Cedric Kaze
Last updated on 2015-02-24T12:36+0300.

About this image

Extracted quotes from
Cedric Kaze alisema
:
“Mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba tunaupa uzito mkubwa lakini kwa sasa wachezaji hawapaswi kuufikiria sababu tuna mechi mbili za Ligi Kuu kabla ya mchezo huo na tunapaswa kushinda ili kujiweka karibu na malengo yetu na baada ya hapo ndio tutaanza kufikiria namna ya kuikabili Simba,”
habarileo Wednesday, May 18, 2022 12:20:00 PM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Kipindi cha kwanza tulicheza vizuri na tulifanya mashambulizi mengi, lakini hatukuweza kuzitumia vizuri nafasi hata kipindi cha pili tulicheza vizuri kwa dakika 15, bado tatizo letu lilibaki kwenye umaliziaji ingawa tunashukuru pointi moja tuliyoipata itatusaidia katika safari yetu ya kusaka ubingwa,”
habarileo Monday, May 2, 2022 11:02:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Kwangu ukiacha ushindi lakini kiwango tulichokionesha nadhani inaweza kuwa mechi bora tangu kuanza kwa msimu huu, tuliutawala mchezo na kufanya tulivyotaka na kama tungekuwa na bahati basi pengine tungefunga zaidi ya mabao sita hadi saba, lakini nashukuru kwa tulichokipata na ninawapongeza wachezaji wangu,”
habarileo Monday, April 25, 2022 11:51:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Tumeona hata kwenye michezo miwili ya ligi tuliyokutana na Geita ni timu nzuri, tumeifunga lakini imetupa tabu sana naamini kama itaendelea kuwa hivi itaendelea kufanya vizuri kwenye michezo yake iliyobaki,”
habarileo Tuesday, April 12, 2022 11:49:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
"Mashabiki wanapaswa wajue kuwa hizi ni mechi za kirafiki za kujipima nguvu kuangalia uwiano wa wachezaji ambao tunao na kutufundisha kuelekea tunakokwenda, lakini naamini pia tukiwapata wachezaji walioko timu ya taifa na kurejea kamili kwa baadhi ya majeruhi kama Shabani Djuma, naamini tutakuwa na timu imara kuelekea mechi dhidi ya Azam,"
habarileo Thursday, March 31, 2022 1:57:00 PM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Ni jambo zuri kuanza na ushindi katika mchezo wa kwanza inakupa nguvu kwenye mchezo wa pili dhidi ya KMKM ambao naamini hautakuwa rahisi,”
habarileo Friday, January 7, 2022 7:30:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“tumerekebisha mapungufu yetu tuna imani tumejiandaa vizuri tutaonesha kiwango kizuri ili tupate pointi tatu,”
habarileo Friday, December 31, 2021 9:25:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Yanga inamalengo yake na malengo hayo yanafikiwa kutokana na juhudi za wachezaji uwanjani sasa nilazima tuwakumbushe hizi kila mchezo lazima wacheze kwa kujitoa siyo kuchagua mechi ya kucheza kwabidii na nyingine unacheza ilimradi,”
habarileo Wednesday, December 22, 2021 9:38:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Maandalizi yetu yamekwenda vizuri, hatuna majeruhi, tumepania kushinda mchezo wa keshokutwa (kesho) nia na uwezo tunavyo na hii ni kutaka kutimiza malengo yetu ya kubeba mataji yote msimu huu, na hilo linawezekana kutokana na ubora wa kikosi chetu,”
habarileo Friday, December 10, 2021 1:01:00 PM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Coastal walistaili ushindi, walicheza kwa bidii na kutimiza ipasavyo majukumu yao tofauti na sisi ambao nadhani tulikuwa na siku mbaya lakini ndio mpira unavyokuwa nakubali matokeo tuna mechi nyingine Jumapili (kesho) tunakwenda kujipanga kuhakikisha tunapata ushindi,”
habarileo Saturday, March 6, 2021 12:05:00 PM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Mtibwa ni timu yenye ushindani, kabla ya mchezo tulikuwa tunajua matokeo yatakuja kupatikana kipindi cha pili baada ya wachezaji kuchoka, kikubwa nashukuru wachezaji wangu hizi pointi tatu zitawapa nguvu kujipanga na michezo ijayo,”
habarileo Monday, February 22, 2021 3:19:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Watu wanajiita wachambuzi wa mpira wanaongea maneno ya kubeza mbinu zangu, ukinibeza mimi hamna shida, lakini nataka kuwaambia kwamba nimejifunza kwenye hii wiki na sikufika hapa kubadilisha utamaduni wangu au mtazamo wa watu,”
habarileo Monday, February 22, 2021 3:19:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Fiston ana muda mrefu hakucheza mpira ni vigumu kuonekana ubora wake kwenye mchezo mmoja nadhani ni hali inayowakuta wachezaji wengi, kikubwa ninachoweza kusema atakuwa msaada mkubwa kwenye eneo la mbele,”
habarileo Monday, February 8, 2021 8:48:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Tulitengeneza nafasi nane za wazi, wachezaji inawezekana walikuwa wamechoka kutokana na mazoezi magumu niliyowapa na naamini hadi kwenye mchezo wa Mbeya City tunaenda kuchukua pointi tatu,”
habarileo Monday, February 8, 2021 8:48:00 AM EAT
Cedric Kaze said
:
"We have gained something from this game because some of the players who rarely earn a chance in the first team were given the opportunity to play which helped to give them confidence,"
allafrica Friday, January 8, 2021 3:02:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Nimeshatoa majina ya wachezaji wawili, mmoja sehemu ya ushambuliaji na mwingine beki wa kati, ambaye ni mzawa, hawa nahitaji kupambana kuwapata kufuta baadhi ya kasoro ambazo naona zitaanza kujitokeza michezo zijazo,”
habarileo Sunday, January 3, 2021 10:09:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Kipindi cha kwanza tulifuata mchezo wao, malengo yetu yalikuwa ni kushambulia kupitia pembeni ili kupata nafasi ya kwenda kufunga, lakini kitendo cha kuwaacha kutangulia kutufunga walituharibia mbinu, kwani ilitakiwa kupambana kutafuta bao la kusawazisha,”
habarileo Saturday, January 2, 2021 5:51:00 AM EAT
Cedric Kaze said
:
"We faced a strong opposition in the match, but our players deserve credit. Ihefu played well as they forced us to play a defensive game in the early minutes of the game,"
allafrica Saturday, December 26, 2020 3:05:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Kwa michezo iliyopita wachezaji wamebadilika na kuonesha ushindani kwenye eneo la kufunga sehemu ambayo ilikuwa inaniumiza kichwa, tunajua Ihefu wamejipanga lakini malengo yetu ni kushinda ili kulinda rekodi yetu,”
habarileo Wednesday, December 23, 2020 6:56:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Nahitaji kupata wachezaji wawili wazoefu kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kikosi hilo nitalifikisha kwa viongozi,”
habarileo Monday, December 21, 2020 6:57:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
"Tunajua kuwa Ihefu FC siyo timu rahisi, tunahitaji kujiandaa ili kupata alama tatu lakini tunahitaji sapoti ya mashabiki wetu ili tushinde tuwape furaha,"
habarileo Monday, December 21, 2020 6:57:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Kushika kwetu nafasi ya kwanza ni dalili nzuri ya kutwaa ubingwa, mpaka sasa hatujapoteza mechi yoyote, tunahitaji kushinda mechi zetu ili tuweze kunyakuwa ubingwa, ambao sio kazi rahisi kutokana kila timu kuhitaji nafasi hiyo,”
mtanzania Monday, November 30, 2020 11:26:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Kocha yeyote duniani hafurahii kuona hivi, unaweza kuumwa hata miaka 40, napambana kuona hali hii inakwisha ili kwenye michezo inayokuja tupate mabao mengi,”
habarileo Friday, November 27, 2020 2:38:00 PM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Nashukuru wachezaji wote wapo katika hali nzuri na wanasubiri kwa hamu mchezo na Simba na walichonihakikishia ni ushindi tu, hivyo mashabiki wa Yanga waje kwa wingi uwanjani, hatutawaangsuha,”
mtanzania Friday, November 6, 2020 12:46:00 PM EAT
Cedric Kaze said
(
about Benjamin Mkapa
)
:
“We gained one point in the league and went top of the standings, We managed to maintain our unbeaten run and so far we have collected 10 points in the Lake Zone which is very good. Our focus is now on the encounter against Simba on Saturday at the Benjamin Mkapa Stadium,”
theCitizen Wednesday, November 4, 2020 11:16:00 AM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Najua ni kwanini wachezaji wangu wanashindwa kufuata ipasavyo maelekezo ninayowapa, kwanza ni presha ya kutaka kushinda mechi hilo ndio linasababisha wacheze kwa hofu ukizingatia ligi ya Tanzania inaushindani mkubwa sana, lakini hili sina wasiwasi nalo taratibu watashika na watafanya ninavyotaka,”
habarileo Monday, November 2, 2020 5:04:00 AM EAT
Cedric Kaze said
:
“We faced a strong opposition in the match, our players deserve credit because Biashara Mara United played well even though they were more defensive than offensive,”
theCitizen Sunday, November 1, 2020 11:08:00 AM EAT
Cedric Kaze said
:
“I want committed players in my team for the best results and not otherwise,”
theCitizen Thursday, October 22, 2020 12:34:00 PM EAT
Cedric Kaze alisema
:
“Nashukuru kwa sapoti niliyopata kutoka kwa timu, viongozi na mashabiki, hamuwezi kuamini watu wanapenda Yanga. Nimepata ujumbe nyingi kutoka ulimwenguni, watu wako Marekani, Ulaya na sehemu mbalimbali, sitaki kuongea mengi nasubiri kuanza majukumu yangu,”
habarileo Saturday, October 17, 2020 2:41:00 PM EAT
Cedric Kaze said
:
“I have experience in African football, I know players, I do not want them to be show-offs after a team leading a game. So, I want my players to maintain the level of performance from the start of the game to the end,”
theCitizen Saturday, October 17, 2020 1:16:00 PM EAT
Cedric Kaze said
:
“We need to score as many goals as we can, we need players to maintain the pace in any game because the champion is sometimes decided on goal aggregates or goal differences if there is a tie on points and results involving the two teams,”
theCitizen Saturday, October 17, 2020 1:16:00 PM EAT
Cedric Kaze amesema
:
“Maneo mengi sio yanayofanya kazi uwanjani, acha tungoje, tutumike sana, kuna watu wanatamani kuona vile tutaweza,”
habarileo Friday, October 16, 2020 5:15:00 PM EAT
Cedric Kaze amesema
:
“Naweza kuwaambia mashabiki wetu wajiandae kabisa kuisapoti timu tushirikiane najua kama tutafanya vitu vikubwa”
habarileo Friday, October 16, 2020 5:15:00 PM EAT
Cedric Kaze amesema
:
“Maneo mengi sio yanayofanya kazi uwanjani, acha tungoje, tutumike sana, kuna watu wanatamani kuona vile tutaweza,”
habarileo Friday, October 16, 2020 5:15:00 PM EAT
Cedric Kaze amesema
:
“Naweza kuwaambia mashabiki wetu wajiandae kabisa kuisapoti timu tushirikiane najua kama tutafanya vitu vikubwa”
habarileo Friday, October 16, 2020 5:15:00 PM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
entraîneur du burundi | 50.00% | FR | 02/24/201524/02/2015 |
coach | 50.00% | EN | 02/23/201523/02/2015 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Cedric Kaze | EN | 50.00% |
Cedric Kaze | FR | 50.00% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | Tanzania Bara | 20.81% |
![]() | Zlatko Krmpotic | 7.61% |
![]() | Juma Mwambusi | 7.11% |
![]() | Premier League | 6.09% |
![]() | Benjamin Mkapa | 5.58% |
![]() | Nelson Mandela | 4.57% |
![]() | SC | 3.55% |
![]() | Taifa Stars | 2.54% |
![]() | Hafidh Saleh | 2.03% |
![]() | John Bocco | 2.03% |
![]() | Farid Mussa | 1.52% |
![]() | Luc Eymael | 1.52% |
![]() | Fed Cup | 1.52% |
![]() | Benjamini Mkapa | 1.52% |
![]() | FA | 1.52% |
![]() | Hans Pluijm | 1.52% |
![]() | Julius Kambarage Nyerere | 1.02% |
![]() | Lake Zone | 1.02% |
![]() | Hussein of Jordan | 1.02% |
![]() | Cletus Chama | 1.02% |
![]() | Mustapha | 1.02% |
![]() | Salum Mayanga | 1.02% |
![]() | Carlos Fernandes | 1.02% |
![]() | Ekke Primauno | 1.02% |
![]() | Nizar Khalfan | 1.02% |
![]() | Julius Nyerere | 1.02% |
![]() | Afrika Mashariki | 1.02% |
![]() | George Lwandamina | 1.02% |
![]() | Francis Baraza | 1.02% |
![]() | Patrick Aussems | 0.51% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | Zlatko Krmpotic | 0.0605 |
![]() | Nizar Khalfan | 0.0408 |
![]() | Tanzania Bara | 0.0405 |
![]() | Juma Mwambusi | 0.0314 |
![]() | Charles Mkwassa | 0.0256 |
![]() | Hafidh Saleh | 0.023 |
![]() | Hans Pluijm | 0.0201 |
![]() | Benjamin Mkapa | 0.011 |
![]() | Boniface Mkwasa | 0.0097 |
![]() | Salum Mayanga | 0.0094 |
![]() | Didier Kavumbagu | 0.0081 |
![]() | Nelson Mandela | 0.0067 |
![]() | Cletus Chama | 0.0062 |
![]() | Taifa Stars | 0.005 |
![]() | SC | 0.0048 |
![]() | Francis Baraza | 0.0047 |
![]() | John Bocco | 0.004 |
![]() | Premier League | 0.0038 |
![]() | Charles Boniface Mkwasa | 0.003 |
![]() | Fed Cup | 0.0029 |
![]() | Benjamini Mkapa | 0.0029 |
![]() | Farid Mussa | 0.0028 |
![]() | Luc Eymael | 0.0026 |
![]() | Juma Mahadhi | 0.0025 |
![]() | Larry Bwalya | 0.0023 |
![]() | Julius Nyerere | 0.0021 |
![]() | Julius Kambarage Nyerere | 0.002 |
![]() | Afrika Mashariki | 0.002 |
![]() | George Lwandamina | 0.002 |
![]() | Yusuf Manji | 0.002 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.