Naibu Spika

Last updated on 2013-12-20T03:11+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Naibu Spika alisema : “Kila mbunge anatakiwa kukaa eneo linamhusu yeye kama sehemu ya jamii na kama kiongozi anayetaka kulinda afya za wengine,” External link

habarileo Tuesday, April 21, 2020 3:12:00 PM EAT

Naibu Spika alisema : ”Zungumza na mimi, usijibizane, zungumza na mimi,” External link

mtanzania Wednesday, April 15, 2020 1:04:00 PM EAT

Naibu Spika alisema ( about Joseph Mbilinyi ) : “Mhesshimiwa Mbilinyi, tafadhali nakuomba usome hotuba yako kwa kuzingatia maelekezo uliyopewa awali na si vinginevyo,” External link

mtanzania Friday, April 19, 2019 11:52:00 AM EAT

Naibu Spika akasema ( about Halima Mdee ) : “Bunge limeazimia kuwa Mdee hatashiriki mkutano huu (wa Bajeti) wa 15 wa Bunge na Mkutano wa 16 utakaofanyika Septemba na Oktoba, 2019” External link

habarileo Wednesday, April 17, 2019 9:52:00 AM EAT

Naibu Spika alisisitiza : “Tutalifanyia kazi suala hilo. Ili kuwa na jibu la uhakika; lazima ni consult (nishauriane) na watu wangu ili nikisema iwe ni kitu cha uhakika,” External link

mwananchi Friday, March 15, 2019 12:26:00 PM EAT

Naibu Spika alisema : “Na mimi sina taarifa zake kabisa na wala hajishughulishi kuniandikia spika niko mahali fulani. Nafanya hivi na kama ni mgonjwa hakuna taarifa yeyote ya daktari. Halafu unaendelea kumlipa malipo mbalimbali,” External link

mwananchi Friday, February 8, 2019 9:32:00 AM EAT

Naibu Spika alisema : “Alipopata matatizo wote tulishuhudia na Bunge lilitimiza wajibu wake katika zile saa chache ambazo ni muhimu katika kuokoa maisha yake. Na hilo lilifanikiwa. Tunatambua kwamba mwenzetu aliumizwa na alikuwa hospitalini,” External link

jamiiforums Thursday, January 24, 2019 7:01:00 AM EAT

mwananchi Tuesday, January 22, 2019 9:43:00 AM EAT

Naibu Spika alisema : “Yeye ametoka kuugua aache uzushi, arudi nyumbani. Tunamsubiri nyumbani,” External link

mwananchi Monday, January 21, 2019 9:49:00 AM EAT

Naibu Spika amesema : "TAYARI NCHI INA SHERIA ILIYOFUTA FAO HILO" External link

jamiiforums Wednesday, January 2, 2019 5:25:00 PM EAT

Naibu Spika alisema : “Katika mbio za kupokezana vijiti pia ameipatia timu hiyo kwa kukimbia kwa kupokezana na wabunge wengine, Rose Tweve, Halima na Zubeda Sakuru katika riadha ya kupokezana vijiti,” External link

habarileo Tuesday, December 11, 2018 10:29:00 AM EAT

Naibu Spika alisema ( about Barack Obama ) : “Nilikuwapo kwa siku 35 sote tulifanya kazi nzuri nawapongeza wote. Kuna kauli ya Trump (Donald mgombea urais wa Chama Republican) kwamba ‘I alone Can do’ na Obama (Barack Rais wa Marekani) anasema ‘Yes we can’ mimi nachagua hii ya Obama nataka Bunge moja,” External link

mtanzania Tuesday, September 6, 2016 9:35:00 AM EAT

Naibu Spika alisema ( about Naibu Spika ) : “Kwa mujibu wa kanuni ya 117, fasili ya 17, Spika ataweka utaratibu wa kujadili taarifa ya kamati endapo kamati yoyote katika utekelezaji wa majukumu yake itaona kuna mambo ya utekelezaji, inaweza kutoa taarifa maalumu kwa waziri husika ili aweze kuchukua hatua zinazostahili,” External link

mtanzania Friday, July 1, 2016 10:37:00 AM EAT

Naibu Spika alisema ( about Joseph Mbilinyi ) : “Hivyo naelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufanya uchunguzi kuhusu kitendo kinachodaiwa kufanywa na Mbilinyi kwa mujibu wa kanuni za Bunge na kuchukua hatua stahiki,” External link

mtanzania Monday, June 13, 2016 8:56:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
rais20.00%SW07/14/201614/07/2016
mheshimiwa80.00%SW06/28/201628/06/2016
Names Lang Count
Naibu SpikaSW98.03%
NAIBU SpikaSW1.97%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, October 31, 2020

1:52:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Tulia Ackson alisema ( about Naibu Spika ) : “Spika ametangaza kwamba wabunge wanatakiwa kuzingatia na kufuata maelekezo bungeni wakati wowote wakiwa bungeni kama watalaamu wa afya wanavyoelekeza,” External link

habarileo Tuesday, April 21, 2020 3:12:00 PM EAT

Amina Mollel amesema ( about Naibu Spika ) : “Naibu Spika, nina masikitiko makubwa nikiwa kama mama, ninasimama kwa ajili ya kusimamia haki ya mtoto ambaye amekosa haki katika mahakama ya Arusha,” External link

mwananchi Thursday, June 27, 2019 10:10:00 PM EAT

Amina Mollel amesema ( about Naibu Spika ) : “Naibu Spika, serikali imekuwa kimya juu ya ugonjwa huu na wanapokwenda hospitali wanaambiwa kipimo ni shilingi 50,000 kwa hiyo watu wengi wanakwepa kupima sababu ya hiyo hiyo fedha. Kwa hiyo Mheshimiwa Naibu Spika naomba ikikupendeza kutumia Kanuni ya 49 (1) (2) ili tuweze angalau tupate taarifa ama majibu kutoka kwa serikali,” External link

habarileo Tuesday, June 18, 2019 9:26:00 AM EAT

Tundu Lissu alihoji ( about Naibu Spika ) : “Spika anajuaje kwamba nimepona? Anajua masharti niliyopewa na daktari ni yapi? Anajua nimetokaje hospitalini?” External link

mwananchi Monday, January 21, 2019 9:49:00 AM EAT

Job Ndugai alisema ( about Naibu Spika ) : “Yeye ametoka kuugua aache uzushi arudi nyumbani, tunamsubiri nyumbani. Kitu muhimu ni kwamba ajue hana ruhusa ya Spika ya kuwa huko anakozurura. Sasa achunge kidogo, maana Spika ana nguvu zake, asimpe sababu,” External link

jamiiforums Sunday, January 20, 2019 10:32:00 AM EAT

mwananchi Sunday, January 20, 2019 10:29:00 AM EAT

Rais Magufuli alieleza ( about Naibu Spika ) : “Mheshimiwa Spika, ulipounda kamati za Bunge ulimteua Biteko kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini, ulipounda tena Kamati ya kufuatilia Madini yanavyoibwa, ulimteua tena Biteko kuwa Mwenyekiti, nami nilikuwa namfuatilia, nikaamua kumteua,” External link

habarileo Thursday, January 10, 2019 9:24:00 AM EAT

Raila Odinga alisisitiza ( about Naibu Spika ) : “Eti humtaki Naibu Spika, Naibu Spika huchaguliwa na wabunge siyo? Hajachaguliwa yeye mwenyewe, hata kama wewe hutaki sura yake saa ile anayokuwa kwenye kiti… mimi nasema huo uamuzi ulikuwa ni kutoelewa nguvu na umuhimu wa Bunge,” External link

mtanzania Sunday, August 21, 2016 12:05:00 PM EAT

Naibu Spika alisema ( about Naibu Spika ) : “Kwa mujibu wa kanuni ya 117, fasili ya 17, Spika ataweka utaratibu wa kujadili taarifa ya kamati endapo kamati yoyote katika utekelezaji wa majukumu yake itaona kuna mambo ya utekelezaji, inaweza kutoa taarifa maalumu kwa waziri husika ili aweze kuchukua hatua zinazostahili,” External link

mtanzania Friday, July 1, 2016 10:37:00 AM EAT

Hussein Bashe alisema ( about Naibu Spika ) : “Kwanini Rais ameachwa, Waziri Mkuu, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya? Wawekeni wote tulipe kodi, hata majaji, Spika na Naibu Spika, acheni kutugawa,” External link

mtanzania Tuesday, June 14, 2016 9:05:00 AM EAT

David Silinde alisema ( about Naibu Spika ) : “1. Kwa mujibu wa Kitabu cha Mapato ya serikali katika mwaka huu wa fedha volume 1 ‘Financial Statements and Revenue estimates’ for the year 1st July ,2016 to 30th June 2017 kilicholetwa hapa Bungeni kinaonyesha kuwa mapato yote ya serikali yaani mapato ya kodi, yasiyokuwa ya kodi , mikopo na misaada ya kibajeti itakuwa jumla ya shilingi trilioni 22.063. Mheshimiwa Spika, upatikanaji wa mapato hayo ni kama ifuatavyo; Mapato yasiyokuwa ya kodi ni shilingi Bilioni 665.664. iii. Mikopo na misaada ya kibajeti ni shilingi Trilioni 3.600” External link

mtanzania Monday, June 13, 2016 8:56:00 AM EAT

AfricaBrief