Gerson Msigwa
Last updated on 2017-04-18T18:07+0300.

About this image

Extracted quotes from
Gerson Msigwa aliandika
:
“Kwa kweli kishindo ambacho Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amekisababisha katika sekta ya utalii ni kikubwa sana,”
mtanzania Friday, August 5, 2022 1:51:00 PM EAT
Gerson Msigwa aliandika
:
“Kwa kweli kishindo ambacho Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amekisababisha katika sekta ya utalii ni kikubwa sana,”
habarileo Friday, August 5, 2022 11:10:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisisitiza
:
“Hakuna taasisi ambayo inaweza ikaja ikaiamuru Tanzania kwamba usifanye kitu fulani..hatufanyi hivyo. Kama kuna shirika lina maoni au limefanya utafiti, utaratibu ni kwamba wanawasilisha maoni na utaratibu wao kwa serikali. Haliwezi likaja na kuiamrisha nchi ya Tanzania. Hii ni nchi huru. Huwezi kutuamrisha. Huo utaratibu haupo”
voanews-sw Sunday, July 17, 2022 4:54:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Ninachotaka kusema ni kwamba, serikali imeonesha dhamira sasa kwamba tunataka kwenda kupitia upya sheria na taratibu zote zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari,”
mtanzania Wednesday, July 13, 2022 9:55:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Wadau wameonesha nia ya kushirikiana na serikali, wadau na waandishi wa habari katika kuhakikisha tunaweka vizuri mazingira ya waandishi wa habari na vyombo vya habari,”
mtanzania Wednesday, July 13, 2022 9:55:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Kwanza niwapongeze OSHA kwa kazi nzuri ya kuhakikisha wanasimamia usalama mahali pa kazi wanayoifanya hivyo napenda kutoa wito katika eneo hili, watu wengi wakisikia OSHA wanakuwa na hofu lakini naomba tuwaone kama marafiki wa sehemu zetu za kazi kwakuwa wao ndio wanaokuja kutushauri ni vitu gani tuvizingatie tukiwa kazini ili tufanye kazi zetu na kurejea majumbani kwetu tukiwa salama,”
mtanzania Saturday, July 9, 2022 7:45:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Wakati mwingine tunaangalia sana gharama zinazotumika katika kushughulikia masuala ya usalama na afya lakini hatuangalii thamani ya kazi kubwa inayofanywa na OSHA kwenye maeneo yetu ya kazi hivyo ni lazima tutambue kwamba tukiwa na wafanyakazi wenye afya njema watazalisha zaidi na tutaokoa fedha nyingi zinazopotea katika matibabu ya wafanyakazi wanaoumia au kuugua kila mara pamoja na zile zinazotumika kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wapya,”
mtanzania Saturday, July 9, 2022 7:45:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Hivyo niendelee kuwapongeza OSHA najua mnafika katika maeneo mengi nasasa mnajulikana kila mahali kwasababu kazi yenu inaonekana na watu wanaanza kutambua. Niwaombe watanzania tuendelee kutoa ushirikiano ili majukumu haya yafanyike kikamilifu jambo ambalo ni muhimu sana kwani tukiwapa ushirikiano ndivyo wanavyoweza kutushauri na kutuongoza vizuri zaidi na hivyo tutapunguza sana athari zinazoweza kuwapata wafanyakazi katika maeneo yetu ya kazi,”
mtanzania Saturday, July 9, 2022 7:45:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“mimi sina taarifa yoyote kuhusu kuwepo kwa hiyo amri. lakini hakuna zuio lolote lililofanywa dhidi ya serikali kuendelea kufanya shughuli za uhifadhi. Kinachofanyika Loliondo kuweka alama ni moja ya majukumu ya kuhifadhi na halijafanyika Loliondo pekee”
voanews-sw Sunday, June 19, 2022 2:20:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“haya maneno yanayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, kama serikali yametusikitisha sana. Leo hii kama kuna mtu ana uthibitisho wa kuwepo majeruhi atuonyeshe. Hii maneno ya kusema wapo nchi jirani, ukishakwenda kwenye nchi nyingine kuna utaratibu wake na sheria zake na sisi kama serikali tuna mipaka ya kutoa huduma zetu kwa watu ndani ya mipaka yetu. Hatuwezi kutoka hapa na magari kwenda kwenye nchi nyingine. Hatufanyi hivyo”
voanews-sw Sunday, June 19, 2022 2:20:00 AM EAT
Gerson Msigwa said
:
"I want to make it clear that what we are doing in Loliondo is one of our responsibilities to conserve the environment," "And it's not only being done in Loliondo but all over the country, to show people where to stop in their human activities and where it's designated for wild animals. The area under contention, 1,500 square kilometers, is very important to the nation. It's a water catchment area. As a country, we must protect [the] interests of the nation"
kenyastar Saturday, June 18, 2022 5:38:00 PM EAT
Gerson Msigwa said
:
“I want to make it clear that what we are doing in Loliondo is one of our responsibilities to conserve the environment,” “And it’s not only being done in Loliondo but all over the country, to show people where to stop in their human activities and where it’s designated for wild animals. The area under contention, 1,500 square kilometers, is very important to the nation. It’s a water catchment area. As a country, we must protect [the] interests of the nation”
voanews Saturday, June 18, 2022 3:42:00 PM EAT
Gerson Msigwa said
:
“We are going to reserve the area and it is unfortunate that people are going against this,”
aljazeera-en Wednesday, June 15, 2022 11:58:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Dozi milioni nane kati ya milioni 11.2 hadi sasa zimeshatumika kuchanja watu, tujitokeze kuchanja, zaidi ya watu 800 wamepoteza maisha kwa ugonjwa huo na bado upo, tumegundua wengi wanapenda aina ya J&J hivyo tutaziongeza na tutawaambia waende kuchanja, ila aina nyingine za chanjo zipo nazo ni salama, nendeni mkachanje, yapo baadhi ya maeneo tunapeleka huduma za mkoba wanaohitaji watujulishe tutawafikia,”
habarileo Monday, June 13, 2022 10:27:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Hivyo tushirikiane kuutangaza na kuhamasisha Watanzania kutumia mfumo huu,”
habarileo Friday, June 3, 2022 5:44:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
"Serikali inatekeleza miradi mikubwa ya bandari katika mikoa ya Tanga, Mtwara na Dar es Salaam, hivyo twendeni tukawapashe habari wananchi kuhusiana na umuhimu wa miradi hiyo, ili waweze kuona jinsi serikali yao inavyowaletea maendeleo,"
habarileo Wednesday, May 11, 2022 4:31:00 PM EAT
Gerson Msigwa alifafanua
:
“Siku 365 za Rais Samia, ni siku zilizokuwa na mafanikio, tulikuwa tunahitaji kufanya kazi kwa uhuru na sasa uhuru upo. Wajibu wetu ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa uhuru bila kubugudhiwa,”
mtanzania Saturday, March 19, 2022 11:59:00 PM EAT
Gerson Msigwa noted
:
"That is why President Samia has been doing all that she can to ensure the blue economy agenda succeeds. Blue economy is also being implemented in the mainland Tanzania," "Most of the planned projects and programmes in both sides of the Union have been going on well,"
allafrica Friday, February 18, 2022 3:30:00 AM EAT
Gerson Msigwa said
(
about Commission
)
:
"Through Union and Zanzibar strong collaboration, the latter is benefiting from deep sea fishing authority, research institutions, National Identification Authority (NIDA), Police, Immigration, power utilities TANESCO/ZECO relations, and Tourism industry involving the Tanzania Tourist Board (TTB) and Zanzibar Tourism Commission,"
allafrica Friday, February 18, 2022 3:30:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Na tafsiri yake ni moja, uwekezaji umefanyika na uboreshaji huduma umefanyika katika mamlaka ya TPA na matokeo yanaanza kuonekana,”
habarileo Monday, February 14, 2022 2:10:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Ni nchi ambayo uhusiano wake na Tanzania una manufaa makubwa na tungependa uhusiano huu ukuzwe zaidi,”
habarileo Monday, February 14, 2022 11:18:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Hivi karibuni Tanesco walitoa tangazo la kuboresha umeme kwenye kisima cha Songosongo,tangazo likaleta taharuki ,tunataka kuwa na umeme wa uhakika na kinachofanyika ni matengenezo ya kawaida, tunaboresha kule Songosongo na kamwe uboreshaji huo hautaliingiza taifa kwenye giza,toeni hofu Watanzania,”
habarileo Monday, January 31, 2022 10:12:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Tatizo hili halitaingiza nchi yetu katika giza, maana kuwa watu wameshaaza tunaagiza siku 10, hapana haya ni mambo ya kawaida kwa Tanesco, tunakwenda kurekebishe hili tatizo la urekebishaji wa visima kule Songosongo na halitasababisha nchi yetu kuingia gizani,”
habarileo Sunday, January 30, 2022 5:50:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Wastani wa pato la Mwananchi wa Pwani limeongezeka kutoka Sh milioni 1.6 mwaka 2016 hadi milioni 2.1 mwaka 2019,”
habarileo Sunday, January 30, 2022 5:50:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Hapa Njombe serikali inaleta neema yani kutakuwa na ujenzi wa viwanda vya kuzalisha dawa na vifaa tiba pale Idofi Makambako. Tunajenga kiwanda cha kuzalisha soksi za mkononi na tunajenga viwanda vya kuzalisha vidonge na dawa za maji,”
habarileo Monday, January 17, 2022 10:30:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Ziara ya Rais Samia Burundi aliwaalika wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania ili kutatua changamoto ya mbolea kwa wakulima, sasa mwekezaji ameshaanza kuwekeza, lakini pia serikali inakusudia kukiimarisha kiwanda cha mbolea cha Minjingu ambacho kina uwezo wa kuzalisha tani 170,000 kwa mwaka ili kuongeza uzalishaji zaidi wa mbolea,”
habarileo Monday, January 17, 2022 10:30:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Kuna miradi inayoendelea kutekelezwa bila kusimama, kama ujenzi wa barabara ya Njombe Makete kilometa 107.4, ujenzi wa barabara nyingine ya Itoni Ludewa Manda (Km 211.42) kwa kiwango cha lami na zege, na ujenzi wa barabara za mjini,”
habarileo Sunday, January 16, 2022 6:05:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Serikali imefanya tathmini juu ya jambo hili na kubaini kuwa pamoja na mafundi wetu kuelemewa na maombi mengi ya watu pia kiwango cha shilingi 27,000 cha gharama za kuunganishia kimesababisha TANESCO kushindwa kumudu gharama maunganisho ,”
habarileo Sunday, January 16, 2022 5:19:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Changamoto kama kuanguka kwa nguzo, kuharibika kwa transfoma na wakati mwingine matengenezo ambayo yanafanywa na mafundi wetu ambayo yanalazimu umeme kukatwa ili kuruhusu matengenezo hayo kufanyika,”
habarileo Sunday, January 16, 2022 5:19:00 PM EAT
Gerson Msigwa alieleza
:
“Hadi Juni 10, mwaka huu, yaani kipindi cha miezi minne iliyopita Ofisa ya Msajili wa Hazina ilikuwa inasimamia mashirika 287 yanayojumuisha kampuni za biashara, taasisi 40 zinazomilikiwa na serikali na kampuni za nje ya nchi 10,”
habarileo Monday, November 1, 2021 3:36:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Kupitia fedha hizi wakulima wanaweza kulima kwenye eneo dogo wakapata mavuio mengi watatumia kilimo cha kisasa na kutunza mazao. Kwa sasa wakulima wanapoteza mpaka asilimia 30 hadi 40 ya mazao kwa sababu ya kutotunza mazao,”
habarileo Monday, November 1, 2021 1:09:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Unajua Tanzania sisi sio kisiwa tumeshaanza kupata madhara. Tumekua na madhara kama vile kuongezeka kwa mvua nyingi kupita kiasi, maziwa na bahari kumekuwa na ongezeko la maji, visiwa vinapotea. Zanzibar visiwa baadhi vimetoweka kwa sababu kina cha bahari kimeongezeka,”
habarileo Monday, November 1, 2021 1:09:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Fedha hizi zinakuja kwa sababu viongozi wetu wanashiriki kwenye mikutano kama hii,”
habarileo Monday, November 1, 2021 1:09:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Atazungumza na Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson na atahudhuria mkutano unaohusu viongozi wanawake,”
habarileo Monday, November 1, 2021 1:09:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Hivi ninavyoongea majokofu ya baridi kali 14 yenye uwezo wa kuhifadhi chanjo milioni 3.7 yameishafungwa pale jijini Dar es Salaam lakini kupitia Covax Facility tunatarajia kupata dozi milioni 11.8,”
mtanzania Monday, October 18, 2021 4:09:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Uamuzi wa Serikali kuunganisha mifuko ya Hifadhi ya jamii na kuunda PSSSF umeleta mafanikio makubwa. Wastaafu ambao wanalipwa Pensheni kila mwezi,wanalipwa pensheni zao kabla ya tarehe 25,”
habarileo Sunday, October 17, 2021 1:30:00 PM EAT
Gerson Msigwa stated
:
“The money will be used to finance medical equipment, training and the vaccines,”
thezimbabwemail Monday, June 7, 2021 8:10:00 PM EAT
Gerson Msigwa stated
:
“The money will be used to finance medical equipment, training and the vaccines,”
AfricaNews-English Monday, June 7, 2021 5:11:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Ujenzi wa Meli MvMwanza (Hapa Kazi Tu) umefikia asilimia 74 Na katika mwaka wa huu kuna mikataba tisa ambapo ujenzi wa meli mpya tatu zitajengwa katika maziwa makuu, meli mpya moja katika Bahari ya Hindi. Pia kutakuwa na ukarabati wa meli tano katika maziwa ya Victoria na Tanganyika,”
habarileo Sunday, June 6, 2021 5:58:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Na kwa kukutana na wafanyabiashara hawa, haina maana kwamba Serikali sasa imeamua kuwatelekeza wafanyabiashara wadogo (Machinga, Mama Lishe) wote mmeona juzi tu Rais alikuwa Soko la Kariakoo ambako amejionea mazingira ya wafanyabiashara wadogo na ameahidi kufanyia kazi changamoto zinazowakabili,”
habarileo Sunday, June 6, 2021 5:58:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Kwa hiyo Watanzania msiwe na hofu, Serikali inakusanya kodi kama kawaida kwa ajili ya kuendesha shughuli zake na kutoa huduma kwa wananchi ikiwemo kugharimia mishahara, kuhudumia deni la Taifa, kugharamia miradi ya maendeleo”
habarileo Sunday, June 6, 2021 5:58:00 AM EAT
Gerson Msigwa said
:
“While in Tanzania, President Museveni and President Samia Suluhu will witness the signing of Hoima – Tanga oil pipeline agreements between Tanzania and investment companies in the project,”
ChimpsReport Thursday, May 20, 2021 9:20:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
"Imetufikia ripoti kuwa kuna kipande cha video kinachoonyesha kwamba Rais Samia ameamuru kuachiliwa huru kwa wafungwa 23 wa kisiasa. Tunataka kufafanua kwamba Rais hajatoa agizo kama hilo,"
tuko Saturday, May 8, 2021 10:28:00 AM EAT
Gerson Msigwa said
:
"It should be recalled that Kenya is the leading investor in Tanzania among all African nations, therefore, Madam President will use the business forum to promote investment opportunities available in the country for the mutual benefits of the people of Tanzania and Kenya,"
allafrica Wednesday, May 5, 2021 3:02:00 AM EAT
Gerson Msigwa added
:
"It should be recalled that Kenya is the leading investor in Tanzania among all African nations, therefore, Madam President will use the business forum to promote investment opportunities available in the country for the mutual benefits of the people of Tanzania and Kenya,"
allafrica Wednesday, May 5, 2021 3:02:00 AM EAT
Gerson Msigwa said
:
"The president had directed the ministers and the technical officials who form the JCC, who have not met since 2016, to urgently meet to resolve the various issues affecting the two countries," "The President received an invitation for a state visit from President Uhuru Kenyatta. He assured President Samia Suluhu that Kenya is ready to engage with Tanzania at any time for the mutual benefit of the two countries"
allafrica Tuesday, May 4, 2021 3:02:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Nchi yetu ni nzuri, na mimi ningetamani sana sisi tuwe vinara kujenga nchi katika mazuri yake, hivyo tushirikiane na nchi yetu iwe angeda yetu ya kwanza, tasinia yetu ina sheria, taratibu na miongozi napenda tuizingatie,”
habarileo Saturday, April 17, 2021 3:05:00 AM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Tukio lolote la kunyanyaswa mwandishi wa habari tutalitetea kwa haki, lakini mwanahabari e atakayevunja sheria kwa makusudi asitegemee kutetewa, hivyo mwandishi usivunje sheria, kofia ya uandishi wa habari siyo kinga yake,”
habarileo Saturday, April 17, 2021 3:05:00 AM EAT
Gerson Msigwa said
(
about Uhuru Kenyatta
)
:
“President Kenyatta has assured President Suluhu of Kenya’s commitment to cooperate with Tanzania for the betterment of the two nations,”
standardmedia Sunday, April 11, 2021 2:37:00 PM EAT
Gerson Msigwa said
(
about Commission
)
:
“To ensure the commitment is set in motion, President Suluhu has directed Ministers who form the Joint Permanent Commission from both Tanzania and Kenya to meet and agree on different issues that will ensure the ties are strengthened,”
capitalfm Saturday, April 10, 2021 7:17:00 PM EAT
Gerson Msigwa said
:
“President Kenyatta has assured President Suluhu of Kenya’s commitment to cooperate with Tanzania for the betterment of the two nations,”
standardmedia Saturday, April 10, 2021 5:39:00 PM EAT
Gerson Msigwa said
:
"Burial procedures for the late Ambassador John William Kijazi will be communicated later,"
allafrica Saturday, February 20, 2021 3:06:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Baada ya hukumu familia (ya Mchungaji Msigwa) walitafuta Sh2 milioni na kwenda kwa Rais Magufuli ambaye aliongeza Sh38 milioni wakaenda kulipa. Hapa wameleta risiti na wanaelekea gerezani kwa ajili ya kumtoa Mchungaji Msigwa,”
mwananchi Thursday, March 12, 2020 9:41:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
(
about Rais Magufuli
)
:
“Baada ya hukumu familia (ya Mchungaji Msigwa) walitafuta Sh2 milioni na kwenda kwa Rais Magufuli ambaye aliongeza Sh38 milioni wakaenda kulipa. Hapa wameleta risiti na wanaelekea gerezani kwa ajili ya kumtoa Mchungaji Msigwa,”
mwananchi Thursday, March 12, 2020 4:23:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Siwezi kusema kama kutakuwa na mikutano mingine au hapana. Hilo litategemea uamuzi wa rais na hao wanaotafuta kuonana naye au ambao anataka kukutana nao,”
mwananchi Thursday, March 5, 2020 1:49:00 PM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Siwezi kusema kama kutakuwa na mikutano mingine au hapana. Hilo litategemea uamuzi wa rais na hao wanaotafuta kuon-ana naye au ambao anataka kukutana nao,”
mwananchi Wednesday, March 4, 2020 11:36:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
(
about John Magufuli
)
:
“Wajumbe wengine watakaoiwakilisha Serikali katika Bodi ya Airtel Tanzania ni John Sausi na Lekinyi Mollel. Uteuzi huu unaanza leo tarehe 12 Juni, 2019,”
mwananchi Wednesday, June 12, 2019 2:21:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Wajumbe wote wanatakiwa kuwasili katika ukumbi wa Kikwete kuanzia saa 2:00 hadi saa 2:30 asubuhi,”
mtanzania Friday, June 7, 2019 11:06:00 AM EAT
Gerson Msigwa amesema
:
“Mkutano huu utaanza saa 3:30 asubuhi hivyo wajumbe wote wanatakiwa kuwasili katika ukumbi wa Kikwete kuanzia saa 2:00 hadi saa 2:30 asubuhi,”
mwananchi Thursday, June 6, 2019 4:49:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Unataka mimi nithibitishe au nikanushe habari ambazo ziko hewani. Mimi sitafanya hivyo. Mwambieni yeye (Fatma) athibitishe hicho anachodai kinafanyika,”
mwananchi Wednesday, February 6, 2019 5:45:00 PM EAT
Gerson Msigwa alisema
:
“Unataka mimi nithibitishe au nikanushe habari ambazo ziko hewani. Mimi sitafanya hivyo. Mwambieni yeye (Fatma) athibitishe hicho anachodai kinafanyika,”
mwananchi Thursday, January 31, 2019 9:34:00 AM EAT
Gerson Msigwa told
:
"Provided they followed the proper channel in presenting the letter to the President, there is no need for them to worry. They should be patient as the President will definitely answer them,"
allafrica Monday, September 26, 2016 12:54:00 PM EAT
Gerson Msigwa told
:
"The Attorney General has clarified on complaints by the Opposition and the Head of State has no time for them as he is busy serving Tanzanians,"
allafrica Wednesday, September 7, 2016 1:48:00 PM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
rais | 2.90% | SW | 01/21/201721/01/2017 |
director | 50.72% | EN | 11/30/201630/11/2016 |
president | 34.78% | EN | 11/07/201607/11/2016 |
minister | 2.90% | EN | 09/29/201629/09/2016 |
prime minister | 2.90% | EN | 09/29/201629/09/2016 |
communications director | 1.45% | EN | 09/26/201626/09/2016 |
spokesman for tanzania | 1.45% | EN | 07/24/201624/07/2016 |
head | 2.90% | EN | 05/22/201622/05/2016 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Gerson Msigwa | EN | 61.82% |
Gerson Msigwa | SW | 38.18% |
Gerson Msigwa | FR | 0.00% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 11.37% |
![]() | Samia Suluhu | 5.38% |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 4.39% |
![]() | State House | 4.39% |
![]() | Rais Magufuli | 4.29% |
![]() | World Health Organization | 2.09% |
![]() | Reuters Group | 1.89% |
![]() | Hassan Abbas | 1.79% |
![]() | John Pombe Magufuli | 1.60% |
![]() | Commission | 1.30% |
![]() | Tundu Lissu | 1.30% |
![]() | Uhuru Kenyatta | 1.20% |
![]() | Nairobi Hospital | 1.10% |
![]() | Tanzanian government | 1.00% |
![]() | Afrika Mashariki | 0.90% |
![]() | Julius Nyerere | 0.90% |
![]() | Hussein of Jordan | 0.90% |
![]() | Benjamin Mkapa | 0.80% |
![]() | Jakaya Kikwete | 0.80% |
![]() | The Nation | 0.80% |
![]() | Rais Dk | 0.80% |
![]() | Duncan Miriri | 0.70% |
![]() | Philip Mpango | 0.70% |
![]() | Amina Mohamed | 0.70% |
![]() | Seif Shariff Hamadi | 0.70% |
![]() | Seif Sharif | 0.70% |
![]() | Palamagamba Kabudi | 0.70% |
![]() | Matshidiso Moeti | 0.70% |
![]() | David Lewis | 0.60% |
![]() | Andrew Cawthorne | 0.60% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | John Magufuli | 0.1094 |
![]() | Samia Suluhu | 0.0524 |
![]() | Juma Njwayo | 0.0476 |
![]() | Rais Magufuli | 0.0431 |
![]() | Samia Suluhu Hassan | 0.0423 |
![]() | Issa Maige | 0.04 |
![]() | Moses Mzuna | 0.0385 |
![]() | State House | 0.0383 |
![]() | Zainab Telack | 0.0221 |
![]() | Khatibu Kazungu | 0.0192 |
![]() | Hassan Abbas | 0.0178 |
![]() | Lilian Mashaka | 0.0172 |
![]() | Theresia Mahongo | 0.0169 |
![]() | John Pombe Magufuli | 0.0161 |
![]() | Ferdinand Wambali | 0.0143 |
![]() | Joseph Mkirikiti | 0.014 |
![]() | Tawala Msaidizi | 0.0135 |
![]() | Tundu Lissu | 0.0128 |
![]() | James Mdoe | 0.0118 |
![]() | Ali Hapi | 0.0115 |
![]() | Nairobi Hospital | 0.011 |
![]() | Uhuru Kenyatta | 0.0104 |
![]() | Tanzanian government | 0.0097 |
![]() | Amos Makalla | 0.0097 |
![]() | Afrika Mashariki | 0.0089 |
![]() | Fatma Rajab | 0.0088 |
![]() | Antony Mtaka | 0.0086 |
![]() | The Nation | 0.0082 |
![]() | Julius Nyerere | 0.0079 |
![]() | Rais Dk | 0.0079 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.