Charles Mkwasa

Last updated on 2016-09-03T19:05+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Charles Mkwasa alisema : “Ukitaja kati ya timu zenye ushindani katika Ligi Kuu, KMC ni mojawapo, ninaamini utakuwa ni mchezo mzuri na mgumu, pia mashabiki wa Yanga watapata nafasi ya kuona kikosi chao,” External link

mtanzania Sunday, June 7, 2020 12:50:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Nahitaji kuwafanya wachezaji wawe fiti na stamina ya hali ya juu kutokana na mechi zinazotukabili ni ngumu, unajua kukaa bila kucheza au kufanya mazoezi muda mrefu imeturudisha nyuma,” External link

Charles Mkwasa alisema : “Kutokana na hilo nimelazimika kuwapa programu maalumu ambayo itawapunguza uzito na kuendana na wenzao,bila shaka hadi wiki ijayo watakuwa sawa,” External link

mtanzania Saturday, June 6, 2020 12:47:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Kambi itakuwepo mara baada ya mchezo na KMC, tayari viongozi wameshafanya mipango ya jambo hilo hili, yote ni kutaka wachezaji wawe katika ‘levo’ moja,” External link

Charles Mkwasa alisema : “Kuna vitu vichache ambavyo wachezaji hawajazingatia wakiwa nyumbani, ndiyo ninavyofanyia kazi hasa kama vile stamina, si unajua kila mmoja alikuwa anafanya kivyake lazima kuwaunganisha,” External link

mtanzania Thursday, June 4, 2020 10:44:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Ni kweli tumepanga kucheza mchezo wa kirafiki ili kuwaandaa wachezaji baada ya kukaa bila mechi kwa takribani miezi miwili kuwaanda tayari kwa michezo ya ligi ambayo itarejea kwa kasi kwa kila timu kutafuta ushindi,” External link

habarileo Wednesday, June 3, 2020 3:54:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Hapo sasa tutajua ukweli kama wachezaji gani walikuwa wanazingatia kufanya mazoezi kwa kufuata programu walizopewa na kocha mkuu katika kipindi ambacho ligi imesimama bila kusimamiwa na kiongozi yeyote wa benchi la ufundi,” External link

habarileo Wednesday, April 8, 2020 2:02:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisisitiza : “Tumelifanya hilo kwa weledi mkubwa tunaamini mchezo utakuwa mgumu na mzuri, lakini kikubwa nawaomba mashabiki wa upande wa pili wasije wakaingia uwanjani na matokeo mfukoni,” External link

habarileo Saturday, March 7, 2020 12:02:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Mimi ni msaidizi na programu za mazoezi anatoa Kocha Mkuu, sasa hapo naingia wapi, kama mimi kazi yangu kutekeleza ninachoambiwa, ” External link

habarileo Friday, February 28, 2020 3:38:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Ni vyema kikosi kikaingia kambini mapema kuanza kufanya maandalizi yatakayosaidia wachezaji kufanya mazoezi pamoja na kutengeneza maelewano yatakayowasaidia kwenda kupambana na kuliwakilisha taifa vyema,” External link

habarileo Wednesday, February 26, 2020 1:25:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Katika mchezo uliopita dhidi ya Singida, Morrison licha ya ugeni wake alionesha kiwango bora ingawa kuna wakati alikuwa analalamika kuhusu mazingira mabovu ya uwanja tulioutumia, pamoja na Molinga alijitahidi kwa kiasi chake lakini bado naona kuna vitu kadhaa tunapaswa kuwapa ili kuendeleza makali yao,” External link

habarileo Friday, January 24, 2020 6:10:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Inasikitisha kuona waamuzi wanakuwa na tabia hiyo lakini siwezi kushangaa Simba ni miongoni mwa timu ambayo inashiriki Ligi hii na imezawadiwa penalti nyingi kushinda wengine, kimsingi ni matokeo mazuri kwetu tunaenda kujipanga kwa michezo mingine,” External link

habarileo Monday, January 6, 2020 10:36:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Licha ya kuonekana Yanga tuko nyumba hatuwezi kukubali kufungwa na Simba ila tuna uhakika wa kuchukua pointi tatu kutoka kwao zitakazotufanya kupunguza tofauti ya pointi zilizopo na kuvuruga mbio zao za ubingwa msimu huu,” External link

habarileo Saturday, January 4, 2020 11:00:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Mchezo dhidi ya Biashara ni muhimu kwetu kushinda ili kuongeza ari ya kikosi kuelekea mchezo na Simba, kwa ujumla hali ya wachezaji wangu zipo vizuri,” External link

mtanzania Monday, December 30, 2019 3:06:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Ninawashukuru wachezaji kwa ushindi tuliopata kwani umetuongezea nguvu ya kujipanga kwenye mchezo wetu unaokuja dhidi ya Biashara United kuhakikisha tunapata matokeo kama haya kujipanga na mchezo wetu wa Januari 4 dhidi ya Simba,” External link

habarileo Sunday, December 29, 2019 7:43:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Kama unataka taarifa kuhusu maandalizi ya timu kujipanga na mchezo ujao mtafute Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, atakuambia lakini kwa sasa nimechoka na sitaki kuongelea maana nipo mapumziko nasheherekea sikukuu ya Krismasi hapa Mbeya,” External link

habarileo Thursday, December 26, 2019 12:19:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Tumecheza vizuri lakini mvua iliyonyesha isababisha uwanja kuteleza na kuwa na matope hivyo wachezaji kushindwa kumiliki mpira lakini pili fitina zilizofanywa na mwamuzi wa leo (jana) kwa kweli zimechangia kuharibu malengo yetu. Waamuzi kama hawa ni kichefuchefu kufanya nao kazi,” External link

habarileo Wednesday, December 25, 2019 11:35:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Tunaamini mchezo utakuwa mgumu kwani tutakuwa ugenini tunajua na wao wamejipanga lakini maandalizi yetu tumejipanga kutafuta pointi tatu muhimu na mnajua ni mchezo wa kiporo sasa ili tuzidi kujiweka nafasi bora lazima tupate ushindi,” External link

habarileo Tuesday, December 24, 2019 10:12:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Mashabiki wa Yanga, waondoe hofu kwani wana timu nzuri, mwanzo ulikuwa mgumu kwa sababu kuna wachezaji tuliwakosa kwenye timu lakini baada ya dirisha la usajili watakuwepo na muunganiko wa timu ni mzuri,” External link

habarileo Tuesday, December 17, 2019 10:13:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema ( about Tanzania Bara ) : “Nilijua mchezo utakuwa mgumu kwetu japo wachezaji wangu walijitahidi na tukapambana tukapata bao lakini wenzetu walirudi na kusawazisha, kikubwa wachezaji wangu walicheza chini ya kiwango ambacho sikutarajia kuwaona wakicheza kilichochangiwa na ratiba mbovu ya ligi ya Tanzania,” External link

habarileo Wednesday, December 4, 2019 10:08:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Nililazimika kutumia viungo kadhaa kwakua wapinzani wetu walikuwa vizuri, mchezo ulikuwa na ushindani mkubwa,” External link

mtanzania Sunday, November 24, 2019 2:33:00 PM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Tupo vizuri na vijana kusema ukweli wamekuwa wakiyafanyia kazi vizuri maelekezo ninayowapa, lengo langu ni kuiona Yanga inashinda kila mchezo na kurudi kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, lakini pia kucheza kandanda safi lenye kuvutia,” External link

habarileo Friday, November 22, 2019 9:11:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema : “Unajua Yanga ni taasisi kubwa, naamini uongozi uliweka vigezo na kumpata Kaimu Kandoro sina mashaka na hilo lakini nafasi kama katibu mkuu wanatakiwa kupata mtu mwenye uzoefu na masuala ya kiutawala na mbunifu wa kuchanganua mambo kuifanya Yanga kufika mbali,” External link

habarileo Monday, November 4, 2019 10:47:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema ( about Emmanuel Emenike ) : “Sawa Amunike ameachishwa kazi, lakini lazima tujiulize tunakosea wapi, ilhali tumepata kuwa na makocha wengi lakini bado tumeendelea kufanya vibaya, niwaombe wenye mamlaka ya kuendesha soka kuna kila sababu ya kutazama upya mfumo wetu wa uendeshaji wa mchezo huu, nakujiuliza maswali wanaofanya vizuri wanautaratibu gani?” External link

habarileo Wednesday, July 10, 2019 9:26:00 AM EAT

Charles Mkwasa alisema ( about Taifa Stars ) : “Tumpe muda, pamoja na kufungwa lakini tumepambana. Taifa Stars kuifunga Senegal ingekuwa jambo kubwa,” External link

mwananchi Thursday, July 4, 2019 12:16:00 PM EAT

Charles Mkwasa said : "Our team was a little bit weak because of the preparation we had," External link

allafrica Tuesday, November 15, 2016 6:12:00 PM EAT

Charles Mkwasa said : "It's only Ulimwengu who is ready for Stars. He is in town, but he will have to wait for his teammates before we hold a joint practice session," "I expect Samatta on Wednesday (today), but the rest are yet to be released by their clubs because of Premier League assignments" External link

allafrica Wednesday, November 9, 2016 2:35:00 PM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
coach75.00%EN11/15/201615/11/2016
head coach25.00%EN11/09/201609/11/2016
Names Lang Count
Charles MkwasaEN92.31%
Charles MkwasaSW7.69%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Wednesday, July 15, 2020

8:14:00 AM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief