Wilfred Lwakatare

Last updated on 2014-04-18T18:32+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Wilfred Lwakatare alisema : “Mtu mwenye ufahamu na maarifa ya siasa, atapata wakati mgumu kukifahamu Chadema, aidha ni chama cha kisiasa au kundi la mapambano lisilo na hoja. Kama matumanini yako ni kufanya siasa za kistaarabu, zenye ushindani wa kisera na hoja za msingi, hutabaki Chadema,” External link

habarileo Sunday, June 7, 2020 5:06:00 PM EAT

Wilfred Lwakatare alisema : “Ni ufinyu wa mawazo kumponda Rais anayejenga miundombinu ya barabara, kuishutumu serikali inayokusanya kodi, inayopambana na rushwa, ubadhirifu na ufisadi na inayojenga vituo vya afya, wodi za wagonjwa, reli na kuchimba bwawa la umeme. Chadema kingetafuta madai mbadala, si kuponda mambo ya msingi kimaendeleo,” External link

Wilfred Lwakatare alisema : ”alisema Lwakatare. Alisema akiwa Chadema alikisaidia chama kwenye nafasi aliyokuwa nayo na alitumikia kwa uadilifu na kwamba kwa sasa ameamua kurudi CUF na kadi yake ya uanachama wa CUF namba 104 aliyokuwa nayo tangu enzi za Muasisi wa chama hicho, James Mapalala, bado anayo na ataendelea kuitumia. “Ninaomba radhi sana kwa wanachama wa CUF, pale nilipokosea chama na nyie mnisamehe na mimi ninasamehe wote walionikosea ndani ya chama, naomba pia muwasamehe waliowahi kukikosea chama, tusigombanie vyeo, tujenge chama kwa sababu kushinda uchaguzi ujao ni suala la idadi ya kura, sasa tukiwa tumegawanyika hatuwezi kushinda,” External link

habarileo Sunday, May 31, 2020 3:49:00 PM EAT

Wilfred Lwakatare alisema : ”Pamoja na viongozi wote wa Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa ninawashukuru sana sana,” External link

mtanzania Wednesday, April 15, 2020 2:59:00 PM EAT

Wilfred Lwakatare alisema : “Sina deni na niliogombea nao, sina deni lolote na waliowahi kunishinda na niliowashinda, sina deni lolote. Naamini nimejenga upinzani makini na naacha upinzani makini ambao wanaweza kuongoza Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba,” External link

habarileo Wednesday, April 15, 2020 8:56:00 AM EAT

Wilfred Lwakatare amesema : “Najivunia sana kuwa upinzani na kuuimarisha upinzani katika kipindi chote nilichokuwa mbunge na ndani ya upinzani, naondoka nikiwa na furaha na amani nikiomba mbunge atakayekuja baada yangu aendeleze mafanikio haya,” External link

mwananchi Tuesday, April 14, 2020 6:20:00 PM EAT

Wilfred Lwakatare alisema ( about William Lukuvi ) : “Nasema hivyo kwa sababu Tanzania ni pana, sasa Lukuvi hawezi kwenda kila mahali. Ni vyema sasa tuangalie upya sheria na kanuni zetu za usimamizi,” External link

mtanzania Wednesday, August 14, 2019 7:45:00 PM EAT

Wilfred Lwakatare amefafanua ( about Ibrahimu Lipumba ) : “Gari langu niliegesha karibu na ofisi za CUF nilipofika, wakati naondoka walikuwa wamemaliza kongamano lao wakaomba nikamsalimie Profesa Lipumba, nikaingia ndani ya 'gate' sikuona tatizo,” External link

mwananchi Sunday, June 9, 2019 8:03:00 PM EAT

Wilfred Lwakatare amesema : “Kwa hiyo naleta hoja Mheshimiwa Mwenyekiti kwamba unikubalie hoja hii ili iweze kujadiliwa kwa maslahi mapana ya watu wa Bukoba ili hali inayoendelea ambayo imewaweka katika wasiwasi na kufikiria labda ule Mji umelaaniwa kutokana na matukio ambayo yanaendelea kutokea,” External link

mtanzania Tuesday, May 28, 2019 5:46:00 PM EAT

Wilfred Lwakatare alisema : “Mkulima wa Kagera yuko sawa na aliyepo Mtwara, wapo ambao hawajalipwa mpaka leo wanataka fedha iwanufaishe na si kupigana chenga, wanatakiwa wauze bila kuwapo migogoro kama ilivyojitokeza katika msimu huu,” External link

mwananchi Thursday, December 27, 2018 12:48:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
lawmaker25.00%EN09/26/201626/09/2016
mp25.00%EN09/12/201612/09/2016
minister25.00%EN05/23/201623/05/2016
defence and security director25.00%EN03/11/201411/03/2014
Names Lang Count
Wilfred LwakatareSW66.67%
Wilfred LwakatareEN33.33%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Wednesday, November 30, 2022

11:12:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief