January Makamba
Last updated on 2012-12-11T07:10+0300.

About this image

Extracted quotes from
January Makamba alisema
:
“Kuhusu mradi huu wa LNG kwa kweli ni mradi mkubwa. Ukiniuliza ninayo furaha kwamba, tunayo fursa ya kuleta mradi wa kihistoria katika nchi hii wa LNG, ni mradi mkubwa utakaoingiza uwekezaji wa karibu trilioni 70,”
habarileo Sunday, March 27, 2022 4:42:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Ukienda kwenye nyumba yeyote hapa nchini unaweza usikute jokofu, usikute kiyoyozi au hata pasi, lakini kitu pekee utakachokikuta ni jiko liwe la mkaa au mafiga,”
habarileo Saturday, March 26, 2022 1:26:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kwa hiyo ndani ya mwaka mmoja uliopita tumeunda programu kubwa ya kuhakikisha nishati ya kupikia ni safi, salama na inapatikana kwa bei nafuu, itakayozinduliwa kipindi cha bajeti,”
habarileo Saturday, March 26, 2022 1:26:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Sasa ukiwa kwenye wizara ambayo ina miradi zaidi ya 30 lazima uwe na timu nzuri yenye utaalamu wa kusimamia miradi. Katika kipindi cha mwaka mmoja hili ndio tumekuwa tukilifanya. Kikubwa kwetu ni stability (utulivu) ya sekta hasa kwenye vitu muhimu kama mafuta na umeme,”
habarileo Saturday, March 26, 2022 1:26:00 PM EAT
January Makamba said
:
“We have gas, and if geopolitical developments somehow created an opportunity for us, we’re not going to complain about it,” “That said, we don’t want to be seen as war profiteers”
WashingtonPost Sunday, March 20, 2022 9:54:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
“Tukiwa tunapitia changamoto za ugonjwa wa COVID-19 tumeshuhudia namna gani nishati zilihitajika katika kusaidia kuleta nafuu na kuokoa maisha ya wananchi wetu”
habarileo Friday, February 11, 2022 9:27:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
“Zipo fursa nyingi zitokanazo na mradi wa bomba kutoka Kaabale Uganda hadi Tanga. kufanikiwa katika fursa hizo lazima mshirikiane kwa pamoja kiasi kwamba Watanzania wana uwezo wakuwekeza Uganda,”
habarileo Saturday, November 27, 2021 4:59:00 PM EAT
January Makamba said
:
“Tanzania and Uganda will never be the same after this EACOP project. This region will be transformed because we will have a key feature in the global market”
ChimpsReport Saturday, November 27, 2021 12:19:00 PM EAT
January Makamba said
:
"For the past two months, we've worked hard behind the scenes to get here. We're confident that a final investment decision will come sooner than is traditionally the case,"
4-traders Monday, November 8, 2021 7:24:00 PM EAT
January Makamba said
:
"We have also succeeded in persuading the countries we visited to cooperate with us in building a large fuel storage facility (fuel terminal) for the domestic market - but one that can also supply to other countries in the East and Central African region - and even beyond,"
allafrica Monday, November 1, 2021 10:01:00 PM EAT
January Makamba said
:
"TPDC had recently won a tender of procuring oil directly from the exporters' refineries every month, a move which will greatly reduce its price and shortages,"
allafrica Monday, November 1, 2021 10:01:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Hapa Kasulu kuna changamoto ya mitaa mingi kukosa umeme ili kutatua tatizo hili utaratibu ndani ya Wizara utafanyika ili kuwezesha TANESCO kupeleka umeme kwenye hiyo mitaa,”
mtanzania Sunday, October 10, 2021 8:56:00 AM EAT
January Makamba alisema
(
about Rais Dk
)
:
“Baada ya agizo la Makamu wa Rais nimekaa na Mkurugenzi Tanesco, tumeongea vya kutosha zipo hatua zimeshaanza kutekelezwa na mimi nimeridhika kwamba kwa hatua hizo sasa tatizo la umeme Kigoma limepatiwa ufumbuzi,”
habarileo Thursday, October 7, 2021 9:49:00 AM EAT
January Makamba alieleza
:
“Mheshimiwa Rais Samia amechukua hatua ya kihistoria kutuagiza kuangalia tozo za mafuta na kuzipunguza, sisi tumechukua hatua na tayari tumeamua serikali kujinyima ili kutoa unafuu kwa wananchi, tumepokea maelekezo na tumeanza kutekeleza. kuacha kutoza tozo hizo nane,”
habarileo Wednesday, October 6, 2021 9:40:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Kuanzia kesho (leo), taasisi kadhaa zitaacha kukusanya jumla ya shilingi bilioni 102 ili kutoa unafuu kwa wananchi kwenye tozo mbalimbali za mafuta,”
habarileo Wednesday, October 6, 2021 9:40:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
"Sisi (wizara) tupo tayari kufanya kazi na ninyi kwani tunaamini wananchi wengi wanaweza kunufaika na fursa zinazotokana na hii sekta kutokana na uwapo wa jumuiya hii ambayo inawapa wananchi taarifa mbalimbali kuhusu fursa zilizopo pamoja na kuwaunganisha na mamlaka mbalimbali na wafanya maamuzi,"
habarileo Wednesday, October 6, 2021 9:40:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Nilileta hoja na Bunge mwaka 2012 liliridha serikali ilete sheria ya kuwalinda wapangaji wa nyumba nchini dhidi ya dhuruma na uonevu wa kupandishiwa kodi, kulazimishwa kulipa kodi ya nyumba kwa mwaka mzima na uwezekano wa kuondolewa wakati wowote,”
habarileo Friday, May 28, 2021 5:37:00 AM EAT
January Makamba says
:
“No one can harm president Magufuli’s legacy because he did his best. But we should not call our fellow colleagues traitors when they provide different opinions,”
theafricareport Tuesday, April 20, 2021 6:07:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Migogoro iliyojitokeza katika kiwanda hiki awali ilichangia kudhorotesha uchumi wa wakazi wa maeneo haya kwa sababu wananchi wengi waliacha kulima chai baada ya kiwanda kufungwa, lakini kuanzishwa shughuli za uzalishaji katika kiwanda hicho kutahamasisha wakulima wengi kulima chai na kunufaika kiuchumi,”
habarileo Sunday, February 28, 2021 4:46:00 AM EAT
January Makamba aliandika
:
“Nimeumizwa na kifo cha Subhash, rafiki yangu ambaye alizidisha uthamini wangu juu ya imani ya Kihindu”
habarileo Wednesday, December 16, 2020 8:37:00 AM EAT
January Makamba aliandika
(
about Waziri Mkuu
)
:
“Neno la mwisho kwenye hili; Namshukuru Rais kwa kuniamini, Makamu wa Rais kwa kunielekeza, PM (Waziri Mkuu) kwa kunisimamia na timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, NEMC na mawaziri wote kwa ushirikiano,”
mtanzania Sunday, December 15, 2019 4:39:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kama nitakwenda au siendi siwezi sema sasa kwa kuwa hata mimi nimesikia kama wewe ulivyosikia. Suala lenyewe bado sana, hata waliosema haya wapo bado Mwanza, wakirudi, tukiitwa mtajua na hata tarehe mtaelezwa,”
habarileo Sunday, December 15, 2019 11:11:00 AM EAT
January Makamba anasema
:
“Kitu kikubwa katika msiba kama huu ni faraja, faraja ni kutembelewa na kuja kupewa pole na kuonyesha kwamba mtu hayupo peke yake,”
mwananchi Tuesday, November 19, 2019 1:05:00 PM EAT
January Makamba ameandika
:
“Sina uhakika juu ya hili, sina hakika kama nitahitaji tena kugombea ubunge mwakani. Nitafanya maamuzi sahihi nikiwa mapumzikoni Desemba mwaka huu,”
jamiiforums Wednesday, November 13, 2019 7:41:00 PM EAT
January Makamba ameandika
:
“Sina uhakika juu ya hili, sina hakika kama nitahitaji tena kugombea ubunge mwakani. Nitafanya maamuzi sahihi nikiwa mapumzikoni Desemba mwaka huu,”
mtanzania Tuesday, November 12, 2019 1:20:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Neno la mwisho kwenye hili; Namshukuru Rais kwa kuniamini, Makamu wa Rais kwa kunielekeza, PM (Waziri Mkuu) kwa kunisimamia na timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, NEMC na mawaziri wote kwa ushirikiano,”
mtanzania Thursday, September 5, 2019 10:46:00 AM EAT
January Makamba ameandika
:
"Ni kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa. Nitasema zaidi siku zijazo"
bbc-swahili Wednesday, September 4, 2019 4:15:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
"Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa. Nitasema zaidi siku zijazo,"
tuko Monday, July 22, 2019 6:40:00 PM EAT
January Makamba ameandika
:
“Nampongeza Hussein Bashe na Simbachawene kwa kuaminiwa, Nawatakia heri na kuwaahidi ushirikiano wangu wa dhati,”
mtanzania Monday, July 22, 2019 5:00:00 PM EAT
January Makamba ameandika
(
about George Simbachawene
)
:
“Nampongeza @HusseinBashe na Simbachawene kwa kuaminiwa. Nawatakia heri na kuwaahidi ushirikiano wangu wa dhati.”
habarileo Monday, July 22, 2019 4:45:00 PM EAT
January Makamba anasema
:
“Ndio maana niliamua kusoma kozi ya diplomasia ya utatuzi wa migogoro, shahada yangu ya kwanza na ya pili. Nisingekuwa mwanasiasa ningekuwa mwanadiplomasia na mtatuzi wa migogoro,”
mwananchi Monday, July 22, 2019 11:14:00 AM EAT
January Makamba anasema
:
“Shida ya siasa unatengeneza maadui ambao hauwajui, wala sababu zao kuwa maadui kwako huzijui. Kwa hiyo hiki kitu ni kigumu kwa mtu ambaye si mwanasiasa hakupenda kuingia kwenye siasa kama mimi lakini hivi sasa unazoea,”
mwananchi Monday, July 22, 2019 11:14:00 AM EAT
January Makamba anasema
:
“Ukijitokeza kwa marafiki zake (baba) wanalinganisha sifa zake na wewe. Lakini baba alikuwa na udhaifu wake pia nazo wanakulinganisha na wale maadui zake una warithi haraka sana,”
mwananchi Monday, July 22, 2019 11:14:00 AM EAT
January Makamba ameandika
:
"Ni kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa. Nitasema zaidi siku zijazo"
bbc-swahili Sunday, July 21, 2019 12:35:00 PM EAT
January Makamba ameandika
:
“Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa. . Nitasema zaidi siku zijazo,”
mwananchi Sunday, July 21, 2019 11:24:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Wakati tunatafuta namna ya kukidhi soko, wakati tunatafuta mifuko mbadala, kazi ya upigaji marufuku limejaribiwa takribani miaka 10 lakini tumekuwa tukihairisha kwa vile hatukuweza kukidhi soko. Wapo ambao walisubiri wakidhani tutahairisha tena,”
habarileo Sunday, July 21, 2019 11:19:00 AM EAT
January Makamba ameandika
:
"Ni kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa. Nitasema zaidi siku zijazo"
bbc-swahili Sunday, July 21, 2019 9:09:00 AM EAT
January Makamba amesema
:
“Ingawa tunafanya mambo mazuri kwenye mifuko na mazingira, lakini chupa za plastiki zina madhara katika mazingira,”
mwananchi Saturday, July 20, 2019 3:39:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Asilimia karibu 100 ya wananchi waliokuwa wakitumia mifuko hiyo sasa wanatumia mifuko mbadala, ukienda kila pahala, kila soko, kila genge kwa asilimia 99.9 huwezi kukuta mifuko ya plastiki. Kwa hiyo sisi kwa tathmini yetu tumefanikiwa tulichotaka kukifanya,”
mwananchi Wednesday, July 10, 2019 11:53:00 AM EAT
January Makamba said
:
"What environmental damage will a cable car cause? More than 350,000 hectares of forest disappears each year in this country. Which is more serious?"
terradaily Tuesday, July 9, 2019 4:53:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
“Nawapa pole familia yote ya Azam, marehemu kwa kuondokewa na nduu zao. Ni msiba mzito na pigo kubwa kwa chombo cha habari na taasisi moja kuondokewa na watu watano kwa mpigo”
mwananchi Tuesday, July 9, 2019 2:58:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
“Ni pengo kubwa kwa sababu utaalamu pia umepotea, hata unaona kitengo cha uzalishaji cha Azam kilikuwa na ubora mkubwa kwa sababu ya utaalamu huu ambao umeondoka lwa pamoja, tunawapa pole,”
mwananchi Tuesday, July 9, 2019 2:58:00 PM EAT
January Makamba said
:
“What environmental damage will a cable car cause? More than 350,000ha of forest disappears each year in this country. Which is more serious?”
businessday Monday, July 8, 2019 11:51:00 PM EAT
January Makamba aliandika
:
"Baada ya kuona hilo jambo kwenye blogu, nikaeleza kile sheria inachotaka. Itakuwa ni jambo la kitoto kwangu, kumjibu, kujibizana ama kumshambulia waziri mwenzangu ambaye anataka kuboresha mambo kwenye sekta yake,"
bbc-swahili Monday, July 8, 2019 9:43:00 AM EAT
January Makamba said
:
"What environmental damage will a cable car cause? More than 350,000 hectares of forest disappears each year in this country. Which is more serious?"
modernghana Sunday, July 7, 2019 8:19:00 PM EAT
January Makamba said
:
"What environmental damage will a cable car cause? More than 350,000 hectares of forest disappears each year in this country. Which is more serious?"
theCitizen Sunday, July 7, 2019 7:05:00 PM EAT
January Makamba said
:
"What environmental damage will a cable car cause? More than 350,000 hectares of forest disappears each year in this country. Which is more serious?"
afp-en Sunday, July 7, 2019 5:21:00 PM EAT
January Makamba anasema
:
“Miaka 15 iliyopita serikali ilikuwa ikipiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kupandisha kodi, sasa hivi agenda kubwa ya mazingira ni kupiga vita bidhaa hizi,”
mtanzania Thursday, June 27, 2019 2:29:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Sasa na sisi tuliopo katika Serikali tunaomba tudeke kwenu, tudekezwe na dua zenu, dhamira yenu na imani yenu,”
mtanzania Thursday, June 6, 2019 9:09:00 AM EAT
January Makamba amesema
:
"Hatua ya ubora utakaowekwa na TBS (Shirika la Viwango Tanzania) utasaidia wananchi kuijua vyema mifuko hii mbadala kwa sababu itakuwa na nembo maalumu. Wengi hawajui kuitofautisha mifuko hii, naomba tusiseme kuwa hakuna mifuko mbadala ya kubebea nyama au utumbo,"
mwananchi Monday, June 3, 2019 6:18:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Pia tutaangalia bidhaa yenye mbadala kwa urahisi ndiyo tutaanza na hilo, lakini hatuwezi kufanya yote kwa pamoja,”
mtanzania Sunday, June 2, 2019 11:22:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Sasa kesho (leo) NEMC hakutakuwa na ‘off’ (mapumziko) muendelee na zoezi, mpite kila sehemu na kujibu maswali yote, kwa sababu kwa namna nilivyokuwa naulizwa maswali bado kuna changamoto,”
mtanzania Sunday, June 2, 2019 11:22:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Kwahiyo Serikali imeamua kuweka katazo hili kulazimisha mabadiliko ya tabia,”
mtanzania Thursday, May 30, 2019 12:36:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kulikuwa na kampeni ya kuonyesha kwamba halifanikiwi, tunaomba mtusaidie, msiingie kwenye mtego huo,”
mtanzania Thursday, May 30, 2019 12:36:00 PM EAT
January Makamba alieleza
:
“Jambo hili ni gumu kwa sababu tulijaribu kuiondoa mifuko hii tangu mwaka 2003, lakini tukashindwa kwa sababu hii ni moja ya biashara kubwa iliyokuwa ikifanyika kwa njia za magendo. Tunawaomba wananchi watuunge mkono na watoe taaarifa kama watabaini kuna mtu anazalisha mifuko hii au ameihifadhi,”
habarileo Thursday, May 30, 2019 9:48:00 AM EAT
January Makamba ameeleza
:
“Kampuni tatu kubwa zimejitokeza kukusanya mifuko yote iliyopo mitaani kwa lengo la kuzalisha madawati na mabomba ya maji. Mojawapo ni Falcon ya Mwanza,”
habarileo Wednesday, May 29, 2019 8:40:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Abiria akishuka kwenye ndege akiwa na mfuko wa plastiki atapatiwa elimu kupitia madawati maalumu yatayowekwa eneo la uwanja wa zamani na mpya. Atapewa mfuko mbadala utakaotolewa bure kwa muda wa wiki moja tangu Juni Mosi baada ya hapo, itakuwa ikiuzwa,”
mwananchi Tuesday, May 28, 2019 11:24:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Tulikokuwa tunaelekea kulikuwa ni kubaya sana na hatua kama hii ilikuwa ni lazima kuchukuliwa,”
mtanzania Tuesday, May 28, 2019 10:39:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Tunaamini uchumi wa mifuko mbadala ni mpana, shirikishi na utatoa ajira kwa watu wengi na kuiongezea Serikali mapato,”
mtanzania Tuesday, May 28, 2019 10:39:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Tunategemea baada ya Juni Mosi, watu wasitumie mifuko hii, lakini sitarajii kuona wanamgambo wakiwashika kina mama na kuwapiga virungu endapo wakikutwa na mfuko mmoja au miwili,”
mwananchi Wednesday, May 22, 2019 11:18:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Ukimuona mtu anatumia hapo anapaswa kuchukuliwa hatua, lakini si kusimamisha magari na kuyapekua au kuingia ndani ya nyumba ya mtu, hapo tutakuwa hatutendi haki,”
mwananchi Wednesday, May 22, 2019 11:18:00 AM EAT
January Makamba said
:
"The government wants to get a share of the profits you make from mining gold but we are obliged to protect people’s health and lives as well as our environment,"
coastweek Wednesday, May 22, 2019 12:51:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
"Tunapenda mrabaha. Tunapenda mapato yatokanayo na dhahabu; lakini tunapenda zaidi usalama na maisha ya wananchi na mazingira yetu,"
mwananchi Sunday, May 19, 2019 5:46:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
"Mgodi hautafungwa kwa sababu hakuna tatizo kwenye shughuli za uchimbaji. Tutasitisha leseni ya kuendesha mabwawa na ikibidi tutaufuta kabisa,"
mwananchi Sunday, May 19, 2019 5:46:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
"Tunapenda mrabaha. Tunapenda mapato yatokanayo na dhahabu; lakini tunapenda zaidi usalama na maisha ya wananchi na mazingira yetu,"
mwananchi Friday, May 17, 2019 7:39:00 PM EAT
January Makamba said
:
"The government wants to get a share of the profits you make from mining gold but we are obliged to protect people's health and lives as well as our environment,"
xinhuanet_en Friday, May 17, 2019 6:01:00 PM EAT
January Makamba said
:
“We had plans, which we hoped to finalise in the coming month,”
theCitizen Friday, May 17, 2019 11:19:00 AM EAT
January Makamba amesema
:
“Ni nembo ya Tanzania duniani kwa sababu alikuwa akitajwa katika majarida mbalimbali, pembeni mwa jina lake inatajwa Tanzania, alikuwa balozi wa Tanzania,”
mwananchi Thursday, May 2, 2019 9:52:00 PM EAT
January Makamba anasema
:
“Ili tuwe na furaha endelevu katika sekta ya michezo, lazima tuwekeze tuwe na miundombinu ambayo itatuwezesha kutenda, kuandaa na kuendeleza vipaji hatupaswi kubahatisha katika michezo,”
mwananchi Monday, April 29, 2019 11:19:00 AM EAT
January Makamba anasema
:
“Safari bado ndefu lazima kufanya kazi vinginevyo furaha itakuwa ya muda mfupi, kama nilivyosema hamasa ni hatua ya mwisho na hamasa si ndoto,”
mwananchi Monday, April 29, 2019 11:19:00 AM EAT
January Makamba anasema
(
about Taifa Stars
)
:
“Tulipaswa kuwaambia mlipatikana kwenye mechi za chandimu nendeni mkacheze kama mlivyokuwa mkicheza chandimu, lakini kwa umri wao unawambia nchi nzima inawatazama ninyi, mmebeba Bendera ya Taifa, pambaneni mwende Ulaya hii ilikuwa ni presha kwao kulinganisha na umri wao,”
mwananchi Monday, April 29, 2019 11:19:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Mita 60 haitakuwapo kwa sababu hamna namna kwenye maeneo ya mijini ukapata uhalisia. Mto unaopita Chalinze ni tofauti na mto unaopita mjini. Sheria lazima iangalie mazingira na watu na uhalisia,”
mwananchi Saturday, April 27, 2019 10:09:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Nemc ilikuwa kama kijiweni, unakwenda pale unachukua cheti chako unaondoka, usipokuwa unamjua mtu cheti kinacheleweshwa kwa makusudi,” “Katika moja ya kazi ambayo mimi najivunia tangu niteuliwe katika wizara hii ni mabadiliko tuliyofanya Nemc hasa mwaka mmoja uliopita ya kujaribu kuibadilisha kutoka taasisi ya kipolisi na kijiwe kuwa taasisi ya kutoa huduma”
mwananchi Saturday, April 27, 2019 10:09:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Hakutakuja kuwa na mwisho wa kero za Muungano hata siku moja na kama umuhimu au uhalali wa Muungano unaufungamanisha na wingi au uchache wa changamoto, basi huelewi uhusiano wa watu,” “Kwa hiyo mtu yeyote atakayekuhakikishia kuwa huko mbele hakutakuwa na changamoto atakuwa anakudanganya”
mwananchi Friday, April 26, 2019 1:59:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Hakutakuja kuwa na mwisho wa kero za Muungano hata siku moja na kama umuhimu au uhalali wa Muungano unaufungamanisha na wingi au uchache wa changamoto, basi huelewi uhusiano wa watu,” “Kwa hiyo mtu yeyote atakayekuhakikishia kuwa huko mbele hakutakuwa na changamoto atakuwa anakudanganya”
mwananchi Friday, April 26, 2019 12:17:00 PM EAT
January Makamba anasema
:
“Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, mwezi uliopita zimepitisha rasmi utaratibu wa kushughulikia kero za muungano na kuweka ratiba mahususi wa vikao”
habarileo Friday, April 26, 2019 10:30:00 AM EAT
January Makamba said
:
“What this data tells us is that the ban will actually deal a blow to jobs in countries where the imported plastic bags were being made,”
theCitizen Thursday, April 25, 2019 11:23:00 AM EAT
January Makamba said
:
“These draft regulations have been forwarded to the Attorney General’s chambers for further action,”
theCitizen Thursday, April 25, 2019 11:23:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Tumejipanga kiasi cha kutosha juu ya namna ya kukabiliana na changamoto zitakazojitokeza na jambo muhimu sana ni ushirikiano kwa kuwa mazingira ni suala muhimu kwa kizazi cha leo na kesho; hivyo ni jukumu la kila mwananchi kuyalinda,”
habarileo Wednesday, April 24, 2019 11:04:00 AM EAT
January Makamba ameongeza
:
“Kimsingi adhabu hizo wazalishaji wote, wasambazaji na wauzaji wa mifuko hiyo ikihusisha faini, vifungo vya jela au vyote kwa pamoja kulingana na kile kitakachokuwa kimetajwa katika kanuni hizo,”
habarileo Tuesday, April 23, 2019 10:23:00 AM EAT
January Makamba said
:
“We are yet to reach an agreement with the project implementing partners from Oman and China,”
theCitizen Friday, April 19, 2019 1:28:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Changamoto ya ongezeko la gharama za umeme kutoka Tanesco kwenda Zeco (Shirika la Umeme Zanzibar) nalo pia lilipatiwa ufumbuzi na imekubalika kuwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Tanesco,”
jamiiforums Thursday, April 18, 2019 4:37:00 AM EAT
January Makamba said
:
“On February 9, 2019, the Union Committee, which draws members from the mainland and the isles, held a meeting here in Dodoma, which approved guidelines on the participation of the Revolutionary Government of Zanzibar in regional and international affairs,”
theCitizen Wednesday, April 17, 2019 3:41:00 PM EAT
January Makamba said
:
“The Union is the identity of our nation, and an indicator of our unity. That is why we are doing all in our power to cement our cooperation on non-union matters,”
theCitizen Wednesday, April 17, 2019 3:41:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Changamoto ya ongezeko la gharama za umeme kutoka Tanesco kwenda Zeco (Shirika la Umeme Zanzibar) nalo pia lilipatiwa ufumbuzi na imekubalika kuwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Tanesco,”
jamiiforums Wednesday, April 17, 2019 2:38:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Changamoto ya ongezeko la gharama za umeme kutoka Tanesco kwenda Zeco (Shirika la Umeme Zanzibar) nalo pia lilipatiwa ufumbuzi na imekubalika kuwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Tanesco,”
jamiiforums Wednesday, April 17, 2019 2:38:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Changamoto ya ongezeko la gharama za umeme kutoka Tanesco kwenda Zeco (Shirika la Umeme Zanzibar) nalo pia lilipatiwa ufumbuzi na imekubalika kuwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Tanesco,”
mwananchi Wednesday, April 17, 2019 1:20:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Changamoto ya ongezeko la gharama za umeme kutoka Tanesco kwenda Zeco (Shirika la Umeme Zanzibar) nalo pia lilipatiwa ufumbuzi na imekubalika kuwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Tanesco,”
mwananchi Wednesday, April 17, 2019 11:37:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Kwa sasa mjadala wetu mkuu unapaswa kuwa ni namna gani tutaweza kuzalisha kwa wingi mifuko mbadala, kuhusu suala lenyewe la uzalishaji wa mifuko ya plastiki hilo halina nafasi na zaidi niwaombe wananchi wote kutumia fur- sa ya uzalishaji wa mifuko hiyo ili kujiinua kiuchumi,”
habarileo Tuesday, April 16, 2019 10:55:00 AM EAT
January Makamba said
:
“There were various meetings with various stakeholders prior to the decision [to ban the use of plastic bags],”
theCitizen Monday, April 15, 2019 6:54:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
"Hakuna mjadala tena kuhusu mifuko ya plastiki atakayezungumza anatuchelewesha kwa sababu athari zake zinajulikana,"
mwananchi Monday, April 15, 2019 4:52:00 PM EAT
January Makamba alieleza
:
“Tumetoa katazo hilo mwaka na nusu zaidi ya walivyoomba, mwaka 2017 tulikutana na wadau ukumbi wa Karimjee na wakatoa maoni na walisema kwa nini serikali inachelewa kutoa maamuzi, Pia Novemba mwaka jana tulifanya mkutano Ukumbi wa JK Nyerere, tulialika wadau wanaotengeneza mifuko mbadala tulihakikishiwa uwezo huo upo,”
habarileo Thursday, April 11, 2019 2:29:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kikao cha mawaziri kinakutana mara moja kwa mwaka, kikao cha makatibu wakuu wote kinakutana mara mbili kwa mwaka na kikao cha wataalamu wa Serikali zote kinakutana mara mbili kwa mwaka,”
mtanzania Tuesday, April 9, 2019 10:07:00 AM EAT
January Makamba told
:
“The regulations are ready for publication it is possible that July 1 will mark the end of the use of plastics in the country,”
ngrguardiannews Monday, April 8, 2019 4:31:00 PM EAT
January Makamba told
:
“The regulations are ready for publication it is possible that July 1 will mark the end of the use of plastics in the country,”
guardian-ng Monday, April 8, 2019 3:29:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
“Msizuie taasisi nyingine kukusanya takwimu, bali muweke mipaka mizuri ya utendaji kazi katika ukusanyaji wa takwimu hizo, ukusanyaji wa takwimu ni muhimu katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira, NBS mhakikishe takwimu zote zinazokusanywa ni sahihi,”
habarileo Wednesday, March 27, 2019 4:21:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
“Takwimu ndio zinatupa ushahidi hata kupatikana kwa fedha kutoka kwa serikali au kwa washirika wa maendeleo,”
habarileo Wednesday, March 27, 2019 4:21:00 PM EAT
January Makamba said
:
“We shall track down the shrewd culprits”
theCitizen Friday, March 22, 2019 2:09:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Tunawasihi wananchi wote pia kutoa taarifa haraka kwa mamlaka husika, ikiwamo NEMC na Ofisi ya Makamu wa Rais, wanapohisi au kuona mtu au kampuni yoyote inaingiza nchini taka za aina yoyote kutoka nje ya nchi au ukusanyaji wa vyuma chakavu, taka za elektroniki na betri zilizotumika na utupaji wa taka za hospitali unafanyika kinyume cha utaratibu,”
mtanzania Friday, March 22, 2019 12:15:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Sheria ya Mazingira inampa nguvu mtendaji katika kutimiza majukumu yake hivyo ni lazima kusimamia sheria zilizopo ili kuhakikisha mazingira yanabaki salama,”
habarileo Wednesday, March 20, 2019 6:38:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Nimelia peke yangu, nimelia kwa sababu sijalipa deni kubwa la heshima uliyonipa. Ulinipa upendo wa dhati kabisa na tulipanga vitu fulani hivi lakini umeondoka kabla hatujafanya, nimechanganyikiwa,”
mwananchi Sunday, March 3, 2019 10:05:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
"Leo tunatua bango la Ruge likisomeka vizuri, jiulize leo ukiondoka bango lako linasomekaje? Sisi kuja kwetu hapa tumekuja kumvisha taji la heshima, wengine tunaweza kuwa na madaraka ya vyeo, pesa nyingi na mali nyingi lakini tusipate heshima hii,"
mwananchi Saturday, March 2, 2019 5:38:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
“Mtu wa kwanza kuweka kichwani mwangu wazo la kuchukua fomu kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 alikuwa Ruge,” “Alifanya hivyo mwaka 2010, miaka mitano kabla, wakati email (barua pepe) hii aliyoniandikia akiwa safarini Marekani. Na alitoa sababu zake nzito”
mwananchi Tuesday, February 19, 2019 1:56:00 PM EAT
January Makamba anasema
:
“Gharama za kiafya kutokana na uharibifu wa hewa unaotokana na mapishi ya kuni na mkaa ni dola 1.8 milioni za Marekani kwa mwaka. Jukwaa hili litatupeleka kwenye uelewa mmoja kuhusu jambo hili na hatua za kuchukua ili jamii na Serikali tuweze kuchukua hatua,”
mwananchi Tuesday, February 12, 2019 12:17:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Gharama za kiafya kutokana na uharibifu wa hewa unaotokana na mapishi ya kuni na mkaa ni Dola 1.8 milioni za Marekani kwa mwaka,”
mwananchi Sunday, February 10, 2019 11:32:00 AM EAT
January Makamba said
:
“In the Ministry of Natural Resources, there is a task force dealing with charcoal issues, in our office we have charcoal issues and there are other institutions with similar tasks. There is a need now to join our hands and coordinate this properly through the prime minister’s office so that we have a similar approach,” “The Prime Minister has actually shown interest to call us players from the sector to see how we can work under one umbrella to address the charcoal problem,”
theCitizen Saturday, February 9, 2019 1:20:00 PM EAT
January Makamba said
:
“Majority of Tanzania’s households cannot afford the price of alternative sources of energy like gas. I therefore encourage the relevant stakeholders to reduce the price in order to enable Tanzanians to use the energy source,”
theCitizen Saturday, February 9, 2019 1:20:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Niliwahi kuandika barua kwa Waziri wa Nishati na Madini wakati huo akiwa Profesa Sospeter Muhongo kuomba tuharakishe hatua ya kuandika sera ya tungomotaka nikitaka iwe sera tofauti kabisa, isiwe ndani ya nishati,”
mwananchi Saturday, February 9, 2019 9:21:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Bado nataka nishawishike kuwa unaweza kutengeneza utaratibu ukavuna miti uliyoipanda ukauza na bado ukapambana na mkaa mwingine wa kawaida, ”
mwananchi Saturday, February 9, 2019 9:21:00 AM EAT
January Makamba warned
:
“Unless we control the use of charcoal we cannot ensure the sustainability of our communities,”
theCitizen Friday, February 8, 2019 1:06:00 AM EAT
January Makamba suggested
:
“The way to stop the use of charcoal is to make sure that it’s price take accounts the real cost associated with its production,”
theCitizen Friday, February 8, 2019 1:06:00 AM EAT
January Makamba amesema
:
"Nilikwenda mkoani Tabora nikakuta vijana wanapambana na wamekuja na wazo la kuzalisha mkaa mbadala, nikashirikiana na wadau kuwawezesha na nitafanya hivyo kwa yeyote atakayeonyesha nia ya kufanya hivyo,"
mwananchi Friday, February 8, 2019 1:04:00 AM EAT
January Makamba said
:
“Majority of Tanzania’s households cannot afford the price of alternative sources of energy like gas. I therefore encourage the relevant stakeholders to reduce the price in order to enable Tanzanians to use the energy source,”
theCitizen Friday, February 8, 2019 12:40:00 AM EAT
January Makamba amesema
:
"Jukwaa hili litatupeleka kwenye uelewa mmoja kuhusu hili jambo na hatua za kuchukua ili sisi kama jamii na Serikali tuweze kuchukua hatua,"
mwananchi Friday, February 8, 2019 12:20:00 AM EAT
January Makamba amesema
:
"Mwananchi hongereni kwa hiki mlichokifanya kwa sababu pamoja na kuandika habari zenu pia mnatuleta pamoja kujadili masuala mbalimbali ya jamii, suala la mkaa ni mtambuka na kuja na wazo hili ni ujasiri mkubwa,"
mwananchi Thursday, February 7, 2019 11:33:00 PM EAT
January Makamba anasema
:
“Kadri muda unavyoenda, haya maeneo kwa sasa ni nadra kuchoma mkaa, ndio maana sasa hivi mkaa unatoka maeneo kama Morogoro, Pwani na Tabora. Inatoka mikoa hii kwa sababu upatikanaji wake ni rahisi,”
mwananchi Sunday, February 3, 2019 9:56:00 AM EAT
January Makamba anasema
:
“Tumeona kuna dalili nzuri na tukishikilia hapa matunda yataonekana. Kingine kizuri baadhi ya watu wanaotengeneza mkaa mbadala wameanza kupata tenda (zabuni) za kusambaza mkaa huu kwenye taasisi za umma na binafsi kama kambi za wakimbizi na za jeshi,”
mwananchi Sunday, February 3, 2019 9:56:00 AM EAT
January Makamba anasema
:
“Suala hili linakuja bado tupo katika mchakato wa kulifanyia kazi kwa sababu lazima tujue idadi ya taasisi hizi na uwezo wake,”
mwananchi Sunday, February 3, 2019 9:56:00 AM EAT
January Makamba said
:
"There is equal opportunity for all. It is high time the Zanzibaris applied for various employment posts,"
allafrica Saturday, February 2, 2019 4:41:00 PM EAT
January Makamba said
:
"There is equal opportunity for all. It is high time the Zanzibaris applied for various employment posts,"
theCitizen Friday, February 1, 2019 3:58:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
"Lakini niwaombe vijana wa Zanzibar wanaoomba ajira ndani ya Muungano wasiandike anuani za Bara kama ambavyo baadhi hufanya badala ya kuandika anuani za Zanzibar,"
mwananchi Friday, February 1, 2019 12:35:00 PM EAT
January Makamba said
:
“Talks with the World Bank to help put up the structure on the river are at advanced stage and we hope a decision will be reached soon,”
coastweek Thursday, September 7, 2017 6:54:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kuna changamoto mbili, moja Serikali imemshtaki mwekezaji wa awali, lakini mfuko wa LAPF wao wanataka kuendesha kiwanda na mwekezaji ambaye wakulima wamemkataa na Serikali imemshtaki,”
mtanzania Tuesday, August 8, 2017 11:36:00 AM EAT
January Makamba aliongeza
:
“Sitaki kujua nani anamiliki hiyo gereji hapo nataka kuiona haipo kwa maana hapa tunatekeleza Sera ya Mazingira katika ofisi ya Makamu Wa Rais,”
mtanzania Monday, July 31, 2017 12:20:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Na pombe nyingi zilizopo kwenye viroba zinafungwa kwenye karatasi ambazo zimeshatumika,”
mwananchi Monday, March 6, 2017 6:42:00 PM EAT
January Makamba said
:
“The operation to enforce the ban on production, sale, and use of alcohol packed in plastic sachets will be carried out all over the country from March 2, this year, through safety and security committees and environmental protection committees at regional, district, division, ward, village and Mtaa levels,”
coastweek Thursday, March 2, 2017 2:55:00 AM EAT
January Makamba amesema
:
"Doria za ukaguzi wa utekelezaji wa hatua hizi, utaanza wakati wowote kuanzia sasa na hatua kali zitachukuliwa kwa wale wataobainika kukiuka,"
mwananchi Monday, February 20, 2017 8:36:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Ili kuharakisha mchakato huu, nadhani sheria za mazingira tutakazotumia zitakuwa na nguvu zaidi,”
mwananchi Sunday, February 19, 2017 10:14:00 PM EAT
January Makamba said
:
"The fund will focus on supporting organizations and activities related to environment conservation in ensuring there’s a mitigation of environmental problems affecting the country,"
coastweek Sunday, February 5, 2017 4:23:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Wachukueni vijana hawa hata kama 1,000 au 2,000 na kuwapa mafunzo ya namna gani wataweza kufanya shughuli hii. Nawaambia mkifanya hivi nchi nzima itawajua Nemc ni nani. Ndoto yangu ni kuiona Nemc ikiwa na meno. Kila mtu akiisikia aiogope tofauti na sasa mtu akiisikia anatuma ujumbe mfupi tukutane ‘samaki samaki’,”
mwananchi Sunday, February 5, 2017 12:24:00 PM EAT
January Makamba amesema
:
"Tutatuma mkandarasi ili aje afanye tathimini ili kujua gharama za ukarabati wa jengo hilo,"
mwananchi Saturday, January 28, 2017 2:04:00 PM EAT
January Makamba told
:
“There is a need to take serious measures to address the situation in Katuma, otherwise hippos and other animals and entire ecosystem will be in jeopardy,”
coastweek Friday, October 28, 2016 6:12:00 PM EAT
January Makamba said
:
“We are also stressing the water users to adopt sustainable water use management for Katuma River to continue flowing and supporting the wildlife,”
coastweek Friday, October 28, 2016 6:12:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Tumeongea na uongozi wa mkoa kuchukua hatua madhubuti kabisa kutibu tatizo hili lililosababisha mto huu kukauka, ninafahamu kuna hatua zimeshaanza, tunataka hatua hizo ziendelee na tutaziunga mkono lakini pia tutachukua hatua nyingine mpya,”
mtanzania Thursday, October 27, 2016 5:37:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kumbukeni baada ya sisi kuondoka hapa duniani,kuna vizazi vijavyo, msije mkawa chanzo cha kufupisha maisha ya vizazi hivyo kwa kuharibu rasilimali tulizozikuta ambazo zimechangia kufikisha uhai wetu hapo tulipo”
mtanzania Monday, October 24, 2016 3:27:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kufanya hivi kunaathiri watu wengine walio mabondeni wanaotegemea mito hiyo kwa shughuli za kila siku, hivyo kinacho takiwa ni kuwepo na utaratibu mzuri wa kuweza kuhakikisha maji hayo yanakuwa ni kwa manufaa kwa watu wote”
mtanzania Monday, October 24, 2016 3:27:00 PM EAT
January Makamba anasema
:
"Mmefanya kuwa na kikundi na nitaleta watu kutoka maeneo mbalimbali kuja mbinu hizo ili kulinda vyanzo vya maji,"
mwananchi Thursday, October 20, 2016 7:22:00 PM EAT
January Makamba alisema
:
“Kuanzia Novemba 5 hadi 6, mwaka huu tutawaita wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wenyeviti na mameya wote jijini Arusha kwa ajili ya kuwapa mafunzo na maelekezo mahsusi yanayohusiana na hifadhi ya mazingira, ikiwamo upandaji miti na utunzaji wa vyanzo vya maji,”
mtanzania Thursday, October 20, 2016 12:17:00 PM EAT
January Makamba said
:
“Human activities, including farming, along water sources that supply water to the rivers, are posing a huge threat to our rivers,”
coastweek Friday, October 14, 2016 1:29:00 PM EAT
January Makamba said
:
"However, at this moment the two governments have agreed to exclude exploration and production of oil and natural gas from the Union Matters,"
allafrica Thursday, September 8, 2016 10:26:00 AM EAT
January Makamba said
:
"We plan by 2020, 85 per cent of people living in rural areas have water access and 95 per cent of people living in urban areas have access to clean and safe water, but this can easily be achieved if we will have a good number of water technicians in our councils,"
allafrica Monday, July 18, 2016 10:52:00 PM EAT
January Makamba said
:
"We plan by 2020, 85 per cent of people living in rural areas have water access and 95 per cent of people living in urban areas have access to clean and safe water, but this can easily be achieved if we will have a good number of water technicians in our councils,"
allafrica Monday, July 18, 2016 8:38:00 PM EAT
January Makamba alisema
(
about John Magufuli
)
:
“Nadhani mnaiona kasi ya Rais wetu Dk. Magufuli aliyokuwa nayo na miye kijana wenu nipo kwenye majukumu ya kuhakikisha namsaidia katika utekelezaji wa majukumu hayo kupitia wizara yangu,”
mtanzania Monday, July 4, 2016 9:05:00 AM EAT
January Makamba said
:
"The government will be making it compulsory for any company seeking a business license to declare that it would plant trees in its premises,"
coastweek Monday, May 30, 2016 11:35:00 AM EAT
January Makamba said
:
"The villages that surround these sanctuaries have to somehow be taken care of in a manner that people do not feel that 'we have to help poachers to poach so we can make a living'. The issues of poaching and logging are issues of governance and poverty. Corruption is the centre of it. You deal with corruption, you are halfway to dealing with the problem of poaching"
nzherald Sunday, March 22, 2015 8:13:00 PM EAT
January Makamba aliandika
(
about Rene Meza
)
:
“Inawezekana gharama za uendeshaji, ikiwamo umeme, zinapanda, lakini hakuna kodi mpya ya Serikali tangu baada ya bajeti. Huko nyuma ushindani ulishusha bei kwa sababu hakukuwa na bei elekezi. Bado niko nje ya nchi kwa safari ya kiserikali, lakini nimekuwa nalifuatilia suala hili kwa karibu. Pia nimeongea na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Rene Meza, kuhusu suala hili leo asubuhi,”
mwananchi Wednesday, February 18, 2015 9:42:00 AM EAT
January Makamba alisema
:
“Wana-CCM wanatakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani walizoea ushindi wa asilimia 90 au 80, huu ulikuwa ushindi wa nyuma. Tusishangae tukipata ushindi wa asilimia 50, 60, 57 au 70 ni kitu cha kawaida kutokana na kukua kwa demokrasia, hususan ushindani wa vyama vingi vya siasa kuanza kuimarika,”
mwananchi Wednesday, January 28, 2015 1:32:00 PM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
communication minister | 100.00% | EN | 12/10/201210/12/2012 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
January Makamba | SW | 59.21% |
January Makamba | EN | 40.79% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 6.91% |
![]() | Nape Nnauye | 4.40% |
![]() | Rais Magufuli | 3.90% |
![]() | William Ngeleja | 2.80% |
![]() | Bernard Membe | 2.20% |
![]() | Abdulrahman Kinana | 2.20% |
![]() | Chama Cha | 2.20% |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 2.20% |
![]() | Samia Suluhu | 1.90% |
![]() | Waziri Mkuu | 1.80% |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 1.80% |
![]() | George Simbachawene | 1.70% |
![]() | Yusuf Makamba | 1.70% |
![]() | Jakaya Kikwete | 1.60% |
![]() | Edward Lowassa | 1.30% |
![]() | Hussein of Jordan | 1.20% |
![]() | Hassan Mwinyi | 1.10% |
![]() | Philip Mangula | 1.10% |
![]() | Tundu Lissu | 1.10% |
![]() | Kassim Majaliwa | 1.10% |
![]() | Afrika Mashariki | 1.10% |
![]() | Ali Hassan Mwinyi | 1.00% |
![]() | Humphrey Polepole | 1.00% |
![]() | Pius Msekwa | 0.90% |
![]() | Job Ndugai | 0.90% |
![]() | Frederick Sumaye | 0.80% |
![]() | John Pombe Magufuli | 0.80% |
![]() | Hussein Bashe | 0.80% |
![]() | Rais Dk | 0.80% |
![]() | Paul Makonda | 0.70% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 0.0673 |
![]() | Nape Nnauye | 0.0441 |
![]() | Rais Magufuli | 0.039 |
![]() | Abdulrahman Kaniki | 0.0333 |
![]() | Mama Kikwete | 0.0294 |
![]() | Wiliam Lukuvi | 0.0286 |
![]() | William Ngeleja | 0.0264 |
![]() | Abdulrahman Kinana | 0.0223 |
![]() | Bernard Membe | 0.0221 |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 0.022 |
![]() | Chama Cha | 0.0219 |
![]() | Janet Mbene | 0.0196 |
![]() | Veronica Mheta | 0.0182 |
![]() | Waziri Mkuu | 0.0179 |
![]() | Samia Suluhu | 0.0177 |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 0.0171 |
![]() | George Simbachawene | 0.0171 |
![]() | Lucy Nkya | 0.0167 |
![]() | Mahmoud Mgimwa | 0.0161 |
![]() | Jakaya Kikwete | 0.016 |
![]() | Yusuf Makamba | 0.0158 |
![]() | Joseph Mhagama | 0.0152 |
![]() | Steven Wasira | 0.0151 |
![]() | Oran Njeza | 0.0147 |
![]() | Benjamin Sitta | 0.0132 |
![]() | Edward Lowassa | 0.013 |
![]() | Ole Medeye | 0.0118 |
![]() | Anna Kilango | 0.0116 |
![]() | Hassan Mwinyi | 0.011 |
![]() | Philip Mangula | 0.011 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
Extracted quotes about
Humphrey Polepole alisema
(
about January Makamba
)
:
“Kamati Kuu imetoa msamaha huu kwa msingi kwamba Makamba wakati wote tangu aliposomewa mashtaka yake amekuwa ni mtu muungwana, mnyenyekevu na mtii kwa mamlaka ya chama na kubwa kuliko yote Makamba ameomba asamehewe makosa yake kwa barua,”
mtanzania Saturday, February 29, 2020 3:23:00 PM EAT
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.