Antony Mtaka
Last updated on 2012-05-11T04:42+0300.

About this image

Extracted quotes from
Antony Mtaka amesema
:
“Kazi ya serikali ya mkoa wa Dodoma kwa wanafunzi hawa ni kuwezesha na kuhakikisha ada na vifaa vinapatokana, wajibu wa mzazi utabaki katika suala la sare za shule, mzazi mtoto wako akipangiwa shule njoo na barua yake tuletee sisi tunampatia vifaa na pamoja na kulipa ada.Na leo tunawapatia madaftari 9 kila mmoja,”
mtanzania Monday, February 7, 2022 10:32:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Hili sio ombi nasisitiza kwa jinsi mradi wa ujenzi wa vyumba hivi vya madarasa unavyoendelea, mmenihakikishia mmefikia asilimia 90 ya ujenzi nataka Januari 17, 2021 watoto wote waripoti shuleni ili wapate haki yao ya msingi kwa maslahi yao na taifa kwa ujumla,”
mtanzania Thursday, December 23, 2021 1:13:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Sasa nipende kuwaagiza kuwa lazima ujenzi huu uendane na thamani ya pesa kama Mheshimiwa Rais ambavyo amekuwa akisistiza kila siku lengo hapa ni kuona watoto wetu wananufaika na miradi hii,”
mtanzania Thursday, December 23, 2021 1:13:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Na jambo hili liwekwe wazi kwa walimu kuwa ni kwa nia njema ili kuifanya elimu ya wanafunzi wa Jiji la Dodoma kuwa bora zaidi na ilingane na viwango vya ubora wa madarasa”
habarileo Wednesday, December 22, 2021 5:32:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Tukiwa na miti mingi ya kutosha ya matunda na kivuli tutakuwa tumejiongezea sana thamani ya utunzaji wa mazingira pamoja na kuondokana na udumavu kwani watoto wataweza kula matunda,”
habarileo Wednesday, December 22, 2021 5:32:00 PM EAT
Antony Mtaka amesisitiza
:
“Itakuwa ni aibu kubwa kuwa na majengo mazuri na ya kisasa ambayo yanajitosheleza lakini watoto hawahendi shule, hatutaki kuona watoto wanakosa masokoni, mitaani pamoja na kuchunga mifugo au watoto kuwa sehemu ya kuitunza familia”
habarileo Wednesday, December 22, 2021 5:32:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Mpaka sasa Mkoa wa Simiyu hauna mtu hata mmoja ambaye ameambukizwa na virusi vya corona, ni jambo la faraja kuwa sasa Watanzania wameanza kuelewa jinsi gani ya kujikinga na ugonjwa huu,”
mtanzania Saturday, April 18, 2020 4:17:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Tuwaepushe sana wazee wetu na mikusanyiko isiyokuwa ya lazima, watoto na wale wenye kisukari, shinikizo la damu, pumu, ugonjwa wa moyo na unene uliopitiliza nao tuwaepushe,”
habarileo Monday, April 13, 2020 1:42:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Nimeona hapa Kanisa Katoliki, mfumo wa kukaa uko vizuri nimeona watu wanakaa mbalimbali, lakini nimeona tatizo bado lipo katika kushiriki chakula cha Bwana na kutoa sadaka, watu wanakaribiana sana, hii ni hatari,”
habarileo Monday, April 13, 2020 1:42:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Makundi haya yakishambuliwa na corona wanapoteza haraka maisha, tafadhali naomba wakae nyumbani wakati huu, hata kwenye hii Pasaka wasitoke ndani, ugonjwa huu ni hatari,”
habarileo Monday, April 13, 2020 1:42:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Tumeamua kuwa tutatumia shule za sekondari za bweni, labda mtu mwenyewe aamue kupelekwa hotelini na tayari hoteli zenyewe tumezihainisha,”
mtanzania Wednesday, April 1, 2020 12:14:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Shule zimefungwa, lakini mitihani ipo pale pale labda ratiba inaweza kubadilika, niwatake wazazi wote Mkoa wa Simiyu kuhakikisha wanawasimamia watoto wao wanajisomea, wanaweza kujiunga hata wawili au watatu wakajisomea,”
mtanzania Wednesday, April 1, 2020 12:14:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Kama mkoa tumeamua kuwa hatutatumia hoteli kuhifadhi mtu yeyote ambaye atabainika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona, tumeamua kuwa tutatumia shule za sekondari za bweni labda mtu mwenyewe aamue kupelekwa katika hoteli ambazo na zenyewe tumeziainisha,”
mtanzania Tuesday, March 31, 2020 5:50:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Ni marufuku kwa taasisi yoyote ya pesa ambayo imemkopesha mwalimu, kukutwa na kadi ya benki ya mwalimu aliyepewa mkopo, tukikubaini au kukukuta na kadi hizo, hatua kali tutazichukua ikiwa pamoja na kukufukuza kufanya kazi Simiyu,”
mtanzania Sunday, March 1, 2020 11:55:00 AM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Ofisini kwangu kuna kesi zaidi ya 40 ambazo walimu wa kike wamewakopea wapenzi wao pesa, kisha kuachwa ambapo wapenzi wao hao wanakimbilia kusikojulikana, hili jambo ni aibu sana kwa walimu ambao wamesoma,”
mtanzania Sunday, March 1, 2020 11:55:00 AM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Naomba jambo hili nilichukue tukalifanyie kazi na vyombo vinavyohusika na kila mtu atapata haki yake,”
mtanzania Saturday, February 22, 2020 2:26:00 PM EAT
Antony Mtaka anasema
:
“Niliuliza mbona watu hawana wasiwasi kwenye UMISETA, UMITASHUMITA, kambi za Wasabato, lakini wamekuwa na wasiwasi kwenye kambi za kitaaluma, tulianza kufanya lakini kwa changamoto hizo na kila mwaka tuliboresha,”
mtanzania Friday, February 21, 2020 1:15:00 PM EAT
Antony Mtaka anasema
:
“Watu wameona tunavyokuja kwa kasi chini ya kambi hizi, nasi tunazidi kubuni njia ya kuziboresha kwani lengo letu ni kushika nafasi tatu za juu zaidi kwa mithani yote ya taifa,”
mtanzania Friday, February 21, 2020 1:15:00 PM EAT
Antony Mtaka anasema
:
“Nataka kuwaonyesha Watanzania na kurudisha thamani ya shule za kata, shule za serikali ambayo imepotea muda mrefu, watu waanze kurudisha watoto wao kwenye shule hizi, wajue hata Simiyu wanaweza kuleta watoto wao,”
mtanzania Friday, February 21, 2020 1:15:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Nimekisoma kitabu hiki kina mengi ya kutufunza waafrika na hasa viongozi. Kiujumla kimeangazia urasimu wa watunga sera na watenda maamuzi wa kiafrika,”
mwananchi Thursday, December 26, 2019 11:12:00 AM EAT
Antony Mtaka alisema
(
about Joyce Banda
)
:
“Kwa mtu anayependa matokeo katika uchumi, uongozi na maendeleo ya jamii yake si kitabu cha kukosa. Ndio maana Rais wa zamani wa Malawi, Joyce Banda alisema alitamani angekipata kabla hajawa Rais,”
mwananchi Thursday, December 26, 2019 11:12:00 AM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Ni vyema wizara kuingilia suala hili kwa kukutana na wanunuzi na wadau wengine, tujue kama zile pesa ambazo walipewa na benki zilipelekwa kununua pamba? Tujie wapi wamekwama ili tuweze kusaidia suala hili,”
mtanzania Saturday, November 23, 2019 2:42:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Kuna idadi kubwa ya wananchi vijijini hawajui wafanye nini pale wanapopata tatizo, ni vyema asasi zikajikita zaidi kwa wananchi wa vijijini ambao hawana uelewa wowote na ndiyo wenye matatizo mengi zaidi,”
mtanzania Saturday, October 26, 2019 10:15:00 AM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Wakulima lazima wafahamu kuwa serikali tayari imetangaza kuwa malipo hayatafanyika kwa mkono tena baada ya msimu wa mwaka huu, kuanzia msimu ujao malipo yote yatafanyikia benki na mkulima atapata pesa zake akiwa nyumbani kupitia T-Pesa,”
mtanzania Wednesday, October 2, 2019 7:55:00 PM EAT
Antony Mtaka anasema
:
“Vikundi vingi vinapokuwa havina fedha huwa na ushirikiano mzuri lakini wakishapata fedha iwe hata milioni 10 vita inaanza hivyo, ni vyema kuwakopesha mashine,”
mtanzania Tuesday, August 13, 2019 1:40:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Kwenye kuhangaika kupata mkopo wanachama wote kwenye kikundi wanashiriki, pindi pesa zinapoingia mgawanyiko unaanza, utakuta mwenyekiti ana watu wake na katibu yuko na watu wake, hapo ndipo mwanzo wa migogoro,”
habarileo Sunday, August 4, 2019 1:51:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Mkopo unakufa watu wanagawana pesa na malengo hayafikiwi kinachobaki ni madeni watu wanakimbia na benki inaingia hasara, ni vyema benki kwa kuanza na NMB kuangalia upya utaratibu huu,”
habarileo Sunday, August 4, 2019 1:51:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
(
about Mwalimu Nyerere
)
:
“Mimi nimekuwa nikijisikia faraja na kujiona kuwa ni mkuu wa mkoa, pale ninaposhauriwa na wasaidizi wangu, kwenye sheria, kilimo na sehemu nyingine, huo ndiyo uongozi ambao hata Mwalimu Nyerere aliamini,”
mtanzania Wednesday, March 20, 2019 4:28:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Viongozi kugombana huo ni ujinga na kwangu haliwezi kutokea, wewe mkuu wa wilaya au mkurugenzi una gari zuri, nyumba, mshahara mzuri, posho, unapewa pesa ya maji, umeme, kwa nini ugombane na mwenzako, huu ni ujinga na haufai tena kuitwa kiongozi,”
mtanzania Wednesday, March 20, 2019 4:28:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Anatumia muda wake kusuluhisha watu wanaogombana, hii ni kumdharau Rais, viongozi lazima tuheshimu hii nafasi ambayo Rais wetu Magufuli ametupatia,”
mtanzania Wednesday, March 20, 2019 4:28:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Tunataka kuwapunguzia watu kwenda kujifunza nje ya nchi, Rwanda, Japani, watu watakuja Simiyu kwa ajili ya kujifunza, ndani ya mwaka mmoja tutavuka malengo ya Rais Magufuli,”
mtanzania Wednesday, March 20, 2019 4:28:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Unatoa pesa kwa ajili ya kujenga stendi, huku nyanya za mkulima zinaliwa na mbuzi, kwa nini tusijenge kiwanda ili kumsaidia huyu mkulima, nimekuwa nawaambia halmashuari tuachane na fikra hizi za ushuru wa nyanya, mchicha na tuanzishe miradi mikubwa,”
mtanzania Wednesday, March 20, 2019 4:28:00 PM EAT
Antony Mtaka Amesema
:
“Viongozi kwa viongozi kugombana ni ujinga na kwangu haliwezi kutokea, wewe Mkuu wa wilaya au mkurugenzi una gari zuri, nyumba, mshahara mzuri, posho nyingi, maji, umeme kwa nini ugombane na mwenzako? Ni ujinga na haufai kuitwa kiongozi”
mtanzania Monday, March 11, 2019 7:10:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Tunamsumbua Rais, badala ya kumuacha aongelee mambo ya maendeleo ya nchi tunamfanya aongelee viongozi wanaogombana, anatumia muda wake kusuruhisha watu wanaogombana, hii ni kumdharau Rais, viongozi lazima tuheshimu nafasi za uongozi tulizochaguliwa na Rais wetu Magufuli,”
mtanzania Monday, March 11, 2019 7:10:00 PM EAT
Antony Mtaka amesema
:
“Maadhimisho hayo yataenda sambamba na kongamano la vijana. Katika kongamono hilo kutajadiliwa mada mbalimbali zinazoihusu jamii, ikiwemo kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi”
mwananchi Friday, October 7, 2016 2:52:00 AM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Haya ni matokeo ya maandalizi mazuri na muda mrefu kwa wanariadha wetu, Simbu ameonyesha mwanga kwamba mbeleni Tanzania tunayo nafasi ya kupata medali katika michezo ya Olimpiki,”
mtanzania Tuesday, August 23, 2016 1:15:00 PM EAT
Antony Mtaka alisema
:
“Mradi huo utaingiza zaidi ya Sh300 milioni kwa mwaka ikiwa ni zaidi ya Sh25 milioni kwa mwezi iwapo chaki hizo zitasambazwa ndani ya Mkoa wa Simiyu pekee. Hii ni fursa ya kiuchumi na kibiashara inayohitaji kuchangamkiwa,”
mwananchi Monday, August 22, 2016 11:49:00 PM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
commissioner | 100.00% | EN | 10/11/201611/10/2016 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Antony Mtaka | SW | 92.31% |
Antony Mtaka | EN | 7.69% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | Waziri Mkuu | 4.29% |
![]() | John Magufuli | 3.86% |
![]() | Rais Magufuli | 3.43% |
![]() | Kassim Majaliwa | 3.00% |
![]() | Samia Suluhu | 2.58% |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 2.15% |
![]() | Queen | 1.72% |
![]() | Fabiano Joseph | 1.29% |
![]() | Filbert Bayi | 1.29% |
![]() | Mwalimu Nyerere | 1.29% |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 1.29% |
![]() | Chama Cha | 1.29% |
![]() | Benjamin Mkapa | 1.29% |
![]() | Joseph Mkirikiti | 1.29% |
![]() | Robert Gabriel | 1.29% |
![]() | Amos Makalla | 1.29% |
![]() | Adam Malima | 1.29% |
![]() | Rais Dk | 1.29% |
![]() | Jerry Muro | 1.29% |
![]() | Paul Makonda | 1.29% |
![]() | David Kafulila | 1.29% |
![]() | Eliud Kipchoge | 0.86% |
![]() | Rio de Jeneiro | 0.86% |
![]() | Tanzania Bara | 0.86% |
![]() | Anthony Mtaka | 0.86% |
![]() | Joshua Nassari | 0.86% |
![]() | UNFPA | 0.86% |
![]() | Bashiru Ally | 0.86% |
![]() | Tulia Ackson | 0.86% |
![]() | Makamu Mwenyekiti | 0.86% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | Peter Lushika | 0.2 |
![]() | Crispin Meela | 0.0189 |
![]() | Ahmed Kipozi | 0.0179 |
![]() | Baraka Konisaga | 0.0156 |
![]() | Betty Mkwasa | 0.0156 |
![]() | Zainab Telack | 0.0149 |
![]() | Joseph Mkirikiti | 0.014 |
![]() | Regina Chonjo | 0.0137 |
![]() | Martha Umbulla | 0.0135 |
![]() | Wilhelm Gidabuday | 0.0128 |
![]() | Ali Hapi | 0.0115 |
![]() | Yahya Msigwa | 0.0111 |
![]() | Rosemary Senyamule | 0.0102 |
![]() | Waziri Mkuu | 0.01 |
![]() | Rogers Sianga | 0.0099 |
![]() | Fabiano Joseph | 0.0093 |
![]() | Selemani Jaffo | 0.0092 |
![]() | John Magufuli | 0.009 |
![]() | Rais Magufuli | 0.008 |
![]() | Amos Makalla | 0.0073 |
![]() | Jerry Muro | 0.0071 |
![]() | Kassim Majaliwa | 0.0068 |
![]() | Adam Malima | 0.0068 |
![]() | Rio de Jeneiro | 0.0067 |
![]() | Samia Suluhu | 0.0058 |
![]() | Bakari Machumu | 0.0053 |
![]() | Godfrey Zambi | 0.0051 |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 0.005 |
![]() | Anthony Mtaka | 0.0047 |
![]() | Christine Mndeme | 0.0043 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.