Afrika Mashariki
Last updated on 2017-08-21T11:05+0300.

About this image

Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
balozi | 45.45% | SW | 05/07/2017 |
sir | 4.55% | SW | 12/04/2017 |
balozi wa australia | 4.55% | SW | 16/07/2016 |
profesa | 4.55% | SW | 13/06/2016 |
chief executive | 4.55% | EN | 24/05/2016 |
bi | 4.55% | SW | 19/05/2016 |
jaji | 27.27% | SW | 16/03/2014 |
maofisa | 4.55% | SW | 16/12/2013 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Afrika Mashariki | SW | 94.70% |
Afrika Mashariki | EN | 4.82% |
AFRIKA MASHARIKI | SW | 0.48% |


Tools
Wednesday, January 27, 2021
12:10:00 AM EAT
Select your languages
Explore Relations
Extracted quotes about
Hussein Mwinyi alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Tunataka kurudisha hadhi ya Zanzibar kama kituo cha biashara cha ukanda wa Afrika Mashariki,”
habarileo Wednesday, January 13, 2021 9:17:00 AM EAT
Barbara Gonzalez aliongeza
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Sioni kama kuna kigeni zaidi ya uzoefu na mikakati, kusajili wachezaji wa hali ya juu kwa ajili ya kwenda kupambana kimataifa katika mechi hizi ambazo ni muhimu kwetu na michuano hii ambayo ni mikubwa Afrika,”
habarileo Sunday, January 10, 2021 3:10:00 AM EAT
Wang Yi alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Nimefanya ziara ya 15 Afrika, nimeona pamoja na magumu inayopitia nchi za Afrika na migogoro iliyopo, lakini China inahakikisha wanaimarisha ushirikiano na nchi za Afrika kwa kuhakikisha malengo ya kila upande yanafikiwa,”
habarileo Saturday, January 9, 2021 7:36:00 AM EAT
Kassim Majaliwa alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Upatikanaji wa umeme wa bei nafuu nchini kwetu na uhakika nchini kwetu kutachochea sana ukuaji wa mapinduzi kwenye sekta ya viwanda kwa kushusha gharama za uendeshaji umeme viwandani, kukabiliana na mfumuko wa bei, kuwezesha ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya Afrika Mashariki na duniani kote,”
habarileo Thursday, November 19, 2020 10:49:00 AM EAT
Zhao Lijian alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Tunaamini kuwa Serikali ya Tanzania na watu wake wana busara na uwezo wa kuendesha uchaguzi. Tunawaombea uchaguzi uwe salama na wenye mafanikio. Kutoingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine inapaswa kuwa kanuni ya kufuatwa na nchi nyingine duniani. China inazitaka nchi zote kuheshimu kanuni hii na pande zote zinapaswa kuunga mkono uhuru wa nchi za Afrika na kulinda uhuru na uimara wao,”
habarileo Thursday, October 22, 2020 5:38:00 PM EAT
Rais Magufuli alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Na ndiyo maana leo tumesaini maana yake sasa pameisha. Maana yake ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki litakalojengwa kutoka Hoima Uganda hadi Tanga lenye jumla ya kilometa 1,445 unaanza,”
habarileo Monday, September 14, 2020 6:25:00 AM EAT
Rais Magufuli alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Huu mradi umeshughulikiwa kwa muda mrefu, nampongeza Mzee Museveni amefanya mambo yasiyowezekana. Afrika Mashariki tuwe na mafuta? Tumekuwa tukisikia mafuta yapo Uarabuni sijui wapi lakini Museveni ameyatafuta tena kwa kutumia watu wa Uganda,”
habarileo Monday, September 14, 2020 6:25:00 AM EAT
Rais Museveni aliandika
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Alipokuwa Rais wa Tanzania, alishirikiana na sisi kuijenga Jumuiya ya Afrika Mashariki, ni pigo kubwa katika jumuiya yetu na Afrika,”
habarileo Tuesday, July 28, 2020 10:48:00 PM EAT
Carlos Lopes alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Ninafanya kazi kwa karibu na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) pamoja na Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kuna mawimbi makubwa ya maendeleo katika mataifa mengi ya Afrika. Utulivu wa kiuchumi wa Afrika Mashariki unamaanisha mengi sana,”
habarileo Wednesday, July 8, 2020 7:04:00 PM EAT
David Kafulila alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Rekodi hii inathibitisha kuwa hata dunia inatambua kuwa Magufuli anajenga serikali yenye nidhamu ya matumizi hata kuwa na rekodi kubwa siyo tu Afrika bali duniani. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya World Economic Forum, Executive Opinion Survey 2019”
habarileo Wednesday, July 8, 2020 2:25:00 PM EAT
Agathon Rwasa amesema
(
about Afrika Mashariki
)
:
"Tunakataa matokeo ya uchaguzi, na tutawasilisha shitaka letu mahakamani…Kama mahakama ya Burundi isipotusikiliza tutawasilisha mashitaka yetu katika Mahakama ya Afrika Mashariki. "
bbc-swahili Tuesday, May 26, 2020 2:16:00 PM EAT
Job Ndugai alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Ratiba ya mwanzo ilikuwa ikionesha kusoma bajeti Mei 20, mwaka huu lakini kwa mabadiliko yanayozingatia utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) ya kusoma siku moja itakuwa Juni 11, mwaka huu,”
habarileo Tuesday, May 19, 2020 5:01:00 PM EAT
Yoweri Museveni alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
"Mungu ndiye aliyesema kwamba Afrika Mashariki ni moja. Chumbani ni Uganda, sebuleni ni Kenya, na sebule nyingine ni Tanzania….kwamfano sasa tumeiondoa corona kutoka hapa, kutoka chumbani (Uganda), lakini sebuleni huko….."
bbc-swahili Wednesday, May 13, 2020 6:17:00 AM EAT
Hassan Abbasi alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Nakumbuka nilikuwa miongoni mwa wanahabari wa kwanza kumfanyia mahojiano wakati huo nikiwa mmoja wa wahariri katika Gazeti la Majira. Tutamkumbuka kwa utumishi kwa Watanzania na wana Afrika ambako pia alipata kuwa Jaji na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu,”
habarileo Thursday, April 30, 2020 11:38:00 AM EAT
Dan Kazungu alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Wema huanzia nyumbani, ndio maana kabla ya kwenda katika mataifa ya Ulaya kutafuta masoko ya bidhaa zetu, tumeamua kuanzia kwa majirani zetu, baadae tunakuja Afrika Mashariki yote na Afrika kwa ujumla,”
habarileo Tuesday, March 24, 2020 8:24:00 AM EAT
Stergomena Tax amesema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Hali ya nchi kuridhia makubaliano ya soko la pamoja ya kanda hizo tatu bado hairidhilishi, Nchi 22 zimeshasaini makubaliano hayo, nchi 8 zimesharidhia zikiwamo tatu za Sadc. Katika makubaliano ya kuwa na soko la pamoja na Afrika, nchi 5 zimeridhia,”
mwananchi Wednesday, March 18, 2020 8:49:00 PM EAT
Harrison Mwakyembe said
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Nimempigia simu kijana wetu nyota wa muziki barani Afrika na pia ulimwenguni ukipenda, Diamond kwamba sasa huu ndio muda wa kuonesha utaifa, hebu njoo ujiunge na sisi. Na atakuwa na ziara siku hiyo mkoani Iringa, Nimemwambia avunje ziara hiyo kwa utaifa, Nafikiri atafanya hivyo. Kwa sababu tulipokuwa Uganda wasanii wote wakubwa nchini humo walihudhuria kwenye tamasha,”
tuko Friday, September 20, 2019 2:42:00 PM EAT