Taifa Stars
Last updated on 2015-03-16T16:16+0300.

About this image

Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
captain | 12.50% | EN | 17/10/2016 |
assistant coach | 75.00% | EN | 16/03/2015 |
head coach | 12.50% | EN | 28/02/2014 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Taifa Stars | EN | 86.15% |
Taifa Stars | SW | 10.77% |
Taifa Stars | FR | 2.69% |
Taifa Stars | DE | 0.38% |


Tools
Sunday, May 22, 2022
11:55:00 AM EAT
Select your languages
Explore Relations
Extracted quotes about
Kim Poulsen amesema
(
about Taifa Stars
)
:
“Maandalizi yamekwenda vizuri, wachezaji wana morali kubwa na wanafurahia kuwa pamoja kwenye familia ya Taifa Stars,”
mtanzania Wednesday, November 10, 2021 6:37:00 PM EAT
Kassim Majaliwa amesema
(
about Taifa Stars
)
:
“Viongozi wa kamati ya hamasa ya Taifa Stars kwa kushirikiana na TFF hakikisheni mnaisimamia timu vyema, wachezaji wale vizuri na wafanye mazoezi na wapewe kila kinachohitajika ili kujihakikishia tunapata ushindi,”
mtanzania Friday, November 5, 2021 5:00:00 PM EAT
Hassan Abbasi said
(
about Taifa Stars
)
:
"The sport sector is strategical we are dealing it with strategies and today we celebrate on biggest achievement recorded by Taifa Stars, Twiga Stars and Cricket team after doing well in the international events,"
allafrica Monday, October 25, 2021 3:59:00 PM EAT
Kim Poulsen alisema
(
about Taifa Stars
)
:
“Mechi ya Libya ni mechi yetu ya kwanza ya kuanza safari ya kuijenga Taifa Stars mpya ambayo itakuwa bora kutokana na mseto mzuri wa wachezaji wakongwe na vijana,”
habarileo Tuesday, March 30, 2021 8:17:00 AM EAT
Kim Poulsen said
(
about Taifa Stars
)
:
“I was only recently appointed as Taifa Stars coach and I'm still trying to learn the strengths and weaknesses of my players. Our friendly match against Kenya would have helped me gauge my squad before we face Equatorial Guinea,”
thestarkenya Friday, March 19, 2021 2:43:00 PM EAT
Humphrey Polepole alisema
(
about Taifa Stars
)
:
“Huu wimbo tunamuomba Mungu abariki nchi hii ya Tanzania, huu wimbo hutambulisha nchi yetu ulimwenguni sambamba na jina la nchi yetu, bendera ya nchi yetu, wimbo huu ndio maana Taifa Stars wamefurahia kipindi kile wanakwenda Afcon (Kombe la Mataifa ya Afrika)na unapoimba wimbo ule si sala ya wote”
habarileo Thursday, August 6, 2020 3:17:00 PM EAT
Zdravko Logarusic alisema
(
about Taifa Stars
)
:
“Tumejiandaa kukabiliana na timu ya Taifa ya Tanzania, tumeiona katika mechi zao zilizopita ni timu ambayo ukikutana nayo inakupa changamoto nyingi ina makocha wapya ambao wanaijenga timu siku hadi siku, hatutaweza kuwadharau katika mechi ya kesho (leo) tutaingia kwa kutafuta matokeo,”
habarileo Sunday, September 22, 2019 12:36:00 PM EAT
Juma Kaseja alisema
(
about Taifa Stars
)
:
“Mpira ndio maisha yangu na ili nifanye vizuri nahitaji mazoezi hivyo naendelea na mazoezi ili kujiweka sawa kwani natamani Taifa Stars ifanye vizuri tufike mbali,”
habarileo Saturday, July 20, 2019 1:52:00 PM EAT
Charles Mkwasa alisema
(
about Taifa Stars
)
:
“Tumpe muda, pamoja na kufungwa lakini tumepambana. Taifa Stars kuifunga Senegal ingekuwa jambo kubwa,”
mwananchi Thursday, July 4, 2019 12:16:00 PM EAT
Paul Makonda aliandika
(
about Taifa Stars
)
:
“Hongereni sana Taifa Stars mmeitangaza nchi iwe kwa kufungwa au kutoka raundi ya kwanza. Kupitia nyie watu wameijua Tanzania,”
habarileo Wednesday, July 3, 2019 10:17:00 AM EAT
Hamisi Kigwangalla aliandika
(
about Taifa Stars
)
:
"Nitumie nafasi hii kukukaribisha Krepin Diatta kuja Tanzania kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambayo imetoka kutuzwa kuwa bora zaidi barani Afrika na Pori la Akiba kubwa zaidi Afrika, Selous. Tutagharamia safari yako hiyo,"
tuko Saturday, June 29, 2019 4:36:00 PM EAT
Rais Magufuli alisema
(
about Taifa Stars
)
:
"Makonda umesema ukienda Misri Taifa Stars tutashinda kutokana na motisha ya ushangiliaji, panda ndege nenda si umesema tutashinda nenda"
jamiiforums Friday, June 28, 2019 4:31:00 PM EAT
Rais Magufuli alisema
(
about Taifa Stars
)
:
"Makonda umesema ukienda Misri Taifa Stars tutashinda kutokana na motisha ya ushangiliaji, panda ndege nenda si umesema tutashinda nenda"
jamiiforums Friday, June 28, 2019 4:31:00 PM EAT
Juma Nkamia added
(
about Taifa Stars
)
:
“Taifa Stars, the national team, is the government team. The government has to invest money in the national team,”
phnompenhpost Thursday, June 27, 2019 7:17:00 AM EAT