Fahmi Dovutwa
Last updated on 2014-04-20T17:17+0300.

About this image

Extracted quotes from
Fahmi Dovutwa said
(
about John Magufuli
)
:
“That is an opportunity for CCM to raise money because each member of the party wants to try his/her luck. And this is due to the changes made by President Magufuli to fight against corruption within his party, particularly during elections like now,”
theCitizen Friday, July 17, 2020 3:00:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa alisema
:
“katika mwaka ambao upinzani umechemsha ni mwaka huu. Nimebembeleza sana hii hoja ya kuungana nimekwama. Huu ni msiba kabisa”
mwananchi Wednesday, February 26, 2020 5:17:00 PM EAT

Fahmi Dovutwa aliongeza
:
“Kwa mbio mlizopo nadhani mnakaribia Magogoni. Mbowe ana viwango vya kimataifa, kwa mwaka 2020 Chadema ndiyo kinategemewa kutwaa nchi,”
mwananchi Thursday, December 19, 2019 4:28:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa amesema
(
about Freeman Mbowe
)
:
“Kwa mazungumzo aliyoniambia Mbowe, akasema sasa wanaona ni bora kufanya siasa kuliko mikutano ya hadhara. Mimi namwambia endelea,”
mwananchi Wednesday, December 18, 2019 3:50:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa amesema
:
"Wanachama wote mjiandae na uchaguzi wa chama mwishoni mwa Desemba utakaofanyika mkoani Dar es Salaam. Maandalizi yake yameshakamilika. Msipokee taarifa mtu mwingine isipokuwa ofisi kuu za Dar es Salaam,"
mwananchi Thursday, December 5, 2019 4:47:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa amesema
:
"Wanachama wote mjiandae na uchaguzi wa chama mwishoni mwa Desemba utakaofanyika mkoani Dar es Salaam. Maandalizi yake yameshakamilika. Msipokee taarifa mtu mwingine isipokuwa ofisi kuu za Dar es Salaam,"
mwananchi Thursday, December 5, 2019 3:26:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa alisema
:
“Nadhani siku hizi anasukumwa na upepo badala ya kusukumwa na utendaji,”
mwananchi Sunday, November 3, 2019 10:27:00 AM EAT
Fahmi Dovutwa Amesema
(
about Tume Huru
)
:
“Hivi karibuni, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa marudio katika kata 32 unaotarajiwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2019. Baada ya tangazo hilo la NEC tumeshuhudia Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali nchini wakiviandikia vyama vya siasa barua juu ya mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu na katika barua hizo wametia saini kama wasimamizi wa uchaguzi huo”
jamiiforums Monday, June 3, 2019 1:15:00 AM EAT
Fahmi Dovutwa Ameongeza
:
“Mara baada ya uamuzi huo wa Mahakama Kuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali alisikika na kunukuliwa kwenye vyombo vya habari mbalimbali akitoa kauli kuwa serikali imewasilisha kusudio la kuukatia rufaa uamuzi huo wa Mahakama Kuu, ingawa sasa, kwa taarifa tulizonazo, hadi uchaguzi huo wa marudio unatangazwa na NEC, Serikali haijawasilisha rufaa yake mahakamani wala ombi la kisheria la kusitisha utekelezwaji wa hukumu hii ya Mahakama”
jamiiforums Monday, June 3, 2019 1:15:00 AM EAT
Fahmi Dovutwa Amesisitiza
:
“Tumekubaliana baada ya kufanyika mashauriano ya kina na wanaharakati waliofungua kesi (Wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe) kuwapa ushirikiano wa kina ili waweze kuwasilisha shauri Mahakama Kuu la kuikazia hukumu ya Mahakama na kuitaka Mahakama kuichukulia hatua Tume ya Taifa ya uchaguzi kwa kitendo chake cha kuidharau Mahakama.”

“Hatua ya Spika kutangaza kwamba CAG akamuombe radhi Rais anataka kumchanganya Rais katika mgogoro wake, atuambie anataka Rais afanye nini. Baada ya kuona ushauri wake hausikilizwi yeye angeshuka si kung’ang’ania na kugonganisha taasisi…ajiuzulu,”
mtanzania Tuesday, April 16, 2019 11:28:00 AM EAT
Fahmi Dovutwa amesema
(
about Job Ndugai
)
:
"Kutangaza kwamba CAG akitaka aende akamuombe radhi Raisi. Hili nalo ni mkanganyiko. Sasa (Spika Ndugai) anataka kuingiza mgogoro baina ya ofisi ya raisi na bunge. Ni mgogoro ambao hauna ulazima. Labda atuambie yeye Spika anataka Raisi afanye nini... kitendo cha spika kugonganisha bunge na raisi ni kushindwa kazi na ajiuzulu,"
bbc-swahili Monday, April 15, 2019 4:43:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa alihoji
:
“Hali itakuwaje, siku msajili amekwenda kwao Muleba huko, ameandika tangazo huko, kuanzia leo Rais si mwanachama, akatuma katika mtandao? Nchi itakuwaje?”
mwananchi Wednesday, January 16, 2019 2:13:00 PM EAT
Fahmi Dovutwa alisema
:
“Hiyo ni kauli ya kawaida, mtu si anaweza kujitangaza tu? Angekuwa amepitishwa na chama, kweli tungesema. Kwa sasa ajenda yetu ni muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa,”
mwananchi Friday, December 28, 2018 9:16:00 AM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
mwenyekiti wa updp | 100.00% | SW | 01/16/201416/01/2014 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Fahmi Dovutwa | SW | 60.00% |
Fahmi Dovutwa | EN | 40.00% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 5.40% |
![]() | Democratic Party | 4.68% |
![]() | Freeman Mbowe | 2.88% |
![]() | Edward Lowassa | 2.16% |
![]() | New Labour | 2.16% |
![]() | John Mnyika | 1.80% |
![]() | Peoples Democratic Party | 1.80% |
![]() | Rais Magufuli | 1.80% |
![]() | Job Ndugai | 1.44% |
![]() | Zitto Kabwe | 1.44% |
![]() | Tundu Lissu | 1.44% |
![]() | James Mbatia | 1.44% |
![]() | Ibrahim Lipumba | 1.44% |
![]() | Jakaya Kikwete | 1.44% |
![]() | Chama Cha | 1.44% |
![]() | Waziri Mkuu | 1.44% |
![]() | Abdul Kambaya | 1.08% |
![]() | John Mrema | 1.08% |
![]() | United Front | 1.08% |
![]() | Civic United Front | 1.08% |
![]() | Peter Elias | 1.08% |
![]() | John Cheyo | 1.08% |
![]() | John Shibuda | 1.08% |
![]() | Queen | 1.08% |
![]() | Afrika Mashariki | 1.08% |
![]() | Kassim Majaliwa | 1.08% |
![]() | Democratic Change | 1.08% |
![]() | Anna Mghwira | 1.08% |
![]() | Samia Suluhu | 1.08% |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 1.08% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | Harold Sungusia | 0.018 |
![]() | Abbas Kandoro | 0.0169 |
![]() | Salum Mwalim | 0.016 |
![]() | Alfred Tibaigana | 0.0149 |
![]() | Peter Mziray | 0.0123 |
![]() | Hassan Doyo | 0.0118 |
![]() | Ramadhani Madabida | 0.0109 |
![]() | Ezekiel Wenje | 0.0103 |
![]() | John Magufuli | 0.0101 |
![]() | Eric Shigongo | 0.0085 |
![]() | Freeman Mbowe | 0.0079 |
![]() | Monica Mbega | 0.0075 |
![]() | Abdul Kambaya | 0.0069 |
![]() | Wilbrod Slaa | 0.0066 |
![]() | Edward Lowassa | 0.0058 |
![]() | Wilbroad Slaa | 0.005 |
![]() | John Mnyika | 0.0048 |
![]() | Deodatus Balile | 0.0048 |
![]() | Adam Kimbisa | 0.0047 |
![]() | John Shibuda | 0.0046 |
![]() | New Labour | 0.0045 |
![]() | Peoples Democratic Party | 0.0045 |
![]() | Rais Magufuli | 0.0044 |
![]() | Issa Ponda | 0.0043 |
![]() | Absalom Kibanda | 0.0042 |
![]() | Joel Bendera | 0.0041 |
![]() | Job Ndugai | 0.004 |
![]() | Ibrahim Lipumba | 0.004 |
![]() | Anna Mghwira | 0.004 |
![]() | Zitto Kabwe | 0.0039 |

Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.