Sudan Kusini

Last updated on 2014-01-30T10:27+0300.Key Titles and Phrases Count Lang Last Seen
jenerali100.00%SW12/10/201310/12/2013
Names Lang Count
Sudan KusiniSW100.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Saturday, January 29, 2022

10:12:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

Quotes... Extracted quotes about

Hussein Bashe amesema ( about Sudan Kusini ) : “Kuanzia sasa tumeamua kudevelop infrastructure (kutengeneza miundombinu) katika nchi tunazo tambua kuna masoko. Tunavyoongoa sasa tumefungua ghala kubwa Sudan Kusini, litatumiwa na serikali na Sekta Binafsi,” External link

habarileo Saturday, November 20, 2021 8:27:00 PM EAT

Hussein Bashe alisema ( about Sudan Kusini ) : "Serikali imeanza utaratibu wa kujenga na kukodi maghala katika nchi ambazo zina masoko ya mazao kama vile Sudan Kusini, DRC na Kenya, tunaenda kuweka maghala katika nchi hizo ili Bodi ya Mazao Mchanganyiko (CPB) na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) waweke mazao hayo kwenye maghala hayo na kuyauza," External link

habarileo Tuesday, October 5, 2021 1:33:00 AM EAT

Sudan Kusini alisema ( about Sudan Kusini ) : “Sampuli zangu zilichukuliwa siku chache zilizopatikana na leo nimepatikana na ccorona…kwa hiyo ninawaomba raia wote wa Sudan Kusini kwenda kupimwa, hii ni muhimu ili tupunguze kusambaa kwa virusi kwa watu wengi,” External link

mtanzania Tuesday, June 2, 2020 1:58:00 PM EAT

Sudan Kusini amesema ( about Sudan Kusini ) : ''Sampuli zangu zilichukuliwa siku chache zilizopatikana na leo nimepatikana na ccorona...kwahiyo ninawaomba raia wote wa Sudan Kusini kwenda kupimwa , hii ni muhimu ili tupunguze kusambaa kwa virusi kwa watu wengi'' External link

bbc-swahili Sunday, May 31, 2020 5:39:00 PM EAT

Andy Tatem anasema ( about Sudan Kusini ) : "Kuna uwezekano mkubwa kuwa zitakua ni nchi hizo za Pacific Kusini , visiwa vilivyo maeno ya mbali ,ninaweza kubeti kwa pesa kuhusu hilo ," External link

bbc-swahili Friday, April 3, 2020 6:21:00 PM EAT

Cyril Ramaphosa alisema ( about Sudan Kusini ) : "Mkutano tutakaouandaa utatakiwa kufikiria hatua madhubuti ambazo sisi kama waafrika tunatakiwa kuzichukua ili kumaliza mizozo na vitendo vya ugaidi vinavyojitokeza kwenye mataifa na kanda mbali mbali kama za Sahel, ambavyo kwa sasa vinasambaa kwenye maeneo mengine ya Kusini mwa Afrika pia" External link

deutschewelle-kisiwahili Monday, February 10, 2020 3:08:00 PM EAT

Jakaya Kikwete alieleza ( about Sudan Kusini ) : “Mzee Moi alijitoa sana katika kutatua migogoro katika ukanda wetu huu ikiwemo Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Lakini pia alisaidia kupatikana kwa uhuru wa Sudan Kusini. Alijali amani ya EAC na tutamkumbuka kwa mema mengi ikiwemo kujenga uhusiano mzuri kati ya Kenya na Tanzania na nchi zingine na alikuwa mshauri mzuri,” External link

habarileo Wednesday, February 5, 2020 9:39:00 AM EAT

Charlie Yaxley amesema ( about Sudan Kusini ) : “UNHCR inaamini kwamba ni muhimu kwa wawakilishi kutoka jamii za wakimbizi na wakimbizi wa ndani, kushiriki kikamilifu katika mchakato wa amani. Mkataba wowote wenye ushawishi ni lazima ujumuishe mawazo bayana nay a wazi kwa ajili ya upatanisho. Mbinu za kupata haki lazima ziwe wazi na za kuaminika. Wasudan Kusini wengingi wametawanya Zaidi ya mara moja, na Imani yao katika mchakato huu ni muhimu sana ili ufanikiwe” External link

unmultimedia Tuesday, July 9, 2019 6:30:00 PM EAT

Rais Uhuru Kenyatta alisema ( about Sudan Kusini ) : “Viongozi wa ngazi za juu Afrika na ulimwenguni akiwamo Papa Mtakatifu Francis wameahisi msaada wao katika kutafutia Sudan Kusini amani ya kudumu baada ya kipindi kirefu cha mgogoro wa kisiasa; ishara ya ulimwengu mzima kutaka umoja, amani na Sudan Kusini dhabiti,” External link

tuko Tuesday, July 2, 2019 4:05:00 PM EAT

Bashiru Ally amesema ( about Sudan Kusini ) : “Hali ilivyo hivi sasa Afrika Kusini nchi ambayo Waafrika wenyewe walipaswa kushirikiana baada ya uhuru na badala yake wanafukuzana haya ni mambo yanayoumiza sana kwa sababu, Afrika ni moja,” External link

mwananchi Friday, April 26, 2019 3:41:00 PM EAT

AfricaBrief