Rodrick Mpogolo

Last updated on 2012-11-28T12:30+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Rodrick Mpogolo alisema : “Mwenyekiti mpya ndiye atakayekuwa mfariji mkuu wa viongozi na wanachama baada ya kifo cha Magufuli, atahakikisha CCM inaendelea kuwa taasisi imara yenye uwezo wa kutoa viongozi imara,” External link

habarileo Saturday, May 1, 2021 5:18:00 AM EAT

Rodrick Mpogolo alisema : “Ni kiongozi wa kipekee, ni mnyenyekevu, mpole lakini ni mtu anayependa kufanya kazi. Kwa watumishi wote wa serikali wana kila sababu ya kuiga mazuri aliyofanya, ameacha utumishi uliotukuka, viongozi wamuenzi kwa kuhudumia wananchi bila kujali uwezo walio nao,” External link

habarileo Friday, February 19, 2021 2:27:00 AM EAT

Rodrick Mpogolo anasema ( about Chama Cha ) : “Chama Cha Mapinduzi kimeleta mgombea madhubuti, mgombea bora ambaye ana uwezo wa kuongoza zaidi ya miaka 20, CCM inaenda kushinda kwa sababu ni chama madhubuti, kina nguvu, kimetawala tangu nchi ipate uhuru,” External link

mtanzania Wednesday, September 9, 2020 1:32:00 PM EAT

Rodrick Mpogolo alisema : “Na yule ambaye sasa anataka kuanza kuleta siasa za makundi ndani ya chama, aanze kuacha mara moja. CCM ni taasisi kubwa iliyoaminiwa na Watanzania chini ya jemedari wetu, Rais Dk. John Magufuli ambaye sasa anafanya kazi kubwa na kila Mtanzania anashuhudia,” External link

mtanzania Monday, June 17, 2019 1:54:00 PM EAT

Rodrick Mpogolo amesema : “Pia ameleta usawa kwa Watanzania*wote kuwa sawa. Kwahiyo kwa namna hii lazima chama chetu kiendelee kushika hatamu kwa sababu tunawatumikia wananchi ipasavyo kwa namna hii nina uhakika Tanzania inaenda kuwa ya kijani,” External link

mtanzania Monday, April 29, 2019 11:46:00 AM EAT

Rodrick Mpogolo amesema : "Mkutano unafanyika kufuatia mageuzi makubwa yaliyofanyika ndani ya chama chetu yanayopelekea kufanyika kwa marekebisho makubwa ya kanuni na katiba ya CCM," External link

mwananchi Thursday, March 2, 2017 7:26:00 PM EAT

Rodrick Mpogolo alisema : “Ushauri wangu waende kwa mlipaji au mhusika wa mchakato huu kama kweli hawajalipwa, si kukimbilia kwenye vyombo vya habari. Mhusika wanamjua na wala si JK ambaye alikuwa mwenyekiti tu CCM,” External link

mwananchi Saturday, February 25, 2017 8:13:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
Names Lang Count
Rodrick MpogoloSW85.71%
Rodrick MpogoloEN14.29%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, June 25, 2022

8:30:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief