Godbless Lema

Last updated on 2014-04-13T01:55+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Godbless Lema alisema : “huwezi kuwa na mgombea ubunge ambaye hawezi kujua madiwani ni akina nani” External link

habarileo Sunday, July 19, 2020 8:45:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : “Lakini pia wapo viongozi wengine wana mapungufu yao, mfano mzuri ni hivi karibuni pale Arusha, Kaimu Mkurugenzi alikamatwa na polisi, lakini Mkuu wa wilaya na DSO walipokwenda kumwekea dhamana, OCD (mkuu wa polisi wilaya) aliwagomea. Hebu fikiria kama mkuu wa wilaya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi anagomewa na OCD, sembuse raia wa kawaida,” External link

mwananchi Wednesday, April 15, 2020 8:33:00 PM EAT

Godbless Lema alisema : “Hakuna kitu kinaitwa intelijensia ya polisi nchi hii bali huwa kuna uhuni dhidi ya demokrasia na uhuru wa mamlaka ya Katiba kuhusu watu kukutana na kupashana habari,” External link

mwananchi Sunday, February 23, 2020 10:07:00 AM EAT

Godbless Lema alihoji : “Hapa kuna ‘deal’ hapa tabia mlianza lini? Mmeanza kujenga Chato bila azimio, mmehamishia Dodoma hapa bila azimio, mkaenda kwenye ndege bila azimio sasa hii tabia nzuri mlianza lini?” External link

mwananchi Friday, February 7, 2020 7:53:00 PM EAT

Godbless Lema alisema : “Hatujawahi kuwa na mapambano madogo au hafifu,” External link

mwananchi Monday, January 27, 2020 6:07:00 PM EAT

Godbless Lema said : “As far as I am concerned Mr Lazaro left Chadema three years ago because the way he was acting and discharge his responsibilities was in favour of the ruling party and not Chadema,” External link

theCitizen Tuesday, November 19, 2019 8:43:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : “Mwenendo, moyo na tabia zake zote zilikuwa CCM lakini mwili ndio umewasili leo. Jana usiku nilipokwenda kumpokea mkewe wangu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) nilikutana na Lazaro akaniambia anakwenda Australia, lakini moyoni nilijua anakwenda Dar es Salaam kwa kazi hii ya leo,” External link

mwananchi Tuesday, November 19, 2019 7:20:00 PM EAT

Godbless Lema alidai : “Nilikwenda mwenyewe baada ya kuambiwa natafutwa baada ya Helga kukamatwa. Nilifika nikaingia kwa OCD na kujitambulisha akaniambia kaa chini,” External link

mwananchi Saturday, November 16, 2019 5:36:00 PM EAT

Godbless Lema alisema : “Walimteka wakamlazimisha asome waraka kuwa Chadema Hai wao watashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hili ndiyo lilinileta kama mjumbe wa Kamati Kuu,” External link

Godbless Lema amesema ( about Rais Magufuli ) : “Kauli hii ina thamani kubwa kuliko ile ya matajiri kuishi kama mashetani. Nimemsikiliza Rais naona kama anasisitiza uwepo wa utawala bora, sheria katika ngazi zote za Serikali,” External link

mwananchi Saturday, June 8, 2019 12:35:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : “Nashukuru serikali kwa kujenga maabara hii, lakini naviomba vyombo vya ulinzi na usalama visinifinye sana, najua RC Gambo ameshasema mara nyingi mimi ni rafiki yake sikatai, lakini tufanye maendeleo kwa sababu bado nina likizo ndefu ya kutohudhuria bungeni hadi mwakani,” External link

habarileo Tuesday, April 30, 2019 6:31:00 PM EAT

Godbless Lema alisema : “Spika kama alifikiri ananidhalilisha hajafanikiwa kwani mimi kudaiwa sio dhambi na nitaendelea kukopa” External link

mwananchi Friday, April 5, 2019 10:54:00 AM EAT

Godbless Lema alisema : “Roho ya mwenendo wa nchi inategemea uimara wa Bunge, sasa amesema Bunge ni dhaifu, ni kweli, na mimi kama mbunge wa vipindi vitatu nathibitisha hilo,” External link

habarileo Friday, April 5, 2019 10:52:00 AM EAT

Godbless Lema alisema : “Roho ya mwenendo wa nchi inategemea uimara wa Bunge, sasa amesema Bunge ni dhaifu, ni kweli, na mimi kama mbunge wa vipindi vitatu nathibitisha hilo. Mheshimiwa, na mimi mbunge wa vipindi viwili, nathibitisha Bunge hili ni dhaifu” External link

habarileo Wednesday, April 3, 2019 9:13:00 AM EAT

Godbless Lema amesema ( about Halima Mdee ) : "Alichokisema Mdee naungana naye na nikweli kuwa Bunge ni dhaifu," External link

mwananchi Tuesday, April 2, 2019 12:57:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : "Tumemaliza safari ya kumpumzisha Mama Tryphosa Sanga ambaye ni Dada wa Mh Peter Msigwa na ambaye pia ni Mama Mkwe wa mtoto wa Mh Rais John Magufuli, Hivyo nimempa pole pia Mh John Magufuli na Familia yake kwa msiba huu" External link

jamiiforums Monday, April 1, 2019 10:14:00 PM EAT

Godbless Lema amesema ( about Zitto Kabwe ) : “Lengo letu ni kuwaona mnatutawala kwa haki na ndio maana ya upinzani lakini leo hii chuki inajengwa leo kiongozi mmoja M-NEC anasema Lissu (mbunge wa Singida Mashariki) akitua ashambuliwe,” “Leo mwenyekiti (Mussa Azzan Zungu), Zitto hayuko bungeni tumemuondoa juzi alikuwa anafuatiwa usiku kwa kazi za kibunge sio za kuuza madawa ya kulevya si za kubaka watoto ni kazi za kibunge” External link

jamiiforums Friday, February 8, 2019 6:26:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : “Mtafanya mtakachoweza kufanya, tunaweza tusirudi bungeni tena, mkasema tutamuweka mtu wetu atalinda utawala uliopita. Utawala uliopita haulindwi,” External link

Godbless Lema amesema ( about Zitto Kabwe ) : “Lengo letu ni kuwaona mnatutawala kwa haki na ndio maana ya upinzani lakini leo hii chuki inajengwa leo kiongozi mmoja M-NEC anasema Lissu (mbunge wa Singida Mashariki) akitua ashambuliwe,” “Leo mwenyekiti (Mussa Azzan Zungu), Zitto hayuko bungeni tumemuondoa juzi alikuwa anafuatiwa usiku kwa kazi za kibunge sio za kuuza madawa ya kulevya si. za kubaka watoto ni kazi za kibunge” External link

mwananchi Friday, February 8, 2019 6:22:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : “Mimi eti wanasema kuwa nina maduka 10 ya kubadilisha fedha. Namuomba Mungu anipe. Usalama unawaingiza chaka,” External link

mwananchi Monday, February 4, 2019 8:14:00 PM EAT

Godbless Lema amesema ( about Assad ) : “Kuna wenge la hatari sana. Mpaka hujui nani mkubwa na nani mdogo, ukiharibu utawala bora hakuna kingine. Sio msingi tena katika nchi ni dhahiri kabisa kuwa CAG Assad pamoja na kulindwa na Katiba na sheria bado anaweza akavaa pingu kama Spika alivyosema,” External link

jamiiforums Monday, January 7, 2019 11:07:00 PM EAT

mwananchi Monday, January 7, 2019 10:18:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : “Hakuna wa kuniondoa ubunge wa Arusha Mjini. Kinachozungumzwa nakisikia ni vile tu nimeamua kubadili siasa zangu kwa kuacha kuwajibu maana kila wanapogombana na mimi wanapanda vyeo,” External link

mwananchi Sunday, January 6, 2019 6:29:00 PM EAT

Godbless Lema amesema : “Tofauti ya mwaka na siku katika maisha haisababishwi na kalenda yake bali wanapaswa kuwa na fikra tofauti kwa mambo ya msingi yaliyoshindikana mwaka 2018,” External link

mwananchi Tuesday, January 1, 2019 5:00:00 PM EAT

Godbless Lema ameandika : “Mitandao ya kijamii ni kama chakula hivyo unahitaji diet kwa ajili ya afya ya akili. Kuna wakati mambo muhimu yanayohusu haki hayapati kipaumbele isipokuwa ile mijadala ya kipuuzi. Kwa wanachadema wote diet yetu sasa iwe viongozi wetu walioko mahabusu,” External link

mwananchi Friday, December 7, 2018 11:22:00 AM EAT

Godbless Lema aliandika : “Mheshimiwa Mbowe (Freeman- mwenyekiti wa Chadema) na mbunge Easter Matiko wako mahabusu. Mahakama inapaswa kujiondoa katika mkakati huu unaofanywa na mawakili wa Serikali wa kushambulia haki. Jaji Mkuu anapaswa kuingilia kati na mahakama ya rufaa kuitisha jalada haraka la kesi hii. Ukimya ni hatari kwa uhuru wa Mahakama,” External link

mwananchi Wednesday, December 5, 2018 5:28:00 PM EAT

Godbless Lema alisema : “Huu ndiyo wakati muafaka wa kupata viongozi shupavu, na pia kujua tofauti kati ya wanaume na wavulana, wavulana wanaokubali kurubuniwa kwa fedha na ahadi ya vyeo ila wanaume watabaki katika chama,” External link

raiamwema Thursday, September 7, 2017 3:04:00 AM EAT

Godbless Lema alieleza : “Najiuliza kwa mamlaka aliyopewa Rais siku akija mtu si mzalendo kama Magufuli nataka kuamini hivyo akatokea hata upande huu hata Chadema kwa sababu huku hakuna malaika au akitokea CUF nako hakuna malaika, akatokea rais si mwaminifu na amepewa mamlaka kubwa ya kusimamia rasilimali basi atauza Taifa hili,” External link

mtanzania Wednesday, August 2, 2017 10:11:00 AM EAT

Godbless Lema alihoji : “Sasa, hivi unawezaje kuwalazimisha Maternity Afrika wasinilete mimi wakati kwenye mkataba wa hili eneo mimi na ArDF ndiyo wasimamizi wa mradi?” External link

mtanzania Wednesday, October 19, 2016 9:21:00 AM EAT

Godbless Lema said ( about Deputy Speaker ) : "We believe the coming of the Speaker - who has shown political maturity - will change the way the House conducts its business," External link

allafrica Monday, September 19, 2016 11:15:00 AM EAT

Godbless Lema alisema : “Lakini ningependa Diwani Bananga angeenda mahabusu siku 14 ili atusaidie kuhamasisha maandamano huko gerezani. Tupo tayari kwa ajili ya mauti na si magereza,” External link

mtanzania Saturday, August 27, 2016 11:40:00 AM EAT

Godbless Lema alisema : “Hivi sasa Gambo amekuwa akiagiza kubatilishwa kwa baadhi ya mambo yanayoamriwa na baraza la madiwani. Hivi karibuni ameagiza eti Takukuru wafanye uchunguzi wa baadhi ya mambo ikiwamo posho za madiwani,” External link

mtanzania Tuesday, August 2, 2016 1:24:00 PM EAT

Godbless Lema said : “I pray to God to accord him perseverance. I believe it is because of drunkenness because if it were about Lugumi, we would have seen action taken earlier” External link

nation-ke Monday, June 13, 2016 10:35:00 AM EAT

Godbless Lema said : "I pray to God to accord him perseverance. I believe it is because of drunkenness because if it were about Lugumi, we would have seen action taken earlier" External link

allafrica Sunday, May 22, 2016 7:43:00 PM EAT

allafrica Saturday, May 21, 2016 7:56:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
legislator8.00%EN11/23/201623/11/2016
mbunge wa arusha24.00%SW11/04/201604/11/2016
mp32.00%EN10/24/201624/10/2016
mwenyekiti4.00%SW09/24/201624/09/2016
lawyer16.00%EN09/04/201604/09/2016
mbunge4.00%SW06/17/201617/06/2016
shadow home affairs minister12.00%EN06/13/201613/06/2016
Names Lang Count
Godbless LemaSW61.00%
Godbless LemaEN39.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, August 8, 2020

6:34:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Joseph Selasini alisema ( about Godbless Lema ) : “Ni jambo la kushangaza, ni kawaida wabunge wakati kikao cha Bunge kikiendelea kutoka nje na kurudi. Sisi uamuzi wetu wa kutoka ilikuwa kumsindikiza mwenzetu (Lema), tulikuwa tunarejea bungeni lakini tukazuiwa katika ukaguzi tukasikia Spika akitoa tangazo tusirudi. Huwezi kumzuia mbunge kutoka na kuingia bungeni. Ni jambo la ajabu sana na amelianzisha yeye” External link

mwananchi Monday, April 8, 2019 12:50:00 PM EAT

John Mnyika amesema ( about Godbless Lema ) : “Na kanuni ya 8(a) ya bunge hili inakutaka mheshimiwa spika uendeshe bunge hili bila chuki, bila upendeleo wowote. Mheshimiwa Lema baada ya kusema kuwa bunge ni dhaifu, kinyume na kanuni ya 5(1) ya bunge, kinyume na kanuni ya 5(2) ya bunge, kinyume na kanuni ya 8(a) ya bunge Naibu spika akaamuru Lema apelekwe kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge badala ya kuambiwa afute kauli yake ama alete ushahidi” External link

jamiiforums Thursday, April 4, 2019 11:01:00 PM EAT

Job Ndugai alisema ( about Godbless Lema ) : “Huko alipo Lema akiropoka atarudishwa tena katika maadili (kamati ya Bunge). Huyu mtu ana uhakika kuwa hachaguliki kabisa, kama anajua hali ndiyo hiyo na yale niliyosema jana (kukopa fedha) utaacha kupata matatizo kidogo?, lazima utachanganyikiwa kidogo. Demokrasia ni kusikilizana wabunge,” External link

mwananchi Thursday, April 4, 2019 12:29:00 PM EAT

Job Ndugai said ( about Godbless Lema ) : "I want this issue to end today, so I order the Privileges, Ethics and Powers Committee to meet with Lema today and present the verdict to the Parliament tomorrow," External link

theCitizen Wednesday, April 3, 2019 2:45:00 PM EAT

Job Ndugai said ( about Godbless Lema ) : "I didn't want to reveal this, but let me do. Lema owes (bank) some Sh644 million. He has struggled to repay to lower his debt to Sh419 million," External link

Charles Mkumbo alisema ( about Godbless Lema ) : “Tunamshikilia Lema na hatutampa dhamana mpaka tumalize kumhoji. Kuna masuala tulikuwa hatukumhoji juzi na akimaliza kuhojiwa leo (jana), tutampeleka mahakamani,” External link

mtanzania Friday, November 4, 2016 10:53:00 AM EAT

Zitto Kabwe alisema ( about Godbless Lema ) : “Ndugu yangu Lema, nashauri punguza munkari. Juhudi zako Arusha haziwezi kufutika kirahisi. Nakushauri kaa chini na Mkuu wa Mkoa wako mpige mstari muanze kazi upya kwa pamoja. Viongozi jiepusheni kuonyesha hasira zenu hadharani. Sio hekima,” External link

mtanzania Thursday, October 20, 2016 12:17:00 PM EAT

Мария Габриел explained ( about Godbless Lema ) : "Lema has been circulating written and audio statements through the internet and social media platforms insinuating that the country will be plunged into bloodshed once the opposition's planned countrywide demo kicks into action," External link

allafrica Tuesday, August 30, 2016 2:37:00 PM EAT

Charles Mkumbo explained ( about Godbless Lema ) : "Lema has been circulating written and audio statements through the internet and social media platforms insinuating that the country will be plunged into bloodshed once the opposition's planned countrywide demo kicks into action," External link

allafrica Tuesday, August 30, 2016 9:32:00 AM EAT

AfricaBrief