Patrick Mfugale

Last updated on 2015-03-16T10:12+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Patrick Mfugale alisema : “Hii ni tofauti na mpango wa kazi uliolenga hadi sasa mradi uwe umefikia asilimia 44 na hii ni kutokana na uwepo wa janga la ugonjwa wa Covid-19 kwani vifaa na watalaamu kwa ajili ya utekelezaji wa mradi vilishindwa kufika kwa wakati katika eneo la kazi na hivyo kushindwa kufikia malengo ya mpango,” External link

habarileo Sunday, June 21, 2020 9:37:00 PM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Uwanja wa Msalato utakuwa uwanja wa kisasa mkubwa, wenye uwezo wa kuhudumia watu milioni 1.5 kwa wakati mmoja, uwanja utakuwa na urefu wa Kilomita 3.6 utakuwa na uwezo wa kuhudumia ndege aina ya Boeing 787 Dreamliner 17 na Airbus 380 kwa wakati mmoja,” External link

habarileo Saturday, March 14, 2020 10:16:00 AM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Mawasiliano yamerudi kama kawaida na kama mvua haitanyesha, kasi ya ujenzi itakuwa kubwa,” External link

habarileo Wednesday, March 11, 2020 9:10:00 AM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Hivi sasa magari yanayotoka njia ya Morogoro yanapita katika njia ya awali na yanayotoka Dodoma yanapita njia ya mchepuo ili kuruhusu ujenzi kuendelea,” External link

mtanzania Wednesday, March 11, 2020 8:56:00 AM EAT

Patrick Mfugale amesema : “Lengo kuu la barabara hii ni kuepuka foleni katikati ya Jiji la Dodoma ambayo ingesababishwa na magari yanayosafiri katika ushoroba muhimu wa Kati na ule wa barabara kuu ya Trans Africa kutoka Cape Town, Afrika Kusini hadi Cairo nchini Misri,” External link

habarileo Wednesday, October 30, 2019 1:23:00 PM EAT

Patrick Mfugale alieleza : “Pia Shule ya Msingi Chiwana iliyopo Ihumwa itafanywa ukarabati, na kutakuwa na uchimbaji visima virefu vinne katika vijiji hivyo na ukarabati wa barabara za Mwangaza Kisasa Medeli na Kizota Zuzu za urefu wa kilomita 28.37,” External link

Patrick Mfugale amesema : “Nikukumbushe tu kwamba mwaka 2015 ulifika katika barabara hii ukiwa waziri, ukakuta mradi unasuasua. Ukamwagiza mkandarasi akamilishe ujenzi huo ndani ya miaka miwili na kweli imekamilika ndani ya miaka miwili,” External link

mwananchi Tuesday, October 8, 2019 2:43:00 PM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Kati ya fedha hizo, Sh bilioni 560 zinatokana na mkopo kutoka Hongkong and Shanghai Bank Corporation (HSBC) ya China,” External link

mtanzania Friday, August 2, 2019 10:56:00 AM EAT

Patrick Mfugale amesema ( about Rais Magufuli ) : “Uliagiza (Magufuli) mara moja kuwepo timu ya watalaam iliyogundua fedha hizo zimelipwa na hata mkandarasi angesimamishwa ingekuwa hasara kwa Serikali na ukaamua katoa fedha yote ambayo mkandarasi alikuwa anadai ndipo akarudi na leo tuko hapa,” External link

mwananchi Thursday, August 1, 2019 2:13:00 PM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Usanifu ulifanywa na kampuni nne, mbili za Kitanzania na mbili za Kikorea waliochukua vitabu vya zabuni walikuwa 33 lakini waliorudisha walikuwa 11 tu, kampuni zilizoshinda ni hizi mbili na tuna imani na uwezo wake,” External link

habarileo Tuesday, July 30, 2019 12:54:00 PM EAT

Patrick Mfugale amesema : “Usanifu ulifanywa na kampuni nne, mbili za Kitanzania na mbili za Kikorea waliochukua vitabu vya zabuni walikuwa 33 lakini waliorudisha walikuwa 11 tu, kampuni zilizoshinda ni hizi mbili na tuna imani na uwezo wake,” External link

habarileo Tuesday, July 30, 2019 9:00:00 AM EAT

Patrick Mfugale amesema : “Usanifu ulifanywa na kampuni nne, mbili za Kitanzania na mbili za Kikorea … waliochukua vitabu vya zabuni walikuwa 33 lakini waliorudisha walikuwa 11 tu, kampuni zilizoshinda ni hizi mbili na tuna imani na uwezo wake,” External link

mwananchi Monday, July 29, 2019 4:12:00 PM EAT

Patrick Mfugale amesisitiza : "Mpaka sasa zabuni ya mradi wa barabara hii imeshatangazwa na ujenzi utaanza hivi karibuni mara baada ya taratibu nyingine kukamilika" External link

habarileo Friday, July 19, 2019 12:32:00 PM EAT

Patrick Mfugale amesema : “Benki ya maendeleo ya Afrika imetukopesha fedha hizi huku Serikali ya Tanzania ikichangia Sh58.7 bilioni kwa mujibu wa mkataba tuliokubaliana,” External link

mwananchi Thursday, July 18, 2019 8:50:00 PM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Kutokana na usanifu wa awali, barabara itapanuliwa kuwa njia nane kwa kuongeza njia tatu kila upande na barabara iliyopo sasa. Kuna barabara ya huduma iliyojengwa kwa kiwango cha changarawe kwa sasa kwenye mwisho wa eneo la hifadhi ya barabara kila upande, hii itarahisisha usari wa wananchi walioko pembezoni mwa barabara,” External link

jamiiforums Saturday, April 6, 2019 5:47:00 AM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Kutokana na usanifu wa awali, barabara itapanuliwa kuwa njia nane kwa kuongeza njia tatu kila upande na barabara iliyopo sasa. Kuna barabara ya huduma iliyojengwa kwa kiwango cha changarawe kwa sasa kwenye mwisho wa eneo la hifadhi ya barabara kila upande, hii itarahisisha usafiri wa wananchi walioko pembezoni mwa barabara,” External link

habarileo Friday, April 5, 2019 10:52:00 AM EAT

Patrick Mfugale alisema : "Kwa kweli hautachelewa tukikamilisha baadhi ya taratibu tu, zoezi la ujenzi linaanza," External link

jamiiforums Sunday, March 17, 2019 3:16:00 AM EAT

Patrick Mfugale amesema : "Kama ilivyo kawaida Tanroad itahakikisha mkandarasi huyo na mhandisi mshauri msimamizi wanafanya kazi yao kwa uweledi wa hali ya juu. Tunataka kazi ikamilike ndani ya muda, kwa viwango na gharama zilizokubalika," External link

mwananchi Tuesday, January 22, 2019 5:37:00 PM EAT

Patrick Mfugale anaeleza : “Zabuni itatolewa kwa mfumo shindanishi wa zabuni wa kimataifa kama ulivyobainishwa kwenye kanuni za manunuzi za mwaka 2016,” External link

mwananchi Wednesday, December 26, 2018 5:49:00 PM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Niwahakikishie watu wanaoishi pembeni ya mradi huo hasa mabalozi kwamba ujenzi utafanyika bila kuathiri nyumba zilizopo kando ya barabara za Toure na Kenyatta. Litajengwa katika hifadhi ya barabara,” External link

mwananchi Friday, December 21, 2018 11:28:00 AM EAT

Patrick Mfugale alieleza : “Mpaka sasa mkandarasi ameshalipwa malipo ya awali Sh bilioni 21.1 na maandalizi ya mkandarasi yamekamilika kwa asilimia 96 na Mhandisi Mshauri ameshalipwa Sh milioni 86,” External link

habarileo Thursday, December 20, 2018 9:09:00 AM EAT

Patrick Mfugale ANASEMA ( about Rais Magufuli ) : "CHADEMA walikataa kuje kwenye uzinduzi wa Mfugale Flyover, lakini walipoenda #Zanzibar , sijui walikuwa wanafanya nini huko, waliona raha kupita juu ya barabara ile. Sasa mnampinga Rais Magufuli kwa lipi?" External link

jamiiforums Wednesday, December 19, 2018 8:29:00 PM EAT

jamiiforums Wednesday, December 19, 2018 4:37:00 PM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Ujenzi wa barabara hii utahusisha barabara sita, tatu kwenda mjini na tatu kwenda Kibaha na itakuwa na urefu wa kilometa 19.2,” External link

jamiiforums Wednesday, December 19, 2018 7:44:00 AM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Jambo kubwa linalotukwaza kutekelea mradi huu ni kitendo cha baadhi ya wakazi kufungulia maji machafu ya chooni kwenye barabara, pia baadhi ya mamlaka kama vile TANESCO na DAWASCO kutotoa miundombinu yao haraka kwenye maeneo ya ujenzi na changamoto nyingine ndogondogo,” External link

jamiiforums Monday, December 10, 2018 10:57:00 PM EAT

Patrick Mfugale alisema : “Barabara hii iko chini ya uangalizi hadi Desemba, mwaka huu, tunalenga kubaini kama kuna upungufu uweze kurekebishwa,” External link

mwananchi Tuesday, March 3, 2015 10:02:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
ceo13.33%EN08/17/201617/08/2016
executive13.33%EN08/03/201603/08/2016
chief executive13.33%EN08/03/201603/08/2016
chief executive officer tanzania roads authority6.67%EN07/22/201622/07/2016
chief executive officer53.33%EN03/16/201516/03/2015
Names Lang Count
Patrick MfugaleEN61.90%
Patrick MfugaleSW38.10%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Tuesday, August 4, 2020

10:47:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief