Moses Machali

Last updated on 2011-06-30T05:38+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Moses Machali amesema : “Ni aibu, watu wamekuja kukupandia mti nyumbani kwako wewe, unashindwa hata kwenda kumwagilia maji walau kwa siku moja au wiki, hivyo niwaagize idara ta mazingira kutengeneza utaratibu wa ratiba itakayohamasisha utunzaji miti,” External link

mtanzania Thursday, April 7, 2022 10:21:00 AM EAT

Moses Machali amesema : “Hii miti inatokana na wazawa wa mkoa huu, ambao ni watanzania wenzetu wanaishi ndani na nje ya nchi wakiongozwa na Justine Kimodoi kama mwanzilishi wa kampeni,” External link

Moses Machali amesema : “Wazazi wanapaswa kuruhusu hata shuleni watoto waadhibiwe, maana wengine mtoto akiadhibiwa shuleni wanalalamikia walimu bila kujiuliza athari zake, lakini hizo adhabu zisiende kinyume na mwongozo na sheria,” External link

mtanzania Monday, April 4, 2022 10:16:00 PM EAT

Moses Machali alisema : "Mhe Naibu Waziri nikuunge mkono katika hili la watendaji wa sekta ya ardhi kuwafuata wananchi katika maeneo yao kutatua migogoro ya ardhi maana hapa ofisini kwangu unakuta kuna foleni kama wodi ya wagonjwa hivyo haiwezekani mimi DC kubeba majukumu ya watu wakati wahusika wapo," External link

habarileo Tuesday, November 23, 2021 5:10:00 PM EAT

Moses Machali amesema : “Jambo la kujiuliza hayo mapato kwa nini yasitozwe moja kwa moja na halmashauri wakati hawa watu wa kati ambao waliingia mkataba wanaleta Sh 60,000,” External link

mtanzania Friday, October 29, 2021 10:43:00 PM EAT

Moses Machali amesema : “Hivyo ni wajibu wa kila mwanaume kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa familia inakuwa na uhakika wa afya, hivyo ni wajibu wa kila mwanaume kuhimiza mwenza wake katika hili ili kujihakikishia usalama wa afya,” External link

mtanzania Tuesday, October 5, 2021 12:47:00 PM EAT

Moses Machali amesema : “Kwani takwimu zinaonyesha kuwa nchini Tanzania kati ya wanawake 1,000 basi 50 wana ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, hizi siyo taarifa nzuri hivyo ni wajibu wetu kuchukua hatua. Pia Tanzania ndio inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa saratani kwa Ukanda wa Afrika Mashariki huku Kanda ya Ziwa tatizo likiwa kubwa zaidi, na hali inaonyesha kuwa wenye VVU ndio walioko kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu kirahisi,” External link

mtanzania Saturday, October 2, 2021 1:57:00 PM EAT

Moses Machali alisema : “Malalamiko hayo nimeyapokea na nitahakikisha naunda kamati ya kwenda kuchunguza, watakaobainika kuhusika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ikiwamo kuadhibiwa kiutumishi,” External link

mtanzania Friday, September 11, 2020 12:13:00 PM EAT

Moses Machali amesema : “Ni kweli ilitokea, nilienda kutoa taarifa jana Kituo cha Polisi cha Mangaka wilayani hapa, kwa hiyo siwezi kuzungumzia kwa kina liko chini ya uchunguzi,” External link

jamiiforums Tuesday, April 30, 2019 5:31:00 PM EAT

Moses Machali alisema : “Ni kweli ilitokea (kutishiwa panga), nilienda kutoa taarifa jana kituo cha Polisi cha Mangaka hapa wilayani, kwa hiyo siwezi kuzungumzia kwa kina suala hilo hivi sasa kwa sababu liko chini ya uchunguzi,” External link

mwananchi Tuesday, April 30, 2019 10:12:00 AM EAT

jamiiforums Tuesday, April 30, 2019 5:14:00 AM EAT

mwananchi Monday, April 29, 2019 7:05:00 PM EAT

Moses Machali amesema : “Tumeanza ujenzi na tunategemea itakamilika ndani ya wiki mbili zijazo, tunaijenga kwa kasi lakini kwa uhakika na imara na itakapokamilika tutapeleka walimu wawili ili wawe watatu,” External link

mwananchi Wednesday, March 20, 2019 1:46:00 PM EAT

Moses Machali anasema : “Tunapojen-ga kwa maana ya Serikali na wanan-chi tunapaswa kushirikiana.” External link

jamiiforums Sunday, March 10, 2019 3:26:00 PM EAT

Moses Machali anasema : “Natoa wito kwa mkurugenzi mtendaji kupitia Idara ya Elimu Msingi kuhakikisha wanapeleka mwalimu mwingine na tumeshazungumza, na nasisitiza hili kama bado kwa sababu nilishawapa maelekezo,” External link

mwananchi Sunday, March 10, 2019 1:06:00 PM EAT

Moses Machali amesema : “Taarifa nilizonazo gari lilikamatwa mchana eneo Daraja Umoja Mtambaswala na shughuli ya kulikagua ilifanyika jioni. Wahusika wa lile gari waliweka maroboto yale chini kisha kuyafunika na turubai huku juu wakiweka vyuma chakavu ili kuwazuga maofisa wa forodha,” External link

mwananchi Sunday, January 27, 2019 8:38:00 PM EAT

Moses Machali amesema : “Tumeshaanza kufanya mikutano mbalimbali kuelimisha wananchi kuthamini elimu. Tukishawaelimisha umuhimu wa elimu hili tatizo litakwisha,” “Kama ni kuwafunga hatuwezi kuwafunga wote lakini wale ambao watakaidi maelekezo ya Serikali kutoona umuhimu wa watoto wao kufaulu hatutawaonea aibu tutahakikisha wanakaa sawasawa” External link

mwananchi Monday, January 7, 2019 9:21:00 PM EAT

Moses Machali amesema : "Tumefanya mabadiliko kwa baadhi ya walimu wakuu kama mkakati kuhakikisha tunakuwa na walimu wanaozitambua nafasi zao na kuzitendea haki na kuhakisha wanatoa taaluma safi kwa wanafunzi," External link

mwananchi Saturday, December 29, 2018 7:48:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
Names Lang Count
Moses MachaliSW58.62%
Moses MachaliEN41.38%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Sunday, May 22, 2022

8:28:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief