Abdulrahman Kinana
Last updated on 2017-05-18T18:07+0300.

About this image

Extracted quotes from
Abdulrahman Kinana amesema
:
“Wakati umefika kwa serikali kufanyia kazi kwa kina ripoti ya CAG, ili wananchi waridhike mali ya umma haitumiki vibaya. Mnaunga mkono au tuwahurumie, haiwezekani vitabu vya CAG vinaandikwa kila mwaka hali inakuwa hivyo hivyo, lazima tuchukue hatua, uamuzi wa kuagiza serikali sina, lakini uwezo wa kushauri ninao,”
habarileo Wednesday, April 27, 2022 6:14:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Siku tano zimekuwa za bahati kwangu, napata cheo kimoja hadi kingine, mkipata muda mje niwaambie mganga wangu ni nani,”
habarileo Thursday, April 7, 2022 12:43:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Siku tano zimekuwa za bahati kwangu, napata cheo kimoja hadi kingine, mkipata muda mje niwaambie mganga wangu ni nani,”
habarileo Thursday, April 7, 2022 12:43:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana said
:
"Since we are in a democratic country, then it will be good for political parties to attend all the meetings that will be initiated, this will slowly reduce a number of challenges,"
allafrica Wednesday, April 6, 2022 10:19:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Hii nchi ni ya vyama vingi, kwa kutambua hilo niwasihi mimi pamoja na wenzangu wa vyama vingine tujenge utamaduni wa kukutana. Niwahakikishie mimi na mwenyekiti wangu (Rais Samia) anapenda amani na maridhiano, anapenda demokrasia ikue, CCM iko tayari kukutana na vyama vyote nchini kuona demokrasia inakua,”
habarileo Wednesday, April 6, 2022 8:06:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Hii nchi ni ya vyama vingi, kwa kutambua hilo niwasihi mimi pamoja na wenzangu wa vyama vingine tujenge utamaduni wa kukutana. Niwahakikishie mimi na mwenyekiti wangu (Rais Samia) anapenda amani na maridhiano, anapenda demokrasia ikue, CCM iko tayari kukutana na vyama vyote nchini kuona demokrasia inakua,”
habarileo Tuesday, April 5, 2022 4:14:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana amesema
:
“Jukumu langu la kwanza ni kuimarisha chama kiwe imara, ili chama kiwe imara lazima demokrasia ndani ya chama iwe imara, na ili demokrasia iwe imara lazima tusimamie haki ya kuchaguliwa, haki ya kuchagua bila upendeleo bila mizengwe, bila rushwa, wala kutizama umaarufu,”
habarileo Friday, April 1, 2022 5:05:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana amesema
:
“Jukumu langu la kwanza ni kuimarisha chama kiwe imara, ili chama kiwe imara lazima demokrasia ndani ya chama iwe imara, na ili demokrasia iwe imara lazima tusimamie haki ya kuchaguliwa, haki ya kuchagua bila upendeleo bila mizengwe, bila rushwa, wala kutizama umaarufu”
habarileo Friday, April 1, 2022 4:15:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana said
(
about John Magufuli
)
:
“Dr Magufuli has first implemented the party manifesto in full and second, he delivered own promises during 2015 campaign. He also delivered promises during his visits as president and now he has new good promises in the new manifesto”
theCitizen Saturday, October 24, 2020 11:12:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Nimemsikiliza jana mwenyekiti akisema tusidharau uchaguzi. Lakini sina mashaka hata kidogo kwamba mgombea wetu, atapata kura kuliko tulizopata zaidi ya zile za 2015, tutapata madiwani na wabunge wengi zaidi,”
habarileo Sunday, July 12, 2020 7:39:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana said
:
“We did not expect to go down to such an extent. We are conducting research on this flimsy victory,”
theCitizen Wednesday, May 20, 2020 3:18:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Wajumbe wa CC ni 32 na walihudhuria leo hii (jana) ni wajumbe 28 ambayo ni sawa na asilimia 87.5 hivyo akidi imetimia,”
mtanzania Friday, July 22, 2016 12:53:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana said
:
"As secretary-general, I can tell you that we have well established structures that should have alerted me of any attempt to derail our meeting... .up to now there is nothing like that and those making the claims are merely seeking attention,"
allafrica Friday, July 22, 2016 12:06:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana said
:
"As secretary-general, I can tell you that we have well established structures that should have alerted me of any attempt to derail our meeting... .up to now there is nothing like that and those making the claims are merely seeking attention,"
allafrica Thursday, July 21, 2016 1:46:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana told
:
"I have served this post for three and half years. I was requested by the party elders to join the top post in the party leadership structure,"
allafrica Thursday, July 21, 2016 11:27:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Viongozi wamekuwa wakitawala pasipo kuwasikiliza wale wanaowaongoza… naomba uniambie umuhimu wa kiongozi kuwa mnyenyekevu na kuwasikiliza watu anaowaongoza pamoja na kukubali makosa pale anapokosea,”
mtanzania Wednesday, June 15, 2016 9:16:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
(
about William Lukuvi
)
:
“Napenda niwahakikishie kwamba Waziri Lukuvi atalipatia ufumbuzi suala hili haraka iwezekanavyo na mtakabidhiwa sehemu ya ardhi hiyo,”
habarileo Saturday, March 21, 2015 8:17:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Naomba niwaahidi kuwa ndani ya mwezi mmoja nitarejea na kufanya mkutano hapa hapa na nyie nikiwa na mawaziri husika ambao Waziri Mkuu atawatuma kujibu malalamiko yenu. Ningeweza kuzungumza na Waziri Mkuu ili mawaziri hao waje wenyewe lakini ili tuwe na uhakika zaidi, nitakuja nao mimi mwenyewe,”
habarileo Thursday, March 19, 2015 3:23:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Nimewasikia, nimewaelewa poleni sana ndugu zangu, nikitaka kuahidi nitakuwa mwongo pia, bali ahadi yangu ni hii, ndani ya mwezi mmoja nitakuja na mawaziri wote husika kwenye uwanja huu ili tuzungumze,”
mwananchi Tuesday, March 17, 2015 10:46:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Watanzania wa sasa hawapo tayari kuona nchi yao inaongozwa kwa ujanja ujanja, au kwa watu kuwa walaji au wala rushwa. Wapo tayari kukusamehe kosa jingine lolote, lakini si kwa suala la uadilifu, wizi na udokozi wa mali ya umma au rushwa,”
habarileo Sunday, March 15, 2015 6:20:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
(
about Edward Lowassa
)
:
“Sheria zinaundwa kwa manufaa ya wananchi na si wanyama. Kama zipo sheria zinaifanya jamii ilalamike au inawapokonya wananchi haki zao, basi sheria hiyo itakuwa haifai na ni vema ndugu yangu Lowassa ukanisaidie katika kulishawishi Bunge kuzifuta sheria za aina hii,”
habarileo Sunday, March 15, 2015 6:20:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Hatuna shaka na Monduli kwa kuwa yupo kiongozi shupavu, ndugu yetu Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa (Halmashauri Kuu ya CCM) Nec,”
mwananchi Saturday, March 14, 2015 9:15:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Ninasikitishwa na mauaji haya, nami nasema lazima tukubali kuwajibishana kwa baadhi ya watu wanaoshindwa kutimiza wajibu wao maana inapotokea hali kama hii bila shaka kuna mahali lazima kutakuwa na kasoro,”
mwananchi Sunday, March 8, 2015 6:56:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Wananchi sasa wanaangalia nani muadilifu, nani sio mwizi, nani si mlaji, wapo tayari kukusamehe mambo mengine yote, lakini si suala la uadilifu,”
habarileo Sunday, March 8, 2015 1:03:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Siku hizi ukimwambia mtu kaa kando, anakataa au anakwenda kukusanya watu wa kumtetea na kumpigania, watu wanafanya maandamano ya kwenda kutetea watu wasio na maadili ya utumishi wa umma. CCM kuweni wakali katika hili msikubali hata kidogo,”
habarileo Sunday, March 8, 2015 1:03:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Uzuri ni kwamba wananchi wa siku hizi wanatujua, wanajua nani mwongo, wanajua nani anapiga porojo, wanajua nani anajali tumbo lake na wanajua nani mchapakazi kwa hiyo watatuhukumu kwa kile tunachofanya,”
habarileo Sunday, March 8, 2015 1:03:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Lazima tulikatae hili kwa nguvu zote na mtu wa kwanza anayepaswa kukasirika ni mwanaCCM, kuweni wakali acheni kabisa kulindana,”
habarileo Sunday, March 8, 2015 1:03:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alihoji
:
“Mnajua kikao cha Kamati Kuu kilichokutana kule Zanzibar kilikaa na kuwajadili watu ambao tunaona wanakwenda kinyume. Hivi kama sisi tumeanza nyinyi mnangoja nini sasa?”
mwananchi Saturday, March 7, 2015 12:26:00 PM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Lazima tulikatae hili kwa nguvu zote na mtu wa kwanza anayepaswa kukasirika ni mwanaCCM, kuweni wakali acheni kabisa kulindana,”
habarileo Saturday, March 7, 2015 10:46:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Nawaomba wanaCCM simamieni uadilifu, mmechaguliwa na wananchi kutokana na imani yao kwenu na kama tunavyofahamu imani huzaa imani, nataka niahidi CCM tutakuwa wakali sana ukiiba lazima uondoke,”
habarileo Saturday, March 7, 2015 10:46:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Kama kuna kasoro waite wananchi waambie, kama tunapongezwa kwa mazuri tuliyoyafanya ni lazima tukubali kuulizwa maswali kwa yale ambayo hatujayatekeleza. Sio unataka upongezwe kwa mazuri tu lakini mabaya tunayakwepa,”
habarileo Saturday, March 7, 2015 10:46:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Tatizo lenu (wanachama wa CCM) mnakuwa wapole na mnajenga tabia ya kulindana. Kwa njia hiyo hamtaweza kukisaidia chama chenu. Mtu akikosea hakuna bahati mbaya, ondoa huyo na apelekwe jela mara moja ili kazi nyingine zisonge,”
mwananchi Saturday, March 7, 2015 10:10:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana aliongeza
:
“Hili ni muhimu mkalijua na ndio maana Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alituambia ‘nyumba ikijitegemea, kijiji kitajitegemea, na kijiji kikijitegemea, kata itajitegemea, na kata ikijitegemea wilaya itajitegemea’, vivyo hivyo kwa wilaya, mkoa na Taifa,”
habarileo Friday, March 6, 2015 12:13:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Ni lazima mtambue kwamba Tanzania kamwe haitaendelea kwa kutegemea wafadhili, bali kwa kujitegemea yenyewe kwa rasilimali zake za ndani. Hatukatai wafadhili kutuunga mkono lakini hiyo iwe ni nyongeza ya nguvu zetu wenyewe,”
habarileo Friday, March 6, 2015 12:13:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Dodoma sasa inaungana na Zanzibar na hasa mkoa wa Kusini Unguja ambao ingawa una wakazi wachache si sawa na Dodoma lakini ukiangalia uwiano wa wakazi na wanachama wa CCM unaona wanachama wa CCM ni wengi zaidi. Kusini Unguja ndiyo inayoshika nafasi ya kwanza kitaifa,”
habarileo Friday, March 6, 2015 12:13:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Imefika mahala mtu anapewa uongozi ndani ya CCM kwa sababu ndani ya vikao vya uteuzi kuna ndugu zake, marafiki zake au watu wanaomhusu.Hili suala la uonevu hatutalivumilia mwaka huu, haiwezekani watu wa chini wanafanyiwa uonevu na viongoziwa juu wapo kimya. Ukiona kiongozi huyu anakaa kimya kwa masuala kama haya jua kunamambo mawili au anapendelea au kapewa rushwa,”
habarileo Friday, March 6, 2015 12:13:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
:
“Haiwezekani... mtu hafai, hana sifa, ukiulizwa nini? Kanipa pesa, au ni jamaa yangu mwishowe wanaCCM wanapata hasira wanakwenda kumpigia kura mgombea wa upinzani, hilo sasa mwisho wake umefika, tutapambana,”
habarileo Friday, March 6, 2015 12:13:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana remarked
:
“He will be greatly remembered for his mobilisation songs when Tanzania was fighting Iddi Amin of Uganda; he also played a crucial role in the strengthening of CCM,”
in2eastafrica Tuesday, March 3, 2015 11:02:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana alisema
(
about Mwalimu Nyerere
)
:
“Wakati wa msiba wa Nyerere atakumbukwa kwa ujasiri wake na msimamo wake kwani alitunga nyimbo nyingi zenye kuwaliwaza Watanzania,”
habarileo Tuesday, March 3, 2015 8:59:00 AM EAT
Abdulrahman Kinana told
:
“The processes will continue in Juba. The reunification of SPLM family will now start in Juba,”
sudanvisiondaily Sunday, February 22, 2015 10:57:00 PM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
secretary general | 54.47% | EN | 03/21/201721/03/2017 |
general | 26.83% | EN | 03/21/201721/03/2017 |
secretary-general | 12.20% | EN | 03/13/201713/03/2017 |
secrétaire | 1.63% | FR | 10/12/201612/10/2016 |
secretary-general of tanzania | 4.88% | EN | 05/25/201625/05/2016 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Abdulrahman Kinana | SW | 56.05% |
Abdulrahman Kinana | EN | 42.04% |
Abdulrahman Kinana | FR | 1.27% |
ABdulrahman Kinana | SW | 0.64% |
Abdulrahman Kinana | PT | 0.00% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 6.39% |
![]() | Yusuf Makamba | 4.46% |
![]() | Bernard Membe | 4.36% |
![]() | Chama Cha | 3.65% |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 3.55% |
![]() | Nape Nnauye | 3.14% |
![]() | Rais Magufuli | 3.14% |
![]() | Philip Mangula | 2.43% |
![]() | Bashiru Ally | 2.33% |
![]() | January Makamba | 2.23% |
![]() | William Ngeleja | 2.13% |
![]() | Humphrey Polepole | 2.13% |
![]() | Jakaya Kikwete | 2.03% |
![]() | Edward Lowassa | 1.93% |
![]() | Benjamin Mkapa | 1.72% |
![]() | Ali Hassan Mwinyi | 1.62% |
![]() | Hassan Mwinyi | 1.62% |
![]() | Julius Nyerere | 1.52% |
![]() | Pius Msekwa | 1.52% |
![]() | Makamu Mwenyekiti | 1.32% |
![]() | Waziri Mkuu | 1.12% |
![]() | Secretary General | 1.01% |
![]() | Benard Membe | 1.01% |
![]() | Rais Dk | 0.91% |
![]() | Mwalimu Julius Nyerere | 0.81% |
![]() | John Pombe Magufuli | 0.81% |
![]() | Frederick Sumaye | 0.81% |
![]() | Hussein of Jordan | 0.81% |
![]() | Mwalimu Nyerere | 0.61% |
![]() | Joseph Warioba | 0.51% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | William Sarakikya | 0.0667 |
![]() | John Magufuli | 0.0553 |
![]() | Bernard Membe | 0.0433 |
![]() | Yusuf Makamba | 0.0409 |
![]() | Chama Cha | 0.0339 |
![]() | Chama Cha Mapinduzi | 0.0333 |
![]() | Nape Nnauye | 0.031 |
![]() | Rais Magufuli | 0.0302 |
![]() | Robert Manumba | 0.027 |
![]() | Philip Mangula | 0.0237 |
![]() | Bashiru Ally | 0.0227 |
![]() | January Makamba | 0.022 |
![]() | Humphrey Polepole | 0.02 |
![]() | William Ngeleja | 0.0198 |
![]() | Jakaya Kikwete | 0.0194 |
![]() | Edward Lowassa | 0.0191 |
![]() | Wilson Mukama | 0.0179 |
![]() | Benjamin Mkapa | 0.0166 |
![]() | Salum Nassor | 0.0159 |
![]() | Benard Membe | 0.0158 |
![]() | Ali Hassan Mwinyi | 0.0155 |
![]() | Hassan Mwinyi | 0.0155 |
![]() | Julius Nyerere | 0.0146 |
![]() | Pius Msekwa | 0.0138 |
![]() | Makamu Mwenyekiti | 0.0125 |
![]() | Anna Abdallah | 0.0122 |
![]() | Steven Wasira | 0.012 |
![]() | Ramadhani Madabida | 0.0109 |
![]() | Titus Kamani | 0.0109 |
![]() | Waziri Mkuu | 0.0108 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
Extracted quotes about
Humphrey Polepole ameeleza
(
about Abdulrahman Kinana
)
:
"Mzee Kinana anapewa adhabu ya karipio kwa mujibu wa kanuni... Atakuwa katika hali ya matazamio kwa mda wa miezi 18 ili kumsaidia katika jitihada za kujirekebisha. Hatakuwa na haki ya kugombea nafasi ya uongozi kwenye chama, japo ataruhusiwa kupiga kura kama atakuwa na dhamana hiyo,"
bbc-swahili Saturday, February 29, 2020 11:20:00 AM EAT
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.