Tume Huru
Last updated on 2011-12-08T05:42+0300.

About this image

Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Tume Huru | SW | 100.00% |

Tools
Friday, May 27, 2022
3:45:00 PM EAT
Select your languages
Explore Relations
Extracted quotes about
Zitto Kabwe anasema
(
about Tume Huru
)
:
“Bila Tume Huru ya Uchaguzi pasiwe na uchaguzi wowote nchini. Viongozi wa kitaifa wa vyama watoke na tamko la pamoja kutaka Tume Huru ya Uchaguzi,”
mwananchi Wednesday, November 13, 2019 10:43:00 AM EAT
Joran Bashange amesema
(
about Tume Huru
)
:
“Tunatoa wito kwa vyama vyote vya siasa kutokubali hadaa ya Waziri Jafo na kutumia nafasi hii kuwa pamoja kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili Uchaguzi wa mwaka 2020 usiwe na dosari tulizoshuhudia sasa. Bila Tume Huru ya Uchaguzi pasiwe na Uchaguzi wowote nchini. Viongozi wa Kitaifa wa vyama watoke na tamko la pamoja kutaka Tume Huru ya Uchaguzi,”
mwananchi Monday, November 11, 2019 4:05:00 PM EAT
Joran Bashange amesema
(
about Tume Huru
)
:
“Tunatoa wito kwa vyama vya siasa, kukaa kikao cha pamoja ili kutoa tamko la pamoja kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Pasipo hivyo, ghiliba na bao la mkono litaendelea,”
jamiiforums Monday, November 11, 2019 3:35:00 PM EAT
Joran Bashange amesema
(
about Tume Huru
)
:
“Tunatoa wito kwa vyama vya siasa, kukaa kikao cha pamoja ili kutoa tamko la pamoja kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Pasipo hivyo, ghiliba na bao la mkono litaendelea,”
jamiiforums Monday, November 11, 2019 1:48:00 PM EAT
Wafula Chebukati alisema
(
about Tume Huru
)
:
“Tume imejitolea kuendesha zoezi hili kwa njia huru na ya haki kwa mujibu wa sheria. Tunatarajia kukamilisha kazi hiyo Julai 19, 2019,”
tuko Wednesday, July 10, 2019 12:12:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa Amesema
(
about Tume Huru
)
:
“Hivi karibuni, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa marudio katika kata 32 unaotarajiwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2019. Baada ya tangazo hilo la NEC tumeshuhudia Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali nchini wakiviandikia vyama vya siasa barua juu ya mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu na katika barua hizo wametia saini kama wasimamizi wa uchaguzi huo”
jamiiforums Monday, June 3, 2019 1:15:00 AM EAT

John Heche alisema
(
about Tume Huru
)
:
“Hivi sasa wapiga kura wanaweza kuwa wengi kuliko waliojiandikisha kupiga kura. Mawakala wanazuiwa vituoni. Haya mambo yanaweza kufanyika katika chaguzi ndogo ila yakifanyika uchaguzi mkuu hali itakuwa mbaya sana. Suluhisho ni kuleta mabadiliko ya Katiba bungeni ili turekebishe kifungu kuhusu Tume ya uchaguzi ili twende katika uchaguzi kwa amani,”
mwananchi Saturday, April 20, 2019 12:20:00 PM EAT