Juma Mwambusi

Last updated on 2015-02-22T09:09+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Juma Mwambusi alisema : “Ushindi wa mchezo wetu uliopita umerudisha morali kikosini, nimewaambia vijana wangu wasahau yaliyopita tuendelee kuangalia michezo iliyo mbele yetu,” External link

habarileo Tuesday, April 20, 2021 9:04:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Tumesahau yaliyopita hivi asa tunaangalia mbele tunaenda kufanya nini ili kurudisha imani yetu kwa mashabiki wetu ambao wana kiu ya ubingwa,” External link

habarileo Saturday, April 17, 2021 5:35:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Mpira una matokeo ya kikatili sana lakini hatuwezi kukata tamaa tunarudi kujipanga upya ili tusiweze kuyarudia makosa yaliyojitokeza katika mchezo uliopita,” External link

habarileo Monday, April 12, 2021 9:37:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Tumekuwa katika kiwango bora ndio maana tumekuwa kileleni mwa msimamo kwa muda mrefu naamini tunaenda kuchukua pointi tatu dhidi ya KMC,” External link

habarileo Saturday, April 10, 2021 4:05:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Hizi ni taarifa njema kwa benchi la ufundi la Yanga, pamoja na mashabiki wa timu yetu ambao walikuwa na hamu ya kumuona Balama akirudi na kuendeleza mapambano,” External link

habarileo Monday, March 29, 2021 2:51:00 AM EAT

Juma Mwambusi said : "We are in top position and we need to maintain the position too, the only way is to win," External link

allafrica Friday, January 1, 2021 3:25:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Lengo la kufanya hivi lilikuwa kuwajenga fiziki na utimamu wa miili wachezaji wetu lakini baada ya taarifa ya mabadiliko ya mechi hiyo na urefu wa muda uliopo kabla ya kuja kucheza na Biashara United, nimetoa ruhusa kwa wachezaji kutumia muda mwingi kufanya mazoezi binafsi, nikiwa na maana yale ya timu yatakuwa yanafanyika kwa kipindi kimoja,” External link

mtanzania Thursday, October 8, 2020 10:05:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Niseme wazi kocha amekaa na timu kwa siku 20, unaona kabisa timu inabadilika na inatengenezeka taratibu na kuna muda tutaanza kutoa dozi goli 10, 8 siku chache zijazo,” External link

habarileo Tuesday, September 29, 2020 6:49:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Mapungufu yaliyojitokeza kwenye mchezo huu tunaenda kuyafanyia kazi na tutarudi tukiwa bora zaidi mchezo ujao dhidi ya Coastal Union,” External link

Juma Mwambusi alisema : “Unajua watu wengi wamekariri Carlinhos sio mzuri sana kwenye viwanja kama hivi, lakini tulikuja na mpango wa kumuanzisha kwenye mchezo tofauti na michezo iliyopita kwa sababu anaweza kutoa kitu cha tofauti cha kuinufaisha timu na ndicho alichokifanya,” External link

habarileo Monday, September 28, 2020 6:42:00 AM EAT

Juma Mwambusi amesema : “Wachezaji wasibabaike na presha kutoka kwa mashabiki na viongozi, wanahitaji utulivu na kocha Patrick Ausseums anatakiwa awajenge kisaikolojia vizuri, naamini watafanya vizuri kwa kuwa walishakutana na timu hiyo na wanaijua licha ya kupoteza” External link

habarileo Thursday, March 14, 2019 11:30:00 AM EAT

Juma Mwambusi amesema : "Siku zote mkakati wetu ni kupata ushindi kwenye mechi iliyo mbele yetu pasipo kuangalia tunacheza na nani. Tumejiandaa vyema kuhakikisha tunapata ushindi ili tuvuke kwenda hatua inayofuata," External link

mwananchi Tuesday, March 7, 2017 8:03:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Tumezungumza naye, kuna vitu vichache tumemwambia azifanyie kazi, nadhani tunavyozidi kwenda atakuwa hatari zaidi,” External link

mwananchi Wednesday, January 4, 2017 11:41:00 AM EAT

Juma Mwambusi alisema : “Tunapomaliza mchezo mmoja akili yetu tunaielekeza kwenye mchezo mwingine. Tumefanya maandalizi mazuri kwa ajili ya kuikabili Lyon. Tunategemea mechi itakuwa ngumu lakini malengo yetu ni kupata ushindi,” External link

mwananchi Friday, December 23, 2016 10:20:00 AM EAT

Juma Mwambusi said : "We could have scored more than five goals in the first half, but our strikers let us down and utilised only two chances. We will work on that in the next matches," External link

allafrica Monday, September 19, 2016 12:24:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
msaidizi wa yanga1.02%SW12/10/201610/12/2016
msaidizi2.04%SW11/29/201629/11/2016
assistant coach75.51%EN11/08/201608/11/2016
coach16.33%EN11/08/201608/11/2016
assistant4.08%EN06/15/201615/06/2016
head coach1.02%EN02/22/201522/02/2015
Names Lang Count
Juma MwambusiEN69.23%
Juma MwambusiSW28.21%
Juma MwambusiFR2.56%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, June 25, 2021

7:01:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief