Edward Lowassa

Last updated on 2017-10-05T15:07+0300.

About this image
License: UNKNOWN

sign

Quotes... Extracted quotes from

Edward Lowassa alisema : “Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha rafiki na mzalendo halisi wa nchi hii Subash Patel. Nimefahamiana na Subhash kwa muda mrefu na ukaribu wangu na yeye ulitokana na moyo wake wa kulisaidia taifa hili na watu wake,” External link

habarileo Wednesday, December 16, 2020 8:37:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema ( about John Magufuli ) : “Leo Venezuela, Angola kuna fujo kwa sababu ya mambo ambayo sisi yanatuletea amani, rais Magufuli amekuja na ndoto sahihi alihakikisha corona haiji kwetu, anajitahidi na wananchi wanamwelewa…sasa tumpe zawadi ya kura,” External link

mtanzania Saturday, October 24, 2020 3:50:00 PM EAT

Edward Lowassa said : “Today there are countries like Nigeria which are going through violence but we are enjoying peace in Tanzania. Let’s reward him through our votes,” External link

theCitizen Saturday, October 24, 2020 11:12:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Hakuna ubishi kuwa tangu uchukue nchi, nchi inakwenda vizuri sana. Hakuna ubishi, yale yaliyokuwa hayawezekani yanawezekana. Nchi imetulia na inakwenda kwa spidi kubwa. Tunakuomba uendelee kufinya. Speed (kasi) isipungue. Iendelee,” External link

habarileo Sunday, July 12, 2020 7:39:00 PM EAT

Edward Lowassa amesema ( about Rais Magufuli ) : "Kama Rais Magufuli akipewa nchi hii kwa miaka 10 itakuwa ya ajabu na mabadiliko makubwa mno," External link

mwananchi Friday, December 13, 2019 2:54:00 PM EAT

Edward Lowassa said ( about John Magufuli ) : "If President Magufuli is given 10 years to run this country, Tanzania will be wonderful and witness tremendous development," External link

BBCMonitoring Tuesday, December 10, 2019 4:51:00 PM EAT

Edward Lowassa amesema ( about Rais Magufuli ) : “Kama Rais Magufuli ataachiwa akamaliza miaka yake 10 nchi hii itabadilika itakuwa kubwa na yenye maendeleo makubwa sana kwa hiyo ninaomba tumuunge mkono tumsaidie ili nchi yetu izidi kwenda mbele,” External link

mtanzania Monday, December 9, 2019 4:24:00 PM EAT

mwananchi Monday, December 9, 2019 3:21:00 PM EAT

Edward Lowassa amesema : “Sasa mashirika na taasisi kama hizi zinaanzisha miradi ya kusaidia watu vijijini, yanapaswa kupewa motisha na Serikali kwani wanalenga mahitaji ya watu wetu vijijini ambako kwa kweli kuna changamoto nyingi,” External link

mwananchi Sunday, December 1, 2019 1:01:00 PM EAT

Edward Lowassa said : “Chadema Party agreed to support President Kenyatta’s re-election because he has led Kenya well,” External link

nation-ke Sunday, July 28, 2019 10:02:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Nimerudi nyumbani, msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani,” External link

mtanzania Saturday, March 30, 2019 4:27:00 PM EAT

Edward Lowassa alisema : “Nimerudi nyumbani msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani,” External link

mwananchi Tuesday, March 12, 2019 10:49:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Tumuunge mkono ili apate nguvu ya kuliongoza taifa letu aweze kuendelea na kazi zake, tushirikane tusaidiane,” External link

mtanzania Sunday, March 10, 2019 11:34:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Nawashukuru kwa kunikubali nawashukuru sana Rais Dk. Magufuli, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Polepole kwa kunikubalia kurudi tena CCM,” External link

Edward Lowassa alisema : “Mambo yanakwenda kwa kasi hii anaifanya Rais, nimekuja kuwaombeni tumuunge mkono ili kazi hii iendelee vizuri,” External link

Edward Lowassa alisema : “Tumekaa hapa miaka mingi tukianza kuleta chokochocho itatuharibia, ni imani yetu na chama chetu kwamba tutaishi kwa imani hiyo kwa faida ya Watanzania wengi,” External link

Edward Lowassa alisema ( about Rais Magufuli ) : “Hivyo ndio vipimo vinavyotakiwa katika maendeleo ya nchi naamini Rais Magufuli anaweza kuvifuata na tukaenda vizuri,” External link

Edward Lowassa amesema : “Sina mashaka juu ya uongozi wake na naamini tukimuunga mkono wote kwa pamoja tutafika mbali sana,” External link

Edward Lowassa alisema ( about Rais Magufuli ) : “Hivyo naungana na Rais Magufuli katika utendaji wake sina mashaka naye na nimesahau kuwaambia kuwa Rais Magufuli anawasalimia sana na nasisitiza amani,” External link

habarileo Sunday, March 10, 2019 10:28:00 AM EAT

Edward Lowassa amesema ( about Rais Magufuli ) : "Mimi niligombea Uras mwaka uliopita, nilipata kura nyingi sana sio kidogo Milioni 6 nawashukuru sana walionipa zile kura, Lakini naomba kwa upendo Watanzania wote wale walionipa hizo kura Milioni sita wazielekeze kwa Rais Magufuli tumuunge mkono ili apate nguvu ya kuliongoza Taifa letu maneno yatakuwepo watamkatisha tamaa lakini nataka kumwambia tuko nyuma yako," External link

jamiiforums Sunday, March 10, 2019 8:11:00 AM EAT

Edward Lowassa amesema : “Tumuunge mkono ili apate nguvu ya kuliongoza taifa letu aweze kuendelea na kazi zake, tushirikane tusaidiane,” External link

mtanzania Saturday, March 9, 2019 7:58:00 PM EAT

Edward Lowassa alisema : "Nimerudi nyumbani msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani," External link

bbc-swahili Saturday, March 9, 2019 7:17:00 PM EAT

Edward Lowassa amesema : “Nimerudi nyumbani msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani,” External link

mwananchi Saturday, March 9, 2019 6:52:00 PM EAT

Edward Lowassa said : “I would like to put things clear to Tanzanians and Chadema supporters. I have no plans to leave Chadema,” External link

theCitizen Thursday, March 7, 2019 1:05:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Sina mpango wa kuondoka Chadema, sijapanga wala sijafikiria kuondoka Chadema. Ningetaka kuweka wazi kwa Watanzania na wanachama wa Chadema kwamba sina mpango wa kuondoka Chadema hata kidogo, sina mpango wa kuondoka Chadema, sijapanga wala sijafikiria kuondoka Chadema. Ninazo sababu nyingi, katika uchaguzi uliopita (2015) walionibeba ni Chadema na walinibeba tukazunguka na tukapeperusha bendera zetu nchi nzima vizuri na kwa umakini na tukapata watu waliotuamini,” External link

mwananchi Monday, March 4, 2019 2:19:00 PM EAT

Edward Lowassa alihoji : “Watu wale zaidi ya milioni sita ndizo kura wanazokubali Tume ya Uchaguzi, watu wale zaidi ya milioni sita nawaambia nini? Nawaambia naondoka Chadema kwa sababu gani? Kwa hoja gani?” External link

Edward Lowassa alisema : “Mimi sina mengi ya kusema nimerudi nyumbani” External link

jamiiforums Sunday, March 3, 2019 6:16:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Bwana Yesu asifiwe, salaam alleikum. Sina mengi ya kusema; nimerudi nyumbani,” External link

mwananchi Saturday, March 2, 2019 9:30:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Sina mpango wa kuondoka Chadema, sijapanga wala sijafikiria kuondoka Chadema,” External link

Edward Lowassa amesema : "Huu ni uongo wa kutunga, wamekuwa wakitunga vitu vingi juu yangu, mimi sina mpango wa kurejea CCM," External link

jamiiforums Friday, March 1, 2019 7:18:00 PM EAT

Edward Lowassa alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Wakati nilipokuwa Waziri Mkuu, marehemu aliwahi kuja ofisini kwangu kwa ajili ya kuwaombea vijana ajira pamoja na mashine za kurekodi nyimbo, nilizungumza nae na aliniomba ushauri,” External link

mtanzania Friday, March 1, 2019 12:16:00 PM EAT

Edward Lowassa alisema : “Alitumia kipawa chake vizuri na alikuwa kiongozi mahiri katika jamii yetu kwa kuiunganisha na kuhakikisha tunaishi kwa upendo,” External link

mwananchi Sunday, January 6, 2019 9:19:00 AM EAT

Edward Lowassa amesema : "Marehemu alitumia kipawa chake vizuri na alikua kiongozi mahiri katika jamii yetu kwa kuunganisha na kuhakikisha tunaishi kwa upendo," External link

mwananchi Saturday, January 5, 2019 5:46:00 PM EAT

Edward Lowassa said : "I'm still a Chadema member and I don't have any reason to quit the party. We fought together during the 2015 General Election, and we will continue to fight together," External link

allafrica Sunday, December 9, 2018 8:03:00 PM EAT

Edward Lowassa alisema ( about Waziri Mkuu ) : “Ikifunguliwa nitakuwa wa kwanza kwenda mikoani kushukuru, isipofunguliwa nitawaachia nyinyi (wananchi) muamue Uchaguzi Mkuu utakapofanyika,” External link

mwananchi Saturday, December 8, 2018 9:17:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : "Sina mpango wa kuondoka CHADEMA, sijapanga wala sijafikiria kuondoka CHADEMA" External link

jamiiforums Friday, December 7, 2018 4:18:00 PM EAT

Edward Lowassa alisema : "Ninazo sababu nyingi katika Uchaguzi uliopita walionibeba ni CHADEMA na walinibeba tukazunguka na tukapeperusha bendera zetu Nchi nzima vizuri na kwa umakini na tukapata watu waliotuamini" External link

Edward Lowassa alieleza : "Watu wale milioni sita ndizo kura wanazokubali Tume ya Uchaguzi, watu wale zaidi ya milioni sita nawaambia nini? Nawaambia naondoka CHADEMA kwa sababu gani? Kwa hoja gani?" External link

Edward Lowassa alisema : “Ningetaka kuweka wazi kwa Watanzania na wanachama wa Chadema kwamba sina mpango wa kuondoka Chadema hata kidogo, sina mpango wa kuondoka Chadema, sijapanga wala sijafikiria kuondoka Chadema,” External link

jamiiforums Friday, December 7, 2018 12:52:00 PM EAT

Edward Lowassa said : “I’m still a Chadema member and I don’t have any reason to quit the party. We fought together during the 2015 General Election, and we will continue to fight together,” External link

theCitizen Friday, December 7, 2018 12:11:00 PM EAT

mwananchi Friday, December 7, 2018 9:48:00 AM EAT

Edward Lowassa amesema : "Kesho nakwenda uwanjani, usitake kujua mimi ni mshabiki wa timu gani, subiri utaniona uwanjani" External link

mwananchi Friday, February 24, 2017 9:54:00 PM EAT

Edward Lowassa amesema : "Nasikitika ninapoona watu tunazipenda sana timu za nje.Yale mahaba ya zamani kwa timu zetu yako wapi?michezo hususani mpira ni eneo pana sana la ajira kwa vijana wetu," External link

Edward Lowassa alisema ( about Fidel Castro ) : “Kwangu Castro ni kiongozi wa mfano. Ni kiongozi aliyenivutia ambaye kazi aliyoifanya si tu imeacha heshima nchini mwake, bali pia katika mataifa mbalimbali duniani,” External link

mwananchi Sunday, December 4, 2016 11:38:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Pamoja na mafanikio machache katika baadhi ya maeneo maisha yamezidi kuwa magumu na ajira imeendelea kuwa bomu linalosubiri kulipuka na kwamba elimu bure iliyoahidiwa siyo inayotekelezwa huku utumishi wa umma umekuwa kaa la moto,” External link

mtanzania Wednesday, October 26, 2016 9:35:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Naamini nilileta sura na msisimko mpya katika siasa za Tanzania. Nilishirikiana na wenzangu kuionesha nchi yetu demokrasia maana yake ni nini,” External link

Edward Lowassa alisema : “Chini ya Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe,tuliendesha kampeni za kiungwana kama tulivyoahidi. Upepo ule ulivuma kwa kasi mpaka visiwani ambako Maalim Seif (Aliyekuwa mgombea urais Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Sharif Hamad) aliporwa dhahiri ushindi,” External link

Edward Lowassa alisisitiza : “Kumalizika kwa uchaguzi ndiyo mwanzo wa uchaguzi mwengine, kwa hiyo mapambano ndiyo kwanza yameanza. Kasi, nguvu, ari na hamasa niliyonayo ni kubwa zaidi kuliko wakati mwingine wowote,” External link

Edward Lowassa alisema ( about Jakaya Kikwete ) : “Ni kweli nimesalimiana na Jakaya amenisalimia Assalam Aleykum nami nikamjibu. Kisha akaniuliza hujambo nikamjibu sijambo. Nami nikamuliiza je nawe hujambo akasema hajambo basi kila mmoja akaendelea na shughuli iliyotupeleka ya msiba,” External link

mtanzania Tuesday, October 18, 2016 10:21:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Poleni sana kwa maafa makubwa ya tetemeko, nimetembelea nimeona wananchi wetu wakilala nje kutokana na nyumba zao kubomoka kabisa huku wengine wakipoteza ndugu na watoto wao, hili ni janga la kitaifa tunapaswa kushikamana kuwasaidia wenzetu,” External link

mtanzania Saturday, September 24, 2016 10:57:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Utamaduni huu sijui utaisha lini, kwani tunajua uchaguzi ulishamalizika tunashangazwa na hivi vitendo vya kupiga wananchi mabomu,” External link

Edward Lowassa amesema : “Serikali inataka kukatisha tamaa vyama vya upinzani ili visitekeleze majukumu yake,” External link

mwananchi Thursday, September 22, 2016 7:28:00 AM EAT

Edward Lowassa said ( about Joseph Nkaissery ) : "I call upon Nkaissery to organise a meeting where we will come and sit down and know who will be entrusted with the mantle," External link

allafrica Sunday, September 18, 2016 10:46:00 AM EAT

allafrica Sunday, September 18, 2016 10:05:00 AM EAT

Edward Lowassa alisema : “Yaani mtu mmoja anajiamulia kuvunja Katiba, anazuia mikutano, anazuia mikutano ya ndani na wasuluhishi hawamuonyi, nasema kabla ya kuja kwetu, wakamweleze yeye kwanza juu ya matendo yake,” External link

mtanzania Thursday, August 25, 2016 8:30:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
candidate7.55%EN12/09/201709/12/2017
presidential candidate6.83%EN12/09/201709/12/2017
prime minister29.86%EN11/24/201724/11/2017
minister26.26%EN11/24/201724/11/2017
waziri mkuu2.88%SW10/05/201705/10/2017
challenger0.72%EN10/02/201702/10/2017
leader7.91%EN08/12/201712/08/2017
viongozi0.36%SW08/09/201709/08/2017
mbunge wa monduli0.36%SW07/28/201728/07/2017
premier3.24%EN07/16/201716/07/2017
chadema party leader0.36%EN01/17/201717/01/2017
aspirant0.72%EN09/15/201615/09/2016
politician0.72%EN09/14/201614/09/2016
president1.08%EN09/07/201607/09/2016
member6.83%EN07/31/201631/07/2016
waziri1.44%SW07/31/201631/07/2016
coalition presidential candidate0.72%EN07/07/201607/07/2016
waziri wa mambo ya nje1.08%SW03/02/201502/03/2015
premier0.36%NL02/08/200808/02/2008
tanzanian prime minister0.36%EN05/22/200622/05/2006
minister0.36%NL05/18/200518/05/2005
Names Lang Count
Edward LowassaSW34.65%
Edward LowassaEN34.65%
Edward LowassaSV3.28%
Edward LowassaEU3.28%
Edward LowassaFI3.28%
Edward LowassaPL3.28%
Edward LowassaID3.28%
Edward LowassaGL3.28%
Edward LowassaDE3.28%
Edward LowassaES3.28%
Edward LowasaSW2.63%
Edward Ngoyai LowassaSW0.82%
Edward LowasaEN0.82%
EDWARD NGOYAI LOWASSASW0.16%
爱德华·洛瓦萨ZH0.00%
Edward LowaasaSW0.00%
Edward LowassaFR0.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, November 28, 2022

8:57:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Freeman Mbowe alisema ( about Edward Lowassa ) : “Ni kweli nilikutana na Mheshimiwa Lowassa na tulizungumza, lakini siwezi kutoa kila kitu. Tulichozungumza si kwa public (watu wote), lakini muda ukifika kama itahitajika tutafanya hivyo,” External link

jamiiforums Tuesday, January 7, 2020 4:24:00 PM EAT

Mark Green stated ( about Edward Lowassa ) : “Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years” External link

jamiiforums Saturday, July 20, 2019 12:51:00 AM EAT

Bashiru Ally alisema ( about Edward Lowassa ) : “Kulikuwa na mazungumzo kwa upande wa chama baada ya kupokea maombi yake. Na yeye hakuwa mtu wa kwanza, wapo wanachama tuliwafukuza ndani ya chama wakandika barua wenyewe wakikiri makosa yao. Vikao vilikaa wakafikiriwa, wakasamehewa na Lowassa alikuwa mmoja wao,” External link

mwananchi Saturday, April 27, 2019 12:44:00 PM EAT

Juma Duni Haji alisema ( about Edward Lowassa ) : “Lowassa ni mtu mzima, anajua ukweli wake na hata CCM wanajua walichomfanyia. Nyuma ya uamuzi wake tumesikia misukosuko mingi, kuna mashamba, biashara, mara mkwe, lakini sisi si watoto wadogo, tunafahamu yanayoendelea ila ngoja tunyamaze,” External link

mtanzania Saturday, March 30, 2019 4:27:00 PM EAT

Freeman Mbowe alisema ( about Edward Lowassa ) : “Nilisikitika (Lowassa kuondoka Chadema), nikisema nilifurahi nitasema uongo, kwa sababu tulimpokea kwa nia njema. Lakini kwenda kwenye chama kingine cha siasa basi akaseme kweli, sisi tutaendelea kuijenga demokrasia. Na mjadala huu naufungia hapo,” External link

mtanzania Saturday, March 16, 2019 12:02:00 PM EAT

Freeman Mbowe alisema ( about Edward Lowassa ) : “Tulimpokea (Lowassa) kwa nia njema, lakini kaenda chama kingine cha siasa. Huko basi akaseme kweli na atusaidie kukieleza chama chake kipya kisiendelee kuwatesa Watanzania,” External link

mwananchi Saturday, March 16, 2019 11:11:00 AM EAT

John Mrema amehoji ( about Edward Lowassa ) : “Kama anafikiri kura walimpa yeye kama Lowassa, kwa nini hakugombea kupitia chama kingine?” External link

habarileo Monday, March 11, 2019 10:43:00 AM EAT

John Mrema amesisitiza ( about Edward Lowassa ) : “Kuna kitu Lowassa anasahau, labda tumkumbushe tu kura zile zilikuwa za watu ambao walihitaji mabadiliko na asifikiri ni watu ambao atawageuza geuza tu leo njooni huku kesho geukieni huku,” External link

Humphrey Polepole alisema ( about Edward Lowassa ) : “Kikao cha tawi kilijadili barua ya Lowassa na kikaridhia Lowassa kurudi CCM,” External link

mtanzania Sunday, March 10, 2019 11:34:00 AM EAT

Humphrey Polepole alisema ( about Edward Lowassa ) : “Napenda kukupa habari njema bwana Lowassa, kikao cha tawi kimeridhia kujiunga na CCM, kama haitoshi kikao cha kamati ya siasa ya kata leo kimekaa na kukubali, leo asubuhi, kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya wilaya na kikao kimeridhia kurejea CCM,” External link

mwananchi Saturday, March 9, 2019 8:00:00 PM EAT

Rais Magufuli alisema ( about Edward Lowassa ) : “Ndugu zangu kama alivyozungumza, Lowassa ametumia maneno mafupi, amerudi nyumbani na nyumbani ni hapa CCM, ndio maana amesimama kwenye jengo la Makao Makuu Ofisi ndogo ya CCM,” External link

mtanzania Saturday, March 9, 2019 12:29:00 PM EAT

Frederick Sumaye alisema ( about Edward Lowassa ) : “Nilikwenda kwa sababu ya kutaka kuimarisha upinzani ili kujenga demokrasia ya kweli nchini. Lowassa alikuja na watu kama 10 hivi au zaidi sina takwimu,” External link

mwananchi Wednesday, March 6, 2019 12:43:00 PM EAT

Freeman Mbowe alisema ( about Edward Lowassa ) : “Hatukumkaribisha Lowassa peke yake, tumemkaribisha Lowassa na mamilioni ya Watanzania wengi,” External link

mwananchi Tuesday, March 5, 2019 11:34:00 AM EAT

Zitto Kabwe alisema ( about Edward Lowassa ) : “Kamwe sikuwa na hata chembe ya mashaka kuwa mzee Lowassa angeweza kutuongoza wanasiasa vijana kwenye upinzani na kutupa uzoefu katika uongozi. Hata hivyo nadhani kuna sababu zenye nguvu zaidi zilizomfanya atumie haki yake ya kikatiba kujiunga tena na CCM,” External link

Joseph Selasini alisema ( about Edward Lowassa ) : “Lowassa alikuja kwetu baada ya kudharauliwa, kubezwa na kukataliwa na chama ambacho alikitumikia kwa muda mrefu,” External link

mwananchi Sunday, March 3, 2019 12:24:00 PM EAT

Joseph Selasini amesema ( about Edward Lowassa ) : "Lowassa alikuja kwetu baada ya kudharauliwa, kubezwa na kukataliwa na chama ambacho alikitumikia kwa muda mrefu, tulimchukua tukijua alikua na mchango katika kukuza demokrasia nchini na kwa maendeleo ya Taifa hili, ni dhahiri upo mchango wake ambao aliongeza katika chama chetu na hatuwezi kuudharau," External link

mwananchi Saturday, March 2, 2019 5:38:00 PM EAT

Rais Magufuli alisema ( about Edward Lowassa ) : “Ndugu zangu kama alivyozungumza, Lowassa, ametumia maneno mafupi, amerudi nyumbani na nyumbani ni hapa CCM, ndiyo maana amesimama kwenye jengo la Makao Makuu Ofisi ndogo ya CCM,” External link

mtanzania Saturday, March 2, 2019 11:12:00 AM EAT

Uhuru Kenyatta said ( about Edward Lowassa ) : “Today my friend Lowassa campaigned for me in his stronghold of Suswa, Narok. He also advised me how to be an Opposition Leader,” External link

kenyan-post Saturday, August 5, 2017 2:15:00 PM EAT

Victor Victor writes ( about Edward Lowassa ) : "You must have paid hugely for the opinion poll and such figures are good to look at for those interested in ratings. But I am disturbed by the kind of writing where you say Lowassa is 'trailing' Magufuli and 'by far,'" External link

allafrica Monday, November 7, 2016 5:27:00 PM EAT

Victor Victor writes ( about Edward Lowassa ) : "You report that your opinion poll consultants, Infotrak, have recorded President Magufuli's '54. 6 per cent popularity rating compared to 27 per cent of his main presidential election rival and former Prime Minister Edward Lowassa of the main opposition party, Chadema... ' " External link

Mur Mohammed said ( about Edward Lowassa ) : “I know the President was agitated because of the demonstration of massive support which even his friend Edward Lowassa alluded to. The Maasai are very clear where they are and where they are headed,” External link

nation-ke Thursday, September 15, 2016 11:25:00 PM EAT

Augustine Mrema amesema ( about Edward Lowassa ) : “Hata angekuja Lowassa sasa, nitamuuliza mwaka 1992 wakati natoka CCM nilikwambia tutoke sasa maji yamechemka tukiweka unga tutapata ugali, ukagoma Lowassa,” External link

mwananchi Tuesday, August 2, 2016 3:48:00 AM EAT

AfricaBrief