Kasim Majaliwa

Last updated on 2016-10-16T13:05+0300.

About this image

sign

Quotes... Extracted quotes from

Kasim Majaliwa alisema : “Sote tuna wajibu wa kulinda madini, wakuu wa mikoa mzeanzisha masoko kwenye mikoa yenu na ngazi za wilaya, masomo haya yanahitaji ulinzi, yalindwe ili wananchi wasipate madhara wanapoenda kuuza madini yao, wale wachache wanaotorosha madini wajihadhari tutawashughulikia,” External link

mtanzania Monday, September 23, 2019 4:00:00 PM EAT

Kasim Majaliwa alisema : “Wananchi mtuambie kama kuna sehemu kuna ulaji tutaingia, hata kama kuna ukuta sisi tutaingia,” External link

Kasim Majaliwa amesema : “Madaktari wanajitahidi kwa hiyo tuwe na imani watapona tuzidi kuwaombea,” External link

mwananchi Sunday, August 11, 2019 7:24:00 PM EAT

Kasim Majaliwa alisema : “Tumemwita Balozi wa Kenya nchini na pia tumezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kenya. Balozi wa Kenya amekanusha kuwa kauli ile si kauli ya Serikali na wala sio msimamo wa Kenya, wametusihi Watanzania tuwe watulivu, kauli hiyo ni ya mtu mmoja,” External link

mtanzania Wednesday, June 26, 2019 2:55:00 PM EAT

Kasim Majaliwa alisema : "Hakuna kitakachokwamisha. Makamu wa Rais yupo Dodoma na mimi nipo Dodoma hivyo amebaki Rais. Leo niwaambie kuwa atahamia wakati wowote kabla ya Desemba 30 mwaka huu," External link

jamiiforums Wednesday, March 13, 2019 10:34:00 AM EAT

Kasim Majaliwa alisema : “Nina taarifa za kuibuka kwa ugonjwa huu hatari, nategemea wataalamu wetu watafanya kazi ya ziada katika kudhibiti usienee zaidi,” External link

mtanzania Monday, February 25, 2019 10:52:00 AM EAT

Kasim Majaliwa alisema : “Ni jukumu la kila mwananchi kuhakikisha kuwa vitendo vya rushwa ,ubadhirifu na maovu mengine vinatokomezwa” External link

mtanzania Tuesday, December 11, 2018 2:58:00 PM EAT

Kasim Majaliwa alisema : “Mara kadhaa baadhi ya viongozi au watumishi wa umma wamekuwa wakifanya maamuzi kwa mambo wanayojua wazi kuwa wana maslahi binafsi nayo” External link

Kasim Majaliwa said ( about Prisons Department ) : "Therefore, as experts continue looking for alternative cooking energy sources, I would like to ask public institutions such as schools, the Prisons Department and the army to rethink their cooking systems so that they may stop using charcoal and start using alternative sources of energy, preferably gas," External link

allafrica Thursday, December 1, 2016 11:54:00 AM EATKey Titles and Phrases Count Lang Last Seen
minister43.75%EN02/18/201718/02/2017
prime minister43.75%EN02/18/201718/02/2017
waziri mkuu12.50%SW01/19/201719/01/2017
Names Lang Count
Kasim MajaliwaEN75.00%
Kasim MajaliwaSW25.00%

Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10
 
Show/hide duplicate news articles.
<<10<12345678910>>>10

Tools

Load latest edition

Friday, August 19, 2022

3:00:00 PM EAT

Languages Collapse menu...Expand menu...

Select your languages

af
am
ar
de
en
es
fr
ha
pt
rw
sw
all
Show additional languagesHide additional languages

Interface:

Legend Collapse menu...Expand menu...

Quotes... Explore Relations

EMM Visual Explorer

AfricaBrief