Christine Mndeme

Last updated on 2013-09-06T14:10+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Christine Mndeme alisema : “Mfumo wa stakabadhi mazao ghalani umeonesha mafanikio makubwa katika mkoa wetu, hivyo tunafanya tathmini ya msimu wa masoko uliopita 2020/2021 na kuratibu maandalizi ya msimu wa masoko wa 2021/2022 ambapo ununuzi unatarajia kuanza Mei 2021,” External link

habarileo Thursday, April 15, 2021 8:59:00 AM EAT

Christine Mndeme alisema : “Kinachoendelea hivi sasa kupitia wizara yetu ya maji ni hatua za manunuzi ya wakandarasi wa kutekeleza mradi huo mkubwa ambao utahusisha ujenzi wa bwawa la kuhifadhia maji ambalo litakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni tano,” External link

habarileo Tuesday, March 16, 2021 2:35:00 AM EAT

Christine Mndeme amesema : “Madawati yameshavimba tayari hata wanafunzi hawajakalia, meza na viti zimeachia naomba mfanyie marekebisho vitu hivi ndio nije kukabidhi, mimi na akili zangu siwezi kukabidhi vitu vibaya kama hivi” External link

habarileo Wednesday, February 3, 2021 4:30:00 PM EAT

Christine Mndeme anasisitiza ( about John Magufuli ) : “Sasa mtanzania anaweza kusafiri kutoka Dar es Salaam hadi Mbambabay kwa kutumia barabara au meli bila kugusa vumbi. Huyu ndiye Dk John Magufuli, sasa Mkoa wa Ruvuma unakwenda kuonekana majini, nchi kavu na angani,” External link

habarileo Tuesday, January 12, 2021 5:31:00 AM EAT

Christine Mndeme alisema : "Nichukue fursa hii kuwaalika wawekezaji wa ndani na nje ya nchi waje wajenge viwanda ndani ya mkoa wa Ruvuma vya kuongeza thamani kwenye zao la korosho, zao la ufuta na karanga," External link

habarileo Wednesday, January 6, 2021 3:38:00 AM EAT

Christine Mndeme alisema : "Na mimi niseme kiwanda ambacho kitajengwa uhakika wa soko upo na tunaenda kupanua wigo wa soko na kuongeza mapato kupitia utafiti unaofanyika na pia kuongeza uzalishaji," External link

Christine Mndeme alisema : “Ninaagiza mwakani kusiwepo na upungufu hata wa chumba kimoja cha darasa na samani zake, pia nazipongeza Halmashauri za Madaba na Manispaa ya Songea kuwa na ziada ya jumla ya madarasa 21,” External link

habarileo Sunday, December 20, 2020 6:37:00 AM EAT

Christine Mndeme alisisitiza : “Kwa mujibu wa utafiti unaoendelea kufanyika, Mkoa wa Ruvuma una mashapo ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni 457, mashapo hayo tulionayo tunaweza kufanya uchimbaji kwa miaka 718 bila kumaliza hazina hii,” External link

habarileo Wednesday, November 4, 2020 4:39:00 AM EAT

Christine Mndeme alisisitiza : “Mradi wa Sh milioni 50 wanaenda kufaidika wananchi zaidi ya 1,200 kwa kujengewa vituo 12 vya kuchota maji kitongoji cha Mingohi ambacho tangu nchi ipate uhuru hawajawahi kupata maji ya bomba,” External link

habarileo Wednesday, June 24, 2020 10:47:00 PM EAT

Christine Mndeme alisema : “Kupata hati safi ni matokeo ya utendaji kazi mzuri wenye mshikamano na ushirikiano kati ya watalaam wa halmashauri na madiwani. Hii inatokana na halmashauri kuundwa na pande mbili, inapotekea mnafanya vizuri, hata viongozi katika ngazi ya mkoa tunafarijika, hongereni sana,” External link

habarileo Monday, May 25, 2020 6:44:00 PM EAT

Christine Mndeme alisema : “Awali wawekezaji hawa walidai wanashindwa kulipa deni hilo kutokana na kujiendesha bila faida, lakini cha kushangaza bado wanaendelea na kazi. Kama hawapati faida yoyote si wangekuwa wameondoka?” External link

mtanzania Wednesday, September 25, 2019 3:26:00 PM EAT

Christine Mndeme anasema ( about John Magufuli ) : “Njia nzuri ya kuendelea kuwaenzi mashujaa hawa ni kuunga mkono na kutekeleza kwa vitendo dhana ya hapa kazi tu ya Rais wetu John Magufuli, anayoitumia kuhimiza kila Mtanzania kufanyakazi kwa bidii, kulinda rasilimali za taifa, kupambana na kuzuia rushwa na dawa za kulevya,” External link

habarileo Friday, March 22, 2019 12:55:00 PM EAT

Christine Mndeme alisema : “Dalili zingine ni kukosa mtiririko wa mawazo unaoeleweka na kutoeleweka wakati wa kuzungumza, kusikia sauti zisizokuwapo au kuona vitu au watu wasiokuwapo pamoja na mhusika kutojithamini na kutojijali,” External link

mtanzania Tuesday, October 11, 2016 9:47:00 AM EAT

Christine Mndeme alisema : “Kwa hiyo, natoa wito kwa Watanzania wote, wasiwabague watu hao kwani ni jukumu letu kuhakikisha tunawahudumia na kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kupunguza unyanyasaji dhidi yao,” External link

mtanzania Tuesday, October 11, 2016 9:47:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
dodoma district commissioner31.03%EN02/17/201717/02/2017
commissioner62.07%EN10/03/201603/10/2016
dodoma urban district commissioner3.45%EN08/29/201629/08/2016
urban district commissioner3.45%EN08/29/201629/08/2016
Names Lang Count
Christine MndemeEN40.54%
Christina MndemeEN37.84%
Christina MndemeSW16.22%
Christine MndemeSW5.41%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Sunday, May 22, 2022

7:43:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief