Raphael Chegeni

Last updated on 2011-07-02T10:31+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Raphael Chegeni amesema : “Kwa maelekezo hayo ya Rais, Kamati inaona ni muda sasa wa serikali kutunga sheria na kanuni zitakazo walazimisha viongozi wote wa taasisi kulipa gawio serikalini na endapo zitashindwa kutekeleza takwa hilo, sheria ichukue mkondo wake,” External link

habarileo Friday, January 31, 2020 12:11:00 PM EAT

Raphael Chegeni amesema : “Kamati imeishauri serikali kwamba, kampuni na taasisi ambazo zitakuwa zimepoteza fedha au zimetumia fedha katika miradi ambayo haina tija basi zinatakiwa kuwajibika kutokana,” External link

Raphael Chegeni said : “When someone works in an acting capacity, he/she cannot make long-term decisions. This committee directs you – and we know that it is within your means to do so – to ensure that those working in acting positions are confirmed,” External link

theCitizen Monday, January 20, 2020 10:47:00 AM EAT

Raphael Chegeni alisema : “Ndugu wanahabari ni masuala ya itifaki tu, yanatuifanya tusizungumze kama tulivyowaita, lakini jana (juzi) tulikabidhiwa ripoti hii muhimu ambayo sasa itatoka kila mwaka kama ilivyo ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),” External link

habarileo Thursday, October 24, 2019 7:43:00 AM EAT

Raphael Chegeni said : “My expectation is that the budget will create an enabling environment for businesses to thrive. That way, they will be able to pay tax,” External link

theCitizen Thursday, June 13, 2019 10:33:00 AM EAT

Raphael Chegeni alisema ( about John Magufuli ) : “Watanzania halali wamemwelewa Rais John Magufuli na wanaendelea kufanya biashara halali. Uchumi uko imara na makini. Tunaendelea kutenda kwa ajili ya wananchi,” External link

tuko Wednesday, May 15, 2019 5:06:00 PM EAT

Raphael Chegeni amesema : “Mazingira hayaridhishi kabisa, kwa mfano tulimsikia naibu waziri wa fedha akisema kuwa biashara zinafungwa na nyingine zinafunguliwa, hii si kweli hata kidogo hakuna biashara zinazofunguliwa, hali ni mbaya lazima tuelezane ukweli,” External link

mwananchi Tuesday, May 14, 2019 8:09:00 PM EAT

Raphael Chegeni asked : "One of the fifth phase government’s commitments is to attract both local and foreign investors. What steps are you taking to curb challenges that investors are facing?" External link

theCitizen Tuesday, April 9, 2019 3:50:00 PM EAT

Raphael Chegeni amesema : “Tumeona jinsi mkongo wa taifa unavyofanya kazi, unavyochangia katika kulinda usalama wa nchi na kuchochea maendeleo kupitia sekta ya mawasiliano,” External link

mwananchi Wednesday, March 20, 2019 8:25:00 PM EAT

Raphael Chegeni amesema : “Taasisi nyingi zinatumia TTCL chini ya kiwango, ilhali serikali imewekeza kwa kiwango kikubwa,” External link

habarileo Wednesday, March 20, 2019 6:38:00 PM EAT

Raphael Chegeni alisema : “Kama ilivyo kauli ya rudi nyumbani kumenoga, ni vyema ikajulikana TTCL ndio chaguo la kwanza, hivyo vyema likabadilika na kuenda kwa kasi zaidi ili kuendelea kuwa wabunifu,” External link

Raphael Chegeni amesema : "Mmepiga hatua kubwa, siku zote kamati imekuwa ikiwanyooshea kidole kwa kutotengeneza faida. Mmefanyia kazi ushauri wa kamati na sasa mnatazamia kutoa gawio, hongereni sana," External link

mwananchi Friday, March 15, 2019 5:25:00 PM EAT

Raphael Chegeni alisema : “Sasa tuondoe ukiritimba katika suala la uwekezaji kwa sababu hili ni eneo muhimu sana kwetu na ujenzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza uimarishwe pamoja na ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe,” External link

mtanzania Wednesday, March 13, 2019 11:24:00 AM EAT

Raphael Chegeni alisema : “Ukweli suala hili linatia aibu kwa Serikali yetu, haiwezekani raia wa kigeni kung’ang’ania eneo la kijiji,” External link

mwananchi Tuesday, October 4, 2016 3:47:00 AM EAT

Raphael Chegeni charged : “This is election fever. He sees that an eleventh hour has arrived and he has done nothing so he has resorted to attack us. He did not work to secure the vehicle, even if our MP was from opposition or even a stone was put there AGPAHI would still bring the vehicle,” External link

in2eastafrica Monday, March 16, 2015 10:51:00 AM EAT

Raphael Chegeni remarked : “I have the right to contest when the right time comes and people are asking me of that. The minister has not said the truth, he usually does not visit his voters. He is not working as a team. Nobody has an outright right to remain an MP,” External link

in2eastafrica Monday, March 16, 2015 10:51:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
Names Lang Count
Raphael ChegeniSW88.89%
Raphael ChegeniEN11.11%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, September 25, 2020

6:32:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief