Peter Kibatala

Last updated on 2013-11-29T00:41+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Peter Kibatala alidai ( about John Mallya ) : “Mimi na Wakili Fredy Khiwelo tunawatetea washtakiwa wote, Wakili John Mallya anawatetea washtakiwa wote isipokuwa mshtakiwa wa sita,” External link

mwananchi Tuesday, February 25, 2020 3:51:00 PM EAT

Peter Kibatala amehoji : “Kuna kawimbo umekasikia kana maneno wapinzani tuwachukue tuwachane tuwatupe, kwa uelewa wako maneno hayo yana maana gani,” External link

mwananchi Wednesday, January 22, 2020 8:11:00 PM EAT

Peter Kibatala alidai ( about Aga Khan ) : “Mshitakiwa aliruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khan alikokuwa amelazwa Novemba 22, mwaka huu, hivyo ameomba kupumzika kwa sababu hali yake si nzuri. Kwa sababu yeye ni shahidi na anatakiwa kujibu maswali tunaomba ahirisho,” External link

habarileo Wednesday, November 27, 2019 10:21:00 AM EAT

Peter Kibatala amedai ( about Freeman Mbowe ) : "Mbowe bado anaumwa, ameruhusiwa kutoka hospitali Ijumaa Novemba 22, 2019 na anasumbuliwa na Dengue, high blood pressure (shinikizo la juu la damu) pamoja na malaria," External link

mwananchi Tuesday, November 26, 2019 4:45:00 PM EAT

Peter Kibatala amedai : “Mshtakiwa aliruhusiwa kutoka Hospitali ya Agha Khan alikokuwa amelazwa Novemba 22 mwaka huu, hivyo ameomba kupumzika kwa sababu hali yake si nzuri. Kwa sababu yeye ni shahidi na anatakiwa kujibu maswali, tunaomba ahirisho,” External link

mtanzania Tuesday, November 26, 2019 1:33:00 PM EAT

Peter Kibatala amesema : “Ni kweli kwa kawaida kesi za jinai zinaanza saa tatu asubuhi lakini tangu waanze shauri hilo hawajawahi kuanza muda huo bali wamekuwa wakianza saa 4:30 asubuhi na kuendelea, kuchelewa mahakamani si kutofika,” External link

mwananchi Thursday, November 21, 2019 3:40:00 PM EAT

Peter Kibatala amesema : “Hata waliozitunga hawakuweka hilo kama hitaji la lazima kwa kuwa wakati mwingine uamuzi wa mamlaka za Serikali hufanyika kwa maneno tu na kutekelezwa,” External link

mwananchi Saturday, August 24, 2019 6:01:00 PM EAT

Peter Kibatala amesema : “Tumeona ni vyema mahakama yako ikaturuhusu na kutupa mazingira wezeshi ya kwenda kuangalia tena video ile ili na sisi tuweze kumuuliza maswali yetu vizuri shahidi huyu,” External link

mwananchi Tuesday, August 20, 2019 3:34:00 PM EAT

Peter Kibatala amedai : "Kama upande wa mashtaka wanataka kuoneshwa kwa video hiyo walipaswa kuleta mahakamani waya, projekta na vifaa vingine na kuvitoa kama kielelezo na ndipo ushahidi huo ungeweza kuoneshwa bila kupingwa" External link

mwananchi Thursday, August 15, 2019 3:26:00 PM EAT

Peter Kibatala alidai : "Kitendo cha kutumia vifaa kutoka nje ya ushahidi ulioletwa mahakamani hapo hauruhusiwi kisheria na kwamba kama kamera iliyopokelewa mahakamani ina uwezo ioneshwe kwani ushahidi utatoka hapohapo kwenye kamera na sio kufungwa kwa projekta au runinga ndani ya mahakama hii," External link

Peter Kibatala alidai : “Warufani hawakupewa nafasi ya kuwasilisha kiapo kinzani, ilikuwa si sahihi kwani kiapo hicho kiliathiri maelezo ya washtakiwa kuonekana ya uongo,” External link

mtanzania Thursday, March 7, 2019 11:38:00 AM EAT

Peter Kibatala alidai : “Naomba Mahakama ione ni busara kuwakumbusha wadhamini majukumu yao, mshtakiwa akimaliza matibabu atakuja,” External link

mtanzania Tuesday, February 26, 2019 11:32:00 AM EAT

Peter Kibatala alisema ( about Tundu Lissu ) : “Hakuna sababu za msingi za kumnyima dhamana na tangu jana Lissu hajala na amesema hatakula hadi afikishwe mahakamani,” External link

mwananchi Thursday, February 9, 2017 4:39:00 AM EAT

Peter Kibatala alisema : “Kosa analodaiwa kulifanya lilifanyika Januari 4 na hadi Februari 6 ni mwezi, kama ni muda wa kuchunguza kosa hata hati ya mashtaka ingekuwa tayari,” External link

Peter Kibatala amesema : "Kosa analodaiwa kulifanya lilifanyika Januari 4, 2017 hadi Februari 6, 2017 ni mwezi, kama ni muda wa kuchunguza kosa hata hati ya mashtaka ingekuwa tayari," External link

mwananchi Wednesday, February 8, 2017 6:21:00 PM EAT

Peter Kibatala alidai ( about Rais Magufuli ) : “Tumeshuhudia mawakili watatu wakikamatwa wakiwa kazini. Mmoja alikamatwa kule Arusha lakini aliachiliwa baada ya mawakili wa TLS kumtetea kisheria. Mwingine ni Lawrence Masha ambaye alikamatwa mwishoni mwa mwaka 2015 alipokwenda kuwatetea wateja wake Kituo cha Polisi Oysterbay akidaiwa kuwatukana polisi,” “Mwingine alikamatwa kituo cha Polisi Magomeni alipokwenda kutetea wateja wake. Hayo yote yamefanyika kabla ya kauli hii ya Rais. Tunatarajia TLS watatoa tamko lisilo la kumung’unya” External link

mwananchi Saturday, February 4, 2017 1:07:00 PM EAT

Peter Kibatala charged : "The suspect was initially granted bail but before the court spelt out bail conditions, the state indicated an intention to oppose the bail and the court eventually entertained the appeal by the state," External link

allafrica Wednesday, November 23, 2016 10:07:00 AM EAT

Peter Kibatala alidai : “Upande wa Jamhuri ulichotakiwa kufanya ni vitu viwili tu, kukatia rufaa uamuzi uliotolewa ama kuomba kufanya mapitia ya uamuzi huo na si kurudisha mashtaka yaliyoondolewa,” External link

mtanzania Tuesday, August 30, 2016 10:11:00 AM EAT

Peter Kibatala alisema : “Walimkamata Ikungi Singida wakamleta hadi Dodoma akalala selo Chamwino na kusafirishwa usiku hadi Dar es Salaam saa 7.00 mchanatulimpa chakula na saa 9.00 mahojiano yalianza hadi saa 12.00 jioni,” External link

mtanzania Friday, August 5, 2016 9:33:00 AM EAT

Peter Kibatala amesema ( about Tundu Lissu ) : “Katika maelezo ya polisi wanasema kwamba eti wakati Lissu akitoka mahakamani juzi kwenye kesi yake eti alitamka maneno ya uchochezi, lakini haya yote yanahitaji ushahidi,” External link

wavuti Friday, August 5, 2016 1:38:00 AM EAT

Peter Kibatala alisema : “Ninavyojua kesho lazima atafikishwa mahakamani na hapo ndipo tutakuwa tumefanya mipango ya kumpatia dhamana,” External link

Peter Kibatala ameandika : “Tunasikitika nawe, na kukupa pole nyingi sana,” External link

mwananchi Monday, August 1, 2016 3:50:00 AM EAT

Peter Kibatala ameongeza : “Tunakushukuru sana kwa kutoa ushahidi wa ukweli na wa haki katika kesi za uchaguzi majimbo ya Kilombero na Mlimba yaliyotolewa hukumu jana (Julai 29)” External link

Peter Kibatala amesema : “Askofu Gwajima amehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu na amejidhamini yeye mwenyewe, ameruhusiwa kuondoka hivyo tunasubiri chochote kitakachoendelea,” External link

mwananchi Tuesday, July 12, 2016 12:04:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
advocate54.17%EN11/22/201622/11/2016
lawyer45.83%EN09/28/201628/09/2016
Names Lang Count
Peter KibatalaSW53.16%
Peter KibatalaEN40.51%
Peter KibataraSW6.33%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, August 8, 2020

6:08:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

AfricaBrief