Mbwana Samatta
Last updated on 2017-09-05T21:06+0300.

About this image

Extracted quotes from
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
striker | 62.50% | EN | 30/11/2016 |
captain | 37.50% | EN | 17/10/2016 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Mbwana Samatta | EN | 53.21% |
Mbwana Samatta | FR | 33.94% |
Mbwana Samatta | SW | 12.84% |


Tools
Tuesday, May 17, 2022
10:03:00 AM EAT
Select your languages
Explore Relations
Extracted quotes about
Marcio Maximo alisema
(
about Mbwana Samatta
)
:
“Mipango yangu ilikuwa ya baadaye na wala haikuwa ya wakati ule, baadaye walianza kuona matunda, ambapo wachezaji wote walikuwa nyota na kutakiwa kimataifa, Samatta alikuwa na kipaji kikubwa pamoja na baadhi ya watu kupinga, hata hapo alipojiunga na Simba, alikuwa na kipaji na kucheza nusu msimu na baadaye kujiunga na timu ya TP Mazembe,”
habarileo Monday, January 27, 2020 9:39:00 AM EAT
Harrison Mwakyembe alisema
(
about Mbwana Samatta
)
:
“Hakika serikali imefurahi kama Watanzania walivyofurahi, tunampongeza Samatta kwa juhudi zake, najua hakubahatisha ila kwa nidhamu yake ya hali ya juu ndio imemfikisha hapo, kitu ambacho kinawakwamisha vijana wengi wa Kitanzania,”
habarileo Wednesday, January 22, 2020 11:40:00 AM EAT
Harrison Mwakyembe alisema
(
about Mbwana Samatta
)
:
“Watu wasikimbilie masuala ya sanamu, tumuombee afanye vizuri kwanza, hata tukijenga sanamu lakini asipofanya vizuri Aston Villa haitaleta maana, alipofika Samatta sio kilele cha mafanikio tunataka awe Messi wa Dunia nyingine,”
habarileo Wednesday, January 22, 2020 11:40:00 AM EAT