Jakaya Kikwete alisema
(
about Benno Ndulu
)
:
“Nilipokuwa Rais nilitamani sana Profesa Ndulu awe mshauri wangu katika masuala ya uchumi, lakini nilishindwa kumtoa katika mambo ya kimataifa ambako alikuwa tegemeo kubwa kwa Benki ya Dunia,”
habarileo Wednesday, February 24, 2021 7:11:00 AM EAT
Jakaya Kikwete said
:
''I first went to school in around 1956 in Lushoto. But, you know had started school when I was very young and I could play a lot.''
tuko Tuesday, January 12, 2021 2:44:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“aidha mwaka 2018 pekee yake, walipokea bodaboda 1813, abiria 1104, na wapitanjia 976,”
habarileo Sunday, December 13, 2020 2:07:00 PM EAT
Jakaya Kikwete added
:
“Tanzania was not like this in 2015. You have done a lot and Tanzanians know the progress. Keep on with the struggle and I believe you will win. I don’t see any reasons why you should not,”
theCitizen Monday, October 19, 2020 4:08:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Nchi yetu ina umoja amani na utuluivu; zipo nchi za wenzetu zinahangaika kuutafuta umoja utulivu na amani kwa sababu ukabila na udini unawatafuna; wanagawanywa kutokana na maeneo wanayotoka,”
mwananchi Sunday, October 18, 2020 12:56:00 PM EAT
Jakaya Kikwete amesema
:
“Nchi yetu ina umoja amani na utulivu. Zipo nchi za wenzetu zinahangaika kuutafuta umoja utulivu na amani kwa sababu ukabila unawatafuna na udini wanawagawanya kutokana na maeneo wanayotoka,”
mwananchi Saturday, October 17, 2020 9:11:00 PM EAT
Jakaya Kikwete amesema
:
“Kazi kubwa imefanyika kwenye nyanja zote ninaposema hivyo sio kwamba mambo yameenda shwari kabisa lakini vituo vya afya viongezwe, hospitali ziongezwe na nyingine ziboreshwe kama ile ya moyo na figo pale Dodoma,”
mwananchi Saturday, October 17, 2020 9:11:00 PM EAT
Jakaya Kikwete amesema
:
“Tumchague Magufuli aendelee kuongoza nchi yetu, tumpe miaka mitano mingine amalize ngwe yake. CCM ina sera nzuri za kudumisha masilahi ya kisiasa, kijamii, kiutamaduni, kiusalama na watu wake. Hakuna chama kingine kinachofanana na CCM mimi sikijui,”
habarileo Saturday, October 17, 2020 8:52:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Tutafute namna ya kuzitazama gharama hizi. Na hili ni suala la kukaa wadau na Wizara ya Afya na hili litazamwe hata watu binafsi. Lakini kwa Muhimbili ambayo ni hospitali ya Serikali, lazima tulitazame hili kwa sababu na kodi zetu zinakwenda kule,”
mtanzania Tuesday, October 13, 2020 2:10:00 PM EAT
Jakaya Kikwete anasema
(
about Benjamin Mkapa
)
:
“Kwa hatua hiyo barua bubu zilikwenda kwake huku wakijaribu kutulaumu lakini Mkapa alikuwa thabiti na alikuwa na sisi. Alikuwa kiongozi thabiti ambaye hakujali kusifiwa akitambua kuwa unaweza kusifiwa ili uharibu,”
mtanzania Sunday, August 2, 2020 5:12:00 PM EAT
Jakaya Kikwete told
:
“During that time… probably, he would have chosen to put me in a place where I could not be seen. But he did the opposite,”
theCitizen Friday, July 31, 2020 10:04:00 AM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
"Rais Magufuli ametufikisha kwenye uchumi wa kati, hatua aliyoianza mwenyewe Mkapa, nami nikaendeleza na sasa Magufuli anaendelea vizuri sana, bado hatujafikia ndoto ya Mkapa ya pato la kati la Dola 3,000 kwa kila Mtanzania na Rais Magufuli naamini atatufikisha huko,"
habarileo Thursday, July 30, 2020 11:39:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“He loved Tanzanians. He hated to see Tanzanians living under poor conditions. He gave a lot of priority to economic development - and that was why he was the one who prepared Tanzania’s Development Vision 2025, envisioning that come 2025, the per capita GDP for a Tanzanian should be $3,000,”
theCitizen Thursday, July 30, 2020 2:39:00 PM EAT
Jakaya Kikwete amesema
(
about Benjamin Mkapa
)
:
"Mkapa wakati ameingia madarakani, aliipokea ikiwa na hali sio nzuri, lakini alisimamia, katika miaka mitano yake mitano ya mwisho alipandisha uchumi wa nchi na aliacha uchumi ukiwa umekuwa kwa asilimia Saba,"
habarileo Wednesday, July 29, 2020 11:14:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Tuliongea mengi sana, tukaagana na leo (jana) nikaahidi nitarudi tena kumjulia hali, hakuwa mgonjwa kihivyo, sasa zile taarifa za usiku za Rais Magufuli kwamba Mzee Mkapa hatunaye tena, zilinishitua, nikasema, kumetokea nini tena kwa sababu hakuwa mgonjwa sana, na ahadi yangu kwake ilikuwa leo(jana) nikienda atoke hospitalini , nikamwambia kesho(jana) kwa hali yako ningependa nije kukusalimia ukiwa nyumbani kwa kuwa siyo wa kuendelea kukaa hospitalini ,”
habarileo Saturday, July 25, 2020 1:02:00 AM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Tuendelee kuiombea familia yake na tuishi kwa kusimamia mema na yale mazuri aliyoyaacha kwa mustakabali wa taifa letu,”
habarileo Saturday, July 25, 2020 1:02:00 AM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“Yesterday I was with him at the hospital and we talked for about an hour and he was doing well he was not in trouble wahsoever and we agreed we would meet the next day to continue our conversation. I don't know what to say …when I received the news of his death after midnight I was shocked and asked what happened,”
theCitizen Friday, July 24, 2020 6:19:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“It has truly never happened before,”
theCitizen Wednesday, July 1, 2020 12:08:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“Everybody is branded a ‘Jembe’ (hoe),”
theCitizen Wednesday, July 1, 2020 12:08:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“I silently signed other Bills into law, but I’m signing this one with much fanfare,”
theCitizen Wednesday, June 24, 2020 4:12:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“And, I even fasted today. So, when I felt that my throat was getting dry, I asked for drinking water that unfortunately took a bit long to be brought,”
theCitizen Monday, June 22, 2020 2:23:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“President Magufuli congratulated Burundians on how they conducted the elections in peace and stability and the transfer of power peacefully and democratically which shows political maturity,”
EastAfrican Saturday, June 20, 2020 1:02:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Tunachukua kauli yenu kwamba pako salama na tunawahakikishia vijana kwamba pako salama lakini likitokea la kutokea tutawasiliana, tujue je wanafunzi wamekuja nao ama waliupatia hapa,”
habarileo Friday, May 29, 2020 4:10:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Maelezo hayo watoe wenyewe waliochukua hizo hosteli na waeleze walichokifanya kuwahakikishia wanafunzi na community yetu, kutuhakikishia sisi wenyewe tunaoongoza hiki chuo na jumuiya ya chuo kikuu kwamba hapa mahali pako salama,”
habarileo Friday, May 29, 2020 4:10:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Kwa hiyo pako salama likitokea la kutokea tujue je wamekujanao au wameupatia hapa,”
mtanzania Friday, May 29, 2020 1:55:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
"Malnutrition is an urgent issue, it is a social justice issue, it is a gender issue - and the damage it causes has not yet been matched by the political or financial commitment required to end it,"
allafrica Thursday, May 28, 2020 2:32:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“Malnutrition is an urgent issue, it is a social justice issue, it is a gender issue – and the damage it causes has not yet been matched by the political or financial commitment required to end it,”
theCitizen Thursday, May 28, 2020 12:43:00 PM EAT
Jakaya Kikwete asked
:
"Do they want to create another community? Are they angry with our country or me, or do they want to push us out?"
thestarkenya Saturday, May 23, 2020 10:12:00 AM EAT
Jakaya Kikwete said
:
"Labda tupate mtu mpumbavu wa ajabu sana ambaye watu aina hiyo Tanzania ni wachache sana. Atakaye dhania uhusiano baina ya Kenya na Tanzania sio maana, achana nao? Atakacho sababisha ni umaskini tu. (Unless we get a very strange fool and such kind of people are very few in Tanzania. One who will imagine that a relationship between Kenya and Tanzania is not important, so leave it? What they will cause us is only poverty),"
thestarkenya Saturday, May 23, 2020 10:12:00 AM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“We have delayed to collect forms because of pressure exerted upon us from different people including the youth,”
theCitizen Thursday, May 14, 2020 3:46:00 PM EAT
Jakaya Kikwete stated
:
“It is important to understand the impact COVID-19 will have on a system that is already burdened by other health challenges across the continent. We cannot protect people from deadly pandemics, over-burdening NCDs, advance gender equality or achieve any of the other 2030 Sustainable Development Goals without accelerating progress towards universal health coverage,”
independent-UG Thursday, April 30, 2020 8:42:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Nimekumbuka mbali ule mti wa mkungu, nina historia nao kwani hotuba yangu ya kwanza ya kuomba ridhaa ya kuwa Rais nilitangazia pale. Kwangu ni historia kubwa ambapo historia yangu iliandikwa pale kwani baada ya hapo ndipo nikaingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Urais,”
habarileo Monday, March 16, 2020 7:25:00 AM EAT
Jakaya Kikwete amesema
:
“Uongozi mpya wa CCM Mkoa wa Pwani umeleta ari kubwa ya ujenzi wa ukumbi huu. Wazo lilikuwa ni la muda mrefu miaka mingi iliyopita na sasa naona ujenzi unaelekea kukamilika,”
habarileo Monday, March 16, 2020 7:25:00 AM EAT
Jakaya Kikwete amesema
:
“Niliitolea pale taarifa yanguniliandaa usiku mwanangu Ridhiwani anaandika kwenye laptop (kompyuta mpakato). Sehemu ile nina uhusiano nayo katika safari yangu ya kisiasa, nauheshimu sana mkungu maalumu, kwangu safari ya mimi kuwa Rais ilianzia pale nilipoamua kugombea Urais. Wengine walikuwa wakitangazia Urais kwenye mahoteli, mimi niliamua kutangaza kwenye Ofisi ya CCM Mkoa,”
habarileo Monday, March 16, 2020 7:25:00 AM EAT
Jakaya Kikwete said
(
about Gideon Moi
)
:
“I was president of Tanzania for 10 years. For seven years, I served at the same time with President Moi. He was my mentor and teacher,”
standardmedia Wednesday, February 12, 2020 11:56:00 AM EAT
Jakaya Kikwete said
(
about Daniel Arap Moi
)
:
“I knew Moi from my school days, as I studied Kenya’s independence he was a dedicated leader who led us in the region,”
standardmedia Wednesday, February 12, 2020 10:20:00 AM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Moi. Namfahamu Mzee Moi tangu nikiwa shule, nimesoma habari zake kuhusu harakati za kudai uhuru wa Kenya, baadaye nilipokuwa Waziri wa Nishati, nilitumwa na Rais Ali Hassan Mwinyi kuja kuzungumza naye kuhusu ushirikiano wetu kwa kuwa tulikuwa na mpango wa kujenga bomba la gesi kutoka Songosongo kwenda Dar es Salaam”
habarileo Tuesday, February 11, 2020 7:37:00 PM EAT
Jakaya Kikwete aliongeza
:
“Niliagizwa na Rais wangu Mkapa nije kwa Rais Moi nimweleze kama atakuwa tayari kujiunga na Tanzania katika uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia. Kwa bahati nzuri Mzee Moi alikubali na kumuagiza Waziri wa Mafuta na Madini, Kyaro,”
habarileo Tuesday, February 11, 2020 9:45:00 AM EAT
Jakaya Kikwete alieleza
(
about Sudan Kusini
)
:
“Mzee Moi alijitoa sana katika kutatua migogoro katika ukanda wetu huu ikiwemo Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Lakini pia alisaidia kupatikana kwa uhuru wa Sudan Kusini. Alijali amani ya EAC na tutamkumbuka kwa mema mengi ikiwemo kujenga uhusiano mzuri kati ya Kenya na Tanzania na nchi zingine na alikuwa mshauri mzuri,”
habarileo Wednesday, February 5, 2020 9:39:00 AM EAT
Jakaya Kikwete alisema
(
about Afrika Mashariki
)
:
“Endelea kuwa kiongozi wa mfano kwa vitendo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Barani Afrika na duniani kwa ujumla, hakika mchango wako hautafutika katika historia ya ukombozi katika bara hili,”
habarileo Tuesday, January 28, 2020 9:31:00 AM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“NRM/NRA made a victory that has taken Uganda to a very different path from the one that people used to know. Uganda is at peace within itself, Uganda is unified and Uganda is making steady progress,”
theCitizen Monday, January 27, 2020 7:32:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
(
about President Museveni
)
:
“I knew Museveni when I was still in high school, he was very militant. At University of Dar es Salaam, he led University Students Revolutionary Front. I was in high school then. We have always looked at you as a mentor. When you left university of Dar e Salaam in 1971, I joined in 1972. We listened to the good stories of what you had been doing,”
theCitizen Monday, January 27, 2020 7:32:00 PM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Hivyo wakaniambia kwa kipindi kile hawakutaka msaada wowote wa ujenzi bali tuwapelekee walimu kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao maana shule wameshajenga,”
mwananchi Tuesday, December 17, 2019 8:20:00 AM EAT
Jakaya Kikwete alisema
:
“Tulianzisha mpango uliokuwa unawawezesha wahitimu wa kidato cha sita kwenda kuchukua mafunzo ya ualimu nia ikiwa ni kuzalisha walimu wengi mpango uliokuwa unaitwa vodafasta,”
mwananchi Friday, November 29, 2019 6:00:00 PM EAT
Jakaya Kikwete said
:
“During my administration we embarked in various efforts to address teachers shortage including one, which was famously known as ‘Vodafasta’, the programme allowed Form Six leavers to teach in secondary schools. The programme helped a lot to address teachers shortage, especially in rural areas”
theCitizen Friday, November 29, 2019 11:18:00 AM EAT
Jakaya Kikwete amesema
:
“Kwa nchi za Sadc, malaria itakwisha kabisa ikiwa zitaongeza fedha kwa ajili ya kugharamia, kikubwa hasa ni kuwa na uongozi, fedha na kuwekeza katika teknolojia,”
mwananchi Thursday, November 7, 2019 8:21:00 PM EAT
Jakaya Kikwete amesema
:
“Hayo ndiyo mambo tufanye sasa, nchi za Sadc zimekubaliana kufikia asilimia 80 ya matumizi ya chandarua lakini baadhi ya nchi hazijafikiwa,”
mwananchi Thursday, November 7, 2019 8:21:00 PM EAT
Jakaya Kikwete estimé
:
"C'est un grand deuil, c'est la nation tout entière qui est secouée"
lamontagne Wednesday, March 11, 2015 10:46:00 PM EAT
Jakaya Kikwete estimé
:
"C'est un grand deuil, c'est la nation tout entière qui est secouée"
afp-fr Wednesday, March 11, 2015 10:18:00 PM EAT
Jakaya Kikwete estimé
:
"C'est un grand deuil, c'est la nation tout entière qui est secouée"
rtl-BE Wednesday, March 11, 2015 8:24:00 PM EAT