Peter Serukamba

Last updated on 2017-03-26T13:05+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Peter Serukamba alisema : “Fedha hizo ambazo asilimia 83.3 ni fedha za mradi wa Uusikuvu wa TBC ni muhimu sana hasa ikizingatiwa changamoto ambazo TBC inakumbana nazo. Kamati inashauri Fedha hizo zitoke kabla ya mwaka huu wa Fedha 2019/2020 kuisha ili kusaidia TBC kutekeleza malengo ambayo imejiwekea,” External link

mtanzania Thursday, April 23, 2020 11:34:00 AM EAT

Peter Serukamba amesema : “Madhara yanayotokana na ukatili huo ni makubwa ikiwemo kuumizwa vibaya, kupata ulemavu wa viungo, madhara ya kisaikolojia na hata kupoteza maisha kwa baadhi ya watu,” External link

mwananchi Thursday, February 6, 2020 9:38:00 PM EAT

Peter Serukamba said : “I believe low-income families will be frustrated because they need to be part of the schemes but they can’t afford to pay the feem in a lumpsum,” External link

theCitizen Friday, November 29, 2019 11:18:00 AM EAT

Peter Serukamba amesema : “Kuna baadhi ya magonjwa yanapaswa kuangaliwa na hata vipimo si wote wanaopima CT SCAN au MRI, vipimo hivi wanapima wachache, nadhani NHIF mlifikirie hili mtoe hii huduma katika kila kifurushi,” External link

mwananchi Thursday, November 28, 2019 2:47:00 PM EAT

Peter Serukamba amesema : “Uzalishaji wa Kahawa hauzidi tani 50,000, chai 19,000, pamba haizidi 300,000. Waziri wa fedha umefika wakati ukae na waziri wa Kilimo mpeane utaratibu,” External link

mwananchi Tuesday, June 18, 2019 6:10:00 PM EAT

Peter Serukamba amesema : “Wanaelekezana namna ya kutengeneza vifaranga vya samaki na kuvigawa bure. Uganda na Kenya wataanza kuuza samaki kuliko sisi ambao tuna maziwa mengi. Tukijaribu vizimba tutaongeza fedha za kigeni kupitia samaki,” External link

Peter Serukamba amesema : “Tuna fukwe kuanzia Tanga hadi Mtwara lakini hakuna kinachofanyika. Tuna mbuga nyingi na tunaweza kuamua Ngorongoro na Serengeti zitengwe kwa ajili ya watu wenye fedha na mbuga nyingine kama Mikumi, Selous, Tarangire, Katavi na Ruaha kuwa za watu wa kipato cha kawaida,” External link

Peter Serukamba alisema ( about John Magufuli ) : “Bunge hili tukubaliane, waziri wa fedha atuambie Serikali hii haikubaliani na sekta binafsi kwa sababu mipango yako mwanzo mpaka mwisho huongelei sekta binafsi, kama tumerudi katika ujamaa tuambie tujue, lakini haiwezekani tuimbe ujamaa na kutaka matokeo ya kibepari,” “Ninamuonea huruma sana Rais (John Magufuli) anahangaika ila wenzake hawamuelezi ukweli mtanisamehe. Leo Rais anasema viwanda vizalishe sukari lakini tumesema siku zote bungeni hakuna aliyetuelewa ila kwa kuwa Rais kasema, viwanda vitazalisha sasa” External link

mwananchi Sunday, June 9, 2019 10:22:00 AM EAT

Peter Serukamba amesema : “Lakini tulivyokuja mpango wa 2017/18 tukaambiwa deni la Taifa limekuwa dola 18 bilioni ongezeko la asilimia 9.76, sasa mwaka uliopita ilikuwa dola 19 bilioni mwaka unaofuata tunaambiwa dola 18 bilioni lakini kuna ongezeko,” “Hawakuishia hapo wanasema ongezeko hili wanalinganisha na dola 16 bilioni za 2015. Kwenye mpango huu wa mwanzo wanasema Oktoba ilikuwa dola 19 bilioni, kwenye mpango huu wa pili wanasema Oktoba ilikuwa dola 16 bilioni na kwenye mpango huu mpya wanasema deni la Taifa limefika dola 26 bilioni ukilinganisha na dola 22 bilioni za Juni 2016” External link

mwananchi Friday, June 7, 2019 1:41:00 PM EAT

Peter Serukamba amesema : “Huku wanasema wataweka fedha TIB (Benki ya uwekezaji Tanzania) zisaidie miradi lakini tangu wameanza kusema hawajaweka hata shilingi moja. Mambo ambayo mnajua hamuwezi kuyafanya msiandike. Hatuongelei uzalishaji sisi tunahangaika kubana. Mmegeuza uchumi wa kubana. Tunaleta sheria ya kubana hakuna anayeongelea kupanua,” External link

Peter Serukamba amesema : “Bunge hili tukubaliane Waziri wa Fedha atuambie Serikali hii haikubaliani na sekta binafsi kwa sababu mipango yako mwanzo mpaka mwisho huongelei sekta binafsi, kama tumerudi katika ujamaa tuambie tujue lakini haiwezekani tuimbe ujamaa na kutaka matokeo ya kibepari,” External link

Peter Serukamba alisema : “Kamati imebaini changamoto ya malipo mbalimbali zikiwamo motisha ya posho ya nyumba, motisha ya saa za ziada kwa watumishi wa afya ni kubwa na inaweza kuathiri utendaji wao wa kazi, Kamati inashauri Serikali kulibeba suala hili kipekee na kulitafutia ufumbuzi wa haraka” External link

mtanzania Wednesday, May 8, 2019 7:55:00 PM EAT

Peter Serukamba noted : “The committee is aware that the country has some 13,000 community health workers, who are jobless. Rwanda has managed to cut the deaths of children under the age of five due to availability of community health workers,” External link

theCitizen Wednesday, May 8, 2019 1:18:00 PM EAT

Peter Serukamba alisema : “Kuna mifano mizuri ya kuigwa kutoka kwa wanataaluma nyingine nyingi wakiwemo wanasheria, madaktari na wauguzi kwa uchache,” External link

mtanzania Saturday, November 5, 2016 10:05:00 AM EAT

Peter Serukamba said ( about Nationale Organisation ) : "This has been a trend since 1993, whenever the bill is tabled in the National Assembly the media stakeholders have been demanding the document to be withdrawn and given more time. We cannot continue like this," External link

allafrica Monday, October 31, 2016 1:44:00 PM EAT

Peter Serukamba observed : "The hearing was scheduled for October 19th, this year, but the stakeholders decided to reserve their views, they did the same last year when the bill was tabled for the first reading and pushed for it to be withdrawn," External link

BBCMonitoring Sunday, October 30, 2016 4:03:00 PM EAT

Peter Serukamba said : "As MPs we cannot stop working simply because some people have decided to delay any issue, we expect that they will present their views next Wednesday so that the committee can work on them before submissions to the office of the speaker," External link

allafrica Thursday, October 20, 2016 11:43:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
chairman72.22%EN03/26/201726/03/2017
services parliamentary committee chairman11.11%EN11/03/201603/11/2016
parliamentary committee chairman11.11%EN11/03/201603/11/2016
community development chairman5.56%EN10/20/201620/10/2016
Names Lang Count
Peter SerukambaSW52.17%
Peter SerukambaEN47.83%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Wednesday, September 23, 2020

2:17:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief