Amina Mollel

Last updated on 2016-06-30T23:13+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Amina Mollel anasema : “Kwa sasa jamii imeelewa sana haya mambo; wanajali hoja na namna wanavyokufahamu kwa uadilifu na uchapakazi; suala la kuwa mwanamke mwenye ulemavu halipo kabisa isipokuwa, washindani dhaifu ndio hutumia kigezo cha mtu kuwa mwanamke au kuwa na ulemavu kutaka kupotosha watu” External link

habarileo Thursday, August 6, 2020 3:17:00 PM EAT

Amina Mollel anasema : “Asanteni sana wana TAMWA hakika mafanikio haya tunastahili wote. TAMWA imenitoa mbali sana, imenilea kitaaluma na kimaadili” External link

habarileo Thursday, May 14, 2020 2:46:00 PM EAT

Amina Mollel alisema ( about Job Ndugai ) : “Shukrani za pekee ni kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kwa ushirikiano mkubwa hasa wabunge wenye ulemavu. Asante sana kwa Chama changu cha CCM,” External link

Amina Mollel amesema ( about Naibu Spika ) : “Naibu Spika, nina masikitiko makubwa nikiwa kama mama, ninasimama kwa ajili ya kusimamia haki ya mtoto ambaye amekosa haki katika mahakama ya Arusha,” External link

mwananchi Thursday, June 27, 2019 10:10:00 PM EAT

Amina Mollel amesema : “Mheshimiwa naomba nizungumzie tatizo lililopo jijini Dar es Salaam, hasa ugonjwa wa dengue, ugonjwa huu umekuwa tishio kwa sasa jijini humo na taarifa zilizopo ni wagonjwa wengi waliougua wamefariki dunia na hakuna taarifa rasmi ya serikali kuhusu hilo,” External link

habarileo Tuesday, June 18, 2019 9:26:00 AM EAT

Amina Mollel amesema ( about Naibu Spika ) : “Naibu Spika, serikali imekuwa kimya juu ya ugonjwa huu na wanapokwenda hospitali wanaambiwa kipimo ni shilingi 50,000 kwa hiyo watu wengi wanakwepa kupima sababu ya hiyo hiyo fedha. Kwa hiyo Mheshimiwa Naibu Spika naomba ikikupendeza kutumia Kanuni ya 49 (1) (2) ili tuweze angalau tupate taarifa ama majibu kutoka kwa serikali,” External link

Amina Mollel amesema : “Mimi naomba ninukuu baadhi ya vichwa vya habari ambavyo vilitumiwa katika magazeti,” External link

mwananchi Sunday, November 6, 2016 5:30:00 AM EAT

Amina Mollel amehoji : “Kuna haja ya kuwa na waandishi ambao leo hii wanaandika habari kwamba mtu huyo ni mbaya lakini kesho hiyo hiyo uongo huo unabadilika na kuwa ukweli?” External link

mwananchi Sunday, November 6, 2016 5:30:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
mp100.00%EN06/30/201630/06/2016
Names Lang Count
Amina MollelEN80.00%
Amina MollelSW20.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Monday, September 28, 2020

2:52:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief