Adam Malima
Last updated on 2017-03-20T18:55+0300.

About this image

Extracted quotes from
Adam Malima alisema
:
“Nchi yetu inachafuliwa na watu wachache lakini yote hii ni sababu ya njaa. Haiwezekani Mtanzania anayeipenda nchi yake akachukia zoezi la kuinusuru Ngorongoro. Sisi tunainusuru Tanzania yetu kwa ajili ya mapato na faida ya Tanzania yetu kwa ajili ya vizazi vya Tanzania ijayo watu wanufaike,”
habarileo Friday, June 24, 2022 12:31:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Kama leo Waarabu wanavyojivunia mafuta kuna wakati watu watajivunia utalii wa wanyamapori kwa sababu dunia nzima itakuwa hakuna,”
habarileo Friday, June 24, 2022 12:31:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
"Nimewaomba kuwepo na vitivo vya mifugo, uchumi wa buluu na masomo mahususi yanayoendana na kanda hii na maeneo mengine kwa ujumla wake,"
habarileo Thursday, June 23, 2022 2:29:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Nataka ninapoondoka hapa leo, kesho nikirudi hapa tuondokane na changamoto hizi. Inawezekana kwenye mfumo wote tulioweka hatujatimiza au hatujafanikiwa kwa yale yote kama tulivyotaka, lakini yako mambo ya msingi ambayo tulikubaliana, tulisema mifugo ikija lazima ipate sehemu ya maji,”
habarileo Thursday, June 23, 2022 11:19:00 AM EAT
Adam Malima amesema
:
“Kama wale watu wa Ngorongoro ambayo imeanzishwa miaka 64 iliyopita wasingetenneneza mikakati ya kuinusuru miaka ile sisi tungeiona wapi. Sisi tunatengeneza mikakati ya kuinusuru Ngorongoro miaka mingine 60 na Watanzania wanufaike na uwepo wake,”
mtanzania Wednesday, June 22, 2022 8:13:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
"Badala ya kukaa na kusubiri mipango ya serikali nendeni mkajadiliane, kisha mje na mkakati wenu kwanza wa kuongeza uzalishaji, lakini na ushauri wa nini cha kufanya, ili kufikiwa kwa lengo la uzalishaji wa tani 50,000 ifikapo mwaka 2025,"
habarileo Tuesday, June 14, 2022 4:17:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
"Mradi huu una asilimia kubwa ya kuirudisha Tanga kama ilivyokua zamani. Ilikua ni mkoa na mji wa pili kwa kuwa na viwanda vingi. Mimi mategemeo yangu ni kwamba mradi huu utaimarisha uchumi kupitia sekta zote na kila mtu kufaidika na shughuli zitakazokuwepo,"
habarileo Sunday, March 20, 2022 11:29:00 AM EAT
Adam Malima amesema
:
"Lakini pia wanawake ni waaminifu, ukitaka kuthibitisha hili angalia takwimu katika mikopo ya vikundi inayotolewa na halmashauri, wanaorejesha wengi ni wanawake kwa asilimia 65 kulinganisha na vijana na walemavu, mimi naona wanawake waongezewe mikopo,"
habarileo Tuesday, March 8, 2022 7:49:00 PM EAT
Adam Malima told
:
"The root cause of this problem is drought. We will try to sit down with both groups to discuss the best way to defuse the tensions,"
haberler-en Thursday, February 10, 2022 10:38:00 AM EAT
Adam Malima amesema
:
“Mimi mwenyewe nimewahi kuwa mwanachama wa Diaspora lakini sikuwahi kukumbuka katika miaka hiyo takribani 20 kuliwahi kutokea mtu mwenye akili hiyo ya kusema tuunde jambo ili tuwekeze nyumbani hakuna kwenye jambo lolote la maendeleo,”
mtanzania Friday, December 24, 2021 11:34:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
“Ile dhana kwamba mnasimamia mradi wenu mnatoa darasa kama hili ni kitu cha kupongezwa kwa sababu mimi nilikuwa Wizara ya Fedha, najua. Matumaini yangu ni kwamba huko mbele mtafanya maajabu na kwa sababu kipenzi chetu Mama Samia Suluhu Hassan anataka kumwaga fedha nyingi kwenye sekta ya elimu, afya na maji, hii nidhamu ya kusimamia fedha zetu tuwe nayo. Niwaambie ukweli, nimependa nilichokiona,”
mtanzania Thursday, December 23, 2021 10:26:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
“Msiende kuitumia sheria ya masaa 48 vibaya bali itumike kwa haki na sio kwa uonevu kwani nyie ndio walinzi wa amani katika maeneo yenu,”
mtanzania Tuesday, June 22, 2021 12:48:00 PM EAT
Adam Malima said
:
"The sector of water cannot go without actions that you are currently taking. What you are doing is a good job and God will stand with you for the job you are doing to provide Tanzanian with reliable water services,"
allafrica Friday, January 15, 2021 10:13:00 AM EAT
Adam Malima anasema
:
“Hiki kitalu cha kuzalisha miche ya kahawa kilichoanzishwa na TaCRI nataka kiwe darasa namba moja, wakulima waje kujifunza hapa,”
habarileo Tuesday, November 24, 2020 12:41:00 PM EAT
Adam Malima anasema
:
“Maonesho haya yana umuhimu wa pekee katika mkoa wetu wa Mara, ninawaomba wananchi tuyatumie kujifunza kanuni bora za kilimo ili kuongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali,”
habarileo Tuesday, November 24, 2020 12:41:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
“Zipo nyakati amani, utulivu na umoja vinaweza kutetereka katika jamii ama nyingi na nyakati hizi tulizonazo Watanzania ni miongoni mwa nyakati ambazo vitu hivyo vinaweza kutetereka kwa hiyo niwaombe watanzania kwa umoja wetu tushikamane na uchaguzi usitumike kama chanzo cha kutetereka kwa tunu hizi,”
mwananchi Thursday, October 22, 2020 7:55:00 PM EAT
Adam Malima said
:
"Investment in tourist hotels in Musoma town is essential at this time, especially hotels that will be charging between 50 and 100 US dollars per night,"
allafrica Saturday, September 26, 2020 3:06:00 AM EAT
Adam Malima said
(
about John Magufuli
)
:
"That message from President Dr Magufuli means we need to start investing heavily in the tourism sector,"
allafrica Saturday, September 26, 2020 3:06:00 AM EAT
Adam Malima alisema
:
“Ukibahatika kukaa naye hakuwa na ugumu katika kukupa uzoefu wake na alikuwa mcheshi sana,”
mtanzania Tuesday, July 28, 2020 3:01:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Uuzaji mazao ya wakulima kupitia vyama vya ushirika tumeuweka ili wakulima wakiibiwa au kupunjwa iwe rahisi kumpata muhusika na tunachukua hatua kali dhidi ya wote watakaofanya ubadhirifu, lakini tukimkuta mnunuzi binafsi ameingia mpaka shambani ni kama ameingia chumbani, atapata balaa,”
mtanzania Wednesday, June 3, 2020 10:50:00 AM EAT
Adam Malima alisema
:
“Mkulima yeyote akisikia bei nzuri ya kahawa lazima atauza, hawezi kwenda kwenye bei ndogo wakati ameona kuna mahala kuna bei nzuri inayoendana na jasho lake,”
mtanzania Wednesday, June 3, 2020 10:50:00 AM EAT
Adam Malima told
:
"Despite this compensation is your right, but it will help improve your relationship with the gold mine,"
allafrica Monday, May 11, 2020 6:16:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
“Machi 2018, ofisa elimu mkoa alikuja ofisini kwangu huku akiwa amenyong'onyea sana akaniambia kuwa mkoa wetu ndio unaoongoza kwa wizi wa mitihani Tanzania nzima, ilibidi tuweke mtego na Oktoba mwaka huo tulifanikiwa kudhibiti wizi huo na mwaka uliofuata ghafla mkoa ukashuka na matokeo wote tuliyashuhudi,”
mwananchi Sunday, February 23, 2020 6:02:00 PM EAT
Adam Malima anasisitiza
:
“Kwa kuwa kampeni hii ya chanjo ni haki ya msingi kwa watoto wetu, wanastahili kuipata kwa asilimia miasitokuwa na msamaha kwa yeyote atakayetatiza zoezi hili kwa namna yoyote na naziagiza kamati zangu zote za ulinzi na usalama za wilaya kusimamia zoezi hili kikamilifu,”
habarileo Monday, September 23, 2019 1:41:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Hii ni aibu kubwa aliyofanya mwalimu kumbaka mwanafunzi wake, akiwa anamuandaa na mitihani ya mwisho ya darasa la saba, tunataka tabia hii ikome hatuwezi kukubali wanafunzi na watoto wetu wahalibiwe maisha”
mtanzania Monday, September 9, 2019 10:34:00 AM EAT
Adam Malima alisema
:
“Kila mahala wapo watumishi wa afya mabwana afya na mabibi afya tembeleeni kaya zote kwenye maeneo yenu na kuhakikisha zinakuwa na vyoo na kuvitumia”
mtanzania Monday, August 19, 2019 1:36:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Shida narudia tena kukwambia, usiwazie kuhusu gari,”
mwananchi Thursday, August 8, 2019 1:09:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
“Kama unavyojua mikoa ya Mara, Simiyu na Shinyanga kwa mwaka wa pili sasa tumepewa heshima ya kuandaa maonyesho ya nanenane kitaifa, tumeona hii haitoshi ni vyema tukasogeza huduma karibu zaidi ili wananchi wetu wapate fursa ya kujifunza kwa ukaribu na kutekeleza kwa vitendo,”
mwananchi Thursday, August 1, 2019 8:27:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Hii ni aibu, hatuwezi kukubali kuendelea kuwa nayo, nataka baada ya siku 60 kila kaya iwe na choo, baada ya hapo naiomba timu ya hamasa ifike tena mkoani hapa kuangalia utekelezaji wake,”
mtanzania Tuesday, July 30, 2019 12:00:00 PM EAT
Adam Malima amesema
(
about Julius Nyerere
)
:
“Mbali na kuwasha Mwenge wa Mwitongo kijijini Butiama, pia tunatarajia kufanya kumbukumbu ya Nyerere, muasisi wa mwenge wa uhuru nchini,”
mwananchi Tuesday, May 28, 2019 1:11:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Niwaombe ndugu zangu haki ya kufanya kazi bila kubugudhiwa ni ya msingi lakini niwatake kuacha vitendo vya rushwa ya ngono kazini pamoja na vitendo vya ubakaji watoto wa shule,”
mtanzania Friday, May 10, 2019 3:52:00 PM EAT
Adam Malima said
:
"The investigation also revealed that over Sh630 million which was to be kept in the women, youths and the disabled’s fund was not channeled to the fund between July 2015 and December 2018,"
theCitizen Thursday, April 11, 2019 1:48:00 PM EAT
Adam Malima amesema
:
"Uchunguzi umebaini kuwa zaidi ya Sh630 milioni ambazo zilipaswa kuwekwa kwenye mfuko wa wanawake, vijana na walemavu hazikupelekwa kuanzia Julai 2015 hadi Desemba 2018,"
mwananchi Tuesday, April 9, 2019 9:24:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Sasa tutakapokuwa kwenye maeneo yetu kama viongozi na tukamuona mama mjamzito anachunga ng’ombe au kufanya kazi ngumu ambazo tutaona hazistahili kwa hali yake tumtafute mume wake au aliyempa ujauzito ili akamatwe,”
mtanzania Monday, April 1, 2019 12:36:00 PM EAT
Adam Malima alisema
(
about Chacha Heche
)
:
“Alipotoka niliendelea na kikao na wala sikuwa na taarifa kama alikamatwa au la, mtafute katibu wa Chadema Mkoa wa Mara, (Chacha) Heche azungumzie hili,”
jamiiforums Monday, February 4, 2019 10:19:00 AM EAT
Adam Malima alisema
(
about Chacha Heche
)
:
“Alipotoka niliendelea na kikao na wala sikuwa na taarifa kama alikamatwa au la, mtafute katibu wa Chadema Mkoa wa Mara, (Chacha) Heche azungumzie hili,”
mwananchi Sunday, February 3, 2019 9:07:00 AM EAT
Adam Malima alisema
:
“Nimepewa barua ya page (kurasa) nane aliyoandika mkurugenzi huyu akimjibu Ras (katibu tawala) tena anamwambia kuwa ‘huna mamlaka ya kunipangia cha kufanya kwavile sote tumeteuliwa na Rais’ nikajiuliza mara mbili mbili huyu mkurugezni ana akili kweli”
mwananchi Saturday, February 2, 2019 10:45:00 AM EAT
Adam Malima amesema
:
“Licha ya kuwa kuna fomu wanazotakiwa kujaza hakikisheni mfanyabiashara hatumii zaidi ya dakika mbili kujaza fomu na kupewa kitambulisho,”
mwananchi Monday, December 17, 2018 12:29:00 PM EAT
Adam Malima alisema
:
“Kiasi hicho cha fedha kilipokelewa na kuwekwa katika Mfuko Mkuu wa Hazina kwa ajili ya matumizi ya maendelao ya wananchi ”
wavuti Thursday, February 5, 2015 6:25:00 AM EAT
Adam Malima alisema
:
“Utaratibu wa kufidia kwa hasara zitibu kwa kutathmini kiwango cha hasara zinazotokana na vita, zinaongozwa na sheria na kanuni za kimataifa na utaratibu wa kutathmini kiwango cha hasara pia una vigezo vinavyotambulika,”
habarileo Thursday, February 5, 2015 12:37:00 AM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
deputy | 50.00% | EN | 06/10/201410/06/2014 |
minister | 50.00% | EN | 05/08/201408/05/2014 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Adam Malima | SW | 57.89% |
Adam Malima | EN | 42.11% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 5.64% |
![]() | North Mara | 3.16% |
![]() | Julius Nyerere | 2.93% |
![]() | Mwalimu Nyerere | 2.48% |
![]() | Jakaya Kikwete | 2.03% |
![]() | Sospeter Muhongo | 2.03% |
![]() | Waziri Mkuu | 2.03% |
![]() | Mwalimu Julius Nyerere | 2.03% |
![]() | Rais Magufuli | 1.58% |
![]() | John Mongella | 1.58% |
![]() | Samia Suluhu | 1.58% |
![]() | John Heche | 1.35% |
![]() | Kassim Majaliwa | 1.35% |
![]() | Benjamin Mkapa | 1.35% |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 1.35% |
![]() | January Makamba | 1.13% |
![]() | Ali Hassan Mwinyi | 1.13% |
![]() | Hassan Mwinyi | 1.13% |
![]() | Joseph Warioba | 1.13% |
![]() | Hussein of Jordan | 1.13% |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 1.13% |
![]() | Chama Cha | 1.13% |
![]() | Philip Mangula | 0.90% |
![]() | Rais Dk | 0.90% |
![]() | Hussein Bashe | 0.90% |
![]() | Afrika Mashariki | 0.90% |
![]() | Christine Mndeme | 0.90% |
![]() | Ezekiel Maige | 0.68% |
![]() | Edward Lowassa | 0.68% |
![]() | Sophia Simba | 0.68% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | Chacha Heche | 0.1111 |
![]() | Alex Kuhanda | 0.0909 |
![]() | Abiud Kaswamila | 0.0667 |
![]() | Ezekiel Kyunga | 0.0444 |
![]() | Simon Sayore | 0.0357 |
![]() | Pereira Silima | 0.0323 |
![]() | Jenerali Mwamunyange | 0.0303 |
![]() | Halima Dendego | 0.0278 |
![]() | Jorge Luís López | 0.025 |
![]() | John Magufuli | 0.0249 |
![]() | Mkuu Msaidizi | 0.0154 |
![]() | Zainab Telack | 0.0149 |
![]() | Ezekiel Maige | 0.0145 |
![]() | North Mara | 0.0138 |
![]() | Antony Mtaka | 0.0138 |
![]() | Julius Nyerere | 0.0136 |
![]() | John Mongella | 0.0118 |
![]() | Mwalimu Nyerere | 0.011 |
![]() | John Kahyoza | 0.011 |
![]() | Janet Mbene | 0.0098 |
![]() | Joseph Mkirikiti | 0.0094 |
![]() | Charles Mlingwa | 0.0094 |
![]() | Jakaya Kikwete | 0.009 |
![]() | Mwalimu Julius Nyerere | 0.009 |
![]() | Steven Wasira | 0.009 |
![]() | Sospeter Muhongo | 0.0089 |
![]() | Waziri Mkuu | 0.0089 |
![]() | Christine Mndeme | 0.0085 |
![]() | Joel Bendera | 0.0081 |
![]() | Thomas Kashililah | 0.0074 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.