Rehema Nchimbi
Last updated on 2012-12-05T22:07+0300.

About this image

Extracted quotes from
Rehema Nchimbi alisema
:
“Mimi ni mwalimu, siwezi kwa sasa kusema nini kimesababisha tusifanye vizuri, tunatakiwa kufanya tathmini kwa sababu kuna vitu lazima tuvitazame kwa pamoja na kwa upekee wake”
habarileo Thursday, November 26, 2020 1:34:00 PM EAT
Rehema Nchimbi anasema
(
about Chama Cha
)
:
“Pamoja na miradi mikubwa ya uzalishaji wa umeme inayoendelea katika maeneo mbalimbali nchini, Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha miaka mitano imetekeleza miradi ya usambaji wa umeme katika Mkoa wa Singida,”
habarileo Friday, September 18, 2020 3:28:00 AM EAT
Rehema Nchimbi alisema
:
“Kwa Mkoa wa Singida tumejipanga kuhakikisha tunaunga mkono jitihada hizo kwa kufanya kazi kwa bidii na kutangaza fursa mbalimbali za uwekezaji katika mkoa huo,”
habarileo Tuesday, August 11, 2020 3:43:00 PM EAT
Rehema Nchimbi anasema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Uzalishaji huo unaoendana na falsafa ya Rais Magufuli kupitia kuchapakazi kwa bidii na kuendelea kuzingatia maelekezo ya wataalamu katika kipindi hiki,”
habarileo Wednesday, April 8, 2020 1:41:00 AM EAT
Rehema Nchimbi anasema
:
“Jambo la msingi kwa sasa katika mkoa wetu wa Singida ni kuwawezesha wananchi wetu kuuelewa vizuri ugonjwa huu ili wajikinge kirahisi kabisa, na hiyo ndiyo silaha yetu kubwa ya kwanza huku tukimtanguliza Mungu,”
habarileo Friday, April 3, 2020 11:34:00 AM EAT
Rehema Nchimbi anasisitiza
:
“Mkoa wa Singida ni maarufu kwa kilimo cha vitunguu na kwa sasa ndiyo tunaanza msimu wa kuuza vitunguu na tunapata wageni wengi wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya Tanzania... kila mkazi wa mkoa wangu awe mlinzi wa mwenzake ili tudhibiti kabisa uingiaji na usambaaji wa ugonjwa huu katika mkoa wetu,”
habarileo Friday, April 3, 2020 11:34:00 AM EAT
Rehema Nchimbi anasema
:
“Hivyo basi, huduma za Urasimishaji biashara zinazotolewa katika kituo hiki, zitakuwa endelevu ili kurahisisha urasimishaji wa biashara katika Mkoa wa Singida na kuzisaidia biashara rasmi kuendelea kutoa huduma katika soko pana nchini Tanzania,”
habarileo Tuesday, March 24, 2020 11:01:00 AM EAT
Rehema Nchimbi amesema
:
“Unakuta mwalimu anaingia darasani akiwa na msongo wa mawazo, hana amani, anatishiwa na wakati mwingine analetewa mpaka samansi hivi kweli unategemea kutakuwa na muujiza gani hapo wa ufanisi? Na kuna watu ndani ya mifumo wanawalinda hawa wakopeshaji haramu,”
habarileo Wednesday, February 12, 2020 12:25:00 PM EAT
Rehema Nchimbi anasema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Kipekee kabisa nachukua nafasi hii kumpongeza Rais wetu; kwa kweli yupo pamoja na sisi katika mpango huu; ametutia nguvu sana, tunamwombea kwa Mwenyezi Mungu aishi miaka mingi,”
habarileo Tuesday, January 14, 2020 2:09:00 PM EAT
Rehema Nchimbi aliongeza
:
“Uzinduzi wa Kituo cha Hija cha Bikira Maria siyo tu kwamba utaimarisha watu wetu (Wakristo -Wakatoliki) kiroho na kubadilisha kabisa uchumi wa watu wetu, bali utasaidia pia nchi yetu kukuza amani ambayo ni mhimili mkuu wa maendeleo ya taifa lolote duniani,”
habarileo Friday, January 10, 2020 1:32:00 PM EAT
Rehema Nchimbi anasema
:
“Ndiyo maana mama huyu (Bikira Maria) hatimaye leo hii amesimama katikati ya nchi hii hapa Sukamahela ili kuendelea kutuvusha. Tusichoke kumkimbilia, tusichoke kumuomba amani ya taifa letu kupitia sala na maombezi yake,”
habarileo Friday, January 10, 2020 1:32:00 PM EAT
Rehema Nchimbi alieleza
(
about Waziri Mkuu
)
:
“Oktoba 6, Waziri Mkuu ataendelea na ziara yake katika Halmashauri ya Mkalama na Iramba kabla ya kurejea mjini Singida kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya SIDO Oktoba 7, mwaka huu yanayofanyika kwenye Uwanja wa Bombardier (zamani ukijulikana kama Peoples Club),”
habarileo Friday, October 4, 2019 1:36:00 PM EAT
Rehema Nchimbi alieleza
(
about Waziri Mkuu
)
:
“Oktoba 6, Waziri Mkuu ataendelea na ziara yake katika Halmashauri ya Mkalama na Iramba kabla ya kurejea mjini Singida kwa ajili ya ufunguzi rasmi Oktoba 7 wa Maonesho ya SIDO yanayofanyika kwenye Uwanja wa Bombardier (zamani ukijulikana kama Peoples Club),”
habarileo Tuesday, October 1, 2019 10:17:00 AM EAT
Rehema Nchimbi said
:
“While in Itigi, the VP will commission a CT Scan machine for St Gaspar Hospital. Before addressing residents in a public meeting, Ms Samia will be presented with a cheque from TADB for loans to sunflower growers,”
theCitizen Saturday, February 16, 2019 1:54:00 PM EAT
Rehema Nchimbi said
(
about Wang
)
:
"Although the solar eclipse will also be witnessed in other few areas, experts have identified Wang'ing'ombe in my region and Rujewa in Mbeya as the sites where solar eclipse will be clearly witnessed,"
allafrica Wednesday, September 7, 2016 1:45:00 AM EAT
Rehema Nchimbi said
:
"Although the solar eclipse will also be witnessed in other few areas, experts have identified Wang'ing'ombe in my region and Rujewa in Mbeya as the sites where solar eclipse will be clearly witnessed,"
allafrica Thursday, September 1, 2016 12:03:00 PM EAT
Rehema Nchimbi said
(
about Wang
)
:
"Although the solar eclipse will also be witnessed in other few areas, experts have identified Wang'ing'ombe in my region and Rujewa in Mbeya as the sites where solar eclipse will be clearly witnessed,"
allafrica Thursday, September 1, 2016 10:54:00 AM EAT
Rehema Nchimbi amesema
:
“Tunaishukuru TPB kwa msaada huu, lakini bado shule ina changamoto ya vyumba vya madarasa, wanafunzi wamekuwa wakisoma kwa zamu kutokana na changamoto ya madarasa kwani ina upungufu wa madarasa,”
mwananchi Monday, July 18, 2016 1:32:00 PM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
regional commissioner | 100.00% | EN | 11/28/201228/11/2012 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Rehema Nchimbi | SW | 53.33% |
Rehema Nchimbi | EN | 46.67% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 9.06% |
![]() | Rais Magufuli | 5.12% |
![]() | Chama Cha | 4.72% |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 4.33% |
![]() | Samia Suluhu | 3.15% |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 3.15% |
![]() | Kassim Majaliwa | 2.76% |
![]() | Daily News | 2.36% |
![]() | Daily | 2.36% |
![]() | Waziri Mkuu | 2.36% |
![]() | United Nations | 2.36% |
![]() | Amos Makalla | 2.36% |
![]() | State House | 1.57% |
![]() | Christopher Ole Sendeka | 1.57% |
![]() | Land Cruiser | 1.57% |
![]() | Rais Dk | 1.57% |
![]() | Afrika Mashariki | 1.57% |
![]() | Tanzania Bara | 1.57% |
![]() | Tourism Board | 1.18% |
![]() | Utawala Bora | 1.18% |
![]() | Jakaya Kikwete | 1.18% |
![]() | Queen | 1.18% |
![]() | Christine Mndeme | 1.18% |
![]() | Anna Mghwira | 1.18% |
![]() | Wang | 0.79% |
![]() | Ole Sendeka | 0.79% |
![]() | Christopher Ole | 0.79% |
![]() | Alhaji Aliko Dangote | 0.79% |
![]() | Aliko Dangote | 0.79% |
![]() | Petroleum Development | 0.79% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | Florence Turuka | 0.0233 |
![]() | John Magufuli | 0.0225 |
![]() | Amos Makalla | 0.0158 |
![]() | Zainab Telack | 0.0149 |
![]() | Oswald Mashindano | 0.0139 |
![]() | Rais Magufuli | 0.013 |
![]() | Christine Ishengoma | 0.012 |
![]() | Chama Cha | 0.0118 |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 0.0108 |
![]() | Emmy Hudson | 0.0101 |
![]() | Job Masima | 0.0088 |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 0.0076 |
![]() | Samia Suluhu | 0.0075 |
![]() | Christopher Ngubiagai | 0.0072 |
![]() | Kassim Majaliwa | 0.0068 |
![]() | Faustin Kamuzora | 0.0066 |
![]() | Christine Mndeme | 0.0065 |
![]() | Waziri Mkuu | 0.006 |
![]() | Daily News | 0.0057 |
![]() | Amina Masenza | 0.0052 |
![]() | Godfrey Zambi | 0.0051 |
![]() | Lawrence Mafuru | 0.0051 |
![]() | Antony Mtaka | 0.0048 |
![]() | Tawala Mkoa | 0.0047 |
![]() | Anna Makakala | 0.0047 |
![]() | Joseph Mkirikiti | 0.0047 |
![]() | Joel Bendera | 0.0041 |
![]() | Land Cruiser | 0.004 |
![]() | Rais Dk | 0.004 |
![]() | Afrika Mashariki | 0.004 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.