu na vile vile ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kuongeza idadi ya watalii na kuongeza mapato yatokanayo na utalii,”
habarileo Saturday, April 17, 2021 2:25:00 PM EAT
Godfrey Zambi alisema
:
"Mkoa wetu una baraza moja tu la ardhi na nyumba la wilaya linalohudumia wilaya za mkoa huu, fikiria mtu anatoka Liwale kuja hapa umbali wa kilometa 250 ni kumuumiza mwananchi,"
habarileo Wednesday, January 6, 2021 3:38:00 AM EAT
Godfrey Zambi amesema
:
“Haiwezekani serikali itoe shilingi bilioni 5.2 kwa fidia kwa wakazi 693 kuwa mradi hakuna, bali upo jamii na wananchi wafahamu kuwa mradi wao wajiandae kuupokea,”
habarileo Tuesday, April 28, 2020 11:01:00 AM EAT
Godfrey Zambi alisema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Mheshimiwa Rais Magufuli anatuambia kila siku kuwa ametutuma ili tukatatue kero za wananchi, tena wananchi wa chini. Tunatambua kuwa tume hamuwezi kwenda kila mahali, sisi tupo kwa ajili ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao, hivyo tushirikiane katika kutatua kero hizo,”
mtanzania Tuesday, February 11, 2020 10:42:00 AM EAT
Godfrey Zambi alisema
:
“Upatikanaji maji vijijini katika mkoa wetu ni asilimia 57 na mijini ni asilimia 68, tunaamini kwa kipindi kilichobaki tunaweza kufika kwa kiwango ambacho kinaelekezwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM,”
mtanzania Tuesday, October 15, 2019 3:12:00 PM EAT
Godfrey Zambi amesema
:
“Kwenye ufaulu nataka niseme kwa miaka mitatu mkoa wa Lindi umefanya vizuri matokeo ya kidato cha sita, na sasa hizi tumesema lazima tuendelee kufanya vizuri,”
mwananchi Monday, October 14, 2019 2:14:00 PM EAT
Godfrey Zambi said
:
"We have enough investment potentials in terms of plantations and processing industries for cashew nuts,"
xinhuanet_en Friday, July 12, 2019 6:11:00 PM EAT
Godfrey Zambi amesema
:
“Mwaka 2015/16 tulianza na tani 28,000, mwaka 2016/17 tulizalisha tani 61,000 na mwaka 2017/18 tani 76,000 na mwaka huu kwa sababu ya hali ya hewa haikuwa nzuri sana tulizalisha tani 56,000 lakini pia tumeendelea kuongeza vitalu kwa ajili ya uzalishaji,”
mwananchi Friday, July 12, 2019 12:32:00 PM EAT
Godfrey Zambi alisema
(
about Waziri Mkuu
)
:
“Tumesimamisha kwa tahadhari vyombo vya baharini pamoja na kivuko visifanye kazi, lakini pia maadhimisho ya siku ya malaria duniani nzilizopangwa kufanyika mkoani hapa kitaifa nazo tumezisitisha baada ya kushauriana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,”
habarileo Friday, April 26, 2019 8:56:00 AM EAT
Godfrey Zambi amesema
:
“Tembo ni baraka kwetu na wameongezeka sana, tunaomba watuongezee watu wa idara husika ili watusaidie kupambana nao, ”
mwananchi Friday, April 5, 2019 4:37:00 PM EAT
Godfrey Zambi anasema
:
“Hati hizi zinakubalika katika benki kama dhamana kwa ajili ya kupata mkopo, ingawa kuna changamoto kuwa baadhi ya watumishi katika baadhi ya benki, hawazipi umuhimu mkubwa kama hati nyingine jambo ambalo siyo sahihi”
habarileo Tuesday, April 2, 2019 12:10:00 PM EAT
Godfrey Zambi alisisitiza
:
“Kama hawa wenzetu wa NSSF wana viwanja 303 na Watumishi Housing 100 na taasisi nyingine, tunaomba waviendeleze vinginevyo tutawanyang'anya na kuwapa wawekezaji wengine,”
habarileo Thursday, March 28, 2019 10:15:00 AM EAT
Godfrey Zambi anasema
:
“Matokeo ya mafunzo kwa vitendo ni pamoja na mashamba 2,328 kupimwa na hatimiliki za kimila 2,180 kuandaliwa. Kijiji cha Mbondo kina hatimiliki 507, Nahimba 341 na Nakalonji hati 256 zilizochapishwa,”
habarileo Wednesday, March 20, 2019 12:33:00 PM EAT
Godfrey Zambi anasema
:
“Kuhusu utoaji wa hatimiliki za kimila, mwaka 2016 ulifanyika uhakiki wa hatimiliki za mashamba yaliyopimwa katika vijiji na hati 950 zilichapishwa, kusajiliwa na kisha kugawiwa kwa wananchi,”
habarileo Wednesday, March 20, 2019 12:33:00 PM EAT
Godfrey Zambi anasema
(
about Lindi Mjini
)
:
“Mkoa wa Lindi unazalisha tani 40 hadi 50 za ufuta kwa mwaka, ni ufuta unaoongoza kwa ubora na unapendwa na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya dunia,”
habarileo Wednesday, March 13, 2019 11:09:00 AM EAT
Godfrey Zambi anaongeza
(
about Lindi Mjini
)
:
“Lindi ina kilomita 200 hadi 300 za bahari zinazofaa kwa shughuli za uvuvi wa samaki ambapo mpaka sasa bado hazitumiki zote kutokana na kukosa wawekezaji katika sekta ya samaki,”
habarileo Wednesday, March 13, 2019 11:09:00 AM EAT
Godfrey Zambi anasema
(
about Lindi Mjini
)
:
“Mkoa wa Lindi unazalisha tani 40 hadi 50 za ufuta kwa mwaka, ni ufuta unaoongoza kwa ubora na unapendwa na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya dunia,”
habarileo Wednesday, March 13, 2019 1:16:00 AM EAT
Godfrey Zambi anaongeza
(
about Lindi Mjini
)
:
“Lindi ina kilomita 200 hadi 300 za bahari zinazofaa kwa shughuli za uvuvi wa samaki ambapo mpaka sasa bado hazitumiki zote kutokana na kukosa wawekezaji katika sekta ya samaki,”
habarileo Wednesday, March 13, 2019 1:16:00 AM EAT
Godfrey Zambi alisisitiza
:
“Kati ya mambo tunayoyapa kipaumbele ni uwekezaji katika eneo hili la biashara, hii ni fursa kubwa. Tunaomba wafanyabiashara na wawekezaji waichangamkie,”
habarileo Wednesday, March 6, 2019 12:22:00 PM EAT
Godfrey Zambi amesema
:
“Asilimia 80 ya wananchi wa Lindi wanajihusisha na kilimo. Mazao makuu ambayo wawekezaji wanaweza kuja kuwekeza kwa kilimo mkoani Lindi ni korosho ambalo linastawi katika wilaya zote, ufuta, mihogo na alizeti; mazao mengine ambayo tunaomba wawekezaji waje kuwekeza ni mbaazi, mahindi, karanga, mpunga, choroko, mtama na nazi,”
habarileo Monday, February 25, 2019 11:58:00 AM EAT
Godfrey Zambi alieleza
:
“Asilimia 80 ya wananchi wa Lindi wanajihusisha na kilimo. Mazao makuu ambayo wawekezaji wanaweza kuja kuwekeza kwa kilimo mkoani Lindi ni korosho ambalo linastawi katika wilaya zote, ufuta, mihogo na alizeti; mazao mengine ambayo tunaomba wawekezaji waje kuwekeza ni mbaazi, mahindi, karanga, mpunga, choroko, mtama na nazi,”
habarileo Monday, February 25, 2019 9:53:00 AM EAT
Godfrey Zambi stated
:
“The Government of Tanzania recognises the efforts of Uranex during the valuation and land compensation process, the Company and consultants performed in a professional and very correct manner to assure all the Project Affected People were compensated fairly and timely”
investingnews Thursday, January 31, 2019 8:19:00 PM EAT
Godfrey Zambi stated
:
“The Government of Tanzania recognises the efforts of Uranex during the valuation and land compensation process, the Company and consultants performed in a professional and very correct manner to assure all the Project Affected People were compensated fairly and timely”
investingnews Wednesday, January 30, 2019 2:49:00 AM EAT
Godfrey Zambi amesema
:
“Serikali inatambua umuhimu wa mradi huo kwa wananchi wa Mkoa wa Lindi na nchi kwa ujumla, wananchi mnatakiwa kutoa ushirikiano kwa kampuni hiyo pindi mradi utakapoanza kutekelezwa pamoja na kuchangamkia fursa ya mradi huo kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi,”
mtanzania Thursday, January 17, 2019 7:43:00 PM EAT
Godfrey Zambi amesema
:
“Najua TFS (Wakala wa Misitu) ni taasisi ya serikali na mimi kama msimamizi wa serikali na msimamizi mkuu wa misitu katika mkoa huu, nawaagiza wakuu wa wilaya wote kutotoa leseni mpya tena hadi tutakapowatafakari upya watu hawa tuliowapa dhamana,”
mtanzania Thursday, January 17, 2019 6:19:00 PM EAT
Godfrey Zambi said
:
"Those who are implicated in bush fire and cultivating near water catchment areas will now face the wrath of law,"
allafrica Thursday, October 20, 2016 11:43:00 AM EAT
Godfrey Zambi said
:
"Those of you who take some time to follow up football, and will agree with me that ladies have proved to be talented and very good at playing football and it goes beyond that because many of them have used it to transform their lives" "Football is source of entertainment, it promotes unity, friendship and tranquility among peoples and nations but most importantly, it is a source of reliable employment to millions of young men across the world, women included"
allafrica Monday, August 15, 2016 10:22:00 AM EAT
Godfrey Zambi said
:
"I am very pleased with the outcome of this project (phase one) and if all 10,000 plots are surveyed, Lindi will register a good eco-development outcome,"
allafrica Thursday, May 19, 2016 5:01:00 PM EAT
Godfrey Zambi said
:
"In very near future Lindi will be the place everyone wants to reside,"
allafrica Thursday, May 19, 2016 5:01:00 PM EAT
Godfrey Zambi explained
:
”Up to the end of last year, we had paid 51.5bn/- and this year we’ve received 15bn/- from CRDB Bank and few days ago we’ve received another 15bn/ from Treasury. The government directive is to settle all debts by the end of this month, I’m sure we’ll make it,”
in2eastafrica Tuesday, March 3, 2015 11:02:00 AM EAT
Godfrey Zambi explained
:
"During its meeting in October, last year, the committee recommended that there should not be imports to cover the shortage this year after their assessment of demand and available stocks and expected production at local industries,"
allafrica Monday, February 2, 2015 9:51:00 AM EAT
Godfrey Zambi explained
:
“During its meeting in October, last year, the committee recommended that there should not be imports to cover the shortage this year after their assessment of demand and available stocks and expected production at local industries,”
in2eastafrica Saturday, January 31, 2015 11:14:00 AM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
commissioner | 100.00% | EN | 08/15/201615/08/2016 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Godfrey Zambi | SW | 64.15% |
Godfrey Zambi | EN | 35.85% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | Kassim Majaliwa | 6.14% |
![]() | Daily News | 4.60% |
![]() | Daily | 4.60% |
![]() | Waziri Mkuu | 4.60% |
![]() | John Magufuli | 4.35% |
![]() | Samia Suluhu | 3.58% |
![]() | Rais Magufuli | 3.07% |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 3.07% |
![]() | Christopher Ngubiagai | 2.81% |
![]() | Newspapers Ltd | 1.79% |
![]() | Chama Cha | 1.79% |
![]() | Tanzania Bara | 1.53% |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 1.53% |
![]() | Anna Mghwira | 1.53% |
![]() | Municipal Council | 1.28% |
![]() | Lindi Mjini | 1.28% |
![]() | United Nations | 1.28% |
![]() | Julius Nyerere | 1.28% |
![]() | Nationale Vergadering | 1.02% |
![]() | Samora Machel | 1.02% |
![]() | Hussein of Jordan | 1.02% |
![]() | Rais Dk | 1.02% |
![]() | Amos Makalla | 1.02% |
![]() | Harrison Mwakyembe | 0.77% |
![]() | Food and Agriculture Organization | 0.77% |
![]() | Hussein Bashe | 0.77% |
![]() | Utawala Bora | 0.77% |
![]() | Benjamin Mkapa | 0.77% |
![]() | Joseph Mkirikiti | 0.77% |
![]() | John Mongella | 0.77% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | Christopher Ngubiagai | 0.0791 |
![]() | Halima Dendegu | 0.0556 |
![]() | Mohammed Enterprises Tanzania Limited | 0.0417 |
![]() | Meck Sadick | 0.037 |
![]() | Lindi Mjini | 0.0345 |
![]() | Mama Kikwete | 0.0294 |
![]() | Chiku Galawa | 0.0256 |
![]() | Kassim Majaliwa | 0.0233 |
![]() | Richard Kwitega | 0.0189 |
![]() | Waziri Mkuu | 0.018 |
![]() | Daily News | 0.0171 |
![]() | John Magufuli | 0.0166 |
![]() | Zainab Telack | 0.0149 |
![]() | Joseph Mkirikiti | 0.0141 |
![]() | Ali Hapi | 0.0135 |
![]() | Samia Suluhu | 0.0132 |
![]() | Leonard Subi | 0.0125 |
![]() | Rais Magufuli | 0.012 |
![]() | Hassan Masala | 0.0118 |
![]() | Anna Kilango | 0.0116 |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 0.0114 |
![]() | Yahya Msigwa | 0.0111 |
![]() | Amos Makalla | 0.0105 |
![]() | Janet Mbene | 0.0098 |
![]() | Antony Mtaka | 0.0096 |
![]() | George Lubeleje | 0.0094 |
![]() | Moses Machali | 0.0085 |
![]() | Rehema Nchimbi | 0.0079 |
![]() | Abdallah Chikota | 0.0074 |
![]() | Newspapers Ltd | 0.007 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.