Donald Mmari
Last updated on 2016-12-09T19:55+0300.

About this image

Extracted quotes from
Donald Mmari alisema
:
"Hata mpango wa Maendeleo ya Taifa unaotumika katika awamu hii ya tano alihusika kuandaa kwa hiyo unapozungumzia maendeleo ya kiuchumi Tanzania lazima tukumbuke nafasi yake, "
mwananchi Wednesday, January 8, 2020 9:20:00 PM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Nchi kadhaa duniani kama vile China, Malaysia na India magari yote ya kijamii yakiwemo mabasi, yanatumia gesi asilia na kufanya gharama ya uchukuzi kushuka chini. Ni wakati sasa kuitumia sekta hii,”
jamiiforums Friday, November 29, 2019 3:34:00 PM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Nchi kadhaa duniani kama vile China, Malaysia na India magari yote ya kijamii yakiwemo mabasi, yanatumia gesi asilia na kufanya gharama ya uchukuzi kushuka chini. Ni wakati sasa kuitumia sekta hii,”
habarileo Friday, November 29, 2019 11:06:00 AM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Tuna rasilimali ya gesi, tumetafiti na kupendekeza baadhi ya mambo ambayo yanaweza kufanywa na Serikali ili watanzania waweze kunufaika na rasilimali ya gesi. Watanzania wana matarajiao mengi hivyo tunatakiwa kuweka umakini kwenye usimamizi,”
jamiiforums Saturday, November 23, 2019 8:29:00 AM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Tuna rasilimali ya gesi, tumetafiti na kupendekeza baadhi ya mambo ambayo yanaweza kufanywa na Serikali ili watanzania waweze kunufaika na rasilimali ya gesi. Watanzania wana matarajiao mengi hivyo tunatakiwa kuweka umakini kwenye usimamizi,”
habarileo Friday, November 22, 2019 10:56:00 AM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Mfumo huu ni mzuri zaidi kwa sekta isiyo rasmi ambayo huwa ngumu kwao kuendana na mabadiliko ya teknolojia ya kisasa kutokana na kutokuwa na maarifa ya kutosha kuitumia. Ni vyema kampuni zikaanza kutengeneza mashine na mitambo midogo inayoweza kutumiwa na wajasiriamali wadogo,”
mwananchi Thursday, May 16, 2019 5:17:00 PM EAT
Donald Mmari anasema
:
“Kila mmoja akiwa mshiriki katika ukuaji uchumi kwa kuibua fursa na kuzitambua kila eneo lina uwezo wa kuchochea uchumi kukua na tafiti nyingi zimebaini hili,”
mtanzania Tuesday, April 9, 2019 2:06:00 PM EAT
Donald Mmari anasema
:
“Mfumo wa serikali kwa upande wa halmashauri sio rahisi kufanya katika shughuli za kiuchumi kutambua fursa, kujenga uwezo wenye tija zaidi,”
mtanzania Tuesday, April 9, 2019 2:06:00 PM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Ni bora kuangalia namna bora ya kuangalia fursa katika ukuaji uchumi na sisi kama Repoa tumejipanga kufanya tafiti za kiuchumi zenye matokeo mazuri ndani ya jamii,”
mtanzania Sunday, March 24, 2019 2:56:00 PM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Mfumo wa Serikali kwa upande wa halmashauri si rahisi kufanya katika shughuli za kiuchumi kutambua fursa, kujenga uwezo wenye tija zaidi,”
mtanzania Sunday, March 24, 2019 2:56:00 PM EAT
Donald Mmari said
(
about The Deputy
)
:
“The talks are significant and the establishment of a fertiliser factory is very important as it would solve the issues of availability and affordability, which could translate into increased agriculture productivity”
theCitizen Friday, March 22, 2019 2:09:00 PM EAT
Donald Mmari amesema
:
“Bima ya kilimo ina umuhimu sana maana itasaidia kuinua sekta na kuifanya iwe na mchango mkubwa kwenye pato la Taifa,”
mwananchi Thursday, February 14, 2019 6:26:00 PM EAT
Donald Mmari anasema
:
“Mtu akishasikia kielektroniki anahisi ni mambo magumu katika utumiaji, kumbe sivyo, ni rahisi na inampunguzia gharama ya kutoka nyumbani kwake kwenda kukata tiketi, anamaliza kila kitu akiwa kwake lakini Serikali na wamiliki wa mabasi wataweza kudhibiti mapato,”
mwananchi Thursday, January 10, 2019 4:44:00 PM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Tunaweza kusherehekea bila kunywa na kulewa kwani licha ya kuepuka kutumia fedha nyingi, tutapunguza ajali na kufanya vitendo visivyo vya kistaarabu vitokanavyo na ulevi,”
mwananchi Wednesday, December 26, 2018 8:45:00 AM EAT
Donald Mmari says
:
“We can celebrate without too much drinking because apart from saving money, it helps avoid misconduct and accidents,”
theCitizen Sunday, December 23, 2018 11:00:00 AM EAT
Donald Mmari alisema
:
“Tumeangalia ni jinsi gani kinamama ambao wameshindwa kuzimiliki simu na wakapata mafunzo ya namna yakuzitumia huduma za kifedha ili kuleta mabadiliko ya maisha hasa kupata kipato,”
mwananchi Friday, December 14, 2018 12:09:00 PM EAT
Key Titles and Phrases | Count | Lang | Last Seen |
---|---|---|---|
director | 50.00% | EN | 11/28/201628/11/2016 |
executive director | 50.00% | EN | 11/28/201628/11/2016 |
Names | Lang | Count |
---|---|---|
Donald Mmari | EN | 50.00% |
Donald Mmari | SW | 50.00% |
Type | Entity Name | Count |
---|---|---|
![]() | Haji Semboja | 6.49% |
![]() | Humphrey Moshi | 5.84% |
![]() | Research Foundation | 5.84% |
![]() | Ineke Bussemaker | 5.84% |
![]() | Guardian | 5.84% |
![]() | The Guardian | 5.84% |
![]() | Elias Msuya | 3.25% |
![]() | John Magufuli | 3.25% |
![]() | James Mataragio | 3.25% |
![]() | William Ngeleja | 2.60% |
![]() | Sam Nujoma | 2.60% |
![]() | Tanzania Bara | 1.95% |
![]() | Joseph Semboja | 1.30% |
![]() | The Deputy | 1.30% |
![]() | Regulatory Authority | 1.30% |
![]() | Samuel Wangwe | 1.30% |
![]() | Commission | 1.30% |
![]() | CRDB Bank | 1.30% |
![]() | Strategy | 1.30% |
![]() | World Bank | 1.30% |
![]() | Jakaya Kikwete | 0.65% |
![]() | Brigham Young | 0.65% |
![]() | Philipp Roesler | 0.65% |
![]() | Peter Carroll | 0.65% |
![]() | Mark Filip | 0.65% |
![]() | Richard Kayombo | 0.65% |
![]() | Enea Mrutu | 0.65% |
![]() | Erik Thomas | 0.65% |
![]() | Eusko Alkartasuna | 0.65% |
![]() | Development Bank | 0.65% |
Type | Entity Name | Score |
---|---|---|
![]() | Halima Nyanza | 0.0769 |
![]() | Ineke Bussemaker | 0.0596 |
![]() | Haji Semboja | 0.031 |
![]() | Humphrey Moshi | 0.0193 |
![]() | Joseph Semboja | 0.0185 |
![]() | James Mataragio | 0.0179 |
![]() | Enea Mrutu | 0.0179 |
![]() | Oswald Mashindano | 0.0143 |
![]() | Samuel Wangwe | 0.0123 |
![]() | Paul Sherlock | 0.0123 |
![]() | Natalie Boucly | 0.0122 |
![]() | Peter Carroll | 0.0093 |
![]() | Research Foundation | 0.0086 |
![]() | Peter Kafumu | 0.0077 |
![]() | The Guardian | 0.0048 |
![]() | John Magufuli | 0.0047 |
![]() | Guardian | 0.0044 |
![]() | Elias Msuya | 0.0044 |
![]() | Sam Nujoma | 0.004 |
![]() | William Ngeleja | 0.0038 |
![]() | Albina Chuwa | 0.0033 |
![]() | Tanzania Bara | 0.003 |
![]() | Richard Kayombo | 0.0026 |
![]() | Martin Ravallion | 0.0024 |
![]() | Mary Nagu | 0.0022 |
![]() | Regulatory Authority | 0.002 |
![]() | The Deputy | 0.0018 |
![]() | CRDB Bank | 0.0017 |
![]() | Stella Manyanya | 0.0016 |
![]() | Godfrey Simbeye | 0.0015 |


Tools
Select your languages
Interface:
Explore Relations
The selection and placement of stories are determined automatically by a computer program.
This site is supplied by the Situation Room of the Continental Early Warning System (CEWS) of the Peace and Security Department of the African Union Commission. The project is supported by the Joint Research Centre of the EU Commission
Please send any comments or suggestions to
The information on this site is subject to adisclaimer.