Abdallah Ulega

Last updated on 2014-04-24T07:14+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Abdallah Ulega amesema : “Sasa naombeni muwe watulivu Serikali hii ni moja na mimi nikitoka hapa nitakwenda kuzungumza naye kwa kirefu mkurugenzi huyu kuhusu barabara hii, uzuri wenye lilishaanza kufanyiwa kazi lakini nitakwenda kutilia mkazo,” External link

mwananchi Thursday, January 2, 2020 7:10:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : "Spika hizi unaweza kuzichaji katika umeme, kutumia betri na sola. Zitapelekwa katika kata zote 25 za jimbo hili la Mkuranga," External link

mwananchi Sunday, November 10, 2019 6:28:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : "Pia ninatoa Sh10 milioni kwa ajili ya kutumika katika uchaguzi huu na ninakikabidhi chama wilaya. Fedha hizi nataka ziende katika matawi yote 247," External link

Abdallah Ulega amesema : “Wavuvi haramu wanaotumia milipuko hutumia mitungi ya gesi kuzamia kwaajili ya kukusanya samaki waliowaua kutokana na milipuko hiyo, athari za milipuko ni pamoja na kuharibu matumbawe na mazingira ya baharini kwenye maji ambayo ni mazalia na makulia ya samaki pamoja na viumbe wengine na hivyo kuhatarisha uendelevu wa rasilimali za uvuvi nchini,” External link

mtanzania Tuesday, November 5, 2019 3:14:00 PM EAT

Abdallah Ulega said ( about India Ocean ) : "Illegal fishing is now almost over in Tanzania after authorities succeeded in fighting against the deadly dynamite fishing in the country’s waters of the Indian Ocean and great lakes," External link

coastweek Tuesday, October 8, 2019 4:54:00 PM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Kama serikali itaongeza kasi kidogo ya kupanga na kurasimisha maeneo ya wilaya hii basi itakusanya kiasi kikubwa cha fedha maana Mkuranga imekuwa lango na kimbilio la wananchi kutoka Dar es Salaam kutokana na mkoa huo kujaa na mahali pekee pa kupumulia ni Mkuranga,” External link

habarileo Saturday, October 5, 2019 10:34:00 AM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Vyama vya ushirika ndiyo mdhamini wenu na ukizingatia nimezindua Wavuvi Akaunti iliyoanzishwa na Benki ya Posta (TPB) tunapokuwa na vyama imara vya ushirika mtakuwa na nguvu na kuweza kupata mikopo yenye masharti nafuu,” External link

habarileo Thursday, September 26, 2019 11:40:00 AM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Wamekuwa wanunuzi wa mazao ya mifugo na uvuvi hasa ngozi za sangara ambazo wanatengeneza dawa, wananunua mabondo, wananunua ngozi za punda na wamekuja na biashara ya mapembe ya ng’ombe na utumbo,” External link

mtanzania Monday, September 9, 2019 10:34:00 AM EAT

Abdallah Ulega affirmé : "La pêche illégale a désormais presque disparu en Tanzanie car les autorités de ce pays ont réussi à combattre la pratique dévastatrice de la pêche à la dynamite dans les eaux de ce pays sur l'océan Indien et dans les grands lacs" External link

french-news Tuesday, August 27, 2019 10:16:00 AM EAT

french.china.org.cn Monday, August 26, 2019 9:08:00 PM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Kama kiongozi nitaendelea kuhamasisha uchangiaji damu, kwani natambua thamani ya wenzetu waliopata ajali hiyo na ili wapate nafuu na kurejea kwenye majukumu yao ya kila siku, ni lazima kila mtu aguswe kwa nafasi yake,” External link

mtanzania Wednesday, August 14, 2019 11:08:00 AM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Magonjwa ni kikwazo kwa wafugaji wadogo. Tumetazama tatizo la maradhi na kusema tupambane nalo. Tunazalisha chanjo ya kideri na ukinunua ya shilingi 4,500 unawahudumia kuku 200 na kuwaokoa,” External link

habarileo Wednesday, August 7, 2019 10:35:00 AM EAT

Abdallah Ulega amesema : “Mafanikio haya yanatokana na kudhibiti uvuvi haramu hasa wa mabomu na tumefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90 na nawapongeza wavuvi wote hasa wa ukanda wa Pwani walishirikiana na Serikali na wananchi kuhakikisha tunapambana na uvuvi huo,” External link

mwananchi Monday, August 5, 2019 7:07:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : “Wale soko lao kubwa ni nje ya nchi na vilevile hapa ndani wanauza na vipo viwanda vingine baada ya uhakika wa malighafi na mkakati wetu wa kuhakikisha malighafi zinalindwa ni endelevu lakini ni shirikishi kwa sisi Serikali kushirikiana na wananchi ili kukuza uchumi,” External link

Abdallah Ulega alisema : “Makubaliano haya yanalenga kuhamasisha ulaji wa samaki na kuku ambao upo chini sana miongoni mwa Watanzania wengi,” External link

mtanzania Thursday, July 11, 2019 12:11:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : "kitambi ni dalili mojawapo ya uzito kupita kiasi hii si dalili njema, hupelekea magonjwa yasiyoambukiza" External link

jamiiforums Wednesday, May 29, 2019 3:29:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : "katika kupambana na kitambi nikujikinga kupunguza chakula cha wanga, sukari, chumvi, mafuta kwenye chakula, kunywa maji lita 1 na nusu na kupunguza unywaji wa pombe uliopitiliza" External link

Abdallah Ulega amesema : “Utoaji wa elimu kwa jamii kuhusu magonjwa haya kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo vipeperushi, redio, runinga, mitandao ya kijamii na nyinginezo ili kuongeza uelewa kwa jamii,” External link

mtanzania Wednesday, May 29, 2019 2:27:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : “Naomba niwahakishie Wabunge kazi inaendelea na sisi hatutarudi nyuma sisi kama wanadamu maoni yenu tutayafanyia kazi,” External link

mtanzania Wednesday, May 22, 2019 3:33:00 PM EAT

Abdallah Ulega alisema : "Wavuvi Serikali imesikia kilio chenu cha muda mrefu, hivyo imeruhusu uvuaji wa samaki kuanzia sentimita 85 na kuendelea, lakini bado mchakato unaendelea wa kuangalia namna gani ya kuruhusu samaki aina ya ngele, gogogo na furu na kuwekwa kwenye utaratibu wa sheria na kanuni" External link

jamiiforums Monday, May 13, 2019 12:50:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : "Sera ya uvuvi inaelekeza ushirikishwaji wa wananchi katika kusimamia rasilimali za uvuvi ambapo vimeanzishwa vikundi vya usimamizi shirikishi wa rasilimali za uvuvi," External link

mwananchi Wednesday, May 8, 2019 4:57:00 PM EAT

Abdallah Ulega amesema : “Tumeweka mikakati, kwanza kudhibiti mnyororo wa thamani kuanzia kumuandaa ng’ombe hadi kumchakata, kuna viwanda Pwani, Morogoro na tupo katika maridhiano na Serikali ya Misri na tutakuwa na kiwanda pale Ruvu,” External link

mwananchi Tuesday, April 9, 2019 2:39:00 PM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Nendeni mkafanye kazi za uvuvi bila kuwa na wasiwasi ila sheria kanuni na taratibu zifuate hakutokuwa na kiongozi wa aina yeyote ile atakayewasumbua,” External link

habarileo Thursday, February 21, 2019 10:03:00 AM EAT

Abdallah Ulega said : “Completion of the assessment will give us a clear picture of the stock of fish in the lake. Research findings will help us make decisions on whether to allow large scale commercial fishing in our waters,” External link

newtimes-RW Saturday, February 2, 2019 2:43:00 AM EAT

Abdallah Ulega said : "Completion of the assessment will give us a clear picture of the stock of fish in the lake. Research findings will help us make decisions on whether to allow large scale commercial fishing in our waters," External link

xinhuanet_en Friday, February 1, 2019 4:58:00 PM EAT

Abdallah Ulega said : "Fisheries officers must allow them to fish as the government has extended the licence renewal time for 2019," External link

allafrica Friday, January 18, 2019 9:16:00 AM EAT

Abdallah Ulega amesema : “Kwa kuzingatia hilo kila mtu anayeshughulika na shughuli za uvuvi anatakiwa kuwa na leseni halali ya uvuvi na leseni ya chombo anachotumia kwa ajili ya uvuvi,” External link

habarileo Thursday, January 17, 2019 10:46:00 AM EAT

Abdallah Ulega anasema ( about Rais Magufuli ) : “Tumefanya mambo mengi lazima nimshukuru sana Mheshimiwa Rais. Nimempelekea mambo kadhaa amenisaidia,” External link

habarileo Wednesday, January 9, 2019 11:32:00 AM EAT

Abdallah Ulega anasema : “Tumepata watoto wengi sana wanaoingia kidato cha kwanza tofauti na uwezo wa shule, lakini hili ni jambo jema sana na tutazisidi kujenga shule mpya na kuboresha zilizopo. Kwa mfano mwaka 2018 tulijenga shule mpya tatu za sekondari katika wilaya yetu na kuboresha zilizopo. Tumejenga pia Shule ya Msingi Kipala,” External link

Abdallah Ulega anasema : “Tuna zaidi ya Sh bilioni tatu ambazo zimetengwa kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji katika Wilaya ya Mkuranga” External link

Abdallah Ulega amesema : “Naagiza waliovamia na kufanya shughuli za kilimo na uwekezaji na kushindwa kufuga waondolewe. Nakuomba mkuu wa wilaya (Alhaj Adam Mgoi) weka siasa pembeni,” External link

mwananchi Tuesday, December 11, 2018 8:26:00 PM EAT

Abdallah Ulega said : “The declining fish catches could even be worse as the number of fishermen getting the licenses has risen to over 66,000 in 2016 from 56,000 in 2012,” External link

coastweek Friday, December 1, 2017 5:14:00 PM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Papai si haramu, ila kinachotokana na papai ndicho haramu ambayo ni pombe ya gongo. Sasa kama mtu katoa ardhi yake bure tupambane kupata viwanda maana ajira hakuna. Tupate Sido kubwa na siyo kuwaza mtu aliyetoa ardhi hiyo,” External link

mwananchi Wednesday, February 22, 2017 2:03:00 PM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Katika hili, naomba tuondoe itikadi zetu, wasiokuwa wana CCM na wanachama wa vyama vingine vya siasa, tuwe kitu kimoja ili tuweze kupata maendeleo kwa haraka,” External link

mtanzania Monday, October 10, 2016 11:40:00 AM EAT

Abdallah Ulega alisema : “Kwa kuwa leo umekuja, nimefarijika na ujio wako na naomba hatua za haraka zichukuliwe ili kuokoa vijana hawa,” External link

mtanzania Tuesday, August 2, 2016 2:07:00 PM EAT

Abdallah Ulega said : "I believe that a patriotic Tanzanian is one who pays tax, but it's important to provide education so that the public can comprehend the importance of paying taxes," External link

allafrica Friday, June 24, 2016 9:27:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
mbunge wa mkuranga12.50%SW10/10/201610/10/2016
mp25.00%EN10/07/201607/10/2016
legislator25.00%EN07/15/201615/07/2016
lawmaker12.50%EN06/24/201624/06/2016
kilwa district commissioner12.50%EN04/09/201409/04/2014
mwenyekiti12.50%SW02/19/201419/02/2014
Names Lang Count
Abdallah UlegaSW56.25%
Abdallah UlegaEN43.75%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Sunday, January 19, 2020

12:58:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief