Paul Kimiti

Last updated on 2012-11-13T05:06+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Paul Kimiti alisema : “Kuna mkesha mmoja wa Krismasi aliamuru mawaziri watatu akiwemo mimi (Kimiti) na Anna Makinda (wakati huo akiwa waziri), na waziri mwingine waliokuwa na imani ya Kikristo kwenda kusoma masomo kanisani ili wananchi wajue kuwa na wao wanamuamini na kumuogopa Mungu,” External link

habarileo Sunday, April 12, 2020 10:25:00 AM EAT

Paul Kimiti anasema : “Wakati bendera ya Tanganyika inapandishwa, baba alitoa machozi. Hakuwa na uhakika kama wazungu wakiondoka sisi tutaendesha nchi. Baada ya kuona wote waliokuwapo walikuwa wazungu, akasema hawa wanaondoka sisi tutaweza kuendesha nchi,” External link

habarileo Friday, December 6, 2019 12:36:00 PM EAT

Paul Kimiti alisema : “Nampongeza kwa hilo kwa sababu ni kweli haya yalisemwa, yalizungumzwa hata kwenye vyombo vya habari lakini yeye kuja kukiri kabisa kwamba ni kweli yalimuumiza, ndicho kitu ambacho nampongeza,” External link

habarileo Thursday, November 21, 2019 10:25:00 AM EAT

Paul Kimiti anahoji : “Mimi nilikuwa waziri wa mifugo, tulianzisha ranchi za Taifa kwa ajili ya kusaidia wafugaji wadogo wapate mfunzo. Tulikuwa na ng’ombe 80,000, lakini hivi karibuni nimesikia wamefikia 11,000, hao wengine wako wapi? au ndiyo mmewapa wafugaji?” External link

mwananchi Thursday, March 14, 2019 9:04:00 PM EAT

Paul Kimiti anasema : “Lengo ni kufanya miradi ili kujibu kiu ya rais kutaka kuona ranchi hii inafanyiwa uwekezaji wa hali ya juu na wa kisasa. Mbali na mradi mkubwa, miradi midogo ikiwemo ya uchomaji nyama itavutia wengi hata wasafiri watakuwa wanakuja hapa kupata huduma,” External link

habarileo Tuesday, January 29, 2019 12:11:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
mzee100.00%SW06/30/201630/06/2016
Names Lang Count
Paul KimitiSW88.89%
Paul KimitiEN11.11%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, January 28, 2022

8:03:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief